×

Global TV Online

Rais Samia Ashiriki Kilele Cha Miaka 60 Ya Jeshi La Ulinzi La Wananchi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la...

READ MORE

Mtanzania Aliyekwama nchini Iraq Rahma Arejea nchini Tanzania

Mtanzania aliyekwama nchini Iraq Rahma amerejea nchini Tanzania na kupokelewa leo Agosti 31, 2024 Jijini Dar es salaam. Rahma amefunguka...

READ MORE

Utajiri Wa Kishirikina Unavyomuua Mama Yake Mzazi – ”Starehe Ruksa Ila Marufuku Kusaidia Ndugu” – Video

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mulky Afunguka Penzi Lake Na Isarito ”Ni Kitu Cha Kawaida” – Video

Msanii ambaye anafanya vizuri sana katika tamthiliya ya Bunji na Jua Kali, Mulky Salum amesema kuwa kutokana na ushikaji mkubwa...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mashindano Ya Kimataifa Ya Qur’aan, Ahimiza Kudumisha Umoja – Video +Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 31, 2024 ameshiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya...

READ MORE

Msikilize Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran – Video

Msikilize mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran, Sumaiya Othman (13) alivyofanya makubwa jukwaani katika mashindano hayo yanayofanyika...

READ MORE

Shigongo: Sheria Ya Vileo Ifanyiwe Marekebisho, Ni Wajibu Wa Wazazi Kuwalinda Watoto – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema ili kuhakikisha sheria ya kuwalinda watoto inakuwa na maana, ni lazima kuhakikisha mabadiliko yake...

READ MORE

Waziri Mkuu Ajibu Maswali Ya Papo Kwa Hapo Bungeni, Mauaji Kwa Mganga Yatikisa – Video

Spika wa Bunge Dkt.Tulia Ackson amekemea kauli za baadhi ya watu za kuvihusisha vyombo vya dola na matukio ya uvunjifu...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Ufunguzi Wa Kikao Kazi Cha Wenyeviti Wa Bodi AICC Arusha – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 28, 2024 ameshiriki Ufunguzi wa kikao kazi...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga AU (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 27, 2024 akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi...

READ MORE

Adaiwa Kumteka Mtoto Wa Miaka 7 Na Kutaka Kumbaka, Amtishia Kisu – Video

Kijana mmoja ambaye hajafahamika kwa jina amenusurika kuuawa Agosti 25, 2024 katika mtaa wa Nyambwela wilaya ya Temeke jijini Dar...

READ MORE

Mwaka Wa 19 Anatembea Na Uvimbe Mkubwa, Unatoa Vidonda Na Uchafu – Video

Kama umezaliwa mzima na hujawahi kupata mitihani mikubwa ya maradhi katika maisha yako, unapaswa kumshukuru sana Mungu wako! Kalume Ally...

READ MORE

Jirani Alimuona Ezania Kwenye Gari La Mpenzi Wake Siku Ya Tukio – Video

Global TV imefika nyumbani kwa mwanadada Ezenia Stanley ambaye Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwamba ameuawa kikatili na mwili wake...

READ MORE

Sophia wa Jua Kali: Mchumba Wangu Hajui Kama Nina Mapengo – Video

Msanii wa filamu za Kibongo anayefanya poa kwenye tamthilia ya Jua Kali @sophy_juakali ametoa kali ya mwaka baada ya kusema...

READ MORE

Inauma! Kisa Bodaboda – Ndoa Ya Dada’ke Dula Makabila Yavunjika, Anafunguka – Video

Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia, Amina Vikoba amefunguka kupitia kipindi cha Katambuga kupitia Global Radio na kueleza...

READ MORE

#Exclusive: Anitha Wa Jua Kali Afichua Alivyolala Siku 27 Baharini Usiku – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Anny Dickson Dickson @anielaprincess anajulikana kama Anita ndani ya tamthilia ya Jua Kali, amefunguka...

READ MORE

Mahakama Kuu Yazuia kufuta vijiji katika Wilaya la Ngorongoro – Video

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe La Msingi Suluhu Sports Academy Kizimkazi, Zanzibar – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi...

READ MORE

Lulu Mganga Ataka Kulia Mazito Aliyopitia ”Nimeteseka, Nilirogwa Mpaka Dunia Nikaona Chungu” – Video

Mwanadada aliyejipatia ustaa mkubwa mitandaoni, Dotto Waziri almaarufu @lulu_white_product amesema ni kweli yeye ni mganga wa kienyeji na kwamba hakutaka...

READ MORE

Zaiylissa: Lazima Niwe na Wivu Kwa Mume Wangu, Ninatunzwa

Staa wa filamu za Kibongo ambaye anafanya poa kwenye tamthiliya ya Jua Kali, @zaiylissa amefunguka kuwa kila kukicha anapendeza kwa...

READ MORE

Wakili Anayewatetea Jamaa 4 Wanaotuhumiwa Kumbaka Binti Wa Yombo, Afunguka – Video

WAKILI anayewatetea Watuhumiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya kubaka na kulawiti na baadae picha mjongeo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atoa Vyeti Vya Mafunzo Uwanja Wa Mwehe Makunduchi Zanzibar (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitoa Vyeti vya Mafunzo Uwanja wa Mwehe...

