×

Afya

 Jinsi ya Kuepuka Upungufu wa Nguvu za Kiume!  

MIONGONI mwa matatizo yanayowatesa wengi kwa sasa ni nguvu za kiume.  Tatizo hili hulalamikiwa ama na mwanaume au mwanamke kwa...

READ MORE

Abel & Fernandes, AAR Waungana Kutokomeza Kisukari Nchini

  KAMPUNI ya Mawasiliano ya Abel & Fernandes imeungana na Kampuni ya  Afya ya AAR na wadau wengine kwa lengo...

READ MORE

Fahamu tatizo la shinikizo la damu!

SHINIKIZO la damu ni miongoni mwa matatizo yanayoathiri watu wengi. Nini maana ya shinikizo la damu?  Ni ile hali inayotokea...

READ MORE

Madhara ya kutoa mimba!

KUTOKANA na kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walioko kwenye...

READ MORE

Zijuwe dawa za kisukari na jinsi ya kupimwa

NI vema watu wakapima sukari kwani wataalamu wanatumia vipimo vya damu kudhibiti kisukari (Diabetes).  Tutaeleza jinsi ya kupima na dawa...

READ MORE

 Tatizo la mtoto wa jicho! (cataract)-2

WIKI iliyopita tuliona namna ambavyo tatizo la mtoto wa jicho au cataract hutokana na kufanyika kwa ukungu katika lensi ya...

READ MORE

Fahamu matatizo mazito ya kiafya kwa watoto wachanga

MTOTO mchanga mwenye afya hupumua kwa urahisi, bila msukumo. Anapaswa kunyonya kila baada ya saa mbili hadi 4 na kuamka...

READ MORE

Tatizo la kupoteza hamu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa!-2

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA… Wiki iliyopita tuliona ni kwa jinsi gani tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa linavyowasumbua wengi....

READ MORE

Tatizo la mawe kwenye figo (Kidney Stones)

FIGO ni kiungo muhimu katika mwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili, figo...

READ MORE

Uzazi wa mpango unaoepuka, usioepuka kemikali

KUNA njia nyingi za kupanga uzazi salama kwa wanawake. Kwa ujumla kuna njia za aina mbili, ambazo kitaalamu huitwa ni...

READ MORE

Fahamu Madhara Sita ya Kutoa Mimba

KUTOKANA na kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walioko kwenye...

READ MORE

Tatizo la mtoto wa jicho! (cataract)

MTOTO wa jicho kwa lugha nyingine huitwa cataract hutokana na kufanyika kwa ukungu katika lensi ya jicho. Mtu aliye na...

READ MORE

PanAfrican Energy kusaidia watoto wenye saratani Lindi

Kampuni ya uzalishaji gesi ya PanAfrican Energy Tanzania Limited (PAET) imesaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Shirika la kuhudumia watoto...

READ MORE

Mambo ya kufanya na yasiyotakiwa kwa mjamzito

KUWA mjamzito ni kitu cha furaha sana kwa wengina wengine huona kuwa ni mafanikio. Huongeza upendo na furaha. Kwa wachache...

READ MORE

Zijue sababu za mimba kuharibika

MIMBA yenye wiki 28 au chini ya hapo uharibika au kutoka, hali hii kitaalamu inajulikana kama ‘miscarriage’ na kwa kawaida...

READ MORE

Kutokwa uchafu sehemu za siri ni dalili za magonjwa haya

SEHEMU za siri za mwanamke, pamoja na mambo mengine huwa ni njia au kiunganishi baina ya sehemu ya nje za...

READ MORE

Shilole Humwambii Kitu Kwa Mapishi!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa kolamu hii nzuri ya My Style? Hapa kazi ni moja tu; kuzungumza na mastaa...

READ MORE

Ufahamu ugonjwa wa kifua kikuu (Tuberculosis- TB)

UGONJWA wa kifua kikuu kitaalamu huitwa Tuberculosis ambao kwa kifupi ni TB, husababishwa na bakteria wanaojulikana kama Mycobacteria tuberculosis.  Kuna...

READ MORE

Faida za kula karanga ni zaidi ya unavyojua!

SIKU hizi biashara kubwa ya vijana na akina mama ni karanga za kukaanga au mbichi au za kuchemshwa, lakini wengine...

READ MORE

Ugonjwa wa UTI kwa wajawazito -2!

MAAMBUKIZI ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea ambavyo kitaalamu hujulikana kama E. Coli. Vimelea hawa huishi kwenye mfumo...

READ MORE

Hathari za mjamzito kuwa na tatizo la moyo

TATIZO la kufunguka mlango wa kushoto wa moyo unaotenganisha chumba kidogo na kikubwa cha moyo na kuzuia kupita kwa damu...

