×

Championi

Kama Una Kipaji Cha Soka, Nenda Stand United

  KOCHA wa Stand United, Athuman Bilali ‘Billo’ amewaita vijana wenye vipaji vya kucheza soka kwa ajili ya kufanya majaribio...

READ MORE

Akilimali: Wazee Yanga Tunampigia Dua Ajibu

  KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali, amemtaka mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu kufanya kazi...

READ MORE

Okwi aibeba familia kuja nayo Bongo

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda, ameamua kuja kivingine katika kutekeleza majukumu yake ya uwanja ambapo ameahidi...

READ MORE

Bossou ashindwana na Yanga, atua Sauz

BEKI Vincent Bossou, rasmi ameshindwana na Yanga lakini amepata neema baada ya kuitwa katika kikosi cha timu ya Bidvest Wits...

READ MORE

Lwandamina amshusha Dar ndugu wa Kamusoko

MIDO mpya anayewaniwa na Yanga, Mcongo, Papy Kabamba Tshishimbi ‘Rasta’ ameshindwa kutua kwa wakati ndani ya kikosi hicho, baada ya...

READ MORE

Banda kwaheri Simba, amalizana na Wasauz

IMEELEZWA kuwa, beki wa Simba, Abdi Banda, amejiunga na timu ya Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL)...

READ MORE

Ngassa ajifua kivyake kwa uchungu

KUFUATIA kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Mrisho Ngassa, mipango yake ya kutaka kurudi Yanga kugonga mwamba, nyota huyo ameamua kujifua...

READ MORE

Okwi kuanza kazi rasmi Simba Julai 17

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mganda, Emannuel Okwi, anatarajia kuwasili nchini Julai 17, mwaka huu baada ya kumalizika mechi ya Chan...

READ MORE

Straika Mghana anukia Simba SC

SIMBA ipo mbioni kumleta nchini straika Mghana ambapo viongozi kadhaa wa timu hiyo wamethibitisha ishu hiyo lengo likiwa ni kuimarisha...

READ MORE

Bocco atua Sauz kuiongezea nguvu Stars

  STRAIKA mpya wa Simba, John Bocco, ameongezwa katika kikosi cha Taifa Stars kinachotarajiwa kucheza nusu fainali ya Kombe la...

READ MORE

Okwi Apewa Nyumba Sinza

    UONGOZI wa Klabu ya Simba ya jijini Dar, umempatia nyumba mshambuliaji wake, Em­manuel Okwi, maeneo ya Sinza kwa...

READ MORE

Furaha Ya Mashabiki Simba, Yanga Ipo Kwenye Usajili Wa Kutunishiana Misuli

BURUDANI ya soka kwenye nchi yetu imegawanyika katika makundi tofauti kulingana na matakwa ya wanaohitaji, wapo wanaoburudika kwa matokeo ya...

READ MORE

Cannavaro Amtumia Okwi Salamu Za Tahadhari, Haya Ndiyo Aliyomuambia

Unaweza kusema, hii sasa noma kwani nahodha na beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amemuonya mshambuliaji mpya wa...

READ MORE

Boateng wa Bayern Munich Kutua Chelsea

CHELSEA inajipanga kupeleka mshtuko mkubwa pale Bayern Munich wa kumtaka beki wao Jerome Boateng. Kocha Antonio Conte wa Chelsea anataka...

READ MORE

Usajili Ghali Wa Wachezaji Kwa Miaka Yote

MCHEZAJI bora husajiliwa na fedha nyingi, na ili timu yako ionekane pia kuwa na thamani na kuwavutia wachezaji mbalimbali basi...

READ MORE

Hans Poppe: Takukuru Wamenihoji Wakaniachia

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amekiri kuitwa kisha kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

READ MORE

Fifa Waingilia Kati Ishu ya Malinzi

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) muda wowote kuanzia sasa litatuma maofisa wake kuja nchini kufuatilia tuhuma za utakatishaji fedha...

READ MORE

Diamond…Kama Kawa Ana Copy Na Ku-Paste

  SOKO la nyimbo katika dunia ya sasa linakuzwa na video za muziki, ubora wa video umekuwa ukichangia kuufanya wimbo...

READ MORE

Jose Mourinho Anamwaga Fedha

HABARI kuwa kiungo wa Chelsea, Nemanja Matic anatarajiwa kusa­jiliwa na Kocha Jose Mourinho ndani ya Manchester United kwa dau nono,...

READ MORE

Azam FC Wamfuata Niyonzima Rwanda

UONGOZI wa Azam FC hivi karibuni unatarajia kukipeleka kikosi chao nchini Rwanda alipo kiungo Haruna Niyonzima kwa ajili ya kwenda...

READ MORE

Bongo Bahati Mbaya Kwenye Soka

LIGI za soka za Tanzania kwa sasa zimesimama, timu zinakaribia kuanza maandalizi ya msimu wa 2017/2018, wachezaji wengi wapo kwenye...