READ MORE

Simulizi Ya Kusisimua Ya Mrembo Mwenye Ulemavu Aliyejikubali, Awa Mpishi Mzuri Wa Keki – Video

Mfanyabiashara Angela Isaac @angeliquerzery mwenye changamoto ya ulemavu amefunguka kupitia Global TV na kuelezea mojawapo ya changamoto anazopitia katika majukumu...

READ MORE

#Exclusive: Junaithar Dada Wa Jack Pemba Akataa Kuzungumzia Ndoa Yake Baada Ya Kuachana Na Mumewe – Video

Mfanyabiashara na staa wa mitandaoni, Junaither Pemba @junaithar ambaye ni dada wa mfanyabiashara maarufu Jack Pemba, amefunguka kuwa hakuwahi kuweka...

READ MORE

Kauli Ya Ali Kamwe Kwa Msemaji Wa Vital’O ”Kama Mwijaku Aombe Rashi, Atuheshimu” – Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe ameeleza kuwa mojawapo ya malengo waliojiwekea msimu huu ni kuhakikisha wanabeba...

READ MORE

Makonda, Dkt. Biteko Na Aweso Kuujadili Mradi Wa Maji Wa Bilioni 520 Ulioshindwa Kutekelezeka – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amepanga kukutana na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa...

READ MORE

Wananchi Arusha Wamfungukia Makonda ”Akiondoka Awe Anaaga ” – Video

Wananchi Arusha wamemtaka Mkuu wa mkoa huo Paul Christian Makonda  akiwa anaondoka awe anaaga baada ya kupita ukimya wa takribani...

READ MORE

Queen Mulerwa: Harmonize Alinipa Milioni Tano-Siwezi Kudate Na Wabongo Hawana Hela

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini @mulerwa_queen amefunguka kupitia @255globalradio na @globaltvonline kupitia kipindi cha Bongo 255 na kueleza kuwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Dar (Picha +Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Mawaziri hao walioapa...

READ MORE

Suzy Mla Nyama Mbichi Afunguka ”Boyfriend Wangu Aliniacha Aliogopa” – Video

Msanii wa Bongo Muvi, @bintsuzy amefunguka kuhusu tatizo lake la kupenda kula nyama mbichi na kudai kuwa tangu aanze kula...

READ MORE

Polisi Watoa Kauli Kuwaachilia Lissu, Mbowe Na Wengine – Video

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao...

READ MORE

Softena: Niliachana Na Mume Wangu Sababu Ya Mambo Ya Kiswahili, Nilipata Uchizi- Video

Mwanamama Hidaya Alex almaarufu @Softena100 amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka kuhusu maisha yake halisi. Amesema watu wengi humtukana...

READ MORE

Mzee wa Yanga: Taifa letu Linapaswa Kuwa na Waamuzi Wazuri – Video

Mzee wa Yanga SC tawi la Nyabwela amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa taifa letu linapaswa kuwa na Waamuzi...

READ MORE

Queen Masanja: Kuolewa Mke Mwenza ni Kazi Sana, Sitamani Kuolewa – Video

Queen Masanja ni mwanamke ambaye amewahi kuwa mke wa Dokta Mwaka kabla ya ndoa yao haijapigwa na kimbunga na kusababisha...

READ MORE

Mzee Bayo Amwaga Machozi Mtoto Hatembei, Degedege Inamtesa – “Rais Samia Na Watanzania Nisaidieni”- Video

Ukiona mtu mzima analia mbele za watu, ujue kuna jambo! Charles Bayo analia. Kinachomliza ni mwanaye Emmanuel Bayo (15) ambaye...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Azindua kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri Morogoro – (Picha+Video)

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha Sukari Mkulazi kilichopo Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti, 2024.

READ MORE

#Exclusive: Isha Mashauzi Awalipua Shilole Na Esha Buheti “Wote Hawajui Kupika”… Video

Kufuatia vita ya maneno inayoendelea kwa kasi mitandaoni kati ya mwanadada @officialshilole na @esha.s.buheti, mwanamuziki mkubwa wa Taarab ambaye naye...

READ MORE

Bwana Harusi Afanya Sherehe Mwenyewe Baada Ya Bibi Harusi Kugomea Harusi – Video

Bwana Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemlwa halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi amejikuta kwenye sintofahamu baada...

READ MORE

Mtangazaji Sakina Lyoka: Mwanaume Apewe Thamani Yake – Video

Mtangazaji Sakina Lyoka @sakinalyoka_ amefunguka kupitia kipindi cha Katikati ya Koko cha Global TV na @255globalradio kuwa mwanaume anatakiwa apewe...

READ MORE

Asia: Miaka 20 Bila Figo, Moyo Ulisimama Kwenye Mashine, Aomba Msaada kwa Rais Samia

Hakika kabla hujafa hujaumbika! Kauli hii inamuendea moja kwa moja mwanadada Asia Mustafa @asia.mustafa ambaye kwa takribani miaka 20 sasa,...

READ MORE