READ MORE

Uchunguzi: Kansa Sasa Janga La Kitaifa! – 2

DAR ES SALAAM: Wiki iliyopita tulianza kutoa ripoti ya uchunguzi wetu juu ya ugonjwa wa kansa au saratani ambavyo umegusa...

READ MORE

Fahamu tatizo la uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovarian cyst)-2

mada hii ambapo tuliona uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani...

READ MORE

Hatari ya maambukizi ya UTI kwa mjamzito

NJIA ya mkojo inajumuisha figo, mishipa ya figo, kibofu cha mkojo na urethra (mrija ambao hutoa mkojo nje ya mwili). ...

READ MORE

Elewa sababu za mtu kukojoa damu (Haematuria)

UGONJWA wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwa na chembechembe za damu nyekundu (red blood cells), kitaalam huitwa haematuria.  Kukojoa...

READ MORE

Fahamu tatizo la vidonda vya tumbo kwa mjamzito

MJAMZITO anaweza kupata vidonda vya tumbo baada ya ujauzito na ukaleta matatizo kwa mtoto mchanga aliye tumboni.  Umakini unahitajika sana...

READ MORE

Athari za vidonge vya uzazi wa mpango

VIDONGE vya uzazi wa mpango, ni moja ya njia inayopendekezwa na wataalamu wa mpango wa uzazi katika kuzuia mimba.  Hadi...

READ MORE

Nafasi za Kazi 8 Chuo Cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO)

Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCO) is a centre for quality education, offering a diverse range of academic qualifications....

READ MORE

Magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke!

YAPO magonjwa mengi yanayoshambulia tumbo la uzazi, miongoni mwayo ni ugonjwa ambao ni maarufu kama chango la uzazi.  Ugonjwa huu...

READ MORE

Usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa kisukari

WASOMAJI wengi wa safu hii wamenitumia sms na kutaka kujua chanzo cha mtu kuugua kisukari, wengine wanadhani kula sukari nyingi...

READ MORE

Jinsi ya kuepuka maumivu ya tumbo la hedhi (period pains)

MAUMIVU ya tumbo la hedhi au kitaalamu dismenorrhea, ni maumivu yanayojitokeza sehemu ya chini ya tumbo au kiunoni wakati mwanamke...

READ MORE

Maumivu chini ya kitovu kwa wanawake!-2

Kwa tuliokuwa pamoja, wiki iliyopita tuliianza mada hii ya Maumivu chini ya kitovu kwa wanawake. Hili ni tatizo ambalo linahitaji...

READ MORE

Hatua nne za mtu kujijua ana ugonjwa wa ukimwi

UGONJWA wa HIV/AIDS umekuwa janga kubwa sana duniani kwa sasa kutokana kuathiri watu wengi na kukosekana kwa tiba ya maradhi...

READ MORE

Chanzo cha ugonjwa wa Gauti na tiba yake!

GAUTI (Gout) ni aina ya ugonjwa unaoathiri viungo vya mwili unaosababishwa na kuwepo kwa kiasi kikubwa kuliko kawaida cha tindikali...

READ MORE

Fahamu kinachosababisha kiharusi (Brain Stroke)

UKISEMA mtu fulani ana ugonjwa wa kiharusi maana yake viungo vyake vimepata ganzi au kitaalam huitwa stroke na kusababisha mwili...

READ MORE

Watanzania Waombwa Kujitolea Viungo vya Maiti Kuokoa Wagonjwa

JE,  umewahi kusikia kwamba baadhi ya viungo vya maiti vinaweza kuwa msaada katika matibabu ya wagonjwa wengine walio hai?  ...

READ MORE

Fahamu ugonjwa wa homa ya manjano kwa watoto wachanga

LEO tunaangalia na kujadili kwa upana homa ya manjano kwa watoto wachanga. Homa ya manjano ni ugonjwa unaowakumba zaidi watoto...

READ MORE

Tatizo la mwanaume kukosa mbegu za uzazi (AZOOSPERMIA)

TATIZO la mwanaume kukosa mbegu za uzazi kitaalam huitwa ‘azoospermia’ au ‘medical condition’. Ni tatizo la kitabibu na linafanyiwa uchunguzi...

READ MORE

Maumivu chini ya kitovu kwa wanawake!

MAUMIVU chini ya kitovu kwa wanawake kitaalamu huitwa Lower Abdominal Pain, ni tatizo ambalo huwakumba hata wanaume lakini kwa bahati...

READ MORE

VYAKULA VYA MGONJWA WA KISUKARI AINA YA KWANZA!

KISUKARI ni ugonjwa unaoathiri kongosho. Wakati wa uzalishaji wa insulini huwa haizalishwi au mfumo huwa haufanyi kazi vizuri, na ikiwa...

READ MORE