×

Burudani

Kejeli za Harmonize na Alichokiandika Wema

VIDEO ambayo inawahusisha baadhi ya wasanii wa Kundi la WCB, akiwemo Harmonize wakimkejeli staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu jana...

READ MORE

Wakongwe Kazini… Bongo Fleva Kuzaliwa Dar Live

Juma Nature WAKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva wakiongozwa na Dully Sykes, Inspector Haroun, Nature na wengine kibao, Mei 28,...

READ MORE

Wolper, Harmonize Mahaba Niteketeze (Picha+Video)

Wolper na Harmonize katika mahaba mazito. Couple inayokuja kwa kasi Bongo kati ya staa wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper na...

READ MORE

Diamond Afanya Kufuru Kwenye Birthday ya Cookie (Video)

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ majuzi alionyesha jeuri ya fedha baada ya kumwaga minoti ya dola na...

READ MORE

Diamaond Akabidhi Zawadi Washindi wa RedGold

  Diamond akiwakabidhi washindi zawadi zao. Meneja Masoko, Darsh Pandit, akizungumza jambo. Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Bardesh Pandit, akizungumza na...

READ MORE

Ne-Yo Alivyowadatisha Mashabiki Jembeka Festival 2016 (Picha+Video)

  Kama ulikosa kuja Mwanza hii hapa video ya msanii wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, NE-YO akiimba wimbo...

READ MORE

Lulu Diva: Namuogopa Baraka Kama Ukoma

Lulu Abassi ‘Lulu Diva. Stori: Hamida Hassan, Wikienda Dar es Salaam: Muuza nyago (video queen) maarufu Bongo, Lulu Abassi ‘Lulu...

READ MORE

Davina: Hata niachike mara 100, napigania haki

Stori: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Mwigizaji wa kitambo Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’  amefunguka kuwa, hata watu wakisema kila...

READ MORE

Wakongwe Kazini… Dully, Nature, Inspector kuitikisa Dar Live

Dully Sykes. WAKONGWE kwa zaidi ya miaka kumi kunako Muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes, Inspector Haroun, Nature na wengine...

READ MORE

Kisa Chura… Snura anusurika kichapo

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Chura’ juzikati akiwa kwenye shoo iliyofanyika Masasi, Mtwara alijikuta katika wakati mgumu...

READ MORE

Jini Kabula Aibu Yake!

Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’. Aibu yake! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amen-aswa akikata ulabu hadi akawa ‘bwii’...

READ MORE

Diamond, Kiba pasu kwa pasu

Ali Kiba baada ya kusaini mkataba na Kampuni ya Sonny. HUKU mashabiki wa Ali Saleh Kiba wakifurahia mafanikio ya msanii...

READ MORE

Julieth Katebe Atwaa Taji la Miss Dar City Centre 

Mshindi wa shindano la Miss Aqua Dar City Centre, Julieth Katebe akiwa katika pozi baada ya kutangazwa mshindi. Tano Bora...

READ MORE

Taarabu ‘Usiku wa Kale’ Warindima Dar Live

Bi. Mwanahawa Ally wa Zanzibar Stars akiimba. Sabaha Salum akionyesha mashabiki utamu wa sauti yake. Khadija Kopa wa TOT akitoa...

READ MORE

Mastaa Walivyofurika Shoo ya Jide

Staa wa filamu, Wema Sepetu akiwa katika pozi eneo la Blue Carpet mara baada ya kuingia ukumbini hapo. Mrembo anayefanya...

READ MORE

Ne-Yo Alivyopokelewa Mwanza… Kama Mfalme Vile!

Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo akiondoka katika hoteli ya Hyatt Regency-The Kiliamanjaro kueelekea katika uwanja wa ndege wa...

READ MORE

Ne-Yo Kutafanya Shoo Tamasha la Jembeka, Mwanza Hapatoshi Leo

Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kwa jina la NE-YO amewasili juzi usiku katika uwanja wa ndege...

