×

Featured Stories

Tundu Lissu : Prof. Lipumba Hana Hoja, Anawavuruga CUF

MBUNGE wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Tundu Lissu, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Mchungaji Lwakatare Awatoa Wafungwa 78 Gerezani (Picha + Video)

Mchungaji Kiongozi, Dk. Getrude Lwakatare,  kupitia kanisa lake la Assemblies  of God (Mlima wa Moto) aliwalipia wafungwa 78 katika magereza...

READ MORE

Videos: Bifu la Mama Wema na Man Fongo Lafikia Pabaya!

MAMA wa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu, Bi. Miriam Sepetu ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa...

READ MORE

Meya wa Kinondoni, Boniface Jacob Ahojiwa na Polisi

Pamoja na ufafanuzi huo, Jacob aliwataka baadhi yao (askari) kushiriki kwenye mkutano huo wa wanahabari kufuatilia alichotaka kuwaeleza wanahabari na...

READ MORE

Kauli ya Kamanda Sirro Kuhusu Kukamatwa kwa Wanaolala Gesti Mchana, Dar

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam anatoa rai kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na wageni...

READ MORE

Bungeni: Majibu ya Waziri Mkuu Kuhusu Mauaji ya Askari na Uchumi wa Nchi

DODOMA: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kukutana na wadau tofauti wanaohusika na masuala ya uchumi katika kuhakikisha...

READ MORE

Huyu Hapa Kikongwe Mwenye Miaka 145 na Bado Anavuta Sigara

MZEE Mbah Gotho raia wa Indonesia anaamini yeye ndiye binadamu mzee zaidi kuwahi kuishi duniani kwani ameishi miaka mingi zaidi...

READ MORE

Mahakimu 11 Wafukuzwa Kazi, Wengine 30 Kikaangoni

WATUMISHI 34 wa mahakama wakiwemo mahakimu 11, wamefukuzwa kazi kutokana na makosa mbalimbali ya kinidhamu. Aidha, Tume ya Utumishi wa...

READ MORE

Wazee Wahofia Chadema Kuhujumiwa

BARAZA la Wazee la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limesema lina hofu ya kuhujumiwa chama chao kupitia kwa ofisi...

READ MORE

Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi

STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford mchana huu amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa...

READ MORE

Aliyoyanena Rais Magufuli Leo Akiwa Pemba

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Pemba katika Uwanja...

READ MORE

Picha: Shuhudia Nyumba Mpya Za Yamoto Band

Nyumba mpya watakazomiliki wasanii wa Yamoto Band. Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe ambaye pia ni mmiliki wa Yamoto Band, Said...

READ MORE

Hali Ilivyokuwa Wakati wa Kupatwa kwa Jua Rujewa

Jua lilivyokuwa likionekana kupitia miwani maalum ya kuchuja mionzi ya jua mjini Rujewa wilayani Mbarali mkoani Mbeya leo. Raia wa...

READ MORE

Updates: Kutoka Rujewa Katika Kupatwa kwa Jua

Saa 11:03 AM Takribani theluthi moja ya jua imefunikwa na  mwezi     Saa 9:48 AM Watu waambiwa wajikusanye katika makundi...

READ MORE

Chadema Wasitisha Maandamano ya UKUTA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kisitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike nchi nzima kesho Septemba Mosi yaliyopewa jina la UKUTA....

READ MORE

Rais JPM Ateua Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Fedha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto M....

READ MORE

Fedha za Kessy zasajili Yanga Yote!

Beki wa timu ya Yanga, Hassan Kessy. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam HAKIKA hii ni kali ya mwaka! Baada ya mzunguko...

READ MORE

TFF yamchunguza Mavugo

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, hivi karibuni alionekana kama...

READ MORE

Lema Aruhusiwa Kutoka Hospitalini

Arusha. Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema ameruhusiwa kutoka hospitali ya Aga Khan alikolazwa jana kwa matibabu baada ya...

READ MORE

Sababu za UVCCM Kusitisha Maandamano

Umoja wa Vijana wa CCM tuliutangazia umma na dunia kwamba ifikapo Agosti 31 mwaka huu tutaitisha maandamano ya amani nchi...

READ MORE

Nyota wa Cameroon Atemwa Kisa VVU

Samuel Nlend wakati akisaini mkataba na Klabu ya Al-Ittihad Alexandria ya Misri. KLABU ya Al-Ittihad Alexandria ya Misri imetangaza kuvunja mkataba...

READ MORE

Mbowe, Lowassa, Mnyika na Dkt. Mashinji Wakamatwa na Polisi, Dar

Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichokuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi jijini Dar, kimezingirwa na jeshi la...

READ MORE

Nape Azifungia Radio 5 na Magic FM Kwa Uchochezi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, ametangaza kuvifungia vituo vya Radio 5 Arusha na Magic Fm Dar...

READ MORE

Yanga Yaichapa African Lyon 3-0

Beki wa Yanga, Hassan Kessy akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Yanga SC. Wachezaji wa Yanga wakishangilia mojawapo ya mabao...

READ MORE

Afya ya Lema Mbaya Baada ya Kususia Chakula Mahabusu

Godbless Lema. Afya ya Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema imeripotiwa...

READ MORE

DC Atoa Mwezi 1 Waliovamia Hifadhi Kuhama

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Jumanne Mtaturu akimsikiliza Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kaugere, Beatus Kapatya akitoa taarifa juu...

READ MORE

Rais JPM Uso kwa Uso na Lowassa

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa wakati wa hafla ya maadhimisho ya...

READ MORE

Wabunge Simba: Mo apewe timu

Bilionea Mohamed Dewji ‘Mo’. KATIKA kile kinachoakisi mapinduzi ya kweli kwenye soka la Tanzania, nao wabunge wanachama na wapenzi wa...

READ MORE

Pichaz: Ukweli Kuhusu Mapambano ya Polisi na Majambazi Vikindu

Eneo la Mtaa wa Vikindu Mashariki mkoani Pwani kwenye nyumba ya mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Mzee Manitu paligeuka...

READ MORE

Jenerali Ulimwengu Apata Ajali, Akimbizwa Moi

TAARIFA zilizoufikia mtandao huu zinaeleza kuwa, Mwandishi Mkongwe nchini  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema,...

READ MORE

Mfanyabiashara Ataka Kujirusha Daraja la Ubungo

      Shayo akiwa juu ya daraja. Gari la Jeshi la Zima Moto likiwa eneo hilo. Baadhi ya wananchi wakimshangaa...

READ MORE

Miili ya Askari Waliouawa na Majambazi Yaagwa Leo, Dar

Waziri wa Wizara ya  Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa  kuaga miili ya askari waliouawa katika...

READ MORE

Mbatia: Rais Apeleke Muswada Bungeni Kufuta Vyama vya Siasa

    Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Taifa, James Francis Mbatia (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mbatia...

READ MORE

Rais JPM Amteua Massawe Kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu NIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...

READ MORE

Polisi: Marufuku Mikutano ya Ndani ya Kisiasa, Ishu ya Polisi 4 Waliouawa Benki Dar

KUFUATIA mauaji ya askari wanne yaliyotokea Kata ya Mbande Temeke kwa watu wanaodhaniwa ni majambazi kuvamia benki ya CRDB na...

READ MORE

JPM Amuapisha Mkurugenzi Mpya wa Usalama wa Taifa

    Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis...

READ MORE