×

Celebrities

Mondi Atajwa Vipengele 6 Tuzo za Afrima

WAANDAAJI wa Tuzo za AFRIMA 2021, wametangaza listi ya wasanii wa Bongo Fleva watakaowania tuzo hizo kwenye vipengele mbalimbali.  ...

READ MORE

Mau Fundi Awafunga Mdomo Wakongo

  KOMEDIANI matata Bongo, Maulid Fundi almaarufu Mau Fundi amesema amewafunga mdomo waigizaji wa vichekesho wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Vita ya Mastaa Bongo, Simba vs Yanga

KIMEUMANA! Ndivyo unavyoweza kusema kuelekea Dabi ya Kariakoo kati ya timu pendwa Bongo za Simba na Yanga hiyo leo katika...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi Duniani

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Isabella Khair Hadid “Bellahadid” mwenye asiri ya Palestina na Dutch, anatajwa kuwa ndio mwanamke mrembo zaidi...

READ MORE

Johari: Wanaume Wanaonifuata Wanataka Niwe Mke wa Pili

MUIGIZAJI maarufu wa Bongo Movies, Blandina Chagula (Johari) amefunguka sababu za yeye kutokuwa na mume mpaka sasa huku akianika kwamba...

READ MORE

Shabiki Simba Aweka Nyumba Wakifungwa na Yanga

Shabiki wa Simba, MC Mishepu amefunguka kuweka nyumba yake yenye thamani ya Tsh. Milioni 300 endapo Simba akifungwa na Yanga...

READ MORE

Chuo Kikuu Chaanzisha Kozi ya Drake & The Weekend

CHUO kikuu cha Ryerson kilichopo Toronto, Canada kimeanzisha kozi ya mastaa wawili watokao nchini humo Aubrey Drake Graham maarufu kama...

READ MORE

Maua Sama Aibuka na T- Pain

Siku chache baada ya kuachia smash hit yake “Away” aliyompa shavu Young Lunya, Maua Sama amepanga kuachia kolabo yake nyingine...

READ MORE

Pacquiao Mbioni Kustaafu Ndondi

BINGWA wa zamani wa mkanda wa uzito wa kati wa WBA Welter Weight, Manny Pacquiao amesema kwa sasa inatosha kwa...

READ MORE

Kajala Ampa Gwala Mkwe Wake

MAMA mzazi wa mpenzi wa Rayvanny, Paula ambaye pia ni staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameendelea kuonesha support kubwa...

READ MORE

Rick Rose Adata na Mobetto, Aahidi Makubwa

MSANII mkubwa wa nchini Marekani anayejulikana kama Rick Rose amekuja na mpango kabambe wa kuweza kumsaidia Hamisa Mobetto ili aweze...

READ MORE

Fahamu Siri Nzito Inayompa Mondi Kiburi

UTAKUBALIANA na mimi kwamba linapokuja suala la kuvaa, msanii Diamond Platnumz anautendea haki kikwelikweli huwa mwili wake, hafanyi kwa sababu...

READ MORE

Paula Amchokonoa Fahyma

MWANZONI zilikuwa ni hisia tu kwamba, huwenda aliyekuwa baby mama wa staa wa Bongo Fleva, Rayvanny ambaye amezaa naye mtoto...

READ MORE

Vita Nzito ya Ma-Baby Mama wa Mondi

  AMKENI…amkeni… kumekucha! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kuibuka kwa vita nzito baina ya wazazi wenza (ma-baby mama) wa staa...

READ MORE

Mjengo Mpya wa Nisha Kufuru!

MJENGO aliozindua staa wa Bongo Movies, Nisha, wikiendi iliyopita, umewasuta mastaa wengi wa Kibongo ambao wanaishi nyumba za kupanga.  ...

READ MORE

Lyyn: Sitaki Mwanaume Asiye Na Pesa

Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana...

READ MORE

Usichojua Kuhusu Msanii Mpya Wa Rayvanny

  MKURUGENZI wa lebo ya muziki ya Next Level Music (NLM) ambaye pia ni msanii aliye chini ya Lebo ya...

READ MORE

Nandy: Billnass Amechangia 50% ya Mafanikio Yangu

MREMBO anayekiwasha kunako tasnia ya muziki nchini Tanzania, Nany The African Princess ameweka wazi kwamba, mchumba wake, Billnass anahusika kwa...

READ MORE

Wastara: Nimeugua Muda Mrefu, Nikadhoofika Mwili

  WASTARA Juma si jina geni kwenye Bongo Movies. Ni mwanamama aliyefanya na anafanya vizuri kwenye filamu nchini Tanzania na...

READ MORE

Utajiri wa Ghafla wa Rayvanny Wamshtua Mondi

UKIACHANA na utajiri wake wa mashairi makali na mpangilio mzuri wa sauti, staa mwingine wa Bongo Fleva, Raymond Shaban Mwakyusa...

