×

Global TV Online

LIVE: Magufuli Afunga Kampeni Dodoma

MGOMBEA Urais (CCM), Dkt John Magufuli, leo Oktoba 27, anafunga kampeni zake akiwa jijini Dodoma, ambapo amewaomba watanzania kumpigia kura...

READ MORE

Fimbo ya Ajabu: Inatibu, Inafichua Siri, Wanaume 5…! – Video

MAAJABU! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ‘FIMBO’ ya ajabu inayomilikiwa na kijana, Nurdin Muhidin Dongo (19), yenye uwezo wa kufanya mambo...

READ MORE

JPM Awaambia Wapiga Kura: Hamchagui Malaika – Video

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. John Magufuli, amesema kuwa anatamani taifa la Tanzania liendelee kuheshimika zaidi duniani...

READ MORE

JPM Kuendelea Kujenga Makanisa Chamwino – Video

RAIS Dkt John Magufuli, leo Oktoba 26, amezindua msikiti uliopo Chamwino mkoani Dodoma, ambapo tukio hilo limeshuhudiwa na Mufti mkuu...

READ MORE

#LIVE Kanisani: Mwili wa Elisha Elia Waagwa Dar

MWILI wa mtangazaji, Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya...

READ MORE

Live: Mwili wa Elisha Elia Watolewa Muhimbili Kwenda Kuagwa

MWILI wa mtangazaji Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya...

READ MORE

Magufuli: Sumaye Alikumbwa na Mapepo -Video

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli amesema kilichomtokea Waziri Mkuu wa zamani Fredrick Sumaye hadi kuhamia upinzani ni...

READ MORE

Msikiti wa Samatta Waanza Kutumika – Video

WAKAZI wa Vikindu Kidubwa Mkoa wa Pwani, wameanza kuutumia msikiti unaojengwa na mshambuliaji wa Fenerbahce, Mtanzania, Mbwana Samatta, licha ya...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Azindua Safari Za Treni Dar-Tanga-Arusha

RAIS Magufuli leo Oktoba 24, 2020 amezinduzi rasmi wa treni ya abiria inayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam...

READ MORE

Kafulila: Chadema Kuweka Rehani Madini ya Nchi ni Ufisadi – Video

KARIBU katika ‘KIPINDI MAALUM’ kutoka Global Radio, ambapo mwanasiasa Mkongwe, David Kafulila, anazungumzia masuala mbalimbalu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka...

READ MORE

Live: Magufuli Atua Arusha Kuendelea Na Kampeni za CCM

 Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Magufuli, ameendelea na kampeni zake leo Oktoba 23, 2020 akiwa...

READ MORE

Mwl. Kashasha: Simba Hawana Kikosi Kipana, Wangepigwa Tano – Video

Mchambuzi hodari wa soka, Mwalimu Kashasha, amechambua mchezo wa ligi kuu Bara kati ya Tanzania Prison vs Simba, uliochezwa Sumbawanga,...

READ MORE

Prison Yaipiga Simba Bao 1-0, Uwanja Wa Nelson Mandela

Mabingwa wa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodocam Tanzania Bara, Simba leo Oktoba 22, 2020 wamekubali kipigo cha kwanza cha...

READ MORE

JPM Azindua Kiwanda cha Ngozi: Nimesahau Namba za Mke Wangu – Video

RAIS John Magufuli, leo Oktoba 22, 2020,  amezindua kiwanda cha bidhaa za ngozi kilichopo mkoani Kilimanjaro.  TAARIFA FUPI YA MRADI...

READ MORE

Rais JPM Sasa Napandisha Mishahara – Video

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, leo Oktoba 20, 2020, amefanya mkutano katika uwanja wa TTC Korogwe...

READ MORE

Magufuli Apiga ‘Push-Ups’ Korogwe Tanga -( Picha +Video)

MGOMBEA  urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli,  baada ya kumaliza kampeni...

READ MORE

JPM Atua Bagamoyo, Asema Watakaoshindwa Wameshajijua – Video

MGOMBEA urais Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli  amezungumza na Wananchi...

READ MORE

Hoja Tano za Muungano Zapatiwa Ufumbuzi – Video

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 Ikulu Dar es...

READ MORE

Polepole: Mgombea Anawaambia Polisi ‘Nipigeni Risasi’ – Video

 KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole, leo Oktoba 17, amezungumza na wanahabari na kutoa tathmini ya...

READ MORE

Baba Asimulia Familia Yake Ilivyoteketea kwa Moto – Video

FAMILIA  ya watu watano iliyokuwa ikiishi maeneo ya Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia...

READ MORE

Mbatia Adai Kunusurika Kutekwa na Gari Namba za Ubalozi – Video

  Katika hali ambayo ni ya kushangaza na ya kushtusha sana watu wanne wakiwa na gari aina ya Prado yenye...

READ MORE

JPM Amshukia Halima Mdee Jimboni Kawe – Video

  MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Cham Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mwenyekiti wa chama...

READ MORE

JPM: Kuna Rais Aliniambia Mungu Yuko, Bize Hawezi Kunisikiliza – Video

RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo amepokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya...

READ MORE

Mahakama ya Ndizi Sasa ni Mali ya Wananchi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. John Magufuli amesema Soko...

READ MORE

Shigongo Aahidi Kuliondoa Daraja la Miti Luhorongoma – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amesitisha kampeni zake kwa muda baada...

READ MORE

JPM Aanza Kusaka Kura Dar, Atua Kinyerezi

Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli, amewakumbusha wananchi namna alivyopitia wakati mgumu katika kufanya maamuzi...

READ MORE

Taifa Stars Yapoteza Mbele Ya Burundi Kwa Mkapa leo

TIMU ya Taifa Tanzania ya Tanzania leo imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi uliochezwa...

READ MORE

Uchebe – “Nina Mpenzi Mpya, Mwanaume Hana Kifua Kama Mdoli Tu”- Video

 GLOBAL TV imepiga stori na  aliyekuwa mume wa mwanamuziki Shilole, Uchebe kuhusiana na maisha yake kwa ujumla baada ya...

READ MORE

Nina Moto Mkali na Dar, Itakuwa ya Ma-Flyover Tu – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. John Magufuli, leo...

READ MORE

🔴#LIVE: Polepole Azungumza na Wanahabari

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akizungumzia mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa chama hicho, Rais...

READ MORE

Shigongo: Kwa Mara ya Kwanza Tunapata Lami – Video

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amewasisitiza kwamba wamwamini na kumpa kura za...

READ MORE