×

Burudani

Sizonje Wimbo wa Mpoto Unaompasua Kichwa Magufuli

ANDREW CARLOS, Dar es Salaam “SIZONJE namjua unataka nikwambie? Nitakwambia. Kuna sehemu uliimba vile vyumba vitatu visivyofunguka milango, sasa mimi...

READ MORE

Huu Ndiyo Utofauti wa Diamond na Kiba

KUNA vita ya maneno kati ya makundi mawili ya mashabiki wa Muziki wa Bongo Fleva, wanaowashabikia wasanii Alikiba na Nasibu...

READ MORE

Hussein Jumbe: Nimechungulia kaburi, asante Mungu

Makala: Gladness Mallya na Andrew Carlos MKONGWE wa muziki wa dansi nchini, Hussein Jumbe ni mgonjwa. Katika mitandao mbalimbali ya...

READ MORE

Shinda Tiketi Ya Kwenda Dubai..Soma Gazeti la Amani kesho

Hatari; Bi Harusi Aliyetekwa Siku ya Send Off Yake Basata; Nay wa Mitego Huru Kuendelea na Muziki Wema na Mama...

READ MORE

Wizkid kudondoka Fiesta Mwanza Jumamosi

Staa wa Nigeria, Wizkid. Staa wa Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’ amethibitishwa  na Clouds Media Group kupitia akaunti yao ya twitter ...

READ MORE

Masanja Mkandamizaji Afunga Ndoa

  Masanja akimvisha pete mke wake. Mke wa Masanja aitwaye Monica. Gari la maharusi likiwasili kanisani. Dk. Tulia Ackson naye...

READ MORE

Blue: Mboga 7 Imenipa Heshima Kwenye Hip hop

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Herry Sameer ‘Mr Blue’ anayetesa kwa sasa na wimbo wake wa Mboga Saba...

READ MORE

Fid Q, AY, Msagasumu Wafunika Dawati Concert

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Fid Q ambaye jana ilikuwa siku yake ya kuzaliwa akiimba baadhi ya ngoma zake na...

READ MORE

Christian Bella: Nimeomba Kukutana na Rais JPM

Christian Bella. Na Leonard Msigwa MWANAMUZIKI Christian Bella maarufu kwa jina la ‘King of Best Melody’ amefunguka na kuweka wazi...

READ MORE

Dawati Concert… AY, FA, Ben Pol kukiwasha Dar Live leo

Ambwene Yessaya ‘AY’ WAKALI kibao wanaokimbiza kunako Muziki wa Bongo Fleva wakiongozwa na AY, MwanaFA, Ben Pol, Barnaba wanatarajiwa kuangusha...

READ MORE

Zari Ajiachia Na Mimba Yake!

Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijipiga self kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili...

READ MORE

Fid Q adunda kifua mbele na heshima ya ZIFF

Na Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi Agosti 13 mwaka jana, mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, aliyetoka mbali na muziki huo, Fareed...

READ MORE

Maamuzi Magumu Aliyoyafanya Mzee Yusuf, Aachana na Uimbaji wa Taarab

TAARIFA hii ikufikie popote ulipo wewe mpenzi wa mziki wa taarabu na shabiki wa Mzee Yusuf. Gwiji wa mziki wa...

READ MORE

Msanii Mirror Apata Ajali

Taswira kutoka eneo la ajali. MSANII wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Endless Fame inayomilikiwa na malkia wa filamu...

READ MORE

Shilole Afungukia Tatuu Zake za Kichina

Na Leonard Msigwa MWANADADA anayefanya poa kwenye game la muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefungukia maana halisi ya tatuu zake...

READ MORE

Sikiliza Scratch Za Kitaa Na Dvj Ally B Wa Maisha Basement (Audio)

Dvj wa Maisha Basement, Ally B. Semina Kubwa ya Eric Shigongo Ilivyowafungua Akili Vijana: Part 1 Semina ya Eric Shigongo Iliyowainua...

