×

Burudani

Kiba, Meneja Wake Kimenuka!

  Kimenuka? Upepo unadaiwa si mzuri kati ya mfalme wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’ na meneja wake,...

READ MORE

Mtamuona Mume Wa Dayna Akishamuoa

MWANAMUZIKi anayefanya poa kunako uwanda wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna’, amefunguka sababu ya kuficha uhusiano wake na kwamba mumewe...

READ MORE

Nandy, Tanasha Watangaza Hali Ya Hatari

Mastaa wa kike wa muziki Afrika Mashariki, Faustina Charles ‘Nandy’ na Tanasha Oketch Donna, wametangaza hali ya hatari.   Tanasha...

READ MORE

Lissu Kurejea Nchini Mwisho wa Julai

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasika na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema atarejea Tanzania mwishoni mwa mwezi huu (Julai)...

READ MORE

Darleen Avunja Ukimya Ugomvi Na Mke Mwezake!

First Lady wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’, amevunja ukimya juu ya tuhuma za kuwa...

READ MORE

Tigo, Mdhamini Rasmi Wa Mawasiliano Sabasaba

Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini, Tigo Tanzania, kwa mwaka wa tano mfululizo, inakuwa mdhamini mkuu...

READ MORE

Lulu Diva: Corona Imetutia Akili Wasanii

STAA wa muziki wa Bongo Fleva ambaye anakimbiza na ngoma ya Come Again, Lulu Abas ‘Lulu Diva’, amefunguka kuwa janga...

READ MORE

Poshy Awachukia Kweli Wanawake!

MREMBO ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umbo lake kuonekana kuwavutia watu mbalimbali, Jacqueline Obeid ‘Poshy’ amefunguka kuwa wanaoongoza kwa...

READ MORE

Irene Robert: Sijaolewa Bado Jamani!

Licha ya urembo alionao, Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili nchini, Irene Robert, amesema bado hajaolewa kama watu wengi wanavyomzushia ila...

READ MORE

Rosa Ree: Natamani Kuitwa Mama

SEX Lady kunako anga la muziki wa Hip Hop, Rosary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kwa sasa naye anatamani kuitwa...

READ MORE

Batuli: Huu Si Wakati Wa Maonesha

MWANAMAMA mkali kwenye Tamthiliya za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefunguka kuwa, katika kipindi cha sasa, mambo ya maonesho yamepitwa na...

READ MORE

Irene Uwoya Afungwa Mdomo

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema, maneno ya kuudhi anayokutana nayo mitandaoni yamemfunga mdomo.   Uwoya ameliambia Gazeti la...

READ MORE

WOLPER – Pesa za Kuhongwa Zina Mikosi

MKALImwingine kutoka uwanda wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe amesema, hakuna pesa zenye mikosi kama za kuhongwa na mwanaume. Wolper...

READ MORE

Kutendwa Kumewapa Maendeleo Shamsa, Faiza!

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amefarijiana na staa mwenziye ambaye ni mjasiriamali, Faiza Ally kuwa kutendwa na wanaume...

READ MORE

Amber Lulu, Gigy Money Wafika Pabaya

VITA nzito ya mastaa wawili wa kike wa Bongo Fleva; Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ na Gifty Stanford ‘Gigy Money’ imefika...

READ MORE

Uzee Wampa Mawazo WEMA, Afunguka

STAA asiyechuja miaka nenda rudi, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuna kitu anachokiwazia kwenye maisha yake kama maisha ya uzee na...

READ MORE

Bilionea Laizer Awakataa Mastaa wa Kibongo

HII inaitwa sitaki shobo! Bilionea mpya Bongo, Saniniu Laizer ambaye wiki iliyopita alitangazwa kuwa bilionea mpya wa madini nchini, amewakataa...

READ MORE

Bilionea Laizer Afanya Sherehe, Achinja Ng’ombe Sita – Video

 BILIONEA mwenye makazi yake Arusha, Saniniu Laizer, jana Jumatatu Juni 29, 2020 alifanya sherehe ya kujipongeza baada ya kulipwa...

READ MORE

Sallam Kuukataa Mkono wa Harmonize Msibani, Chanzo ni Hiki!

MENEJA wa lebo ya muziki ya Wasafi Classic Baby (WCB),  Sallam Sk,   na msanii Harmonize ambaye aliwahi kuwa chini ya...

READ MORE

Video: Mkurugenzi Kilosa Aomba Radhi Mara tatu Rais Magufuli

ASAJILE Mwambambale, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro (DED), amemuomba radhi mara tatu, Rais John...

READ MORE

MAJONZI: Babu Tale AISHIWA NGUVU, Mwili wa Mkewe Ukitolewa Ndani -Video

Mwili wa Shamsa Kombo aliyekuwa Mke wa meneja wa WCB, Hamis Taletale maarufu kama Bubu Tale anatarajiwa kuzikwa leo mkoani...

