×

Burudani

Director Kenny Ajipakulia Minyama Kwa Mondi

DIRECTOR anayefanya poa kwa sasa kwenye tasnia ya burudani, Kennedy David Sanga ‘Director Kenny’ amesema kuwa anajisikia faraja kubwa kufanya...

READ MORE

Ebitoke Hataki Mimba Kabla ya Ndoa

MSANII wa vichekesho Bongo, Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ kwa mara ya kwanza amesema kuwa hajawahi kubeba ujauzito katika maisha yake ila...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Wanadodoma Mmetuheshimisha, Tutarudi Tena

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbasi amewashukuru wananchi wa...

READ MORE

PCK Atishia Kumburuza Wema Kortini

  UNAMKUBUKAyule future husband (mume mtarajiwa) wa staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Tanzanian Sweetheart’ aitwaye Patrick Christopher ‘PCK’,...

READ MORE

Jux – Mapepe (Official Music Video)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux,  Februari 12, 2021 ameachia video ya wimbo wake mpya wa Mapepe....

READ MORE

Nai Awakataa Gigy, Amber Lulu

VIDEO Vixen matata na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nairath Ramadhani ‘Official Nai’ amefunguka kuwa mtu aliyemleta mjini ni...

READ MORE

Utajiri Wa Lyyn Wadaiwa Kuyeyuka

ULE utajiri uliotengeneza vichwa vya habari wa video vixen na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lyyn’, unadaiwa...

READ MORE

Kajala Anaishi Kama Yuko Mbele Vile!

MMOJA kati ya mastaa wa Bongo Muvi wanaoishi kama ‘mamtoni’ ni Kajala Masanja ambaye amefanikiwa kujijenga misingi imara ambayo imemwezesha...

READ MORE

Gigy Money Amshukuru Mungu Kwa Kubadilika

MSANII wa muziki Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu ‘Gigy Money’ amesema anamshukuru Mungu kwa sasa amebadilika, anaishi kistarabu kadiri alivyokuwa...

READ MORE

Kocha wa Liverpool Afiwa na Mama Yake Mzazi

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amepata pigo baada ya kufiwa na mama yake mzazi, Elisabeth aliyefariki leo Jumatano, februari 10,...

READ MORE

VIDEO: Bifu La Mama Mondi Na Mobeto Ukweli Wa Mambo Ni Huu

‘HOTOPOT’ ni kipindi kipya cha GLOBAL RADIO, kinachochambua na kudadavua mambo mbalimbali ya udaku yanayaoendelea mitandaoni na kutrendi. BAADA ya...

READ MORE

Mume wa Queen Darleen Afunguka Kumpendelea Mke Mdogo

MUME wa mwanamziki Queen Darleen, aitwaye Isihaka, leo Februari 9, 2021,  ametolea ufafanuzi suala la yeye kumpendelea mke mdogo (Darleen) ...

READ MORE

NEW VIDEO: ME- Hello

Aliyekuwa meneja wa msanii wa kike machachari Bongo, Chemical, Alex Masiga anayetumia jina la kisanii la ME ameaamua kuingia studio...

READ MORE

Jumbo Camera Watoa Punguzo la Bei Msimu wa Wapendanao

  WAUZAJI wa vifaa bora vya uzalishaji wa video na sauti, JUMBO CAMERA HOUSE wameshusha mzigo mpya wa Camera, Tripod...

READ MORE

Mama D, Mobeto Wafukua Makaburi

BAADA ya mwanamitindo Hamisa Mobeto naye kumpeleka mwanaye, Abdul Nasibu ‘Dyllan’ kwa baba yake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mapya yameibuka....

READ MORE

Apple Music yaja na Isgubhu, Dansi ya Kiafrika

APPLE Music imezindua Isgubhu, ikiwa ni hatua ya kukamilisha taswira halisi ya kile kiitwacho Africa’s Dance and Electronic Music, kwa...

READ MORE

Regina Ataka Ndoa Yake Ifungwe Hospitali

  HABARI ya mjini kwa sasa ni Tamthiliya ya Pazia, inazidi kuwashika mashabiki wa tamthiliya kutokana na kisa chake cha...

READ MORE

Wema: Hata Niikishi Charambe Haiwahusu

STAA filamu Bongo Muvi, Wema Sepetu amefunguka kuwa watu wanamzonga kwa maneno kwa sababu anakaa Mtoni Kijichi wamuache maana hata...

READ MORE

Lulu Diva: Ningekuwa Mdangaji, Ningezeeka

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kama angekuwa mdangaji kama watu wanavyosema basi angeshazeeka siku nyingi...

