×

Global TV Online

Video: Waziri Jafo Ataja Pengo Aliloacha Mkapa

 Waziri wa TAMISEMI Seleman Jafo amefika nyumbani kwa Marehemu Benjamini William Mkapa Mikocheni Jijini Dar es Salaam kwaajili yakutoa...

READ MORE

Video: Kikwete Aeleza Alivyoagana Na Mkapa “Nilizungumza Naye Saa Nzima”

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Rais...

READ MORE

Video: Front Page | JPM, Watanzania Wamlilia Mkapa

 Karibu utazame kipindi cha Front Page kipindi kinachoangazia taarifa mbalimbali zilizopewa nafasi katika magazeti ya kiswahili ambapo pia wachambuzi...

READ MORE

Video: Binti Mwenye ‘Division One’ Aomba Msaada Wa Kusomeshwa

 Irene John ni binti mwenye uwezo mkubwa wa kimasomo ambapo ameweza kufaulu vizuri masomo yake ya sayansi na kupata...

READ MORE

Video: Buriani Benjamin William Mkapa, Hotuba Alizowahi Kutoa Enzi Za Uhai Wake

 Pumzika mahali pema Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, ile kauli yako ya kujitegemea imekaa mioyoni mwetu, lile daraja refu...

READ MORE

Live: Mkutano Mkuu Wa Uwt Mkoa Wa Dar Es Salaam

 Mkutano Mkuu wa UWT kwaajili ya kupiga Kura za Maoni kwa wagombea wa viti maalum ndani ya CCM ambapo...

READ MORE

Rais Magufuli Azindua Jengo la TAKUKURU Dodoma

Rais, John Pombe Magufuli leo Julai 22, 2020 anazindua jengo la Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU lililopo...

READ MORE

JPM Atangaza Siku ya Uchaguzi Kuwa Siku ya Mapunziko – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kuwa tarehe 28, Oktoba, 2020 ambayo itakuwa...

READ MORE

LIVE: KAWE, WAGOMBEA WANAJINADI, KUPIGIWA KURA ZA MAONI LIVE

 Leo Julai 21, 2020 wajumbe wa mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kawe wanawapigia kura watia nia wa Ubunge katika...

READ MORE

Tarimba Aongoza Kura za Maoni CCM Kinondoni – Video

MTIA nia wa ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Tarimba, ameongoza matokeo ya kura...

READ MORE

Rais Magufuli: Kwani Hatuogopi Kufa? – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli leo Jumatatu, Julai 20, 2020 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi...

READ MORE

Hussein Mwinyi: Hatutaki Ushindi wa Malalamiko Zanzibar -Video

MTEULE wa urais visiwani Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema mwaka huu chama hicho kinataka ushindi usio na malalamiko....

READ MORE

Darasa – Namna Ya Kutengeneza Wazo La Kibiashara -Video

 Ungana na waalimu wako Rodrick Nabe na Bernice Fernandes katika Darasa la kujikwamua kimaisha, kila siku saa 10:00 hadi...

READ MORE

JPM Amwapisha Mrithi wa Makonda na Viongozi Wengine -(Picha + Video)

  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo Julai 16, 2020 alifanya uteuzi wa...

READ MORE

DKT Abbas anazungumza , makabidhiano ya Hati ya COSOTA kutoka Wizara ya Viwanda

DKT ABBAS ANAZUNGUMZA, MAKABIDHIANO YA HATI YA KUHAMISHA COSOTA KUTOKA WIZARA YA VIWANDA Ni matangazo ya moja kwa moja ya...

READ MORE

Zungu Awachana Viongozi Vijana – Video

MBUNGE wa Ilala kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na...

READ MORE

Bilionea Laizer: Tokeni Mjini Mkachimbe Madini – Video

BILIONEA  Mchimbaji wa Madini, Saniniu Laizer, amewasihi Watanzania kuacha kukimbilia mjini badala yake watoke mjini wakafanye shughuli za uchimbaji wa...

READ MORE

Mondi Alivyocheza Wimbo wa Kiba Mbele ya JPM – Video

 Katika kuonesha upendo na mshikamano, Diamond Platnumz alisimama na kucheza wimbo wa Ali Kiba wakati akimuimbia Rais Magufuli katika...

READ MORE

Video: Ibada kutoka Kanisa la World alive center

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

READ MORE

Rais Magufuli: Msinichagulie Shikamoo, Nitapata Shida – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt. John...

READ MORE

🔴#LIVE: JPM Aongoza Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Jumamosi, Julai 11, 2020 jijini Dodoma,...

READ MORE

Breaking: CCM Yampitisha Magufuli kwa Asilimia 100 – Video

#BREAKING: Mkutano Mkuu wa CCM Taifa leo Julai 11, 2020 umempitisha Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais Dkt. John Magufuli kuwa...

READ MORE

Breaking: CCM Yampitisha Mwinyi Kugombea Urais Zanzibar

  MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Taifa umemteua Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea urais wa Serikali...

READ MORE

BREAKING: Watatu CCM Kugombea Urais Zanzibar

MKUTANO  wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  umepitisha majina matatu katika mchakato wa wagombea urais wa Zanzibar, ambao...

READ MORE

Kilichotokea Dodoma Leo Mwinyi Akipitishwa Kuwania Urais – Video

MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempitisha Dkt. Hussein Ali Mwinyi Kuwa Mgombea wa urais...

READ MORE