×

Championi

Morrison, Mugalu Wampasua Kichwa Sven

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck ameweka wazi kwamba ana wakati mgumu wa kuwapanga wachezaji wake katika nafasi ya ushambuliaji...

READ MORE

Harmonize Aitumia Yanga SC Kumjibu Diamond

STAA wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ amemlipa aliyekuwa bosi wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya juzi Jumatatu kuachia...

READ MORE

Tshabalala: Huyu Onyango Siyo Mtu Poa, Watakiona!

BEKI wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amempigia saluti beki mpya wa timu hiyo, Mkenya, Joash Onyango kwa kusema...

READ MORE

Sarpong Ataka Rekodi ya Mabao Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, amefunguka kuwa deni kubwa kwa sasa lililo mbele yake ni kuhakikisha anafunga mabao...

READ MORE

Mabilioni ya GSM Yanga Yaifunika Simba SC

IMEFAHAMIKA kuwa wadhamini wa Yanga ambao ni Kampuni ya GSM, wametumia gharama kubwa kwenye usajili katika msimu huu kwa kutumia...

READ MORE

Sven Awatimua Aaliovamia Mazoezi Simba

KATIKA hali isiyo ya kawaida, jana watu wanaodaiwa kuwa ni polisi walitinga kwenye mazoezi ya Simba na kuingia moja kwa...

READ MORE

Kocha Msauzi Apewa Yanga SC

KOCHA msaidizi na viungo wa Yanga raia wa Afrika Kusini, Riedoh Berdien, ndiye amekabidhiwa majukumu ya kukinoa kikosi hicho kilichoanza...

READ MORE

Onja Furaha ya Gemu la Sic Bo Kupitia Meridianbet

Kama ni mpenzi wa Craps, basi utaipenda Sic Bo kwasababu zinamfanano. Kama ilivyo kwenye Craps, gemu hili linatumia kete kutambua...

READ MORE

Baada ya Morrison…Tshishimbi Naye Simba, Apewa Mkataba Kufuru

BAADA ya kumalizana na winga wa Yanga, Mghana, Benard Morrison uongozi wa Simba umerudi kwa kasi kwa aliyekuwa nahodha na kiungo...

READ MORE

Waziri Junior: Nimetimiza Ndoto ya Mama Kucheza Yanga SC

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Wazir Junior, amesema anajisikia faraja kupata nafasi ya kucheza Yanga kwani aliweka ahadi kwa mama yake...

READ MORE

Wakongwe Yanga Wafungukia Yondani, Juma Abdul Kutemwa

BAADA ya vuta nikuvute ya muda mrefu kati ya uongozi wa Yanga na walinzi waandamizi wa timu hiyo, Kelvin Yondani...

READ MORE

Namungo Kusajili Majembe Nane

BAADA ya kuwa na uhakika wa kuwakilisha nchi kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho, uongozi wa Namungo umesema kuwa utasajili wachezaji...

READ MORE

Bernard Morrison aahidi hataisumbua Simba SC

SIKU chache baada ya winga Mghana Bernard Morrison kusaini mkataba na Simba, amesema mashabiki wa timu yake hiyo mpya wasiwe...

READ MORE

 Mambo 4 Yaiangusha Yanga kwa Morrison

KAMATI ya Maadili, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kiungo...

READ MORE

Alikiba: Morrison ni Msaliti

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Coastal Union na pia msanii wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Kiba’, amesema kuwa kiungo mshambuliaji...

READ MORE

Usajili Mwingine Mkubwa Yanga Unakuja Wa Kimataifa

MKURUGENZIUwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said ni kama amewatisha wapinzani wao Simba baada ya kutoa kauli kuwa baada ya kufanikisha...

READ MORE

Eymael Aigomea Adhabu ya TFF, Asema Aipo Kisheria

ALIYEKUWA kocha mkuu wa klabu ya soka ya Yanga, Luc Eymael amesema kuwa hakubaliani na adhabu iliyotolewa na Shirikisho la...

READ MORE

Man United Yamalizana na Sanchez

Manchester United hatimaye imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili nyota huyo raia wa Chilea...

READ MORE

Yanga Yasajili Mashine Nne kwa Mpigo

JEURI ya fedha! Ndivyo utakavyoweza kusema hivi sasa baada ya Kampuni ya GSM kutumia Sh milioni 210 kufanikisha usajili wa...

READ MORE

Nyota Mpya Simba Atamba Kufanya Maajabu

CHARLES Ilanfya, straika mpya ndani ya Klabu ya Simba ambaye inaelezwa kuwa amesaini dili la kuitumikia klabu hiyo kwa msimu...

