×

Celebrities

Q Chief Aanika Waliombadili Kwenye Muziki

MSANII wa Bongo Fleva, Q Chief, ameeleza kuhusu safari ya maisha yake kwenye muziki wakati alipokutana na msanii Jose Chameleone...

READ MORE

Wasanii Wanaokufa kwa Wimbo na Kufufuka

WIMBO mmoja haukeshi. Msanii hawezi kuishi kwenye sanaa miaka mingi kwa kutegemea ‘hiti’ moja aliyotoa. Maisha ya msanii ni kama...

READ MORE

Diana Rigg wa ‘Game of Thrones’ Afariki Dunia

MSANII maarufu wa filamu nchini Uingereza, ikiwemo series ya “Game of Thrones” Diana Rigg amefariki dunia siku ya jana akiwa...

READ MORE

Pierre Alivyojiachia na Warembo 3 Usiku

  STAA aliyejizolea umaarufu kwa staili ya kupiga mitungi, Pierre Konki Liquid Ijumaa iliyopita, aliwashangaza watu kutokana na hekaheka zake...

READ MORE

Siri 3 Kiba Kurejea kwa Mkewe!

MENGI yamesemwa juu ya mahaba mapya na shatashata ya staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na mkewe...

READ MORE

Amber Lulu Amchana Uchebe, Asema ‘Muulizeni Shilole’

MSANII wa Bongo Fleva, Amber Lulu, amevunja ukimya na kuhusu stori zinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya...

READ MORE

Uchebe: Nimempa Shilole Talaka Tatu, Akae Eda

FUNDI gereji na mfanyabiashara Uchebe amefunguka kinachondelea baada ya kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa mkewe, msanii Shilole, ambapo amesema...

READ MORE

Tanzia: Mama Mzazi wa P Funk Majani Afariki Dunia

PRODYUZA/mtayarishaji wa muziki,  Paul Matthysse ‘P Funk Majani’,  amefiwa na  mama yake mzazi Aunt Sheilah) kilichotokea Septemba 8, 2020, nje...

READ MORE

Kiba, Amina Wawafokea Mashabiki!

WANATUFOKEA! Ndivyo wanavyosema wajumbe kwenye mitandao ya kijamii baada ya mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh ‘King Kiba’ kuonekana kwenye...

READ MORE

Mfungwa Aliyemshambulia R Kelly Adai Alitumwa na Serikali

HATIMAYE mfungwa aliyemshambulia mwimbaji wa RnB duniani, Robert Kelly. maarufu R Kelly wakiwa gererani amejitokeza na kuzungumza sababu hasa za...

READ MORE

Tanasha: mahari Yangu Inakuja Soon

STAA wa muziki kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna Oketch, amefunguka kuwa, hivi karibuni anaweza kutolewa mahari na kuwa mke wa...

READ MORE

Malaika; Mwana Mpotevu Amerudi!

Diana Exavery almaarufu Malaika, ni mwanamuziki mwenye kipaji cha kipekee kwenye Bongo Fleva. Mwaka 2013, ndipo Chege alisikia sauti yake,...

READ MORE

Esma: Najua Watu Wanafurahia Ndoa Yangu Kuvunjika

ULE usemi; ‘wataachana tu’ wakati wa kufungwa kwa ndoa ya dada wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Miujiza Ndoa ya Mondi na Zuchu

LICHA ya mwenyewe kutoanika kinaga ubaga kuhusu mkewe mtarajiwa, lakini kuna mambo yameanikwa ambayo yanashangaza endapo staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Kauli ya Harmonize Baada ya Kuwasaini Wasanii wa Kiba

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva ambao walikuwa chini ya Lebo ya Kings Music Records iliyo chini ya Alikiba ambao...

READ MORE

Kusah: Aunt Ezekiel Hana Mimba Yangu

BAADA ya hivi karibuni kuhusishwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Aunty Ezekiel, msanii wa Bongo Fleva, Kusah, amekanusha suala...

READ MORE

Princess Dayana Humwambii Kitu kwa Mondi

Mambo vipi msomaji wangu, kama ilivyo kawaida huwa tunakutana na mastaa mbalimbali Bongo na kupiga nao stori mbili tatu, ili...

READ MORE

Shilole: Ndoa Siyo Jela, Ukishindwa Unaondoka Tu

MWANAMUZIKI na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ikiwa ni miezi michache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa,...

READ MORE

Zuchu Anabebwa au Jitihada Zake? Jibu Lipo Hapa

KATIKA orodha ya wasanii wa kike wanaopepea kwenye gemu la Bongo Fleva, itakuwa ni ngumu kuacha kulitaja jina la Zuchu,...