READ MORE

Kessy: Nitamficha Huyo Okwi Wenu, Mtamsahau

BEKI king’ang’anizi wa Yanga, Hassan Kessy, amesikia majigambo ya Simba tangu wamrejeshe kiungo mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi na kutamka: “Subirieni...

READ MORE

Kiungo Arudisha Fedha za Usajili Yanga

KIUNGO mpya wa Azam FC, Salmin Hoza aliyejiunga na timu hiyo hivi karibuni aki­tokea Mbao FC ya Mwanza, ameamua kumalizana...

READ MORE

Lwandamina Amtumia Ujumbe Mzito Ngoma

KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina, ametuma ujumbe mzito ulioambatana na pongezi kwa Mzimbabwe, Donald Ngoma mara baada ya kupata...

READ MORE

Yanga Kuingia Mafichoni Julai 2

KIKOSI cha Yanga hivi karibuni kinatarajia kuingia kambini kuanza kujiandaa kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara ambapo kwa sasa...

READ MORE

Baada Ya Ngoma…Yanga Yatangaza Pigo Lingine

BAADA ya kufanikiwa kumbakisha mshambuliaji wao Mzimbabwe, Donald Ngoma uongozi wa Yanga umetangaza pigo lingine linakuja kwenye moja ya klabu...

READ MORE

Emmanuel Okwi Mfano Wa Watu Wenye Vipaji Vya Biashara

INGAWA kusomea muhimu lakini suala la biashara pia ni kipaji na mshambuliaji mpya tena wa Simba, Emmanuel Okwi anaweza kuwa...

READ MORE

Tetesi za Usajili Bongo, Chuji Ajiweka Sokoni

Chuji ajiweka sokoni KIUNGO wa zamani wa Yanga, Athumani Idd ‘Chuji’ amefunguka kuwa yupo tayari kujiunga na timu yoyote kufuatia...

READ MORE

Dalali: Nataka Siku Moja Niwe Rais TFF

UKIWAZUNGUMZIA viongozi waliowahi kuongoza Simba kwa mafanikio makubwa, kamwe hautasita kumtaja mwenyekiti wa zamani wa Simba, mzee Hassan Dalali, maarufu hivi...

READ MORE

Msuva Sasa Akubali Mshahara wa Sh Mil 9

LICHA ya kuwepo kwa taarifa za kiungo wa Yanga, Simon Msuva kukataa mshahara wa shilingi milioni tisa aliowekewa na Difaa...

READ MORE

Selemani Matola Asaini Mwaka Lipuli, Ataka Vijana

KOCHA mpya wa Lipuli FC ya mkoani Iringa, Selemani Matola, ameeleza kuwa, tayari ameshaanguka wino wa kuitumikia Lipuli kwa mkataba...

READ MORE

Tambwe Mambo Safi Yanga

UONGOZI wa Yanga upo kwenye hatua za mwisho za kufanikisha kumuongezea mkataba mwingine mshambuliaji wao tegemeo raia wa Burundi, Amissi...

READ MORE

Ukweli Uongozi wa Manji Yanga Ulikuwa wa Mafanikio

MWANACHAMA wa Yanga, Yusuf Manji amekuwa ndani ya klabu hiyo kwa takribani miaka 13 akiwa katika sehemu mbalimbali. Kama mwanachama...

READ MORE

Baba Amshangaa Msuva Kukataa Mshahara wa Mil. 9

SIKU chache baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amekataa kupokea mshahara wa Sh milioni...

READ MORE

Bossou Naye Atangaza Kusaini Simba

SIKU chache baada ya Haruna Niyonzima na Donald Ngoma kudaiwa kuondoka Yanga na kuwa mbioni kumalizana na Simba, beki kisiki...

READ MORE

Niyonzima Amtisha Rasta Aliyetaka Kutua Simba

KIUNGO wa Madini FC, Awesu Awesu ‘Rasta’, amefunguka kuwa amefuta mpango wake wa kujiunga na Simba baada uongozi wa timu...

READ MORE

Tambwe atua Dar kimyakimya kumalizana na Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amewasili nchini Ijumaa iliyopita kumalizana na viongozi wake hao kwa ajili ya...

READ MORE

Rais Fifa Giovanni Infantino Hakuwahi Kucheza Soka

Kimataifa (Fifa), Giovanni Infantino ni Sports Administrator, yaani mtaalamu wa utawala wa michezo. Infantino ambaye jina lake la utani ni...

READ MORE

Duh! Majimaji Kusajili Timu Nzima

KOCHA wa Majimaji FC ya Ruvuma, Kali Ongala ameibuka na kusema anahitaji kufanya usajili makini kwa ajili ya kukiboresha kikosi...

READ MORE

R.O.M.A Ahama Na Kijiji Cha Bodaboda Mbagala

Roma akiongea na waandishi wa habari kwamba ataandika historia mpya siku ya Idd Mosi atakapofanya shoo ya kufa mtu Dar...

READ MORE