READ MORE

Jux: Huddah Ana Vigezo Ninavyohitaj

BAADAya maneno kuwa mengi mtandaoni kuwa staa wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ ana uhusiano wa kimapenzi na mrembo wa...

READ MORE

Nandy Afunguka Kumkwapulia Wema Bwana

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa hajawahi kugombana na msanii mwenzake Wema Sepetu na wala...

READ MORE

Bilionea Laizer Balaa, Ni Baada Ya Kulipwa Bil 7 za Madini

KWA Mwenyezi Mungu hakuna kukata tamaa ya maisha, kwani unaweza kulala maskini, lakini ukaamka tajiri.Hicho ndicho kilichotokea kwa baba mmoja...

READ MORE

Serikali Yaweka Kitanzi Shoo Za Wasanii

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuruhusu shughuli mbalimbali ziendelee kama kawaida...

READ MORE

Zamaradi Kuwakutanisha Mastaa Sabasaba

MTANGAZAJI maarufu ambaye anamiliki Zamaradi TV, Zamaradi Mketema anatarajia kuwakutanisha mastaa mbalimbali Bongo ambao ni wafanyabiashara ndani ya maonyesho ya...

READ MORE

Amber Lulu: Sijawaza Kuolewa, Bado Niponipo!

SEXLADY kunako anga la muziki wa Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber lulu’ ambaye pia ni rafiki wa karibu wa msanii...

READ MORE

Petit Man Akubali Yaishe Kwa Esma!

Mapenzi yanauma jamani! Kama huamini sikiliza kilichompata meneja wa wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva, Hamad Manungwi ‘Petit Man’ baada ya...

READ MORE

Mondi Amponza Husna Maulid, Kupenda Ni Gharama!

Kupenda wakati mwingine ni gharama! Kitendo cha kuonesha upendo wake kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kimemtokea...

READ MORE

Video: MTOTO wa Bilionea LAIZER Afunguka Mjengo na Utajiri wa Baba Yake

 Global Tv imfanikiwa kufanya mahojiano na mtoto wa nne wa bilionea Laizer ambaye anafahamika kama Emmanuel Laizer, ambaye ameelezea...

READ MORE

Zamaradi: Waigizaji Wenyewe Wameua Bongo Muvi -Video

  MTANGAZAJI maarufu Bongo, Zamaradi Mketema,  amesema kilichoua sanaa ya Bongo Muvi ni waigizaji wenyewe kwa kutochukulia ‘serious’ kazi hiyo....

READ MORE

Dogo Janja Afunguka Madee Kumnunulia Gari

MSANII wa tasnia ya Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’, amekanusha taarifa za kununuliwa gari na msanii mwenzake Hamadi Ally...

READ MORE

Video: MAISHA Halisi ya Bilionea LAIZER; Ana watoto 30, WAKE Wanne

 Exclusive na Saniniu Laizer, moja ya wachimbaji wadogo wadogo wa madini Mirerani mkoani Manyara, ambaye ametangazwa bilione baada ya...

READ MORE

Dida: Ujinga Tulifanya Zamani, Sasa Ni Pesa Tu

  MTANGAZAJI nguli wa Wasafi fm, Khadija Shahibu ‘Dida’, amesema huu ni wakati wa kusaka hela na kuboresha maisha kwa...

READ MORE

Patrick Kanumba Afungukia Penzi na Gigy Money -Video

 PATRICK KANUMBA, msanii wa Bongo Movie ambaye aliibuliwa na marehemu Steven Kanumba,  akipiga story ndani ya kipindi cha Kata...

READ MORE

MC Pilipili Achekelea Mtoto, Mwijaku Aumbuka

KOMEDIANI matata Bongo, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’, amechekelea kupata mtoto huku rafiki yake ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movies, Burton...

READ MORE

Video: Pierre Liquid Atangaza Nia Ya Kugombea Ubunge

KATIKA kipindi cha ‘255 FRONT PAGE’ leo Juni 24, 2020 Mchekeshaji maarufu kwa kupitia Unywaji wa pombe, Pierre Liquid, kupitia...

READ MORE

Vanessa Aibua Vilio Kuacha Muziki

NI kama msiba! Ndicho kilichotokea baada ya mwanamuziki mkubwa wa Afro-Pop kutoka Tanzania na Afrika, Vanessa Mdee ‘V-Money’ kutangaza rasmi...

READ MORE

Kumekucha Uchaguzi 2020… Mastaa Kibao Wajitosa Ubunge

WIMBI la watu maarufu kujitosa kwenye mbio za siasa mwaka huu, limeanza kuchanua kadiri siku zinavyosonga baada ya kundi kubwa...

READ MORE

Mwanamitandao aliyekuwa milionea akiwa na miaka 15 afariki

MWANAMITANDAO chipukizi nchini Russia, Anastasia Tropitsel (18) aliyeupata umilionea akiwa na umri wa miaka 15, amekufa katika ajali ya pikipiki,...

READ MORE