READ MORE

Penzi la Jux, Huddah Limekaa Hivi

MSANII anayefanya poa kunako anga la Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’, amefungukia tetesi za kutoka kimapenzi na mrembo maarufu mitandaoni...

READ MORE

Mchongo Mzima wa Mobetto na Ricky Ross

MAMA wa mwanamama staa wa fani nyingi nchini Tanzania, Hamisa Hassan Mobeto, Shufaa Rutiginga anasema kuwa, hata siku moja hawezi...

READ MORE

Stara Thomas Ataja Sababu ya Kustaafu Bongo Fleva na Utamu Wake

“HAPO ulipo unafanya nini? Sijui mpenzi we umeshakula. Napata shauku ya kukuona kwani tangu nilipoondoka, nataka nirudi nyumbani, nikupe stori...

READ MORE

Usichokijua Mpenzi Mpya wa Harmonize

UNAAMBIWA staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania, Rajabu Abdul almaarufu Harmonize au Konde Boy Mjeshi anatikisa Afrika Mashariki baada kuripotiwa...

READ MORE

Kwa Nini Diamond Anabagua Wanawe?

SIMBA anaiwakilisha vyema nchi ya Tanzania; siyo upande wa muziki pekee, bali hadi kupata watoto na wanawake wa nje ya...

READ MORE

Zabibu Afunguka Sababu za Kutoingia Mitandaoni

DADA wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’, Zabibu Kiba, kwa mara ya kwanza amefunguka sababu...

READ MORE

Nisha Azindua Nyumba Yake Mpya – Video

Usiku wa kuamkia leo mwigizaji maarufu wa vichekesho nchini, Salma Jabu maarufu kama Nisha amezindua nyumba yake aliyoijenga maeneo ya...

READ MORE

Mrembo Mpya wa Mondi Balaa Tupu!

Francia ni mrembo mwenye umri wa miaka 20 aishie na wazazi wake London nchini Uingereza, lakini mwenye asili ya Visiwa...

READ MORE

EPL, Serie A Na Laliga Ni Mwendo Mdundo

Mashindano ya Ulaya yametamatika na sasa ni muda wa kuvipasha moto viwanja ndani ya Ligi mbalimbali barani Ulaya. Yaliyotokea kwenye...

READ MORE

Wolper Kutua Mahakamani, Kisa ni Hiki….

MUIGIZAJI maarufu wa Bongo Movie Jackline Wolper amevunja ukimya kwa kueleza kwamba mtu yeyote ambaye atamchafua,kumdhalilisha au kumkashifu mtoto wake...

READ MORE

Jokate: 2025 Twende na Mama

MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameunga mkono kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa leo...

READ MORE

Mirahaba Kazi za Sanaa: Wasanii Kupata 70%, Serikali 30%

WAKATI Wasanii wa Tanzania wakisubiri kuanza kulipwa mirabaha ya nyimbo zao kuchezwa kwenye TV, Radio na maeneo mengine yanayotumia muziki...

READ MORE

Vanessa Aacha Alama 5 Bongo Fleva

KAMA unafuatilia muziki wa Tanzania, bila shaka utakuwa unafahamu alichokifanya Vanessa Mdee au V Money kwenye muziki huo.   Vanessa...

READ MORE

Hamisa Mobeto Awashika Pabaya Watesi Wake

  HIVI karibuni mwanamitindo  pia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto aliibukia kwenye miondoko ya Singeli.   Aliachia...

READ MORE

Wema Amvuruga Kabisa Zari kwa Mondi

MREMBO Wema Isaac Sepetu anadaiwa kumvuruga kabisa mzazi mwenza wa staa wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah...

READ MORE

Harmonize Achafua Hali ya Hewa Marekani

  STAA wa Bongo Fleva, Harmonize au Konde Boy Mjeshi anaendelea na ziara ya takriban miezi miwili katika majimbo mbalimbali...

READ MORE

Pogba, Burnaboy Wakiwasha Jukwaani Manchester

Kiungo wa kati wa Klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya Ufaransa, Paul Pogba aliisaidia klabu yake kuilaza...

READ MORE

EX wa Rotimi Amuonya Vanessa

BAADA ya kutoa tangazo la ujauzito wake mapema wiki iliyopita, msanii maarufu wa Tanzania, Vanessa Mdee au Vee Money ameonywa...

READ MORE

JB Aachia Ngazi

MSANII wa Bongo Movies, Jacob Steven maarufu kama JB ametangaza kuachana na kazi ya uigizaji na kujikita zaidi katika uongozaji...

READ MORE

Mabaki ya Mwili wa Tupac Yalivutiwa Bangi

KWA kifupi tunaangalia mambo kumi ya kustaajabisha ya Tupac Shakur aliyefariki dunia Septemba 13, 1996 kwa kupigwa risasi huko Marekani....

READ MORE