×

Championi

Mkwasa: Misri hawatoki Taifa leo

Kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa . Wilbert Molandi, Dar es Salaam MARA ya mwisho kwa Taifa Stars kushiriki fainali...

READ MORE

Mkwasa: Siwezi kumlazimisha Cannavaro kucheza

Kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa (kulia). Wilbert Molandi, Dar es Salaam KOCHA wa Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema anatamani...

READ MORE

Yanga SC yaongeza Mzimbabwe, Mghana

Kikosi cha Yanga SC. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam NYOTA watatu kutoka Nigeria, Ghana na Zimbabwe wanatarajia kutua nchini ndani...

READ MORE

Samatta: Yanga inaweza kuifunga TP Mazembe

Mbwana Samatta wa KRC Genk. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam STRAIKA Mbwana Samatta wa KRC Genk amesema Yanga kama ikijipanga inaweza...

READ MORE

Championi Yawaibukia Tena ‘Vibandaumiza’ Dar

   Ofisa Masoko wa Kampuni ya Global Publishers, Yohana Mkanda (kushoto) akimkabidhi Salum Magoma, Mkazi wa Kinondoni Makuti ubao wa...

READ MORE

Pluijm: Waleteni TP Mazembe

MARA baada ya Yanga kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, bosi wa benchi la ufundi la klabu...

READ MORE

Kessy amvaa Aveva, adai mshahara wake

BEKI Hassan Kessy amemvaa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na kumwambia asipotoshe umma na badala yake awaambie ukweli...

READ MORE

Simba mpya hii hapa

Hans Mloli SIMBA imeamua kufanya usajili wa kweli kwa ajili ya msimu ujao baada ya kutoka na msimamo wa kusajili...

READ MORE

Yanga: TFF wametupa Kombe feki

Na Wilbert Molandi YANGA wamelipokea Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu Bara, lakini uongozi wa timu hiyo umeibuka na kudai...

READ MORE

Jerry Muro amuomba radhi Haji Manara

Jerry Muro Na Wilbert Molandi MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro amewaomba msamaha wapinzani wao,...

READ MORE

Hans Poppe awataja walioinyima Simba ubingwa

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hans Poppe, amefunguka kuwa sababu kubwa iliyochangia kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu...

READ MORE

Aveva: Ajib, Kessy wametuhujumu

Wilbert Molandi, Dar es salaam BAADA ya kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, uongozi wa Simba umewataja beki...

READ MORE

Mbeya City yajitosa kwa Atupele, Seseme

Hans Mloli, Dar es Salaam VUGUVUGU la usajili na kuimarisha vikosi kwa ajili ya msimu ujao tayari limeanza ambapo mapema...

READ MORE

Tambwe: Pluijm ananizuia kufunga

Said Amissi Tambwe Ally, Dar es Salaam LICHA ya kufunga mabao 21 katika Ligi Kuu Bara msimu huu, straika wa...

READ MORE

Kipa Simba: Hans Poppe msajili Sangare haraka

Zacharia Hans Popp Said Ally na Omary Mdose MLINDA mlango wa Simba, Vincent Angban raia wa Ivory Coast, amefunguka kuwa...

READ MORE

Pluijm ambeba kiungo mpya CAF

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam NI kama Kocha wa Yanga, Hans van...

READ MORE

Kessy afunguka… Nipo milimani najifua

Hassani Kessy Wilbert Molandi, Dar es Salaam: BAADA ya kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, beki wa kulia...

READ MORE

Kiiza ,Juuko wapata warithi Simba

Hamisi Kiiza   Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SIMBA sasa iko ‘siriaz’ katika kuhakikisha inafuta aibu ya kila mwaka baada...

READ MORE

Ajib mambo safi Sauz

Ibrahim Ajib Hans Mloli, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Simba, Ibrahim Ajib aliyepo nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ akifanya majaribio ya kucheza...

READ MORE

Yanga wakwea pipa na kikosi cha maangamizi

Mohammed Mdose,   Dar es Salaam KIKOSI cha Yanga, alfajiri ya leo Jumatatu kimepaa kwenda nchini Angola kwa ajili ya...

READ MORE

Niyonzima: Simba mmetupa Kessy! Mmeumia

Haruna Niyonzima Said Ally, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, ametamka kuwa wataendelea kuwafunga Simba na...

