×

Habari

Picha 21: Rais Magufuli Azindua Rasmi Daraja la Kigamboni

Rais John Magufuli na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa. Muonekano wa lango la Kigamboni Rais Magufuli akihutubia umati uliofurika...

READ MORE

JPM Amuapisha Balozi Chikawe, Ikulu-Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania...

READ MORE

Yaliyojili Bungeni Dodoma Leo

Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  kuongoza kikao cha...

READ MORE

Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Jiji la Dar

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Wilson Kabwe AKIHUTUBIA kwenye uzinduzi wa darala la Kigamboni jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Jiji la Dar

Rais John Pombe Magufuli AKIHUTUBIA kwenye uzinduzi wa darala la Kigamboni jijini Dar es Salaam mchana huu, Rais John Pombe...

READ MORE

Waziri Nape Afuta Mchakato wa Vazi la Taifa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye. WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema...

READ MORE

Rais Magufuli awasili Daraja la Kigamboni kwa uzinduzi

Rais Dk. Magufuli. RAIS Dk. John Pombe Magufuli amewasili katika daraja la kisasa la Kigamboni tayari kwa uzinduzi wa daraja...

READ MORE

Picha: Daraja la Kigamboni Litakalozinduliwa Leo na Rais Magufuli

Daraja la ksiasa la Kigamboni linalounganisha eneo la Kigambonina upande wa Kurasini likikatisha bahari ya Hindi. Rais Dkt. John Pombe...

READ MORE

Amatus Liyumba afariki dunia

Amatus Liyumba enzi za uhai wake. Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba...

READ MORE

Rais Magufuli amteua Chikawe kuwa balozi Japan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Mathias Chikawe kuwa balozi wa Tanzania nchini Japan. Taarifa...

READ MORE

Vodacom Yafungua Duka Mbeya

Mstahiki Meya wa jiji la Mbeya, Mch.David Mwashilindi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa duka la Vodacom Tanzania lililopo Mwanjelwa Mkoani...

READ MORE

Airtel Yazindua Duka la Kwanza Wilayani Kahama

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Bwana Vita Kawawa akikata utepe wakati wa kuzindua duka jipya la kwanza na la kisasa...

READ MORE

Jicho Lenye Uwezo wa Kuona Gizani Lavumbuliwa

Mfumo wa jicho la samaki. WASHINGTON: Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua jicho la kitaalam lenye uwezo wa kuona hata kama ni...

READ MORE

Gari ndogo zagongana na kujeruhi watu Bamaga, Dar

Mojawapo ya magari yaliyohusishwa katika ajali iliyotokea leo asubuhi eneo la Bamaga, Dar likiondolewa eneo la ajali. Magari yaliyohusishwa kwenye...

READ MORE

Airtel Fursa Kuendesha Mafunzo ya Ujasiliamali Kwa Vijana Dar

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano wa wandishi...

READ MORE

Mkutano wa Bajeti wa Bunge Kuanza Kesho, Ratiba Ipo Hapa

Mkutano wa Tatu (3) wa Bunge la Kumi na Moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajia kuanza mjini...

READ MORE

Tetemeko la ardhi laua 77 Ecuador

Baadhi ya maeneo yaliyoharibiwa na tetemeko. TAKRIBANI watu 77 wamepoteza maisha huku zaidi ya 500 wakijeruhiwa baada ya tetemeko kubwa...

READ MORE

RC Makonda Azindua Umoja wa Wauza Magazeti

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Mawakala Wauza...

READ MORE

Mwanafunzi Mtanzania Ashiriki Onesho la Ubunifu Ikulu-Marekani

Stephen Mwingira na Wendy Ni, wakiangalia kwa makini jinsi Rais Obama anavyoelekezwa namna ya kutumia simu kuendesha mashine hiyo katika...

READ MORE

Huduma ya Mabasi Yaendayo Kasi Dar Yapigwa Kalenda Tena

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amesema mradi wa Mabasi...

READ MORE

Rais Magufuli Azindua Mradi wa Barabara ya Flyover -Tazara

Rais Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) pamoja na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida (kushoto) wakiweka jiwe la msingi...

READ MORE

Pichaz: Daraja la Kigamboni Laanza Kutumika

Mwananchi akipita kwenye daraja la Kigamboni. Mtangazaji wa Global TV Online, Adria Cleophace akimhoji mmoja wa watumiaji wa daraja hilo. Watumiaji...

READ MORE

Nusu Fainali ya Uefa Europa League

Droo ya Nusu Fainali ya Uefa Europa League imefanyika na tayari timu nne zilizoingia katika hatua hiyo zimepangwa jinsi zitakavyokutana....

READ MORE

TTCL Yajivunia Modemu Mpya Zenye Intaneti ya 4G

Afisa Mauzo Mkuu wa TTCL Shop Mwananyamala, Dar, Bi. Leyla Pongwe (katikati) akielezea namna ambavyo huduma ya 4G  LTE na...

READ MORE

Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudani Kusini Awasili Tanzania

Rais wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (mwenye kofia nyeusi) akishuka katika ndege ya Shirika la Kenya mara...

READ MORE

Nyaraka za Kampuni ya Lugumi Zatua TAKUKURU

Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Valentino Mlowola. Sakata la kampuni ya Lugumi iliyoingia mkataba wa...

READ MORE

JPM Atengua Uteuzi wa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali...

READ MORE

JPM Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Tazara

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John...

READ MORE

Wafanyakazi wa Airtel Waitambulisha ‘Airtel Jipimie Yatosha Yako

Wafanyakazi wa Airtel Mkoani Mwanza wakitoa elimu kwa wakazi Mwanza mjini na wafanyabiasharaa waendesha Bodaboda  kuhusu huduma mpya ya kifurushi...

READ MORE

Simba yanaswa ikijiwinda dhidi ya Toto leo

Walianza hivi. Kocha Mayanja akionesha kwa mifano jinsi anavyotaka. Ibrahim Ajib ‘Kadabra’ akijaribu kufuata maelekezo ya kocha. Said Ndemla (kulia),...

READ MORE

Drogba Kuishtaki Daily Mail

Mwanasoka maarufu duniani, Didier Drogba pamoja na Princess Beatrice wakiwa pamoja siku ya uzinduzi wa Taasisi ya Didier Drogba mwaka...

READ MORE

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco aachiwa huru

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, William Mhando (kushoto) akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Jana,...

READ MORE

Moto Wateketeza Jiji Zima la London

Jiji Zima la London lilivyoteketea kwa moto. Hebu vuta picha! Moto unaanzia kwenye jiko moja la kuchomea mikate kisha unashika...

READ MORE

Kubenea ahukumiwa miezi mitatu

MBUNGE  wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) leo amehukumiwa adhabu ya kukaa nje miezi mitatu bila kujihusisha na kosa kama...

READ MORE

Majambazi Watatu Wavamia Duka, Wauawa Kahama

Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga limefanikiwa kuuwa Majambazi watatu yaliokuwa yamevamia duka la mtu mmoja anayejulikana kwa jina...

READ MORE

Rais Magufuli Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa...

READ MORE