×

Global TV Online

Waziri Mkuu Atinga Kukagua Mradi Wa SGR Dar -Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Septemba 11, ametembelea na kukagua mradi wa SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro. 

READ MORE

Petitman Afunguka Ugomvi Wake na Wema Sepetu – Video

 MENEJA na mjasiriamali Petitman Wakuache amefunguka ugomvi wake na aliyekuwa rafiki yake na Wema Sepetu  ‘Madam’ Wema Sepetu.

READ MORE

Dogo Darasa la Pili Abuni Gari la Kisasa – Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano na kijana Murashan, ambaye licha ya kuwa na elimu ya darasa la Pili, lakini amefanikiwa kutengeneza...

READ MORE

Nabii Bendera: Hutaki Chanjo, Unataka Ushirikina? Rais Alichanja Maji? – Video

  ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo nchini, Nabii Paul Bendera amewataka watu wanaopotosha kuhusu chanjo ya corona kuacha mara...

READ MORE

LIVE: Machinga Avua Nguo Kutetea Meza Kariakoo, Makala Atoa Tamko| Mbowe Mahakamani Leo

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Tazama Nondo Konki za Afande Huyu, Watu Hoi, Awapa Makavu Mabinti

TAZAMA Nondo za Kamanda, Engelbert Kiondo, akizungumza na vijana wa mkoa wa Tabora, Afande huyu ameibuka kuwa Gumzo hivi karibuni...

READ MORE

Video: Yanga Kuwakosa 3 Jumapili, Yumo Djuma Shabani, Simba

 KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. ⚫️ Kwa UPDATES zote,...

READ MORE

Live: Mamilioni Ya IMF Yatinga Tanzania | Polisi Yaibuka Na Mapya Ya Hamza | Front Page…

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Cholo Boy Afunguka Mazito “Maisha Yangu Mungu Anajua” – Video

  MCHEKESHAJI aliyeibuka hivi karibuni na ku trend kwenye mitandao ya kijamii, Cholo Boy, ametinga katika studio za Global Radio...

READ MORE

Live: Bunge Limepamba Moto, Naibu Spika Anaongoza Kikao

Bunge Limepamba Moto, Naibu Spika Anaongoza mkutano wa nne kikao cha saba  leo, 08 Septemba 2021 

READ MORE

Rais Samia Atua Jijini Mwanza – (Picha + Video)

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Mwanza kwa helkopta maalum kwa ajili ya kufunga tamasha la utamaduni wa Mtanzania linalofanyika...

READ MORE

Video: Said Aliyetobolewa Macho na Scorpion Afunguka Mazito

  SAID aliyetobolewa macho na scorpion aeleza namna anavyoendelea , Jambo hili lilitokea mnamo 2016 mwezi wa tisa tar 6...

READ MORE

LIVE: NDUGAI ASHTUSHWA NA TOZO MPYA YA MAZAO |JAJI AJITOA KESI YA MBOWE | FRONT PAGE…

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

DC Awaka: Sasa Mtajua Kama Wahehe Bado Tunajiua au Tunauaga Wengine

MKUU wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Senyi Nganga amwaacha watu hoi wakati akitoa maagizo kuhusu kusimamia pesa za miradi...

READ MORE

Waziri Mkuu Afanya Uzinduzi wa Vituo vya Huduma Pamoja – Posta

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Jumatatu, Septemba 6, 2021 anazindua Vituo vya...

READ MORE

Live: Polepole, Gwajima, Slaa Mbele ya Majaliwa Leo|Hatima ya Mbowe Kujulikana | Front Page..

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Taharuki! Maiti Yafukuliwa, Mwili Wakutwa Juu ya Kaburi

HALI ya taharuki imetokea katika kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida, baada ya mwili wa marehemu, Julia Amasi, mwenye...

READ MORE

Gwajima Azungumza Jimboni Kwake; Chanjo ni Hiyari, Tusitishane-Video

MBUNGE wa Kawe Askofu Josephat Gwajima amezungumza jimboni kwake leo Septemba 5, 2021, amesema chanjo ni “chanjo ni hiyari, anayetaka...

READ MORE

Rais Samia: ”Tanzanite Yetu Ilikuwa Inazagaa Tu’ – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan amesema ni wakati sasa madini ya Tanzanite yatambulike kuwa yanapatikana...

READ MORE

Polepole Azungumza Mazito Kuhusu Uongozi – Video

 Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Humphrey Polepole ametoa elimu ya Uongozi.

READ MORE

Aliyetobolewa Macho Na Scorpion Atishiwa Kuuawa -Video

 Siku chache zilizopita, Global TV ilifanya mahojiano na Said Mrisho, mhanga wa tukio la kuchomwa visu kisha kutobolewa macho...

READ MORE

Billnass Afunguka Kurudiana Na Nandy – Video

 MWANAMUZIKI William Lyimo ‘Billnass’ (Nenga) baada ya kushuka stejini usiku wa kuamkia leo Septemba 5, 2021 kwenye steji ya...

READ MORE

Auwawa na Kutobolewa Macho na Wasiojulikana, Atupwa Akiwa Uchi – Video

MTU mmoja aliyetambulika kwa jina la Omary ambaye ni fundi fenicha amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha huku mwili wake...

READ MORE

Kuvujishiana Jezi Tunakoelekea Itakuwa Vita – Video

KAIMU Msemaji wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga amegusia sakata la kuvuja kwa jezi zao kabla ya siku ya uzinduzi...

READ MORE

LIVE: Kumekucha: CCM Kuwahoji Gwajima, Polepole, Na Silaa

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

GLOBAL HABARI SEPT. O2 – RAIS SAMIA USO KWA USO NA GWAJIMA -VIDEO

 Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imepunguza Tozo za Miamala ya Kutuma na Kutoa Fedha kwa Mwaka 2021/22 kwa...

READ MORE

Nyoka Wa Mrisho Mpoto Awa Kivutio-Video

Maonyesho ya wiki ya Mavuno yanaendelea Jijini Arusha chini ya Usimamizi wa Kampuni ya JATU yameendelea kuwavutia watu mbalimbali hasa...

READ MORE

LIVE: DR CONGO VS TANZANIA ( 1 – 1 ) – KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

 Simon Msuva ameifungia Tanzania goli la kusawazisha dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. DRC 1-1 Tanzania Mbokani 23′...

READ MORE

LIVE: Ndugu Wa Hamza, Jeshi La Polisi Bado Hakieleweki|Mbowe Agonga Mwamba Kesi Ya Ugaidi

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Simba Kuzindua Jezi Jumamosi Septemba 4 -Video

MKUU wa kitengo cha habari na mawasiliano Simba, Ezekiel Kamwaga leo Septemba 1, 2021 akiongea na wanahabari katika hoteli ya...

READ MORE

Maagizo ya Rais Samia Kuhusu Tozo – Video

WAZIRI wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan amepunguza tozo za miamala ya simu ili zisiwaathiri vijana...

READ MORE