×

Burudani

Gigy: Natamani Mayra Awe Kama Krish

GIFTY Stanford a.k.a Gigy Money; ni msanii wa kike wa Bongo Fleva ambaye mbali na kutoa burudani, pia amekuwa na...

READ MORE

Siri Imevuja… Mrembo Amhenyesha Mondi Miaka 9

“IMENICHUKUAmiaka tisa kumfukuzia!” Hii ni kauli ya supastaa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimzungumzia mrembo wake mpya...

READ MORE

Soulfood: Ikupa Mwambenja Ambulisha Wimbo Wake Mpya -Video

LEO Jumapili June 20, 2021 kwenye kipindi Cha Soulfood ameshiriki mwimbaji wa nyimbo za injili Ikupa Mwambenja akitambulisha wimbo wake...

READ MORE

Exclusive… A-Z Dayna Alivyokutana na Davido

Kibongobongo mastaa wa kike kwa sasa ni wengi na karibia wote wanafanya vizuri. Hebu mtazame mtu kama Zuchu, Nandy, Anjela,...

READ MORE

Kajala: Paula Anakwenda Shule

STAA mkali wa Bongo Movies, Kajala Masanja, amevunja ukimya uliotawala kwa kipindi kirefu baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake...

READ MORE

Ndoa ya Makabila Kimewaka ‘Mawifi Wakiwasha’

MAPEMA tu ndoa ya msanii Dulla Makabila na mkewe Rahima, imeanza kuwatoa jasho. Mawifi yaani baadhi ya dada wa Mkabila...

READ MORE

BET Wafunguka Upigaji Kura Wasanii Wanaowania Tuzo

Baada ya kuwepo kwa mkanganyiko juu ya upigaji kura, Kampuni ya BET imejitokeza na kufunguka kuwa kuwa hakuna tukio la...

READ MORE

Nandy – New Couple (Official Audio)

 MASKINI NANDY Sexy lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ anaonekana kutia huruma huku akiwataka mashabiki wake kuamini kwamba...

READ MORE

Mwijaku Awasha Moto – “Harmonize Ni Msanii Mkubwa”-Video

 Mwanamuziki Harmonize, usiku wa kuamkia Juni 18, 2021 amefanya ‘Party’ ambapo mastaa mbalimbali wamehudhuruia akiwemo DC wa Insta, Mwijaku,...

READ MORE

Nandy Atangaza Yupo Single, Amuimbia Billnass – Video

 MWANAMUZIKI Nandy amefanya balaa usiku wa kuamkia leo Juni 18, 2021 Mkoani Mwanza kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye...

READ MORE

Diamond, Kifaa Kipya Gumzo Insta! -Video

MKALI wao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua gumzo na kifaa kipya ambacho bado hakijajulikana jina lake. Kupitia ukurasa wake, Diamond...

READ MORE

Video: Meja Kunta Afanya Balaa Nandy Festival Mwanza

 MWANAMUZIKI anayefanya poa kwenye muziki wa Singeli Bongo, Khalid Sadick ‘Meja Kunta’ amefanya balaa usiku wa kuamkia leo Juni...

READ MORE

Diamond Ajitolea Kumlinda AliKiba

SUPASTAA Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametoa kauli ya kumlinda msanii mwenzake Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ ambaye Watanzania wanaamini ni...

READ MORE

Krish Amponza Irene Uwoya, Apewa Makavu Insta!

BADO muigizaji Irene Uwoya ameendelea kujadiliwa kwenye ulimwengu wa burudani na habari mpya ni kwamba, mwanaye Krish Ndikumana aliyepata Kumunio...

READ MORE

Eric Omondi Alamba Ubalozi Bongo – Video

BAADA ya kumshuhudia mwanamama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’  ...

READ MORE

Zuchu Amvuta Shati Kiba

MUZIKI wa sasa ni ushindani. Unaambiwa licha ya AliKiba kutangulia kuachia ngoma yake ya Ndombolo, mrembo kutoka Wasafi Classic Baby...

READ MORE

Zuchu Atimiza Ndoto Ya Mama’ke (Picha +Video)

Nani kama mama? Kama Mwenyezi Mungu akikujaalia chochote kwa nini usimjali mama yako kama alivyofanya sexy lady wa Bongo Fleva?...

READ MORE

Makala Exclusive… Anjela Kampa Penzi Harmonize?

Ukipewa nafasi ya kutaja listi ya warembo wanaokimbiza kwa sasa kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva, huwezi kuacha kutaja...

READ MORE

Kisa Wimbo, Zuchu, Angella Hapatoshi

KWA raha zake Zuchu kaachia ngoma yake iitwayo Nyumba Ndogo ambayo kaipaka mahadhi ya kisingelisingeli. Sasa chawa wa Angella msanii...

READ MORE

Video: Alikiba x Abdukiba x K2ga x Tommy Flavour – Ndombolo

MWANAMUZIKI Alikiba ameachia video yake Ndombolo akiwa amewashirikisha Abdukiba, K2ga, Tommy Flavour

READ MORE

Waganga Wamponza Wema

WEMA Sepetu amefilisika au kuna jambo nyuma ya waganga wa kienyeji ambao ameamua kuwatangazia huduma zao kwenye kurasa zake za...

