×

Global TV Online

KILA SIKU USIKU UTAFANYA ZOEZI LA KIFO-NI KWELI USIENDE MTU AKISEMA ‘NIKIFA USIJE KUNIZIKA?|HARDTALK

KILA SIKU USIKU UTAFANYA ZOEZI LA KIFO-NI KWELI USIENDE MTU AKISEMA 'NIKIFA USIJE KUNIZIKA?|HARDTALK

READ MORE

Dkt. Biteko: Tuvumiliane Na Kuheshimiana Kama Watanzania – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa...

READ MORE

Shabiki Wa Yanga Mwenye Lishape Lake – Aliyemtongoza Harmo Mtandaoni Afunguka…

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Jackrina OG @jackrineorg amefunguka kupitia kipindi cha Funky Friday ya @255globalradio na @globaltvonline na...

READ MORE

Saratani Ilivyochukua Maisha Ya Mume Wa Mrembo Huyu, Aacha Watoto 6 – Video

Mwanadada Anna Akyoo ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya kuuza magari ya @akyoo_motors amesimulia mapito aliyopitia ya kumuuguza mumewe kwa...

READ MORE

CCM Watoa Tamko Waliomteka Na Kumuua Kikatili Mzee Ali Kibao, Walaani Vikali – Video

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Septemba 13, 2024 amesema chama hicho hakikubaliani...

READ MORE

Polisi Wamjibu Mbowe, Wapiga ‘Stop’ Maandamano ‘Wasithubutu Kuandamana’- Video

MSEMAJI wa Jeshi la Polisi nchini DCP David Misime leo Septemba 13, 2024 amesema Jeshi hilo limepiga marufuku Maandamano ya...

READ MORE

Wajue Scotland Yard Wanaotakiwa Na Mbowe, Lissu Kuja Kuchunguza Mauaji Na Utekaji – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Makamu wake, Tundu Lissu wametaka matukio ya utekaji na...

READ MORE

Aunty Ezekiel: Wolper Ananipendana Sana, Siamini Mitandao Mpaka Nione Kwa Macho”- Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

Lulu: Nimepata Mume Anayenisikiliza, Hajawahi Kunipiga – Video

Mwigizaji Elizabeth Michael almaarufu Lulu na mama watoto wawili, akiwa ni mke halali wa Francis Sizza   amefunguka kuwa mumewe huyo...

READ MORE

Mbowe Atangaza Maazimio Ya Chadema Juu Ya Utekaji Na Mauaji Ya Mzee Ali Kibao Wa Chadema – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametangaza maadhimio ya vikao vya chama hicho. Mbowe ametangaza maazimio...

READ MORE

Mzee Wa Upako Ajilipua “Haji Manara Anafanyiwa Figisu Kuua Kipaji Chake”- Video

Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka leo Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka...

READ MORE

#Exclusive Video: Pili Kitimtim – “Alinitunza Shilingi Mil. 81, Yule Baba Muacheni Wabongo Waongo”…

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Gladness Kifaruka (Pili kitimtim) amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Msanii wa Muziki nchini...

READ MORE

Natasha: Sikuwahi Kuonana Uso Kwa Uso Na Mzee Majuto, Mjukuu Wangu Sonia Amelelewa Kwa Maadili – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Natasha amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa katika maisha yake ya Sanaa hajawahi...

READ MORE

CCM Yasikitishwa Kifo Cha Mjumbe Wa Sekretarieti Ya Chadema Yatoa Pole – Video

“Nimeona kwenye Vyombo vya Habari kuanzia asubuhi mpaka sasa nitoe pole kwa Chama cha Chadema kwa kumpoteza mmoja wa Wajumbe...

READ MORE

Mdogo Wa Marehemu Ali Kibao, Afunguka Kuhusu Uamuzi Wa Familia Kutokana Na Kifo Cha Ndugu Yao – Video

Sharif Abdallah Ali, mdogo wa marehemu Ali Kibao, ameeleza kuhusu uamuzi wa familia kutokana na kifo cha ndugu yao. Kibao...

READ MORE

Irene Uwoya Asimulia Mapya Kifo Cha Kanumba Hadi Kufungua Kanisa – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Irene Uwoya amefunguka kupitia Global TV na kuelezea kuwa Marehemu Steven Kanumba alikuwa ni...

READ MORE

Shigongo: Dunia Imemeza Watu wengi Sana Wenye Akili – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Dunia imemeza watu wengi sana na wengi wao...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aeleza Hatua Zinazochukuliwa Na Serikali Akiahirisha Bunge – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na viongozi wa vyombo vya...

READ MORE

Mbowe Amtaka Mchungaji Msigwa Amlipe Shil Bilioni 5 Kwa Kumchafua, Mawakaili Wake Waeleza – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amemtaka aliyekuwa mwanachama wa chama hicho Peter Msigwa ambaye kwa...

READ MORE

Fundi Rangi Aliyejibiwa ‘SMS’ Na Rais Samia Akimuomba Simu Akiwa China Afunguka- Video

Fundi rangi anayejulikana kwa jina la Pascal amefunguka kupitia Global TV mara baada ya Maoni yake kujibiwa na Rais wa...

