×

Celebrities

Kolabo ya Zuchu na Mondi Yaweka Rekodi

Kolabo pendwa na mashabiki wa msanii Diamond Platnumz na Zuchu iitwayo ‘Mtasubiri’ toka kwenye EP ya “First Of All” #FOA...

READ MORE

Smith Amuomba Msamaha Chris Rock

Mwigizaji Will Smith amemuomba msamaha Chris Rock baada ya kumpiga kibao katika jukwaa la ugawaji wa Tuzo za Oscar akisema...

READ MORE

Ushindi Mkubwa Kwenye Kasino Ya Meridianbet!!

TETESI za penzi la mastaa wawili wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na msanii wake, Zuchu zimewafikia baadhi ya Wakenya wenye...

READ MORE

Chris Rock Agoma Kumfungulia Mashtaka Will Smith

Mchekeshaji Chris Rock amekataa kufungua mashtaka dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi jukwaani wakati wa hafla ya utoaji wa...

READ MORE

Will Smith Hatarini Kupokonywa Tuzo Ya Oscar

Licha ya kuomba msamaha kwa waandaaji wa Tuzo za Oscar kwa tukio alilolifanya la kumzaba kibao mshehereshaji namchekeshaji maarufu, Chris...

READ MORE

Diamond Platnumz Ana Kila Sababu Kujiona Bora

Mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz amesema hapendezwi kushindanishwa na wasanii nchini kutokana na kuwazidi katika maeneo makuu matatu; ambayo ni...

READ MORE

Jaden Afurahia Kofi la Baba Yake

Licha ya Will Smith kuomba radhi kwa tukio alilolifanya la kumpiga kofi mchekeshaji maarafu nchini Marekani, Chris Rock, mwanaye Jaden...

READ MORE

Will Smith Amzaba Kofi Mc Tuzo Za Oscar

MWIGIZAJI maarufu wa Holywood, Will Smith (53), usiku wa jana alifanya tukio lisilo la kawaida, baada ya kumzaba MC wa...

READ MORE

Corona Nusura Imuue Paula Uturuki

PAULA Kajala; ni mrembo maarufu Bongo hasa kwenye mitandao ya kijamii ambaye hivi karibu alidaiwa kupata ugonjwa wa Corona au...

READ MORE

Baba Levo: Mwijaku akawasemee Wanigeria

CHAWA Pro Max mwenyewe anapenda kujiita hivyo ama Fundi Majumba, ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo ameonesha...

READ MORE

Steve Nyerere Atangaza Kujiuzulu Usemaji SMT

Msanii maarufu wa filamu nchini na mchekeshaji, Steve Mengere maarufu Steve Nyerere, ambaye alikuwa ameteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la...

READ MORE

Diamond: Lazima Ulimwengu Ututambue

Diamond Platnumz; ni supastaa wa Bongo Fleva ambaye anajisifia kwa kupandisha hadhi na viwango vya albam fupi (EP). Akiwa kwenye...

READ MORE

Diamond: Nitafanya Shoo O2 Arena

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amemesa kuwa ndoto yake nyingine kubwa ni kufanya shoo kwenye moja ya kumbi maarufu...

READ MORE

Wajumbe Wakana Kumteua ‘Steve Ake’

Baadhi ya wajumbe wanaodaiwa kushiriki katika kumteua Steven Nyerere kuwa msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzani (SMT), wamekana bodi kuhusika...

READ MORE

Kimeuamana: Bongo Fleva Watafute Msemaji Wao

Kimeumana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wasanii wa muziki Tanzania kukusanyika kwa ajili ya sintofahamu juu ya muigizaji Steve Nyerere...

READ MORE

Diamond: Nipo Kwenye Penzi Zito

DIAMOND Platnumz; ni mwanamuziki mkubwa barani Afrika akiiwakilisha vyema nchi yake ya Tanzania ambaye amesisitiza kuwa, yupo kwenye penzi zito....

READ MORE

Paula, Kajala Kama Mapacha Vile

PAULA Kajala; ni modo maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye ni mtoto wa prodyuza P Funk Majani na mwigizaji mkubwa...

READ MORE

Harmo: Nakichafua Muda Wowote

RAJAB Abdul Kahali wengi wanamjua kama Harmonize au Konde Boy Mjeshi; ni staa mwingine mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye...

READ MORE

Hatimaye Mama Dangote amkubali Zuchu

Bi Sandra au Mama Dangote; ni mama mzaa chema wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye anajulikana kwa...

READ MORE

Uwoya apigwa miwani ya gharama

Irene Uwoya; ni mwanamama pisi kali ya Bongo Movies ambaye amejikuta akipigwa ile miwani yake ya bei mbaya huku watu...

READ MORE

Madee: Afunguka Sababu Kukaa Kimya ‘Sijaacha Muziki’

HAMAD Ally au Madee, Rais wa Manzese Music; ni muda sasa umepita tangu aachie ngoma yake ya Hadithi ambapo hatimaye...

