×

Celebrities

UWOYA ULITAKA NDOA MWENYEWE, TULIA SASA !

Irene Uwoya. KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya. Habari za siku, mambo yanakwenda vizuri? Bila shaka u-mzima wa...

READ MORE

KUVISHWA PETE YA UCHUMBA, SIRI 3 KILIO CHA LULU ZAFICHUKA

BAADA ya wikiendi iliyopita staa ‘grade one’ wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuvishwa pete ya uchumba na bosi...

READ MORE

PRETTY ACHEKELEA PENZI LA MOBETO, DIAMOND KUVUNJIKA

SIKU chache baada ya mwanamitindo, Hamisa Mobeto kuanika ukweli kwamba penzi lake na mzazi mwenzake ambaye ni msanii wa Bongo...

READ MORE

JB AKATAA KUWA MRITHI WA MZEE MAJUTO

LICHA ya mashabiki wengi kudai kwamba anayestahili kuchukua nafasi na kuwa mrithi wa aliyekuwa staa maarufu wa vichekesho Bongo, marehemu...

READ MORE

KHADIJA YUSUF AMALIZA BIFU NA WIFI YAKE

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye muziki wa Taarab ambaye ni dada wa mwimbaji maarufu wa muziki huo zamani kabla hajamrudia Mungu...

READ MORE

MAKONDA ALIVYOMMALIZA MOBETO KWA WEMA

AMEMMALIZA Mobeto (Hamisa)! Ndivyo walivyosikika wapenda ubuyu wa mjini waliohudhuria sherehe ya kuzaliwa ya mwigizaji Wema Isaac Sepetu na Mkuu...

READ MORE

Kwa Hili ‘TUSI’ la Zari kwa Diamond, Wamefika Pabaya

MJASIRIAMALI maarufu Afrika Mashariki na Kati, Zarina Hassan maarufu kwa jina la Zari The Bossy Lady,  ameibua maswali baada ya...

READ MORE

Mtoto wa Chameleone Yamkuta Marekani

Abba Marcus Mayanja, mtoto wa mwanamuziki maarufu wa Uganda, Joseph Chameleone Mayanja, ameumia kidole cha mguu wakati akicheza soka nchini...

READ MORE

Zari Asherehekea ‘Bethidei’ Yake Kampala

BAADA ya kupita wiki moja tangu siku ya kuzaliwa kwake (Septemba 23), Zari ‘The Bosslady’, mama watoto wa mwanamuziki wa...

READ MORE

Sakata la ‘Kufoji Umri na Paspoti Feki’, Zari Azuiliwa London

AKIWA anaelekea katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa jijini London, Zari ‘The Bosslady’, ambaye ni mama watoto wa staa wa...

READ MORE

BAADA YA KUMPA JEURI YA FEDHA KIGOGO AMMWAGA LULU DIVA

DAR ES SALAAM: MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kuwa katika wakati mgumu baada ya kigogo (jina...

READ MORE

USICHOKIJUA MABAUNSA WA MASTAA WA KIKE

HILI halikuwepo huko nyuma! Kwamba umkute staa wa kike yuko na bausa, ilikuwa ni jambo adimu sana, lakini sasa hivi...

READ MORE

EXCLUSIVE: DIAMOND Amewasaini Navykenzo? – VIDEO

KUNDI la Navy Kenzo ambalo kwa sasa linafanya vizuri na wimbo wao mpya ‘Katika’ ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz limeeleza ilivyokuwa...

READ MORE

MAJIZZO AMVALISHA LULU PETE YA UCHUMBA, NDOA IMEIVA!

MOJA ya stori zinazo-trendi kwenye social networks kwa sasa ni tukio la kihistoria la muigizaji wa filamu za Bongo Movie, Elizabeth...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Matatani Kwa Tuhuma za Kubaka

MWANAMKE mmoja,  Kathryn Mayorga, amejitokeza na kusema mwanasoka, raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo alimbaka mwaka 2009 katika hoteli moja jijini...

READ MORE

MTOTO WA PILI ARUDISHA NDOA YA ESHA BUHET

MWIGIZAJI wa filamu Bongo, Esha Buhet amefunguka kuwa mtoto wake wa pili aitwaye Claribel amerudisha ndoa yake iliyokuwa imeshavunjika na...

READ MORE

SABBY ANGEL APIGWA NDOA YA 5

BUYU raha yake uupate ukiwa wa moto kutoka jikoni na siyo ule uliokaa juani ambao haunogi ukiumun’gunya! Ubuyu uliopo mezani...

READ MORE

MBOSSO: Sipendi Kushindanishwa na Aslay – Video

MWANAMUZIKI kutoka Lebo ya WCB , Mbosso Kirungi amesema moja kati ya vitu ambavyo huwa hapendi kuvisikia kabisa ni pale...

READ MORE

Lynn: Sasa Nipo Tayari Kuolewa na DIAMOND – Video

Video Queen maarufu nchini Tanzania, Lynn amesema kuwa yupo tayari kuolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz...

READ MORE

Hawa: Diamond Mungu Atakulipa

MSANII wa muziki ambaye aliwahi kuwa mwandani wa Mbongo- Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Mayoka ‘Hawa wa Nitarejea’ amemfungukia...