READ MORE

Mauya: Nilishuhudia Mwenzangu Akichomwa Kisu Alipofunga Bao

MBIO za usajili wa wachezaji wapya kwa ajili ya msimu wa Ligi Kuu Bara 2020/21 zimeanza kwa kasi ndani ya...

READ MORE

Maximo Rasmi Atuma CV Zake Yanga

JINA la Mbrazili, Marcio Maximo ni kati ya makocha 60 waliotuma maombi ya kuifundisha Yanga katika msimu ujao.   Yanga...

READ MORE

Sh mil 60 Zamzuia Beki KMC Kusaini Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa Sh 60Mil za kuuvunja mkataba kwenye klabu yake ya KMC, ndizo zimechelewesha mipango ya Yanga kufanikisha usajili wa...

READ MORE

Simba Queens Kutangaza Ubingwa na Mechi Mkononi

KLABU ya Simba Queens huenda ikatangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu endapo itaibuka na ushindi mbele ya Baobab Queens,...

READ MORE

 Kakolanya Akubali Yaishe Simba, Kutimkia Azam Fc

TETESI za usajili katika kuelekea msimu ujao, zinasema kuwa upo uwezekano mkubwa wa kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya...

READ MORE

Yanga SC Yambakisha Fraga Simba

BENCHI la Ufundi na Bodi ya Wakurugenzi wa Simba kwa pamoja wamekubaliana kumbakisha kiungo wake mkabaji raia wa Brazil, Gerson...

READ MORE

Kocha Mtibwa: Nipo Tayari Kutupiwa Virago

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, amesema kuwa yupo tayari kuwajibishwa na uongozi wa klabu hiyo kufuatia mwenendo mbaya...

READ MORE

Ligi Kuu Bara 2019/20: Matukio Haya Hayatasahaulika

LIGI Kuu Bara 2019/20 imefikia tamati juzi na sasa tunajiandaa na msimu ujao wa 2020/21 ambapo tunategemea utakuwa msimu bora...

READ MORE

Lusajo, Bigirimana Wampa Hofu Sven

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck, amekiri kuwa ubora wa safu ya ushambuliaji ya Namungo inayoongozwa na Reliants...

READ MORE

Sarpong: Nasubiri Tiketi Simba SC

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Rayon Sports, Michael Sarpong, amefunguka kuwa kwa sasa anasubiria viongozi wa Simba wamtumie tiketi ili aweze kutua...

READ MORE

Mzungu Yanga Akubali Muziki wa Kagere, Kahata

LUC Eymael, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa nyota wa Simba, Meddie Kagere na Francis Kahata ni miongoni mwa...

READ MORE

Niyonzima Aweka Kando Mkataba wa Yanga

LICHA ya kubakisha miezi miwili kabla ya mkataba wake kumalizika, kiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima, amefunguka kwamba ameamua kuuweka...

READ MORE

Ndanda FC, Lipuli FC, Alliance Zashuka Daraja

  PAZIA la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2019/20 jana lilimalizwa kibabe kwa klabu za Ndanda FC ya Mtwara,...

READ MORE

Wawa Kucheza Fainali Dhidi Ya Namungo FC

BEKI wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, anatarajiwa kuwepo kwenye sehemu ya kikosi kitakachoivaa Namungo FC katika mchezo...

READ MORE

Staa wa Ghana, Miaka 20 ya Ndoa, Agundua Watoto 3 Siyo Wake

JARIBU kufikiria upo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 20 au zaidi, ndoa yenu ikiwa imebarikiwa kuwa na watoto watatu,...

READ MORE

Mbelgiji Yanga Amzungumzia Straika wa Sweden

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amekiri kumfanyia majaribio mshambuliaji wa timu ya IFK Östersund inayoshiriki Ligi Daraja la...

READ MORE

Azam FC Kushusha Vifaa vya Kimataifa

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utafanya usajili wa wachezaji wa kimataifa wenye viwango vizuri ili kuirudisha timu hiyo kwenye...

READ MORE

Jembe la Yanga Lasaini Azam FC

INAELEZWA kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mohammed Issa ‘Mo Banka’ tayari ameshamalizana na mabosi wa Azam FC kwa kusaini mkataba wa...

READ MORE

Bosi Simba: Usajili Wetu Utakuwa wa Balaa!

LICHA ya mipango mizito ya usajili ambayo inayofanywa na mabosi wa Simba wakiongozwa na mwekezaji wao Mohammed Dewji ‘Mo’ imebainika...

READ MORE

Mbelgiji Aja na Mikakati Mikali ya Kusuka Kikosi

KATIKA kuhakikisha anakuwa na kikosi imara cha kubeba makombe, Kocha Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amewaambia mabosi wake kuwa katika...

READ MORE