×

Championi

Kaze: Naijua Kazi ya Saido, subirini Shoo!

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anajua kazi ya kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Said Ntibazonkiza ‘Saido’, ndiyo...

READ MORE

Mashine Hii Inakuja Yanga

BAADA ya Yanga kumkosa beki wa kushoto, Eric Rutanga katika dakika za mwisho za usajili uliopita, hatimaye uongozi wa Yanga...

READ MORE

Plateau Wamtaja Luis Kuwa Kikwazo

GOLBE Elisha, mwili jumba nyota wa kikosi cha Plateau United ambaye ni nahodha wa kikosi hicho kilichoondolewa kwenye michuano ya...

READ MORE

Kiduku, Dullah Mbabe Ndani ya Usiku wa Mabingwa Desemba 26

MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ na Twaha Kiduku wanatarajiwa kupanda ulingoni Desemba 26, mwaka huu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kiungo Yanga Apelekwa Sauz

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Balama Mapinduzi, muda wowote kutoka leo Alhamisi anatarajia kwenda Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa ajili ya kupata...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Dube Nje Wiki Sita, Mwenyewe Afunguka

HUKU ikiwa na mwendelezo wa matokeo mabaya kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara, Azam imepata pigo jingine baada ya taarifa...

READ MORE

Yusuph Mhilu: Tumeanza Kujenga Hali ya Kujiamini

YUSUPH Mhilu mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Meck Mexime amesema kuwa taratibu...

READ MORE

Wanaigeria Wachota Milioni Saba Simba SC

WAKATI Simba ikiwa imeondoka jana jioni kuelekea Nigeria, uongozi wa timu hiyo umebainisha umepata wakati mgumu wa kupata vibali vya...

READ MORE

Sven: Hii Ndiyo Simba Ninayoitaka

BAADA ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Coastal Union na kuutawala mchezo kwa asilimia kubwa, Kocha...

READ MORE

Caf Yaibadilishia Kambi Simba

SIMBA haitarudi tena jijini Dar es Salaam na badala yake itaendelea kupiga kambi mkoani Arusha kwa ajili ya maandalizi ya...

READ MORE

Mabao ya Bocco Yaweka Rekodi

WAKATI juzi Jumamosi Simba ikiibuka na ushindi mnono wa mabao 0-7 dhidi ya Coastal Union, nahodha wa kikosi hicho, John...

READ MORE

Morrison apata mbabe wake

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Simba, ambaye alisajiliwa kwa dili la miaka miwili baada ya kumalizana na Yanga, amepata mbabe...

READ MORE

Mbelgiji Simba Afunguka Sababu za Kumtema Mkude

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji, amefunguka chanzo cha kiungo wake mkabaji, Jonas Mkude kutokuwemo kwenye mechi...

READ MORE

Kagere Ndani, Morrison Freshi, Sasa Kazi Kwisha!

HABARI mbaya kwa wapinzani wa Simba kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Plateau United ya Nigeria ni kuwa, straika...

READ MORE

Simba SC Watajiwa Bei ya Beki wa Kimataifa

UNAAMBIWA bila shilingi milioni 958 za Kitanzania, Simba haiwezi kumpata beki wa kimataifa wa Burundi anayekipiga nchini Afrika Kusini katika...

READ MORE

Messi: Nimechoka Kulaumiwa Barca

  MANCHESTER City ni kama wameongezewa nguvu katika mbio zao za kumshawishi Lionel Messi kuhamia kwenye timu yao hiyo, hatua...

READ MORE

Prince Dube Awatumia Salamu Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Azam FC, raia wa Zimbabwe, Prince Dube amesema kuwa mipango yake kwa sasa ni kuhakikisha anafunga...

READ MORE

Kambi ya Yanga Balaa

UPO uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, kupangua kikosi chake cha kwanza kitakachoivaa Namungo FC, keshokutwa...

READ MORE

Yanga SC Yaanza Mawindo ya Pointi TisaHatari

LICHA ya ugumu wa ratiba yao kwenye michezo mitatu ijayo ya Ligi Kuu Bara, uongozi wa Klabu ya Yanga umesema...

