×

Kitaifa

Mkapa Alichomwambia Magufuli Kabla ya Kifo – Video

  RAIS  John Magufuli amesema saa chache kabla ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin  Mkapa,  kuaga dunia, alizungumza...

READ MORE

Benki Ya CRDB Yatoa Bilioni 500 kwa Akinamama

  BENKI ya CRDB imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia...

READ MORE

JPM Aubadili Uwanja wa Taifa Kuwa Mkapa Stadium – Video

RAIS  John Magufuli amesema kutokana na maombi ya Watanzania  wengi, ametangaza rasmi kuubadili jina Uwanja wa Taifa na kuwa Uwanja...

READ MORE

Wasifu: Prof. Kabudi Awataja Watoto Alioacha Mkapa – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi, akisoma wasifu wa hayati rais mstaafu awamu ya tatu, Benjamin...

READ MORE

Viongozi wa Nje Waanza Kuwasili Kuhudhuria Mazishi ya Mkapa

VIONGOZI mbalimbali kutoka nje ya Tanzania wameanza kuwasili nchini kuhudhuria maziko ya kitaifa ya Rais wa awamu ya tatu wa...

READ MORE

Dkt. Abbas: WaTZ Mfike Uhuru Stadium Saa 12 – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, amewataka Watanzania kujitokeza mapema katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kesho...

READ MORE

Majaliwa Aelekeza Kumuaga Mkapa Kesho – Video

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa melekezo ya shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa...

READ MORE

Ndugai Ampa Pole Mama Anna Mkapa Nyumbani

SPIKA wa Bunge,  Job Ndugai, akisaini kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William...

READ MORE

Tundu Lissu Arejea Tanzania Baada ya Kupona

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bara, Tundu Lissu, amewasili nchini baada ya kuwa ughaibuni kwa...

READ MORE

Ratiba Kupokea Mwili wa Mkapa Yabadilika

MWILI wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, utawasili moja kwa moja kijijini Lupaso, mkoani Mtwara kesho jioni kutoka jijini Dar es...

READ MORE

Mgombea Aangusha Kibuyu Akiomba Kura

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mmoja wa wagombea wa udiwani Kata ya Sungwizi, Katambi Sospeter,  alijikuta kwenye wakati mgumu baada...

READ MORE

Prof. Mahalu Aanika Mkapa Alivyomnusuru Kifungo

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino, Profesa Costa Mahalu, amesema kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,...

READ MORE

China Yaripoti Maambukizi Mapya 46 ya Covid-19

SERIKALI ya China imeripoti kesi mpya za maambukizi ya virusi vya corona katika China bara Julai 25, ikiwa ni ongezeko...

READ MORE

Mama Samia: Taifa Limepoteza Mtu Muhimu – Video

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassam, amesema kwamba kifo cha aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Rais Mwinyi, Kardinali Pengo Wafika Kutoa Pole Msiba wa Mkapa – Video

KUFUATIA kifo cha cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Benjamini wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa awamu...

READ MORE

Simanzi! Rais Shein Ampa Pole Mama Anna Mkapa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, ameungana na waombolezaji wengine kutoa pole kwa...

READ MORE

Membe: Mkapa Alikuwa Kiongozi wa Dunia

WAKATI Tanzania ikiendelea na mombolezo kufuatia kumpoteza aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...

READ MORE

Dkt. Shein: Viongozi Vijana Jifunzeni kwa Mkapa – Video

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali mohammed Shein, amewasili kwa ajili ya kutoa salamu za pole na kusaini...

READ MORE

Majaliwa Amjulia Hali Kijana Deogratius Mianga MOI

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa jana (Ijumaa Julai 24, 2020) alimjulia hali kijana Deogratias Mianga mkazi wa Singida ambaye amelazwa katika...

READ MORE

Wanaswa na Takukuru Wakiwapelekea Fedha Wajumbe

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoani Mara inatarajia kuwahoji wagombea ubunge Viti Maalum sita mkoa wa Mara...

