Browsing Category
Afya
Fahamu Vyakula vya Kuondoa Gesi Tumboni au Kusaidia Tumbo Kujaa
Watu wengi wamekuwa wakiniomba mada hii japo nilishawahi kuitoa huko nyuma baada ya kuhangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo hii nitairudia kwa kuletea baadhi ya vyakula vya kuondoa hili tatizo kama linakusumbua…
Korosho Inavyosaidia Wenye Tatizo La Moyo, Kisukari!
KOROSHO ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Kwa Tanzania zao hili hulimwa kwa wingi katika mikoa ya pwani hasa Mtwara, Lindi na Pwani. Wengi wetu hatuli korosho na hata pale tunapokula, hula kama kitafunwa cha kuchangamsha mdomo…
Elewa Kinachosababisha Kuwa na Kizunguzungu (Dizziness)
Kizunguzungu kisichofahamika chanzo (Benign Paroxysmal Positional Vertigo) – Kizunguzungu hiki hakina athari kubwa kwa maisha ya muhusika. Aina hii ya kizunguzungu hakifahamiki chanzo chake (idiopathic), kwa lugha nyepesi tungesema cha…
Fahamu Hatari Kubwa Itokanazo na Mtu Kulala Usinginzi Kupindukia
WAKATI huu mgumu wa janga la virusi vya corona wengi ulimwenguni wamelazimika kutumia muda wao mwingi kukaa majumbani mwao ili kujikinga na maambuzi.
Sio kwa kutaka bali baadhi ya serikali zimetumia njia ya kuweka marufuku…
Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya Ya Wafanyakazi
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Irene Mbonde, na Mkurugenzi wa hospitali ya JKCI-Dar Group, Dk. Tulizo Shem wakiwa katika picha ya…
Jinsi Ya Kudhibiti Kupanda Kwa Shinikizo La Damu
Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira unaoweza kujazwa hewa. Ukanda huo hufungwa kwenye sehemu ya juu ya mkono na kuunganishwa na kifaa cha kurekodi shinikizo.…
Hizi Hapa Faida saba za Tango Mwilini Mwako
HAWANA makosa wale waliosema kuwa mboga za majani na matunda ni kinga kwa afya yako. Matunda mengi yana manufaa lakini tango linaonekana kutia for a kwa manufaa katika mwili wa binadamu. Tango ni aina ya tunda jamii ya tikitimaji kwani…
Mambo 5 Unayotakiwa Kujua Kuhusiana Na Hedhi
NI vema kujua haya tutakayoyaainisha hapa leo. Inakadiriwa kuwa, mwanamke hupata hedhi wastani wa mara 400 katika maisha yake.
Pia, neno linalotumika sana kuwakilisha hedhi ni ‘period’, lilianza kutumika kwa mara ya kwanza kwenye…
Mipango Na Mikakati Ya Muhimbili Imefungamanishwa Na Matarajio Ya Dira Ya Taifa 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambayo pia ni Hospitali ya Ubingwa Bobezi nchini, Dkt. Delilah Kimambo amesema mipango na mikakati ya hospitali hiyo imefungamanishwa na matarajio ya Dira ya Taifa ya Tanzania ya…
Njia 7 Rahisi Zinazosaidia Kwa Tiba ya Mafua Msimu wa Baridi Kali
Mwili unahitaji kuwa na kinga ya kutosha ili kakabiliana na maradhi mbalimbali hasa mafua ambayo huwapata watu mara nyingi katika mazingira yenye baridi na vumbi.
Muhimu zaidi katika kukabiliana na mafua ni mtu kuzingatua usafi na…
Ufuta Unavyotibu Kisukari, Saratani!
UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru.
Hata hivyo, tafiti mbalimbali za ndani na nje ya nchi, zinaonesha kuwa ulaji wake ni…
Fahamu Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Kike
BAADA ya kuandika makala yangu kuhusu madhara anayoweza kupata mtu kwa kutofanya tendo la ndoa, nimepokea maswali mengi huku wengi wao wakitaka kujua zaidi kuhusu masuala ya uzazi ikiwemo mambo yanayosababisha kupata mtoto wa kiume ama…
Fahamu Namna ya Kulala Vizuri Wakati wa Ujauzito
MOJA ya mambo muhimu licha ya hali unayopambana nayo kama mjamzito ni ambavyo unalala hasa katika miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito. Unaweza kulala kwa upande wako wa kulia na kushoto lakini chali? Hapana na hata usithubutu.
Kulala…
Magonjwa 10 Yasababishayo Maumivu Ya Tumbo Kwa Mjamzito
LEO nitakufahamisha sababu 10 zinazosababisha maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito kwani ni mojawapo ya matatizo yanayolalamikiwa na kinamama wengi wajawazito.