READ MORE

Mzee Magoma Asimulia Mkasa Wa Maisha Yake, Alivyotupwa Na Baba’ake – Video

 Mzee Juma Magoma amepiga stori na Global TV na kufunguka mambo mengi kuhusu maisha yake, likiwemo suala la wazazi...

READ MORE

Ndugulile Ahutubia Bungeni, ”Wanaohoji Jimbo La Kigamboni Lipo Wazi, Bado Lina Mbunge” – Video

Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ambae siku chache zilizopita alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, Kanda ya Afrika,...

READ MORE

Tatizo la Azam Siyo Kocha ni Wachezaji kushindwa kujituma – Video

Muda mfupi baada ya Azam kutangaza kumfungashia virago kocha wake, Yusuf Dabo, mchambuzi mahiri wa soka Bongo, @salehjembefacts amesema tatizo...

READ MORE

Rahma Aliyerejea Kutoka Iraq Anapoishi Mazingira Hayarusu Kuishi Binadamu – Video

 Mtanzania aliyekuwa amekwama nchini Iraq alikoenda kufanya kazi za ndani, Rahma amesimulia mateso aliyoyapitia kwa kipindi chote alichokuwa nchini...

READ MORE

Hizi ndizo aina za kodi kwa wafanyabiashara na tarehe za malipo yake – TRA wafunguka

 Meneja wa elimu ya Mlimpakodi – TRA CPA – Paul Walalaze amefunguka kupitia kipindi cha Front Page na kueleza...

READ MORE

Shigongo Afunguka Maajabu Ya Miaka 3 Ya Rais Samia Jimboni Buchosa – Video

Mbunge Eric Shigongo ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maji, Ujenzi wa Visima 15 katika Jimbo la Buchosa ili kuepukana na...

READ MORE

Ajira 351 Tawa Zazua Mtiti Bungeni, Wabunge Wakataa Vigezo, Wacharuka – Video

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kilele Cha Miaka 60 Ya Jeshi La Ulinzi La Wananchi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la...

READ MORE

Mtanzania Aliyekwama nchini Iraq Rahma Arejea nchini Tanzania

Mtanzania aliyekwama nchini Iraq Rahma amerejea nchini Tanzania na kupokelewa leo Agosti 31, 2024 Jijini Dar es salaam. Rahma amefunguka...

READ MORE

Utajiri Wa Kishirikina Unavyomuua Mama Yake Mzazi – ”Starehe Ruksa Ila Marufuku Kusaidia Ndugu” – Video

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mulky Afunguka Penzi Lake Na Isarito ”Ni Kitu Cha Kawaida” – Video

Msanii ambaye anafanya vizuri sana katika tamthiliya ya Bunji na Jua Kali, Mulky Salum amesema kuwa kutokana na ushikaji mkubwa...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mashindano Ya Kimataifa Ya Qur’aan, Ahimiza Kudumisha Umoja – Video +Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 31, 2024 ameshiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya...

READ MORE

Msikilize Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran – Video

Msikilize mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran, Sumaiya Othman (13) alivyofanya makubwa jukwaani katika mashindano hayo yanayofanyika...

READ MORE

Shigongo: Sheria Ya Vileo Ifanyiwe Marekebisho, Ni Wajibu Wa Wazazi Kuwalinda Watoto – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema ili kuhakikisha sheria ya kuwalinda watoto inakuwa na maana, ni lazima kuhakikisha mabadiliko yake...

READ MORE

Waziri Mkuu Ajibu Maswali Ya Papo Kwa Hapo Bungeni, Mauaji Kwa Mganga Yatikisa – Video

Spika wa Bunge Dkt.Tulia Ackson amekemea kauli za baadhi ya watu za kuvihusisha vyombo vya dola na matukio ya uvunjifu...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Ufunguzi Wa Kikao Kazi Cha Wenyeviti Wa Bodi AICC Arusha – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 28, 2024 ameshiriki Ufunguzi wa kikao kazi...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga AU (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 27, 2024 akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi...

READ MORE

Adaiwa Kumteka Mtoto Wa Miaka 7 Na Kutaka Kumbaka, Amtishia Kisu – Video

Kijana mmoja ambaye hajafahamika kwa jina amenusurika kuuawa Agosti 25, 2024 katika mtaa wa Nyambwela wilaya ya Temeke jijini Dar...

READ MORE

Mwaka Wa 19 Anatembea Na Uvimbe Mkubwa, Unatoa Vidonda Na Uchafu – Video

Kama umezaliwa mzima na hujawahi kupata mitihani mikubwa ya maradhi katika maisha yako, unapaswa kumshukuru sana Mungu wako! Kalume Ally...

READ MORE

Jirani Alimuona Ezania Kwenye Gari La Mpenzi Wake Siku Ya Tukio – Video

Global TV imefika nyumbani kwa mwanadada Ezenia Stanley ambaye Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwamba ameuawa kikatili na mwili wake...

READ MORE