×

Global TV Online

Video: Ajali Moro Yaua Watu Wawili, Lori Zagongana, Moja Yawaka Moto

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia Julai 24, 2026, katika...

READ MORE

Video: Wafanyabiashara Soko la Mawenzi Morogoro Wagoma

Wafanyabiashara wa Soko la Mawenzi mkoani Morogoro wamegoma kufungua biashara zao wakishinikiza Serikali kupunguza kodi ya pango la vizimba, wakidai...

READ MORE

Iran Yaishambulia Jordan na Bahrain, Houthis Watishia kufunga Mlango wa Bab el-Mandeb

Mvutano wa kijeshi kati ya Marekani na Iran umeendelea kuongezeka baada ya Iran kudai kushambulia kambi za kijeshi za Marekani...

READ MORE

Video: Trump Aipa Iran Onyo Baada ya Mashambulizi ya Wahouthi Yemen

Rais wa Marekani, Donald Trump, leo Julai 23, 2026 ameonya kuwa iwapo waasi wa Houthi nchini Yemen wataendelea kufanya mashambulizi...

READ MORE

Wabunge Waibana Serikali ya Trump Kuhusu Bajeti ya Vita dhidi ya Iran

Washington, D.C. – Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema gharama za vita dhidi ya Iran zimefikia dola bilioni...

READ MORE

Video: Rais Samia Ateua Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Wenyeviti Wawili wa Bodi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu mmoja na Wenyeviti wawili...

READ MORE

Waziri Masauni Ahimiza Wananchi wa Rufiji Kutumia Fursa ya Biashara ya Hewa ya Ukaa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni, amewahimiza wananchi na viongozi wa Wilaya ya Rufiji kutumia...

READ MORE

Rais Samia Azindua Ujenzi wa Meli Nne za Mizigo Bandari ya Kigoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 20, 2026, amezindua rasmi mradi wa ujenzi...

READ MORE

Miili ya Baba na Mdogo Wake Yazikwa Mwananyamala, Dar – Video

Miili ya Hamza Juma Omary na mdogo wake Ally Juma Omary, wanaodaiwa kuuawa na mtoto wa Hamza, Hosam Hamza, imezikwa...

READ MORE

Marekani Yaishambulia Iran Tena Baada ya Wanajeshi Wake Kuuawa Jordan – Video

Marekani imefanya mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Iran baada ya shambulio lililolenga kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Jordan...

READ MORE

Polisi Watoa Taarifa Mauaji Ya Baba Mzazi Na Baba Mdogo, Miili Yapatikana – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Hosamu Hamza maarufu kwa jina la Maopena, kwa tuhuma za...

READ MORE

Video: Maopena Akamatwa kwa Tuhuma za Kumuua Baba Yake na Baba Mdogo

Dar es Salaam – Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Osam Hamza, maarufu kwa jina la...

READ MORE

Iran Yatoa Onyo kwa Marekani “Mashambulizi Yakiendelea Tutapanua Uwanja wa Vita” – Video

Mvutano kati ya Iran na Marekani umeendelea kuongezeka baada ya kiongozi mwandamizi wa kijeshi wa Iran, Meja Jenerali Mohsen Rezaei,...

READ MORE

Rumble Kong CASHINGO Na Mbinu Mpya Za Ushindi

Watu wamezoea kasi, msisimko na burudani isiyoisha. Sasa Meridianbet inaleta moto mpya kupitia Rumble Kong CASHINGO, mchezo wa sloti kutoka...

READ MORE

Iran Yalipiza Kisasi Baada ya Marekani Kushambulia Madaraja na Uwanja wa Ndege – Video

Mapigano kati ya Marekani na Iran yameingia katika hatua mpya ya hatari baada ya pande zote mbili kuanza kushambulia miundombinu...

READ MORE

Vodacom Yazindua Mashindano ya Golf Kuimarisha Uhusiano wa Kibiashara Nchini

Vodacom Tanzania PLC imezindua rasmi mashindano ya Gofu ya Vodacom Corporate Masters 2026 kwa kushirikiana na Oakwood Holdings Limited yatayofanyika...

READ MORE

Houthis Warusha Makombora Saudi Arabia Baada ya Miaka Minne ya Utulivu – Video

Harakati za Houthi nchini Yemen zimerusha makombora kuelekea Saudi Arabia, hatua iliyovunja kipindi cha takribani miaka minne cha utulivu kati...

READ MORE

Rais Samia: Sijawahi Kuruhusu Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema hajawahi kusaini hati ya kuruhusu utekelezaji wa adhabu...

READ MORE

Fedha Zatawala Send Off ya Monalisa Buyamba, Zawadi Zimefikia Bilioni 1+ (Picha +Video)

Usiku wa kuamkia leo Jumatatu Julai 13, 2026 ulikuwa wa aina yake kwa familia ya Buyamba mkoani Geita baada ya...

READ MORE

Mjasiriamali Lilian Mmari Ajizawadia Apartment ya Milioni 400 Akitimiza Miaka 40 – Video

Mjasiriamali maarufu Lilian Mmari, anayefahamika pia kupitia LIM Microfinance, ameendelea kuonyesha kuwa malengo yanaweza kutimia kwa juhudi na nidhamu, baada...