READ MORE

Tonombe Aeleza Ishu ya Kwenda Simba

KIUNGO wa kimataifa wa Congo anayekipiga Yanga, Mukoko Tonombe, amesema anaipenda sana Yanga hivyo hawezi kuondoka kwa sasa.    ...

READ MORE

Kisa Yanga… Ntibazonkiza Afanyiwa Dua Burundi

INAELEZWA kuwa baadhi ya mashabiki wa soka Burundi wamepanga kumuaga kwa dua staa wa nchi hiyo Said Ntibazonkiza wakati akiwa...

READ MORE

Morrison Aunganishwa Kwenye Kikosi, Ruksa Kuwavaa Coastal Union

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck huenda atakuwa sehemu ya kikosi...

READ MORE

Abdi Banda Ajisogeza Simba

ABDI Banda, nyota wa zamani wa Klabu ya Simba ambaye alisajiliwa na kikosi hicho msimu wa 2014 akitokea Coastal Union...

READ MORE

Sven Sasa Alia na Fraga Simba

  KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa anasikitika kuwa kiungo wake raia wa Brazil, Gerson Fraga, hatakuwa sehemu...

READ MORE

Mugalu Mtambo Wa Mabao, Unaoitisha Plateau United

“MECHI ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) tuliyocheza na Yanga Julai 12, mwaka huu tulitakiwa kupata ushindi mnono...

READ MORE

Twaha Kiduku: Mwakinyo Ananiogopa

BONDIA Twaha Kassim ‘Kiduku’ ambaye makazi yake yapo Kihonda, Morogoro ni moja kati ya mabondia wenye rekodi hapa nchini. Rekodi...

READ MORE

Simba, Yanga, Azam… Vita Ya 3 Bora ni Moto

NGOMA inazidi kupigwa kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo vita ya kuwania ubingwa imeanza kukolea kwa timu tatu...

READ MORE

Simba Kutuma Mashushushu Nigeria Wiki Ijayo

UONGOZI wa Klabu ya Simba upo katika mchakato wa kuwatuma watangulizi kwa ajili ya kuwachunguza wapinzani wao nchini Nigeria, Plateau...

READ MORE

Chama Apewa Mshahara wa Kufuru Simba

AMINI usiamini, sasa ni wazi kuwa zile kelele juu ya usajili wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, zimeisha namna...

READ MORE

Yanga Yaukomalia Ubingwa wa Simba

KIUNGO mzawa Feisal Salum, ameweka bayana kuwa wamekubaliana kupambana msimu wa 2020/21 kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Yanga ipo...

READ MORE

Aubameyang Sasa Anatia Huruma

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Pierre- Emerick Aubameyang ameendelea kuwashtua wengi kutokana na kiwango ambacho amekuwa akikionyesha msimu huu.   Staa huyo...

READ MORE

Aisha Masaka; Mtambo wa Mabao wa Tanzanite Queens Unaowesumbua Cosafa

JINA la Aisha Khamisi Masaka limekuwa likijijengea umaarufu kadiri siku zinavyozidi kusogea kunako ramani ya soka la wanawake Tanzania na...

READ MORE

Simba: Tutawashangaza Wengi Kimataifa Lunyamadzo Mlyuka,

UONGOZI wa Simba umeweka bayana kwamba utawashangaza wengi kwenye kazi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwa wanaiwakilisha nchi kwenye...

READ MORE

Kaze Ampa Tuisila Mapumziko Maalum Yanga

WAKATI nyota nane wakijiunga na timu za taifa kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021, Kocha...

READ MORE

Mshambuliaji Mpya Yanga SC Kutua Wiki Ijayo

UONGOZI wa timu ya Yanga umesema kuwa unatarajiwa kumpokea mshambuliaji wao mpya Sadio Ntibazonkiza mara baada ya kumalizika kwa mapumziko...

READ MORE

Sababu 5 Simba inawachapa Wanaijeria

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck pamoja na mabosi wa timu hiyo kwa sasa wanaweza kuanza kufurahia kupangiwa Plateau United FC...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Chama Awekewa Mil 300 Yanga SC

IMEFAHAMIKA kuwa kiungo mchezeshaji raia wa Zambia, Clatous Chama, amekataa mkataba wa miaka miwili Simba wenye dau la Sh milioni...

READ MORE