×

Championi

Matola: Simba ilichelewa kumtimua Kerr

Kocha msaidizi wa zamani wa Simba, Suleiman Matola. Said Ally, Dar es Salaam KWELI adui mwombee njaa, kwani kocha msaidizi...

READ MORE

Cannavaro kukabidhi barua ya kujiuzulu Stars leo

Nahodha na beki wa zamani wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Wilbert Molandi Dar es Salaam MUDA mfupi baada ya...

READ MORE

Samatta apewa uraia wa DR Congo

Mtanzania Mbwana Samatta. Sweetbert Lukonge, Zanzibar GUMZO ni Mtanzania Mbwana Samatta kutwaa Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika kwa wanaocheza...

READ MORE

Yanga SC hii, ubingwa lazima

Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia. Khadija Mngwai, Dar es Salaam YANGA imeondoka jana saa 4:00 asubuhi kwenda Zanzibar tayari...

READ MORE

Ngoma amtumia Kaseke kumtengenezea mabao

Mshambuliaji tegemeo wa Yanga, Donald Ngoma. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha anaendelea na kasi yake ya kupachika mabao,...

READ MORE

Mazembe yampa Samatta ulaji mwingine

Mchezaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam MAMBO yanazidi kunoga kwani TP Mazembe sasa inataka kumuuza...

READ MORE

Niyonzima afanya vikao vizito usiku

Kiungo mchezeshaji, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima. Hans Mloli Dar es Salaam SAKATA la Yanga kuvunja mkataba wa kiungo wake mchezeshaji, Mnyarwanda,...

READ MORE

Julio atoa ruksa wachezaji kula bata

Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. Martha Mboma, Dar es Salaam BAADA ya ligi kusimama kupisha michuano ya...

READ MORE

Mzungu Simba ampiga changa la macho Julio

Na Mohammed Mdose SIMBA leo inacheza na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga, lakini kocha wake Dylan Kerr amesema...

READ MORE

Pluijm eti anataka soka la Wenger Yanga

Arsene Wenger Na Sweetbert Lukonge KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amekubali yaishe kwa kusema sasa anataka mabao tu na haina...

READ MORE

Katumbi aweka Sh bil 5 kwa Samatta

Ibrahim Mussa na Hans Mloli MBWANA Samatta anaelekea kuweka rekodi nyingine ya kuwa mchezaji wa Tanzania mwenye thamani kubwa zaidi...

READ MORE

Uhuru anapiga tizi dk 480 kwa siku Sauz

Na Omary Mdose UKIAMUA unaweza lakini lazima uwe umeshinikizwa na kitu fulani ili kufikia kilele cha mafanikio, kwani Uhuru Selemani...

READ MORE

Jerome kula bata jukwaani Yanga

Na Nicodemus Jonas KIUNGO Jerome Sina anayefanya majaribio Yanga, ataendelea kubaki katika klabu hiyo pengine hadi katika usajili wa Juni...

READ MORE

Yanga mastraika 8, Mtaua bendi aisee!

Wachezaji wa Yanga wakishangilia. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam YANGA imeizidi kete Simba katika utitiri wa washambuliaji baada ya usajili...

READ MORE

Wachapana makonde kisa Gazeti la Championi

Wafanyakazi wa Global Publishers wakati wa uzinduzi wa Shinda Nyumba katika ofisi za Global Bamaga , Mwenge. Aplina Philipo, Mbeya...

READ MORE

Julio atamba kumfukuzisha kazi Kerr

Kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. Said Ally, Dar es Salaam WAKATI taarifa kutoka ndani ya uongozi...

READ MORE

Simba wamshtukia Majabvi, wamkata mshahara

Kiungo wake mkabaji Mzimbabwe, Justice Majabvi. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KUTISHIA kumtimua haikutosha, uongozi wa Simba umeamua kumkata mshahara...

READ MORE

Nonga aikosakosa Stand United

Paul Nonga Wilbert Molandi, Dar es Salaam KAMA zari kwa Stand United, kwani yule mbaya wao Paul Nonga aliyesajiliwa na...

READ MORE

Kiiza: Simba imebadilika, inakuja kivingine

Straika Hamis Kiiza. Wilbert Molandi, Dar es Salaam BAADA ya kufanikiwa kuwasajili Brian Majwega, Paul Kiongera na Danny Lyanga, straika...

READ MORE

Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima

Mshambuliaji, Issofou Boubacar. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga...

