The House of Favourite Newspapers

Cardi B, Offset Wafanya ‘Baby Shower’

 

WANAMUZIKI wa Marekani, Cardi B  na Offset waliooana Septemba mwaka jana, wamefanya ‘Baby Shower’ kwa ajili ya ‘kijacho’ wanayemtegemea.  Hafla hiyo ya kuvutia iliyofanyika Bronx Fairytale, ilihudhuriwa pia na mwimbaji waRnB, Monica.

Hafla hiyo ilivyokuwa katika ‘mapichapicha’:

Comments are closed.