READ MORE

Diana: Simchukii Mobeto, Ila Wema Mapenzi Kama Yote

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi mwenye vituko lukuki, Diana Kimari amefunguka kuwa watu wengi wanasema ana bifu na mwanamitindo Hamisa Mobeto...

READ MORE

DIAMOND AMPELEKA HAWA KUTIBIWA INDIA

STAA wa Bongo Fleva, Daimond Platnumz, amesema anashughulikia taratibu za kumsafirisha msanii mwenzake, Hawa Said, ambaye aliwahi kumshirikisha kwenye wimbo wake wa...

READ MORE

BIRTHDAY YA WEMA USIPIME

USIKU wa kuamkia leo, Miss Tanzania 2006 na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, aliangusha pati ya kusherehekea siku...

READ MORE

CHEMICAL: Siwezi Kumfuata Diamond, Mwenyewe Ataona – Video

RAPA wa kike Claudia Lubao ‘Chemical‘ amesema kuwa amewahi kuwaza kufanya kazi na msanii Diamond Platnumz lakini hawezi kumfata kumuomba...

READ MORE

UWOYA AIBUKA NA MWARABU FIGHTER KWA WEMA – VIDEO

SHUGHULI ilikuwa pevu pale kwenye Ukumbi wa Mlimani City MAMBO usiku wa Ijumaa ya Septemba 28, 2018 kufuatia Malkia Bongo...

READ MORE

USIYOYAJUA KUHUSU ZABIBU KIBA, SAUZ YA ANIKWA!

LAZIMA unaijua ile ishu kuwa dada wa msanii maarufu Bongo, Ali Salehe Kiba, Zabibu Kiba a.k.a Mrs Banda siku hizi...

READ MORE

EXCLUSIVE: ODAMA Amfungukia Aliyemzushia Kifo – Video

MAMBO yalikuwa fire usiku wa Septemba 28, kufuatia muigizaji nguli Bongo, Wema Sepetu kusheherekea kumbukumbuku ya siku yake ya kuzaliwa...

READ MORE

MINAJ, HAMILTON WAJIVINJARI KIMAPENZI DUBAI

STAA mwanamitindo wa Marekani, Nicki Minaj na nyota mwendesha magari wa Formula One, Lewis Hamilton, wameibua sintofahamu kuhusu uhusiano wao...

READ MORE

MAMA: WEMA KATIMIZA MIAKA 18, TUSIKERANE BWANA! – Video

MIONGONI mwa vilele vya shamra na “maraha ya kufa mtu”  vilivyojiri siku ya kuzaliwa mwigizaji nguli Bongo, Wema Sepetu, ambayo...

READ MORE

WAYNE ATIMIZA MIAKA 36, AACHIA NGOMA YA ‘THA CARTER V’

RAPA Mmarekani, Lil Wayne ameadhimisha ‘bethidei’ yake ya mwaka wa 36 na kuachia ngoma yake ya  Tha Carter V, katika hafla iliyojaa...

READ MORE

SNOOP DOGG APATA MJUKUU WA KIKE

MKONGWE wa Muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Snoop Dogg amepata mjukuu wa kike akiwa na umri wa miaka 46,...

READ MORE

Hatimaye Sister Fey Afunga Ndoa na Kiben Ten Chake

MSANII Sister Fey ambae hivi karibuni alikamatwa na kuwekwa rumande kwa amri ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

CHRIS BROWN, RITA ORA SIO SIRI TENA

BAADA ya kukaa kwa muda mrefu bila kumuweka hadharani mwanamke anayetoka naye kimapenzi, mkali wa muziki wa R&B nchini Marekani,...

READ MORE

Lady Jaydee Ataka Kujiua

MASHABIKI wamekuwa na maswali mengi ni kitu gani anapitia Lady Jaydee kwa sasa kwenye maisha yake baada ya kuandika ujumbe...

READ MORE

JUICE KINGDOM YAZIDI KUKUBALIKA MITAANI!

SIKU chache baada ya kuzinduliwa vinywaji vya Juice Kingdom tawi la Tabata-Segerea, taarifa ni kwamba vinywaji hivyo vinazidi kukubalika kwenye...

READ MORE

SAA TISA USIKU KITANDANI MWANGU

Hii ni kolamu ya Gazeti la Amani la Global Publishers ambalo linatoka kila Alhamisi. Lengo la kolamu huu ni kufikisha...

READ MORE

RAYVANNY: MGAHAWA WA JUISI ULINIFANYA NIMPATE FAYMA

MPENZI msomaji tunazidi kutiririka katika safu yetu hii yenye kuvutia, ambapo wiki iliyopita tulikuwa na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo,...

READ MORE

SEPTEMBA CHUNGU KWA MASTAA HAWA

FEBRUARI, mwaka jana, ilikuwa chungu kwa mastaa wengi wa filamu na Bongo Fleva baada ya kutajwa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

BEN POL ATOBOA SIRI YAKE NA MONALISA

STAA wa Muziki wa R&B, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametoboa siri yake na mkongwe wa filamu Bongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’...

READ MORE