READ MORE

Sendoff ya Kifahari: Mtoto wa GSM wa Katoro Aenda Kukagua Ukumbi kwa Chopa – Video

Maandalizi ya sendoff ya Monalisa Sylvester, mtoto wa mchimba madini maarufu wa Katoro, Geita, Sylvester Muyamba maarufu kama GSM wa...

READ MORE

Zuchu na Diamond Waachana, Mashabiki Wabaki na Maswali, Mitandao Yachafuka – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametangaza kuwa uhusiano wake wa ndoa na Diamond Platnumz umefikia tamati. Kupitia ujumbe...

READ MORE

Wolper Afunguka Kuhusu Maisha ya Mastaa “Watu Huona Raha Tu, Hawajui Tunachopitia” – Video

Staa wa filamu za Bongo na mfanyabiashara maarufu, Jacqueline Wolper, amesema watu wengi huvutiwa na maisha wanayoishi mastaa bila kufahamu...

READ MORE

Video: Kuna Chimbo Pikipiki, Bajaji Unaipata Kwa Laki 8 Tu, Keko Commission Agent

️️ Je, unatafuta pikipiki au bajaji bora kwa bei nafuu? Hapa ndipo mahali sahihi! Pata pikipiki na bajaji zenye ubora...

READ MORE

Iran Yafunga Mlango wa Hormuz, Yashambulia Qatar, Bahrain na UAE kwa Makombora – Video

Iran imepanua mashambulizi yake ya kijeshi katika eneo la Ghuba baada ya kurusha makombora na droni kuelekea Qatar, Bahrain na...

READ MORE

Mwana FA Aimba na Mashabiki Katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Fleva

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameshiriki tamasha la kihistoria la maadhimisho ya miaka 30 ya...

READ MORE

ChardTalent: Kutoka Kushushwa Jukwaani Hadi Kuanzisha Muziki wa Kiucheshi Tanzania

Dar es Salaam – Wengi wanamfahamu ChardTalent kupitia nyimbo zake za vichekesho na video zinazovuma mitandaoni, lakini nyuma ya mafanikio...

READ MORE

Historia Yaandikwa! Bongo Fleva Yaadhimisha Miaka 30 kwa Kishindo Mlimani City, Dar – Video

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, maarufu kama MwanaFA usiku wa kuamkia leo Julai 11, 2026 ameshiriki...

READ MORE

Mnyika Avunja Ukimya: Afunguka Kusimamishwa kwa Viongozi, Fedha za Chadema – Video

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema uamuzi wa kuwasimamisha baadhi ya viongozi wa chama...

READ MORE

Harmonize na Kajala Waonekana Pamoja Baada ya Tetesi za Kuachana

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa Konde Music Worldwide, Harmonize, ameibua hisia usiku wa kuamkia leo Julai...

READ MORE

Madarasa Mapya, Matumaini Mapya: Uwekezaji Ulivyobadili Mazingira ya Kujifunzia Shule ya Msingi Orng’adida

Babati, Manyara – Kwa miaka kadhaa, wanafunzi wa Shule ya Msingi Orng’adida iliyopo katika Kata ya Quash, Wilaya ya Babati...

READ MORE

Iran Yashambulia Vituo vya Kijeshi vya Marekani Bahrain na Kuwait, Bei ya Mafuta Yapanda

Mvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka tena baada ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) kudai kushambulia...

READ MORE

Video: Kamanda Muliro Afunguka Sababu ya Polisi Kushirikiana na JWTZ Dar

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi...

READ MORE

Haya Hapa Matokeo ya Kidato cha Sita na Ualimu 2026 Yaliyotangazwa na NECTA leo – Video

 Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Jumatatu Julai 6, 2026, limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato...

READ MORE

Maelfu Wafurika Mitaani Tehran Kuaga Mwili wa Ayatollah Ali Khamenei- (Picha +Video)

Msafara wa mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei,  leo Julai 6, 2026 umepitia mitaa ya mji...

READ MORE

Mashabiki Wamiminika Kuwapokea Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Dar – (Picha +Video)

Ni mwendo wa shangwe na furaha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, ambapo mashabiki na viongozi mbalimbali...

READ MORE

JWTZ Yatoa Onyo Dhidi ya Wito wa Vurugu, Yawahimiza Wananchi Kudumisha Amani – Video

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza...

READ MORE

Advela na Mama Yake Wamshukuru Shigongo kwa Kuwagharamia Matibabu ya Miguu – Video

Mtoto Advela pamoja na mama yake, Melisiana, wamemtembelea Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, kumshukuru kwa msaada alioutoa uliowezesha mtoto huyo...

READ MORE

Lissu Ataka Kulipwa Fidia Kwa Kudai Kesi Yake Imecheleweshwa Kwa Makusudi – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameiomba Mahakama ya Rufani ya Dar es Salaam iamuru Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kumlipa fidia...

READ MORE

Mwili wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ulivyowasili Tehran Kabla ya Maziko ya Taifa – Video

Mwili wa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, ulivyofika katika eneo la Grand Mosalla jijini Tehran siku ya leo Ijumaa...

READ MORE