READ MORE

Mastaa wa taarab kuandika historia Dar live leo

MASTAA kibao wa Taarab wakiongozwa na Mzee Yusuf, Bi. Shakira, Khadija Kopa, Mwanahawa na wengine wengi, wanatarajia kuiandika historia mpya...

READ MORE

Amanda abanwa kuhusu Ukimwi, afunguka

Amanda Poshi. Stori: Erick Evarist MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Amanda Poshi amefungukia taarifa zinazomhusisha yeye kuugua maradhi ya Ukimwi....

READ MORE

A-Z Shoo ya Jide Mlimani City

Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee na bendi yake wakikamua katika shoo yake ya Naamka Tena Concert iliyofanyika kwenye...

READ MORE

Jokate na siri ya mwanaume anayemtesa

Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ Stori: Boniphace Ngumije DIVA anayefanya vizuri kwenye tasnia ya urembo na mitindo Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa...

READ MORE

Sugu, Profesa Jay Wampigia Saluti Diamond

Joseph Mbilinyi (Sugu) Makala; Ojuku Abraham DIAMOND Platnumz atakuwa mmoja wa wasanii watatu wanaofanya muziki barani Afrika, ambao watapanda katika...

READ MORE

Navy Kenzo waapa kumuangusha Diamond Platnumz

Aika na Nahreel ‘Navy Kenzo’ Stori:Boniphace Ngumije KUNDI la Muziki wa Bongo Fleva linaloundwa na wapendanao wawili, Aika na Nahreel...

READ MORE

Leo Ndiyo Leo, Lady Jay Dee Naamka Tena Concert, Tukutane Mlimani City!

Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee usiku huu atakuwa akiwasha moto ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar...

READ MORE

Global FC, Kili Vetereni kutoana roho leo

Mwandishi Wetu KIKOSI cha timu ya Global FC, leo Ijumaa kinatarajia kushuka dimbani kumenyana na timu ya Kili Veterani katika...

READ MORE

Dudubaya aja na Usiku wa Mamba

Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI mkongwe, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ a.k.a Oil Chafu katika kukamilisha utambulisho wa kurejea kwake katika ‘game’, amepanga kufanya...

READ MORE

Usiku wa ya Kale ni Dhahabu… Taarab kutikisa Dar Live

Na Mwandishi Wetu KWA mara ya kwanza muziki wa Taarab unatarajiwa kutikisa kesho Jumamosi kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo...

READ MORE

Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za BET

Mwananmuziki Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa. Wakali...

READ MORE

Sumaku: Sijamuona wa kuvaa viatu vya Kinyambe

Habib Mkamba ‘Sumaku’ Na Gladness Mallya KIONGOZI wa Wasanii wa Vichekesho Tanzania, Habib Mkamba ‘Sumaku’ amesema kwamba kifo cha msanii...

READ MORE

Lungi amtumia Snura kuwabipu Waislam

Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga. Na Hamida Hassan Wakati Waislam wakipiga vita kitu kinachoitwa Vunja Jungu, msanii wa filamu...

READ MORE

Aika: Kwa Nahreel sitahitaji kulipiwa mahari!

Aika na mpenzi wake, Nahreel. Wiki hii tunaye mwanadada anayeunda Kundi la Navy Kenzo anayefahamika kwa jina la Aika Mariale....

READ MORE

Mshindi Miss Dar City Centre Kuondoka na Milioni 2

Mratibu wa shindano hilo la Miss Dar City Centre, Nancy Joseph (katikati) akisoma taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani)....

READ MORE

Angalia Live Alikiba Akisaini Mkataba na Sonny Afrika Kusini Leo

Ali Kiba akisaini mkataba na kampuni ya Sonny nchini Afrika Kusini leo. Kiba baada ya kusaini mkataba. STAA wa Bongo...

READ MORE