READ MORE

Ushosti wa Tanasha, Mobeto Wafika Ukingoni

KIMEWAKA? Taarifa ikufikie kwamba, ule ushosti wa wazazi wenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hamisa Mobeto...

READ MORE

Harmonize Akiri Kajala ni Mpenzi Wake!

WENYE mapenzi yao wanasema umri ni namba tu kwani si kigezo kikubwa cha kuzingatia linapokuja suala la mapenzi ya dhati...

READ MORE

Darassa – Waiter (Official Music Video)

 Mkali wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ’Darassa’, Februari 5, 2021 ameachia video ya wimbo wake mpya wa Waiter....

READ MORE

Sio Rayvanny Tu, Diamond, Harmonize Walidondoka Stejini

WIKENDI iliyopita kulikuwa na sherehe tamasha la Tumewasha na Tigo, lililokuwa limeandaliwa na Wasafi Media. Tamasha hilo lililofanyika katika uwanja...

READ MORE

Rosa Ree Atoa Somo Kwa Wanaokata Tamaa

ROSA Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Rasary Robert ‘Rosa Ree’, amewapa somo badhi ya watu wanaokatishwa tamaa ya...

READ MORE

Cheza Mchezo wa Aviator, Kupitia Meridianbet Pekee

Aviator – Faida Kubwa Iliyohalisi Michezo ya kasino inaboreshwa kila siku. Hatuzungumzii sloti ambayo inaubunifu mkubwa kila muda. Michezo inabadilika...

READ MORE

Pazia; Ndoa ya Edu na Regina Mambo ni Moto!

    PAZIA ni moja kati ya Tamthilia pendwa kabisa kwa sasa inayoruka kupitia Maisha Magic Bongo ndani ya Dstv....

READ MORE

Lulu Diva: Nitakuwa Smati Hata Kama Nauguza!

SEX lady kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesema kuwa ni kweli mama yake anaumwa...

READ MORE

Nai: Mwanaume Akitaka Nimposti, Aninunulie Ferari

 MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Hunai Ramadhani ‘Official Nai’ amesema kuwa mwanaume atakayetaka amposti labda amnunulie...

READ MORE

Heri ya Kuzaliwa Saleh Ally, Mhariri Mtendaji wa Global Publishers

LEO Feburuari 2, 2021 ni siku muhimu sana kwa Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally ‘Jembe’  ambapo anasherehekea siku...

READ MORE

EPL Kumenoga! Wolves vs Arsenal Kukiwasha leo

Ungwe ya pili kunako msimu wa soka 2020/21 inaendelea kuchanja mbuga. EPL Kumenoga! Msimamo wa ligi unabadilika kila baada ya...

READ MORE

Albam ya Kwanza ya Rayvanny Yatoka Rasmi

MSANII wa muziki kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’,  Februari 1, 2021,  ameachia rasmi albam yake...

READ MORE

Rayvanny Ft Nasty C – Bebe (Official Audio)

 Rayvanny Ft Nasty C – Bebe (

READ MORE

Full Show: Zuchu Aacha Historia Uwanja wa Uhuru, Afanya Shoo Ya Kibabe

  SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ kwenye TAMASHA la Wasafi...

READ MORE

Shoo Ya Diamond, Aingia Kifalme Uwanjani, Aandika Historia -Video

 TAMASHA la Wasafi Tumewasha na TiGo limefanyika usiku wa kuamkia leo Januari 31, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini...

READ MORE

Video: Rayvanny Adondoka Stejini, Ashindwa Kuendelea Na Shoo

 Tamasha la Wasafi ‘TUMEWASHA’ limefanyika usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar na wasanii zaidi ya...

READ MORE

Zuchu – Sukari (Official Music Video)

 SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ leo Januari 30, 2021...

READ MORE

Mshindi wa BSS ni Yusuph Nizar Kwa Msimu wa 11 (Picha +Video)

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa usiku wa kuamkia leo Januari 30, 2021, amemtangaza Yusuph Nizar kuwa...

READ MORE

Breaking: Ishu ya Polisi Kusitisha Tamasha la Wasafi Dar

  Kamanda wa polisi Mkoa wa Temeke, Amon Kakwale amekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba limesitisha tamasha la...

READ MORE

Kivazi cha Shilole Chaibua Shangwe Fainali ya BSS -(Picha + Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, almaarufu kama Shilole, amepiga shoo kwenye fainali ya BSS kwa msimu huu wa 11...

READ MORE