×

Global TV Online

Muasisi Kampuni Ya Ticts ‘Karamagi’ Afunguka Uwekezaji Bandari Ya Dar – Video

Muasisi wa Kampuni ya TICTS ambae ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kagera, Nazir Karamagi amesema anaunga...

READ MORE

Wasira Amshangaa Lissu Kwenda Chato “Hakuna Aliyemtukana Kama Yeye” – Video

MWANASIASA mkongwe nchini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira ameeleza kushangazwa na hatua ya...

READ MORE

#Exclusive: Queen Masanja Afunguka Kutovaa Stara – ”Mwanamke Usiogope Kuanza Upya” – Video

Queen Masanja ni mwanamke ambaye amewahi kuwa mke wa Dokta Mwaka kabla ya ndoa yao haijapigwa na kimbunga na kusababisha...

READ MORE

Twaha Kiduku Achezea Kichapo Kutoka Kwa Wellem kutoka Afrika Kusini – (Video + Picha)

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amepokea kichapo dhidi ya Bondia, Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini kwa pointi za majaji katika pambano...

READ MORE

Aunt Ezekiel Afunguka Kupenda Pombe na Biashara Yake ya Bar – Video

Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa biashara yake ni ya Bar, ni ngumu kuiacha kwa sababu yeye...

READ MORE

#Exclusive: Bi Mwenda Afichua Alivyoikimbia Nyumba Ya Urithi, Uchawi Anaoigiza – Video

MUIGIZAJI mkongwe wa filamu hapa nchini, Fatma Makongoro ” Bi Mwenda” amefunguka kuwa jina la kuitwa mchawi kila anapokatiza amebidi...

READ MORE

Video: Abbas Tarimba Afichua Siri Ya Usajili Wa Max Nzingeli, Mbadala Wa Mayele Yanga…

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

Rais Samia: Zaidi Ya 60% Ya Watu Wa Afrika Ni Vijana Chini Ya Miaka 25 – Video

Rais wa Samia Suluhu Hassan ametaja takwimu hizo wakati akishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali...

READ MORE

Tarimba Abbas: Hersi Ameitengeneza Yanga Kuwa Tofauti Na Klabu Nyingine – Video

Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Yanga SC na Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Tarimba Abbas ameuzungumzia utofauti wa klabu...

READ MORE

Video: Mkali Wa Kuchezea Pikipiki Wa Arusha Done Alivyopata Ajali Na Kufariki Rafiki Zake Wafunga Barabara

Kijana mmoja aliyefahamika kama mkali wa kuchezea pikipiki jijini Arusha amepata ajali na kufariki palepale kwa kile kinachodaiwa kuonesha ufundi...

READ MORE

Exclusive Video: Jasinta Atamani Kulia Akifichua Ya Mama Yake, Nyumba Aliyomjengea…

Mwanamitindo, mwigizaji na mjasiriamali anayekuja poa Bongo, @jasintamakwabe amefunguka kuwa katika maisha yake ya kimapenzi, ameumizwa sana na wanaume aliowahi kuwa nao...

READ MORE

#Exclusive Video: Mwanaheri Atamba – ”Naanzaje Kuachika Na Uzuri Wote Huu? Mtoto Wangu Ana Mama Wawili”

Msanii wa Bongo Movie Mwanaheri maarufu kama Madam Simba amefunguka kupitia Exclusive za Imelda Mtema kuwa yeye ameolewa na mtu...

READ MORE

Rais Hungary Awafungulia Watanzania Milango Nchini Mwake- (Picha +Video)

Rais wa Hungary, Katalin Novák amempa Rais Samia Suluhu mwaliko maalumu wa kuhudhuria kongamano maalumu la Budapest ambalo huwakutanisha viongozi...

READ MORE

#Exclusive Video: Chino Afunguka Alivyotrend – ”Msinigombanishe Na Diamond, Haijaniongezea Chochote”…

Msanii aliyejizolea umaarufu kwenye mitandao ya kijamii @chinokidd7 kutokana na kazi zake amefunguka na kuelezea jinsi ambavyo anamkubali msanii Ali...