READ MORE

Dube Amchimba Mkwara Mayele

STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube, amesema kwa sasa anahitaji kufunga mfululizo ili kuisaidia timu yake kumaliza ligi kwenye nafasi...

READ MORE

Grand P atangaza vita na Roga Roga

Grand P; ni mwanamuziki na mwigizaji mkubwa nchini Guinea ambaye amefufua ugomvi wake na msanii mwenzake kutoka Kongo, Roga Roga....

READ MORE

FOA Ya Diamond Mil. 30

Diamond Platnumz; ni nguli wa muziki barani Afrika akitokea Tanzania ambaye anasema kuwa albam yake fupi (EP) ya First Of...

READ MORE

Nandy: Sijagombana Na Wema

FAUSTINA Charles au Nandy The African Princes; ni malkia wa muziki Afrika Mashariki akiiwakilisha vyema Tanzania ambaye anasema kuwa, hajawahi...

READ MORE

Hamisa Achezea Levo za Hatari Marekani

  HAMISA Mobeto; ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania aliye pia msanii wa Bongo Fleva ambaye wiki hii amethibitisha siyo...

READ MORE

Rayvanny Alipa Mil. 20 Hotelini

RAYMOND Shaban Mwakyusa au Rayvanny; ni staa mwingine wa Bongo Fleva anayefanya vizuri nje ya mipaka ya Tanzania ambaye kwa...

READ MORE

Muna: Mungu Amenitoa Kwenye Umauti

ROSE Alphonce Nungu almaarufu Muna Love; ni mwigizaji wa Bongo Movies ambaye hajaonekana lokesheni kitambo ambaye anasema kuwa, kila siku...

READ MORE

‘Steve Nyerere Baiskeli Hajui Ndege Ataweza’

TUANZE mjadala polepole! Hivi tangu uzaliwe umeshawahi kusikia msanii Steve Nyerere akipiga gita au kurekodi singo ya muziki?   Umewahi...

READ MORE

Msanii Kanye West Afungiwa Instagram Kwa Saa 24

Kanye West amepigwa marufuku kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kwa saa 24 baada ya kutumia lugha ya kibaguzi dhidi...

READ MORE

Lulu: Kupendwa na Mume Kila Mtu Ana Bahati Yake

ELIZABETH Michael almaarufu Lulu; ni mmoja wa mastaa wakubwa waliodumu kwa muda mrefu kwenye Bongo Movies ambaye ameanza kuigiza tangu...

READ MORE

Zari: Sisi Sio Ma-ex Wenye Chuki

  Mwanasoshalaiti na mfanyibiashara mashuhuri kutoka Uganda, Zari Hassan ni mmoja wa watu mashuhuri ambao wameshirikishwa kwenye shoo ya ‘Young,...

READ MORE

Mjadala Waibuka Diamond Namba 3 Afrika, CNN Wamaliza Ubishi

Mjadala mkubwa unaoendelea kwenye Social Networks hivi sasa, ni kuwa Diamond si miongoni mwa wasanii watatu wakubwa barani Afrika, Hizi...

READ MORE

Mrembo wa Poland ashinda taji la Miss World

Karolina Bielawska (23) kutoka Poland, ameshinda taji la shindano la urembo la dunia ‘Miss World 2021’. Karolina amepokea taji hilo...

READ MORE

Esma: Sitegemei Pesa Za Diamond

ESMA Khan almaarufu Esma Platnumz; ni dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye baada ya kuwepo kwa...

READ MORE

Hamisa Na Rick Ross Wanaendelea Pale Walipoishia

HAMISA Mobeto; ni mwanamitindo wa kimataifa, msanii wa Bongo Fleva na mjasiriamali ambaye moja ya mambo anayoyap­enda ni pamoja na...

READ MORE

Muonekano mpya wa Diamond, Hapo Vipi?

Mionekano kwa wasanii si jambo la kuchukulia poa, bali ni kazi. Ni moja ya njia za branding na kujiweka machoni...

READ MORE

H.Baba: Diamond Ndio Msanii Namba 1 Afrika

KUTOKA kwenye Ukurasa wa Instagram wa msanii nguli wa Bongo Fleva, Hamisi Baba ‘H.baba ameandika. ”Diamond Platnumz Ndio Mwanamuziki Bora...

READ MORE

Vita ya Shilole, Nuh yafika Pabaya

KUNA vita ambayo inaendelea kushika kasi kila kukicha kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva ambao waliwahi kuwa wapenzi, Shilole...

READ MORE

Harmonize Kumuenzi Mzee Mengi

Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mwanamuziki Harmonize ametangaza kuja na tamasha lake la #OneLoveConcert lenye dhumuni ya kuchangia na...

READ MORE