READ MORE

Kaburi la Mkapa Laanza Kuandaliwa

ASKARI wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wameanza kuchimba kaburi linalotarajiwa kutumika kuupumzisha mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya...

READ MORE

Wananchi Lupaso Wajiandaa Kupokea Mwili wa Mkapa

WANAKIJIJI wa Lupaso na vijiji jirani wanaendelea na kusafisha mazingira ya makazi yao wakijitayarisha kuupokea mwili wa aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Kifo cha Mzeew Mkapa ni Simanzi kwa Taifa

SIMANZI imetawala kila kona ndani na nje ya Tanzania kufuatia msiba mzito wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Viongozi Waliofika Kutoa Pole Msiba wa Mzee Mkapa – Pichaz

                     

READ MORE

Maisha ya Mkapa Tangu Kuzaliwa, Shule, Uongozi…Kifo

MWEZI Novemba mwaka jana Mzee Benjamin Mkapa alitoa kitabu juu ya maisha yake, na katika aya ya mwisho ya dibaji...

READ MORE

Ratiba ya Mazishi ya Hayati Rais Mkapa – Video

SERIKALI  ya Tanzania imetangaza kuwa marehemu Benjamin William Mkapa atazikwa kijijini kwake Lupaso, wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Kusini mwa...

READ MORE

Viongozi Wamlilia Mkapa, Wasifia Utendaji Wake

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Benjamin William Mkapa...

READ MORE

Vijana Kinondoni Wapewa Pikipiki, Bajaji

    Manispaa ya Kinondoni leo imekabidhi vyombo vya moto vya  usafiri Bodaboda na Bajaji vyenye thamani ya shilingi milioni...

READ MORE

Polisi Yaeleza Mwenyekiti wa BAWACHA Aliyeuawa kwa Mshale

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (RPC), Gilles Muroto amesema chanzo cha kifo cha Mwenyekiti wa BAWACHA, Kata ya...

READ MORE

Tume ya Uchaguzi Yabadili Majina ya Majimbo Matatu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebadilisha kwa majina ya majimbo ambapo Jimbo la Chilonwa litaitwa Chamwino, Mtera linaitwa Mvumi...

READ MORE

Siri Misikiti, Shule za Kiislamu Kuungua Moto

MFULULIZO wa matukio ya ajali za moto katika misikiti na shule mbalimbali za Kiislamu jijini Dar es Salaam, yamewatikisa viongozi...

READ MORE

Mahakama Yatenda Haki; Aliyeua Mke, Watoto Wawili

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga, Julai 13 mwaka huu, ilitenda haki kwa kumhukumu Yustine Robart (35) kunyongwa hadi kufa baada...

READ MORE

Wazee 15 wa ‘Nitumie kwa Namba Hii’ Wanaswa – Video

WAKAZI 15 wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Rais JPM Aagiza Mbuyu wa Mwl. Nyerere Kufanywa Makumbusho

Mti wa Mbuyu uliopo Chamwino, Dodoma ambao Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...

READ MORE

JPM: Takukuru Mnanivuruga, Mnajenga Gereza? – Video

RAIS  John Magufuli ameeleza kutoridhishwa kwake na gharama zilizotumika katika ujenzi wa Jengo la ofisi za Ofisi Tume ya Kuzuia...

READ MORE

JPM: Takukuru Msijipendekeze Chato – Video

RAIS John Magufuli ameelezwa kukerwa na kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kuomba fedha kiasi...

READ MORE

Magufuli: Wanasiasa Msichokoze Vyombo vya Dola

RAIS John  Magufuli amevitaka vyama vyote vya siasa kufanya kampeni za staha na kuheshimu sheria za nchi, sheria na taratibu...

READ MORE

JPM Atangaza Siku ya Uchaguzi Kuwa Siku ya Mapunziko – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kuwa tarehe 28, Oktoba, 2020 ambayo itakuwa...

READ MORE

Jela Maisha kwa Kubaka Mwanafunzi wa Miaka 5

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu mkazi wa Katubuka Manispaa ya Kigoma/Ujiji, Jeremia Kilahunja (49), kifungo cha maisha jela kwa...

READ MORE