×

Championi

Kisa Penalti ya Yanga… Hans Poppe ataka VAR Bongo

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Poppe ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya timu...

READ MORE

Mwamuzi FIFA Afunguka…. Ile Penalti Ya Yanga Mh!

UTATA wa penalti waliyoipata Yanga juzi kwenye mchezo dhidi ya Simba, umezidi kuwa mkubwa kiasi cha Mwenyekiti wa Kamati ya...

READ MORE

Championi Lagawa Tiketi Simba vs Yanga Bure, Spoti Xtra Laja

    TIMU ya Masoko ya Global Publishers leo imetua katika Uwanja wa Mkapa na kuyanadi magazeti ya michezo ya...

READ MORE

 Kapombe: Tuisila Tafuta pa Kupitia

  BEKI mkongwe wa Simba, Shomari Kapombe, kamwe hatakubali kufanywa njia ya kupitia washambuliaji wa timu pinzani wa Yanga huku...

READ MORE

Chirwa Arudi Kivingine Azam

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, amerejea baada ya kupata majeraha kwenye misuli ya mguu wakati wa mchezo wa Ligi...

READ MORE

Dabi ya Kariakoo! Mugalu Amjaza Upepo Sven Simba

  KUREJEA uwanjani kwa mshambuliaji Mkongomani, Chris Mugalu, kumempa kiburi Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck na kutamba kuwa...

READ MORE

Sven Afichua Jambo la Luis

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa ilikuwa lazima kumuweka benchi winga wa timu hiyo, Luis Miquissone katika mchezo dhidi...

READ MORE

Adam Adam Tishio Jipya Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI wa timu ya JKT Tanzania, Adam Adam, amewafunika mastraika wazawa na wageni baada ya kufunga mabao sita kwenye Ligi...

READ MORE

Yanga vs Simba Kuweka Historia Jumamosi Uwanja wa Mkapa

JUMAMOSI ijayo ni siku ya mechi kali yenye historia kwenye soka la Bongo ambapo mabingwa watetezi Simba watavaana na mabingwa...

READ MORE

Mkitoka Mkatambike! Matajiri 6 Waunganisha Nguvu Yanga

IMEFICHUKA kuwa viongozi wa Yanga wameunda kamati mpya ya Mipango na Ushindi inayoongozwa na mabilionea, Rais wa Makampuni ya GSM,...

READ MORE

Sven: Yanga SC Lazima Wafe Jumamosi

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ametamba kuwa kwa...

READ MORE

Kagere, Mugalu Hatihati Kuikosa Yanga

IMEELEZWA kuwa huenda washambuliaji hatari wa Simba, Meddie Kagere na Chris Mugalu, wakaikosa mechi dhidi ya Yanga kutokana na majeraha...

READ MORE

Cedric Kaze: Mtamuelewa tu Sarpong

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amesema ana imani na mshambuliaji wake, Mghana, Michael Sarpong na hivi karibuni wananchi...

READ MORE

Sarpong: Yanga Subirini Nitafunga Sana

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, amesema kuwa anaamini wakati wake wa kufunga mabao ndani ya timu hiyo umeshafika baada...

READ MORE

GSM yawamwagia mamilioni mastaa Yanga

BAADA ya ushindi wa michezo mitano mfululizo ya Ligi Kuu Bara, wadhamini wa Yanga ambao Kampuni ya GSM jana jioni...

READ MORE

Rekodi za Dube Zamfunika Kagere

MASHABIKI wamelinganisha kasi aliyoanza nayo mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Meddie Kagere na hii aliyoanza nayo straika...

READ MORE

Kisa GSM Yanga Yatua Kwa Kiungo Kaizer Chiefs

KIUNGO wa timu ya Kaizer Chiefs, Mkenya, Anthony Akumu, ameibuka na kusema kuwa hana tatizo lolote ikiwa atahitajika katika kikosi...

READ MORE

Simba SC Yaifanyia Ushushushu Yanga

HATIMAYE Klabu ya Simba imeanza kuichunguza Yanga kuanzia ilipopata kocha mpya Cedric Kaze.Yanga ambayo imejifungia Kigamboni jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Mugalu Apewa Kazi Maalum Simba

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amempa kazi maalum mshambuliaji wake raia wa DR Congo, Chris Mugalu, kuhakikisha...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa Kuendelea Leo Usiku!! Ajax vs Liverpool

Huu ni mchezo wa aina yake katika ulimwengu wa soka. Mchezo huu unaturudisha mwaka 1966 ambapo timu hzi zilikutana na...