READ MORE

Ngoma, Tambwe wapata dili England

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. HUENDA siku za mastraika Donald Ngoma na Amissi Tambwe zikaanza kuhesabika kwani Derby County FC...

READ MORE

Hans Poppe: Wachezaji fedha mbele hatuwataki Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe. Ibrahim Mussa, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili...

READ MORE

Yanga kusepa zao kesho kwa dege la Wasauz

Wachezaji wa Yanga wakishangilia. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIKOSI cha Yanga kitaondoka nchini kesho kwenda Angola tayari kwa mechi...

READ MORE

Yanga wagawa basi,sasa ndege tu

Derick Lwasye, Mbeya KLABU ya Yanga imepanga kufanya mabadiliko ya kulitumia basi lao ambalo walipewa na wadhamini wao Kampuni ya...

READ MORE

Ajib aukana mkataba wa Simba SC Sauz

Ibrahim Ajib Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SIKU chache baada ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib kuondoka nchini kwenda...

READ MORE

Simba waacha basi Dar, wapanda daladala

Na Ibrahim Mussa Dar es Salaam KATIKA hali isiyo ya kawaida, juzi Jumatano wachezaji na benchi zima la ufundi la...

READ MORE

Mcameroon: Simba njooni, sina tatizo

Yussouf Sabo Na Omary Mdose, Dar es Salaam KIUNGO wa Coastal Union ya Tanga, Yussouf Sabo, raia wa Cameroon, ametamka...

READ MORE

Kessy: Nataka jezi no 25 Yanga SC

Beki wa kulia wa Simba, Hassan Kessy. Wilbert Molandi, Dar es Salaam BEKI wa kulia wa Simba, Hassan Kessy ameweka...

READ MORE

MwanaFA: Man U kucheza Uefa ni ndoto

Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’. Nicodemus Jonas Mkali wa wimbo wa Asanteni kwa Kuja, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ ametamka kuwa ni ngumu kuona...

READ MORE

Maua Sama afichua la moyoni

Msanii wa muziki wa Sweet Reggae, Maua Sama. Na Mohammed Mdose MSANII wa muziki wa Sweet Reggae, Maua Sama amefunguka...

READ MORE

Taifa Stars kujipima na Harambee Stars

Wachezaji wa timu  ya Tanzania, Taifa Stars. Na Wilbert Molandi TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepanga kucheza mchezo...

READ MORE

Nimubona: Kessy hanizidi kiwango, bahati tu

Ramadhan Kessy. Na Nicodemus Jonas ANACHOONGAA! Baada ya kuhakikishiwa kucheza mechi zote kuziba pengo la Ramadhan Kessy, beki wa kulia...

READ MORE

Okwi ataka Sh Mil 215 Simba

Straika wake Emmanuel Okwi kutoka Sonderjyske ya Denmark. Sweetbert Lukonge SIMBA imepanga kumrudisha straika wake Emmanuel Okwi kutoka Sonderjyske ya...

READ MORE

Ugomvi wa Kessy wahamia Yanga SC, Azam FC

Hassan Kessy. Wilbert Molandi,Dar es Salaam SIKU chache baada ya Hassan Kessy kusimamishwa na uongozi wa Simba, meneja wa nyota...

READ MORE

Niyonzima afanyiwa umafia na Al Ahly

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima. Wilbert Molandi, Dar es Salaam YANGA imetolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika lakini kocha wa...

READ MORE

Ngoma abeba rekodi bab’kubwa Misri

Wachezaji wa Yanga wakishangilia na straika, Donald Ngoma (wa kwanza kushoto). Abdallah Zalala, Pwani na Nicodemus Jonas LICHA ya Yanga...

READ MORE

Jipatie nakala yako ya Championi IJumaa leo

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA, LEO April 22, 2016 KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS...

READ MORE

Angban: Sikumpiga Kessy, nilimkunja tu!

Beki wa timu yake, Hassan Kessy. Omary Mdose na Said Ally KIPA wa Simba, Vincent Angban, raia wa Ivory Coast,...

READ MORE

Mkude: Tusipopanda ndege, nasepa Simba

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam HEH yamekuwa hayo! Kwani kiungo wa Simba, Jonas Mkude, amesema...

READ MORE