READ MORE

Saa 72 Kabla ya Kifo… Ude Ude Alipanga ‘Kuokoka’

  Hamid Afidh ‘Ude Ude’ na mwenzake Abdulrauf Iqbar ‘Iqu Junior’. Makala: Boniphace Ngumije MWANDISHI wa Vitabu na mhamasishaji wa...

READ MORE

Shilole ‘awaka’ kisa kutoka na Jay Moe

Shilole Stori: Leonard Msigwa MREMBO ambaye jina lake liko juu kwa sasa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena...

READ MORE

Usiku wa Mageuzi ya Bendi… Fm Academia Kulirudisha Sebene Kivingine

Uwazi Showbiz WAKONGWE wa Muziki wa Dansi, FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ chini ya Prezidaa Nyoshi El Saadat wanatarajiwa kulirudisha...

READ MORE

Nature; Mkongwe anayeiendeleza Singeli

Juma Nature Na Andrew Carlos JUMA Kassim Ally ‘Nature’ mmoja kati ya wanamuziki wakongwe waliofanikisha kwa kiasi kikubwa kuuweka Muziki...

READ MORE

Pistorius Akimbizwa Hospitali

Oscar Pistorious. Na Leonard Msigwa/Mtandao MWANARIADHA mlemavu aliyehukumiwa kifungo cha miaka sita gerezani huko nchini Afrika Kusini kwa kosa la...

READ MORE

Kisa skendo… Duma hafikirii kuoa kwa sasa

Stori: BMM, Jumamosi MUIGIZAJI aliyekuza jina zaidi kupitia Tamthiliya ya Siri ya Mtungi, Daudi Michael ‘Duma’ amesema kuwa kwa sasa...

READ MORE

Bella kuipeleka nishike, Moshi

Stori: BMM, Jumamosi BAADA ya kuitambulisha kwa mara ya kwanza ngoma yake ya Nishike ndani ya Mango Garden, King of...

READ MORE

Jahazi kurudi kwa kishindo Dar Live

KUNDI la Muziki wa Taarab lisilo na mpinzani Bongo, Jahazi Modern Taarab likiongozwa na Mfalme Mzee Yusuf, Agosti 20, mwaka...

READ MORE

Nini bongo fleva?… sasa ni singeli time

Man Fongo. BONIPHACE NGUMIJE MIAKA ya nyuma mitaani kwetu ulikuwa huwaambii kitu watu hasa vijana wachakarikaji a.k.a Masela kuhusu Muziki...

READ MORE

FM Academia kulirudisha sebene kivingine

WAKONGWE wa Muziki wa Dansi, FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ chini ya Prezidaa Nyosh El Saadat wanatarajiwa kulirudisha sebene kivingine...

READ MORE

Kala: Nataka mwanangu asumbue siku ya harusi yangu

Mwana Hip Hop, Kala Jeremiah amefunguka kuwa anatamani afunge ndoa wakati mtoto wake akiwa mkubwa ili siku hiyo afanye usumbufu...

READ MORE

Dayna Nyange: Sina wowowo lakini najikubali

Na Andrew Carlos Msanii wa muziki Bongo anayetamba na wimbo wake wa Komela, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa anajijua...

READ MORE

Exclusive Teaser: Filamu mpya ya “The Foundation” by J.Plus

Watakushangaa sana pale utakapo zungumzia Tasnia ya filamu za Action Tanzania bila kumtaja Mwasisi wa Filamu hizo Jimmy Mponda  maarufu...

READ MORE

Patoranking Aanza Ziara ya Uzinduzi wa Albamu yake Tanzania

Mwanamuziki maaarufu anayetambulika zaidi kwa miondoko ya dancehall na reggae kutoka nchini Nigeria Patrick Nnaemeka Okorie aka Patoranking akizungumza na...

READ MORE

Wema Sepetu, Idris wanaswa ‘wakiromantika’

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu  akiwa na mpenzi wake mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakifanya yao. Idris Sultan...

READ MORE

Babu Tale Mbaroni kwa Kutomlipa Sheikh Mbonde Mil 25

Hamis Tale Tale ‘Babu Tale’. Meneja wa staa wa Bongo Flavour Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale ‘Babu Tale’ amefikishwa katika...

READ MORE