READ MORE

Kombe la England lazuiwa Mlimani City

KOMBE la Ligi Kuu England lililopo nchini kwa ziara maalum, jana Ijumaa mchana lilizuiwa kuingia katika viwanja vya Mlimani City...

READ MORE

Samatta aweka sharti la kucheza na Rooney au Carzola

Mbwana Samatta. Ibrahim Mussa, Dar es Salaam TP Mazembe ipo katika harakati za kumuuza straika Mbwana Samatta kwenda Lille ya Ufaransa,...

READ MORE

Kerr avuruga kikosi Simba

Mohammed Mdose, Dar es Salaam HAKUNA kukariri kuhusu kikosi cha kwanza cha Simba na kocha wa timu hiyo, Dylan Kerr, amesema...

READ MORE

Yanga yashusha straika Mtogo

MAMBO sasa kimyakimya tu kwani Yanga ipo mbioni kumleta straika hatari kutoka Togo ambaye ataingia moja kwa moja katika kikosi...

READ MORE

Humud ageuzwa beki Coastal Union

BAADA ya Tumba Sued kutimkia Mbeya City, Coastal Union sasa ipo katika harakati za kumbadili kiungo wake, Abdulhalim Humud ili...

READ MORE

Magufuli atua TFF

KASI ya utendaji ya Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli imehamia katika Shirikisho...

READ MORE

Championi yatunuku Tuzo kwa waandishi na wahariri wake

MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi...

READ MORE

Neema yazidi kumfuata Ngoma Yanga

Sweetbert Lukonge na Nicodemus Jonas NEEMA imezidi kumfuata straika wa Yanga, Donald Ngoma, baada ya klabu nyingine kutoka Uswisi nayo...

READ MORE

Majwega: Azam FC niacheni jamani

Na Wilbert Molandi, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji Brian Majwega ameipigia magoti Azam FC, kwa kusema inatosha kwa mateso inayompa...

READ MORE

Zenji yaichapa Kenya, Kili Stars uwanjani leo

Na Mwandishi Wetu, Awassa ZANZIBAR haijakubali kutolewa kinyonge kwenye michuano ya Kombe la Chalenji kwani jana Ijumaa iliifunga Kenya mabao...

READ MORE

Farid Mussa aondoka Azam, Kavumbagu kazi ipo

Na Nicodemus Jonas Dar es Salaam AZAM FC inalazimika kubadili mfumo wake, kwani winga wake Farid Mussa amepata timu Denmark,...

READ MORE

Mamilioni ya TP Mazembe yaichanganya Stand United

STRAIKA Elias Maguri amebakiza miezi sita tu katika mkataba wake na Stand United, sasa timu yake inapambana kuhakikisha inamuuza ndani...

READ MORE

Bahanuzi atoa onyo kali Ligi Kuu Bara

Ibrahim Mussa, Dar es Salaam LICHA ya kufunga mabao matatu tu tangu msimu huu uanze, straika wa Mtibwa Sugar, Said Bahanuzi,...

READ MORE

Yanga yamwita Coutinho Dar

Mbrazili, Andrey Coutinho. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam UKISIKIA nyani mzee kukwepa mishale mingi maishani ndiko huku kwa filamu inayoendelea kwa...

READ MORE

Yanga yasaka straika wa kazi

Amissi Tambwe. Na Wilbert Molandi YANGA ina washambuliaji watatu wa kutegemewa ambao ni Donald Ngoma, Amissi Tambwe na Malimi Busungu,...

READ MORE

Kerr amchenjia Mavugo

Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr . Hans Mloli, Dar es Salaam WAKATI viongozi wa Simba wakiendelea na harakati za...

READ MORE

Kavumbagu kumpisha Traore Azam FC

Straika wa Azam FC, Mrundi, Didier Kavumbagu. Ibrahim Mussa, Dar es Salaam IMEVUJA! Licha ya kuwepo kwa taarifa za straika...

READ MORE

Matola apandishwa ndege kusaini dili

Kocha Msaidizi,  Seleman Matola. Mohammed Mdose, Dar es Salaam ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Simba ambaye hivi karibuni aliamua kukaa pembeni...

READ MORE

Aibu…Nd’aw aondoka Bongo na Sh milioni 3

straika Msenegali, Pape N’daw. Nicodemus Jonas na Wilbert Moland USIBISHE ukweli ndiyo huo! Rasmi mwishoni mwa wikiendi hii, Simba ilimalizana...

READ MORE