READ MORE

Wema Jela Inamuita

wemaKWA mara nyingine, jela au Segerea inamuita Malkia wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu, Risasi Jumamosi limedokezwa. Kwa mujibu wa...

READ MORE

Mondi Kuvuna Mamilioni Mbele ya Rick Ross na Chris Brown

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anatarajia kuvuna mamilioni kama yote katika shoo maarufu kwa jina la AfroNation....

READ MORE

Mobeto: Mondi Ni Wangu Milele

VIPI aongeze sauti? Hamisa Mobeto ndiyo ameshasema kwamba, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi, ni wake wa milele.   Akipiga stori...

READ MORE

Young Killer Aanza Kusaka Mke!

MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amesema kwa sasa anatamani kuwa na familia. Akizungumza na...

READ MORE

Magufuli Avua Kofia Hadharani, Amvisha Mondi – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli ameshindwa kujizuia...

READ MORE

Rihanna: Chris Brown ni Mpenzi wa Maisha Yangu

WAKATI watu wengi wakidhani kwamba uhusiano wao ulikufa mwaka 2009  baada ya Chris Brown ‘Breezy’ kumpa kipigo mrembo aliyekuwa mpenzi...

READ MORE

Riyama: Kipaji Changu Kilikuwa Kuimba Kuliko Kuigiza

Msanii wa filamu nchini Riyama Ally amesema kuwa ndoto yake kubwa wakati anakuwa alikuwa anapenda kuimba lakini mambo yakaja kubadilika...

READ MORE

Lulu Diva, Belle 9, Bonge la Nyau Wapata Ajali

  WASANII wa Bongo Fleva, Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau, wamepata ajali ya gari alfajiri ya leo,...

READ MORE

Tanasha Gumzo Kuolewa Mke wa Pili

MAMBO ni moto huko nchini Kenya, baada ya mzazi mwenza wa msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’,...

READ MORE

Esma: Wanaoniita Yuda Ipo Siku Wataniita Petro

Esma Khan, ambaye ni Dada wa mwanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi, NasibAbdul ‘Diamond’ amesema kuwa, waliompachika jina la...

READ MORE

Mobeto, Tajiri Mambo Moto!

UTAKE, usitake utasemwa tu; hata ukijifukia chini! Ndivyo ilivyo kwa mwanamitindo na mjasiriamali hapa Bongo, Hamisa Mobeto ambaye kwa sasa...

READ MORE

Chichi: Huduma ya ‘Msosi’ Iliniingiza Kwenye Sanaa

Kwa wapenzi wa kufuatilia filamu za Kibongo, jina la Lilian Shirima maarufu kwa jina la ‘Chichi’, litakuwa sio geni masikioni...

READ MORE

Aunty, Shamsa Waendeleza Vita ya Majibizano…

IKIWA ni saa chache baada ya mwanadada staa wa Bongo Fleva, Shamsa Ford, kudai kuwa anashangazwa na rafiki yake Aunty...

READ MORE

Shamsa Ford ‘Amfokea’ Aunty kwa Kupenda ‘Viserengeti’

MSANII wa filamu za Bongo, Shamsa Ford, ameeleza kushangazwa na kusikitishwa kwake kutokana na kile alichokidai kuwa msanii mwenzake, Aunt...

READ MORE

Gigy: Nalipa Kodi Milioni 4 kwa Mwezi

Staa wa kike wa Bongo Fleva Gigy Money amefunguka kuwa ana pesa za kumlisha miaka ijayo hata kama asipofanya kazi,...

READ MORE

Mambo 9 Harmo Kuanguka Taifa, Siri Yajuva

AJALI haina kinga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Rajab ‘Harmonize’ kuanguka...

READ MORE

Zuchu, Nandy Wachuana Kuingiza Mamilioni ya Fedha

KWENYE ulimwengu wa mastaa wa kike wa Bongo Fleva, warembo; Zuhura Kopa ‘Zuchu’ na Faustina Mfinanga ‘Nandy’ wanachuana vilivyo kuingiza...

READ MORE

Mapigo ya Kike Yamponza Rayvanny

  Staa wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, anadaiwa kubadilika kidogokidogo kila kukicha...

READ MORE

Sonia ni Staa Tangu Azaliwe!

MWIGIZAJI mkongwe wa Bongo Movies, Yvonne Cherry ‘Monalisa’, amefunguka kuwa, mwanaye Sonia alikuwa staa tangu anazaliwa.   Akipiga stori na...

READ MORE

Mondi, Harmo Waiteka Nigeria!

BURUDANI ya muziki ni sehemu inayofuatiliwa na wengi duniani kwa sababu ni kitu ambacho kinaleta furaha kwa watu hata kwenye...

READ MORE