Kuna matatizo mengi ambayo yanasababisha maumivu…
Zijue Athari za Kula Chipsi, Moja Kati ya Chakula Pendwa Zaidi Duniani
KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi haziliki bongo tu ata ughaibuni chips zinalika sana na zinapendwa haswaa, chipsi zinaenda na vitu vingi…
Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuamua Kubeba Mimba!
MAANDALIZI kabla ya ujauzito yanasaidia kumwezesha mama kuwa na afya bora wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua na kumwezesha kuzaa mtoto mzuri na mwenye afya. Mambo haya hayaji kwa kujipanga ukishapata mimba bali ni kabla ya…
Hizi Ndizo Sababu za Upungufu wa Nguvu Za Kiume… Dokta atoa Ushauri Huu
Kwa kawaida mwanaume ili uume uweze kufanya kazi uhitaji ushirikiano wa mifumo minne.
Kwanza ni mfumo wa mishipa ya damu ambao huingiza damu katika uume, mfumo wa neva za fahamu ambao hutoa taarifa kutoka kwenye ubongo hadi kwenye…
Haya Husababisha Mwanamke Kukosa Hedhi (Amenorrhea)
WANAWAKEwengi wamekuwa wakikosa hedhi na hali hiyo imekuwa ikiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia kwa waliowahi kukumbana na tatizo hilo.Tatizo la kukosa hedhi au kitaalamu amenorrhea linaweza kutokea awali kabisa (primary) au…
Athari za Kunywa Pombe kwa Mjamzito … Soma Hapa
KATI ya mambo ambayo wanawake wengi hawatilii maanani sana ni unywaji wa pombe wakati wa ujauzito licha ya kushauriwa na madaktari. Wengi tumekuwa tukiona wajawazito wakinywa pombe. Mara nyingi huwa nashauri kuacha pombe kabisa wakati…
Sababu 10 za Maumivu ya Tumbo Kwa Wajawazito Wakati wa Miezi Mitatu ya Kwanza
WAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito. Zipo Sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya mimba.
Kuna matatizo mengi ambayo yanahusiana tu na mimba, hata hivyo ni muhimu kukumbuka…
Sasa Hali Inatisha… Mawazo Yanaua Mamilioni ya Watu
‘USICHUKULIE POA... msongo wa mawazo unaua’. Hiyo ni kauli ya watalaam baada ya kubainika kuwa mtu mmoja kati ya watano anakabiliwa na msongo wa mawazo ambao unaweza kumsababishia magonjwa hatari katika maisha yake. UWAZI linachambua.…
Fahamu Makundi Matatu ya Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo
KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo:
1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani…
Ifahamu figo yako inavyoweza kuharibika
LEO tutakuelimisha kuhusu chanzo cha maradhi ya figo na tutakueleza dalili zake ili ufahamu jinsi ya kujikinga. Figo ni sehemu ya kiungo cha mwilini (ogani) inayoshirikiana na moyo, kuathirika kwake kuna athari kubwa kwa mfumo wa damu na…
Zifahamu Athari za Kunywa Pombe Kupindukia!
UNYWAJI wa pombe kupitia kiasi si mzuri kwa afya yako, kitu kilichothibitishwa kisayansi miaka kadhaa iliopita. Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, utafiti umeonyesha kuwa imani za zamani kwamba glasi moja ya mvinyo wakati wa…
Hizi Hapa Njia 9 za Kuimarisha Kinga ya Mwili Wako
UKITAKA kuimarisha kinga ya mwili wako ili kukabiliana na magonjwa ni lazima kufanya mabadiliko katika chakula na mtindo wa maisha ulio nao ili kuimarisha nguvu ya kukabiliana na viumbe hai mwilini ambavyo husababisha maradhi.…
Jinsi Ya Kuondoa au Kupunguza Mafuta Tumboni Kwa Wanawake… Soma Hapa
WANAWAKE wengi miaka ya karibuni wanakabiliwa na tatizo linalofanana na kitambi kwa upande wa wanaume. Hivyo ingekuwa ni wanaume tungesema ni kitambi ambalo nalo ni tatizo kubwa miongoni mwa wanaume wengi nyakati za sasa.…
Fahamu Tatizo la Vidonda vya Tumbo kwa Mjamzito
MJAMZITO anaweza kupata vidonda vya tumbo kabla au baada ya ujauzito. Umakini unahitajika sana katika kumchunguza mama mjamzito ili kuelewa nini kitakuwa ndiyo chanzo cha vidonda vya tumbo kwake. Mwanamke ambaye ulikuwa unaumwa vidonda…
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke Alivyozindua Dispensari ya Kisasa
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, Dk. Jonas Lulandala amezindua dispensari ya kisasa iitwayo HNS iliyopo Mtaa wa Mwembe Bamia, Kata ya Chamazi jijini Dar na kutoa huduma za vipimo na matibabu bure kwa watu zaidi ya…
Sababu Za Mbegu Za Maboga Kuipiku Supu Ya Pweza
MBEGU za maboga zimekuwa kimbilio namba moja kwa baadhi ya watu, wakiwamo kina baba wanaozichangamkia kwa nia ya kujiongezea nguvu za kiume, sawa na ilivyo kwa samaki pweza na supu yake.