READ MORE

Simba Yaondoka Bila Mastaa Wanne

KIKOSI cha Simba kimeifuata Tanzania Prisons ya jijini Mbeya kibabe kuhakikisha wanaibuka na pointi tatu dhidi ya wapinzani wao hao...

READ MORE

Zuchu: Ni kweli Ninabebwa!

STA A wa Bongo Fleva anayefanya poa kwa sasa na memba wa lebo ya muziki ya Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

Ukuta Wa Yanga Waweka Rekodi Bongo

  UKUTA wa Klabu ya Yanga unaoongozwa na nahodha Lamine Moro pamoja na Bakari Mwamnyeto umeweka rekodi matata Bongo kwa...

READ MORE

Simba Yampa Mugalu Dakika 180 za Mauaji

NYOTA wa Simba mwenye zali la kutupia kwenye kila mechi ndani ya Ligi Kuu Bara, Chris Mugalu ametengewa dakika 180...

READ MORE

Mapya Yaibuka Kikosini Cha Yanga

WAKATI mashabiki wa Yanga wakimsubiria kwa hamu kubwa kocha mpya wa timu hiyo, Cedric Kaze raia wa Burundi, imebainika kuwa...

READ MORE

Kagere Mwacheni Nyie! Aweka Rekodi

MSHAMBULIAJI wa Simba raia wa Rwanda, Medie Kagere, ameweka rekodi ya kucheza michezo mitatu ya Ligi Kuu Bara huku akipachika...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Apiga Simu Kambini

HUKU Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Injinia Hersi Said, akisema kuwa watamtangaza...

READ MORE

Simba Yamzuia Beki Kucheza Yanga

IMEFICHUKA rasmi kuwa uongozi wa Yanga uliamua kumuweka benchi beki wao wa kushoto, rasta Yassin Mustapha katika mchezo uliopita dhidi...

READ MORE

Sarpong: Simba SC Watanyamaza Wenyewe

MSHAMBULIAJIwa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amewajibu mashabiki wa Simba kwa kuwaambia suala la yeye kushindwa kufunga haliwezi kumuumiza kichwa kwa...

READ MORE

Denver Nuggets Dhidi ya LA Lakers, Nani Atacheza Fainali?

Denver Nuggets wameonesha uwezo wao wa kupambana dhidi ya LA Lakers, hakuna sababu ya kuamini kwamba hawawezi kuibuka kidedea katika...

READ MORE

GSM Watoa Neno Yanga Kwa Walichokipanda

BAO la kiungo wa Yanga, Mkongomani Mukoko Tonombe alilofunga kwenye mechi na Kagera Sugar limewakuna wadhamini wa timu hiyo Kampuni...

READ MORE

Fulham Wajitosa Kumbakisha Samatta England

KLABU ya Fulham inayoshiriki Ligi Kuu England ‘Premier’ imeingia katika vita ya kumsajili mshambuliaji, Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga Aston Villa....

READ MORE

Viingilio vya Mechi za Simba Vyazua Gumzo

OFISA Habari wa Simba SC, Haji Manara amesema Bodi ya Ligi (TPBL) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wameridhia maombi...

READ MORE

Hans Poppe: Nasubiri Hukumu ya TFF

MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, Zacharia Hans Poppe ameshangaa kuona...

READ MORE

Sven Aongezewa Majembe Matano Kuiua Mtibwa

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mechi zote za Ligi Kuu Bara ikiwa...

READ MORE

Kagere Aitaka Tena Rekodi Ya Mabao Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amefichua kuwa bado ana ndoto kubwa ya kuendelea kufunga mabao katika Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Kocha Mserbia Apewa Kibarua Kigumu Yanga SC

KOCHA Mkuu mpya wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic amepewa masharti makubwa kwenye mkataba ambayo anatakiwa kuyafanya msimu ujao unaoanza kesho....

READ MORE

Kagere: Walianza na Hirizi, Sasa Wanasema Nimemdunda Kocha

MSHAMBULIAJI wa klabu bingwa Tanzania Bara (VPL) na Kombe la Shirikisho (ASFC) Simba SC, Meddie Kagere amesema amesikitishwa na taarifa...

READ MORE

Lamine Moro Bado Majanga

BEKI wa Yanga, Lamine Moro, huenda akaukosa mwanzo wa msimu kutokana na jeraha la goti alilolipata hivi karibuni kwenye mazoezi...

READ MORE