READ MORE

Mama Aangua Kilio Kizito Kisa Mwanawe… “Mateso Yangu Ni Mazito” – Video

Anna Stephano (38)Mkazi wa Arusha ambaye anapitia magumu sana baada ya mtoto wake Angela Stephano (12) kuzaliwa na tatizo la...

READ MORE

Mapya! Kusah Afunguka Mahusiano Yake Na Moses Iyobo, Atoboa Siri Za Kufanya Kazi Na Maua Sama -Video

MSANII wa Bongo Fleva, Salmin Hoza almaarufu Kusah ambaye ni mpenzi wa muigizaji Aunty Ezekiel leo Julai 6, 2023 amefunguka...

READ MORE

Rais Samia Azindua Jezi Mpya Za Yanga Akiwa Malawi, Akabidhiwa Na Rais Wa Malawi-Video

Klabu ya Yanga imezindua jezi zake rasmi kwa ajili ya msimu ujao wa 2023-24 ambapo uzinduzi huo umefanyika Nchini Malawi...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Mbaroni Kwa Madai ya Kubaka Na Kumpa Mimba Mwanafunzi Wake – Video

Charles Maige ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilimo wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani...

READ MORE

Steve Nyerere Atema Nyongo Sakata La Bandari Kuuzwa – Video

Msanii na Mchekeshaji Steve Nyerere amewavaa wanaodai kuwa mkataba wa Bandari siyo rafiki kwa watanzania. Steve amewataka watanazania kuitumia fursa...

READ MORE

#Exclusive Video: Mboto; “Mimi Sina Stress, Watoto Wangu Hawasumbui, Badi Alimpiga Mwanae Vichwa 78”…

Mchekeshaji na mwigizaji mahiri Bongo, Mboto anasema tangu alipoanza kuigiza kwenye tamthilia ya Huba, amebadilika vitu vingi kuanzia kwenye sanaa...

READ MORE

Video: Mtoto Akatwa Mguu Baba Aililia Hospitali – “Walishindwa Kutupa Msaada Wa Ambulace, Shida Mil2”

Simulizi ya mtoto huyu, aliyekatwa mguu baada ya kutokea makosa ya madaktari alipoenda kutibiwa, inahuzunisha. Global TV imezungumza na baba...

READ MORE

Niffer Afunguka Kumpigia Simu Mke Wa Kiba, Ugomvi Uliozuka Kisa Mtoto – Video

Mfanyabiashara maarufu wa vitu mbalimbali hapa Bongo Jenifer Jovin ‘Niffer’ ameweka wazi kuwa Ali Kiba ndiye mtu pekee ambaye humueleza...

READ MORE

#Exclusive: Shamsa Ford Amejibu -“Mtoto Wa Mume Wangu Ni Wangu” -Video

Shamsa Ford mwanadada mrembo kwenye tasnia ya uigizaji na mfanyabiasha wa nguo za kike hasa madira na vijora, ameafunfuka mahusiano...

READ MORE

Ally Kamwe Afunguka Usajili Yanga, Uzinduzi Wa Jezi, Namba 6 Mpya – Video

Kuelekea uzinduzi wa jezi za Klabu ya Yanga, afisa habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe ametoa ufafanuzi wa namna viongozi...

READ MORE

Whozu Akataa Kuoa Mbele Ya Wema Sepetu – ”Sijafikia Stage Ya Kuoa” – Video

KWENYE EXCLUSIVE ya IMELDA MTEMA amepiga stori na wapenzi wawili wanaochangamsha sana mji Wema Sepetu na Whozu ambao wamefunguka mengi…

READ MORE

Video: Aliyekuwa Mpigapicha Wa Jux Amwaga Shombo Kwa Bosi Wake, Adai Makabila Kamchukulia Mke…

Kupitia kipindi cha Mapito kinachoruka hewani kupitia 255global radio, mpiga picha wa zamani wa msanii wa Bongofleva Jux, @mingoclass amekanusha...