Madaktari na wataalamu wa lishe…
Jinsi ya Kukabiliana na Tatizo la Kuvurugika Mzunguko wa Hedhi
TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi.
Japokuwa wengine huchukulia tatizo hili kama kitu cha kawaida, kuvurugika kwa hedhi ni dalili…
Mzee Bayo Amwaga Machozi Mtoto Hatembei, Degedege Inamtesa – “Rais Samia Na Watanzania…
Ukiona mtu mzima analia mbele za watu, ujue kuna jambo! Charles Bayo analia. Kinachomliza ni mwanaye Emmanuel Bayo (15) ambaye anateseka.
Emmanuel alizaliwa akiwa timamu kama watoto wengine lakini siku nne tu baadaye, mambo…
Waziri Mkuu Majaliwa Ataka Mikoa Ianze Urutubishaji Wa Chakula Kuanzia Ngazi Za Vijiji
Dar es Salaam 15 Juni 2024: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Mikoa yenye viwango vikubwa vya upungufu wa damu na udumavu ianze kutekeleza mpango wa urutubishaji wa chakula kuanzia ngazi ya vijiji ili baada ya miaka mitano kuanzia…
Tatizo la Fangasi Kwa Mjamzito, Nini Kinasababisha Kuugua? Soma Hapa
Wakati wa ujauzito wanawake wengi hupata hofu juu ya kushika maambukizi yoyote kwani yanaweza kuathiri ukuaji wa mtoto tumboni.
Fangasi ukeni kwa mjamzito ni moja ya maambukizi kwenye uke yanawatokea sana wajawazito.…
Fahamu Vyakula vya Kuondoa Gesi Tumboni
WATU wengi wamekuwa wakihangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo nakuletea baadhi ya vyakula vya kula ili kuondoa hili tatizo.
Kwa njia moja au nyingine, unajikuta tumbo limechafuka kwa kujaa gesi, kuuma na hata…
Madiwani Manispaa Ya Kinondoni, UWT Na Viongozi Wa CCM Walivyowatendea Wadi Za Wazazi
Dar es Salaam 4 Machi 2024: Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani madiwani wa viti maalum wanawake kutoka Manispaa ya Kinondoni jijini Dar, viongozi wa UWT Chama cha Mapinduzi na viongozi wengine wa chama hicho, leo walitembelea…
Rais Samia Apeleka Ambulance, CT SCAN na Digital X-Ray Hospitali ya Mount Meru, Gambo Atia Neno
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha kujali afya za wananchi wake na hayuko tayari kuona nguvu kazi ya Taifa inapotea kizembe.
Katika kutimiza ahadi zake…
Queen Masanja Na Kampuni Ya Fixchap Watoa Msaada Wa Vitakasa Maji Kwa Watoto Wanaouguzwa Saratani
Dar es Salaam 11 Novemba 2023: Mrembo Queen Masanja ambaye ni balozi wa Kampuni ya kutakasa maji ya Fixchap, leo wamewakumbuka watoto wanaouguzwa saratani kwenye jengo la Tumaini la Maisha lililopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini…
Faida Ya Kutafuna Mhogo, Nazi Kwa Wanaume! Soma Hapa
MIHOGO na nazi mbata ambavyo huuzwa kwa wingi na kinamama jijini Dar es Salaam, vina uwezo mkubwa wa kurejesha uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Uwezo wa mihogo na nazi mbata au kwa kuchanganya na karanga katika kuwasaidia wanaume…
Nyama Nyekundu Inavyosababisha Kisukari, Moyo, Kansa
NILIWAHI kuandika kuhusu madhara ya nyama nyekundu ingawa watu wengi hawajui kwamba ina hatari zake. Kutokana na wengi kupenda nirudie kuandika madhara ya nyama leo tutangalia madhara yake mwilini kwa mlaji. Wapenda nyama za mishikaki,…
Faida 20 Mwilini za Kula Bamia
JAPOKUWA bamia huchukuliwa na wengi kuwa ni chakula rahisi kinachotumiwa zaidi na kundi la watu wenye uchumi wa chini na kati, ukweli kwamba aina hiyo ya mboga ina maajabu ya aina yake mwilini.
Walaji wa bamia hunufaika kwa kupata…