READ MORE

Mtoto Kumpa Mamilioni Wolper

BAADA ya kupigiwa vigelegele vya uzazi, sasa mtoto kumpa msanii Jacqueline Wolper mamilioni. Wolper mwenyewe anacheeeka alipoulizwa kuhusu kuwepo kwa...

READ MORE

Dorah Asimulia Alivyonyanyaswa Kisa Umbo Lake -Video

MUIGIZAJI Wansekula Zacharia ‘Dorah’, amesimulia jinsi ambavyo jamii ilikuwa ikimyanyapaa kabla hajawa maarufu kutokana na kuwa na umbile dogo.  ...

READ MORE

Mechi Za Euro 2020 Kuendelea Wiki Hii

Timu nyingi zimerusha karata zao kwenye michezo ya kwanza ya michuano ya EURO 2020, wa kufungwa, amefungwa, wakutoka sare vile...

READ MORE

Esma, Uchebe Mambo Mambo Hadharani

SOSHOLAITI ambaye ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva ndani na nje ya Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma...

READ MORE

Shishi: Ukitaka Kujua Moto Wangu, Mguse Mume Wangu

Amezaliwa Igunga mkoani Tabora  mwaka 1987. Jina lake halisi ni Zuwena Yusuph Mohammed. Ila wengi wanamtambua kwa jina lake la...

READ MORE

Aliyerekodi Video Ya George Floyd Akiuawa Aula

Kwenye maisha usikate tamaa kwani tukio moja tu, laweza kubadilisha kabisa taswira yako. Ndicho kinachotokea kwa Darnella Frazier ambaye ndiye...

READ MORE

Video: Irene Uwoya Afunguka Mtoto Wake Kuwa Mkristo

 MTOTO wa muigizaji, Irene Uwoya, anayeitwa Krish, amepata Komunio yake ya kwanza katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar. ⚫️...

READ MORE

Mtazame Rubani Mdogo Zaidi Duniani

Wakati huko kwenu mtoto mwenye umri wa miaka saba anacheza cha ndimu na kibaba na mama, hali ni tofauti kwa...

READ MORE

Ronaldo Amkosha Mpenzi Wake Kwa Hoteli Baabkubwa

MPENZI wake staa anayesakata kabumbu katika klabu ya Juventus nchini Italia, Christiano Ronaldo, Georgina Rodriguez ameshindwa kuzuia furaha yake kutokana...

READ MORE

Hatimaye Mume wa Dida Ajulikana

BAADA ya kumfichaficha kwa muda mrefu, hatimaye mume wa mtangazaji Khadija Shaibu ‘Dida’ amejulikana ambaye ni Meya wa Jiji la...

READ MORE

Video: Ndoa Ya Didah, Mazito Yaibuka, Amber Lulu Achezea Kichapo | Hotpot

 KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Juni 11, wadakuzi wa mambo wamezungumzia ishu ya ndoa ya na Mtangazaji Dida na...

READ MORE

Apple Music Yafanya Jambo, Tiwa Savage Atia Neno

AFRICA Now Radio inayopatikana kwenye platform ya Apple Music 1, imeadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.   Zaidi ya vipindi...

READ MORE

Kolabo ya Seyi Shay, Yemi Alade Yatingisha

Na Mwandishi Wetu STAA wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria, Seyi Shay ameachia ngoma mpya, ‘Pempe’ akiwa ameshirikiana...

READ MORE

Changanya, Jay Rox X Jux

STAA wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zambia, Jay Rox ameingia studio na Mbongo Fleva, Jux na mwenzake Kenz Ville...

READ MORE

Mtangazaji Dida Afunga Ndoa Serena Dar

Taarifa zinaeleza kwamba jana Juni 10, 2021 mtangazaji Khadija Shaibu ‘Dida’ alifunga ndoa katika Hoteli ya Serena jijini Dar lakini...

READ MORE

Roma Amjibu Harmonize Kisa Nigeria

BAADA ya msanii wa Bongo Fleva,  kusema kuwa kuna wasanii wa Bongo wanajiona wakubwa, lakini nyimbo zao hazipigwi nchini Nigeria,...

READ MORE

Burna Boy Apokea Tuzo Yake ya Grammy

Msanii wa Nigeria Burna Boy leo Juni 10, 2021 amepokea tuzo (plaque) yake ya Grammy aliyoshinda Machi 16, 2020 katika...

READ MORE

Lava Lava Ft Mbosso – Basi Tu (Official Video)

 Msanii wa muziki Bongo, Lava Lava ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Basi Tu. Isikilize hapa kwa...

READ MORE

Alikiba x Abdukiba x K2ga x Tommy Flavour – Ndombolo

Msanii wa Bongo Alikiba akiwashilisha Abdukiba, K2ga na Tommy Flavour ametoa wimbo mpya wa ‘Ndombolo’.

READ MORE