READ MORE

Spika Atolea Ufafanuzi Baada ya Kengele ya Tahadhari Kulia Bungeni Leo- Video

SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson asubuhi ya leo Juni 27,2023 ameahirisha shughuli za Bunge kwa muda baada ya kengele...

READ MORE

Siri Nzito Utajiri Wa Wahindi, Anaanzisha Biashara Babu, Anakufa Hadi Mjukuu Anaikuta…

Unajua ni kwa nini wafanyabiashara wenye asili ya India (Wahindi), wana mafanikio makubwa kwenye biashara zao kiasi cha kuzalisha matajiri...

READ MORE

Exclusive Video: Muathirika Vyeti Feki Asimulia Alivyoingia Serikalini Hadi Kutumbuliwa -“Nilikuwa Dereva”

Mwathirika wa Sakata la vyeti feki ambaye ni mkazi wa Dodoma amefunguka na kueleza mwanzo mwisho jinsi alivyotoka kuwa dereva...

READ MORE

Mdau Ashirikiana na Bodaboda Kujenga Choo, Afichua Mipango Yake – Video

Katika kile kinachoonekana ni kuwasaidia vijana wenzake wa Muheza, Hamisi Sadiki Rajabu amekamilisha ndoto ya siku nyingi ya Waendesha Pikipiki...

READ MORE

Live: Maadhimisho Ya Kitaifa Ya Siku Ya Kupiga Vita Dawa Za Kulevya Duniani- Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga...

READ MORE

Musukuma Amkataa Mteule Wa Rais Samia – “Hatumtaki, Kama Mzuri Mchukue Wewe” Atema Nyongo…

Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amesimama na kutoa ya moyoni kuhusu afisa mmoja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Mfanyabiashara Alala Mzima Aamka Kipofu Kimauzauza Afunguka – Video

KIJANA anayejulikana kwa jina la Alphaxad Robert amesimulia mkasa wa maisha yake baada ya kupofuka macho alipokuwa na umri wa...

READ MORE

Video: Mpina Amvaa Waziri Mwigulu – ”Amepata Wapi Kibali? Taifa Linapata Faida Gani?”…

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema ripoti ya Taasisi ya Kudhibiti Fedha Haramu (FIU) imeonesha kuwa mpaka kufikia April, 2023,...

READ MORE

Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2023/24-Video

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema “Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.4 kwa...

READ MORE

Mstaafu Wizara Ya Fedha Apitia Mateso Mazito, Aeleza Ushirikiana WA Mkewe Ulivyomtia Umaskini – Video

Mohamed Omary (65) Mkazi Sala Sala Jijini Dar es salaam ambaye ni mstaafu Wizara ya Fedha Mwaka 1978 ambaye anapitia...

READ MORE

Muamuzi Wa Ndondi Mwanamke Afunguka, Ajibu Kuhusu Dulla Mbabe; ”Mandonga Ni Manara Wetu”-Video

Refa wa ngumi za kulipwa, Pendo Njau amefunguka kuhusu maisha yake, ndoa, kazi yake na mambo mengi usiyo yajua kuhusu...

READ MORE

Mzee Wa Upako – ”Ni Ngumu Kukuta Mwanaume Hana Mchepuko – Video

Mchungaji Anthony Lusekelo almaarufu Mzee wa Upako anasema kuwa mwanamke anapaswa kukaa nyumbani kwa ajili ya kulea watoto kwani anapotoka...

READ MORE

Waziri Mwigulu Awasilisha Mpango Wa Serikali 2023/2024, Deni Limeongezeka – Video

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa...

READ MORE

Video: Daktari Aliyetafuta Mtoto Kwa Miaka Mingi Afunguka Njia Ya Kupata Mtoto

Daktari wa Hospitali ya Kairuki iliyopo jijini Dar, Catherine Chacha ameelezea safari ya mafanikio yake mpaka ameweza kuwasaidia wanawake wengi...

READ MORE