×

Habari

Dkt. Wilbroad Slaa amerejea Chadema, Tundu Lissu Ampokea

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, leo Machi 23, 2025 amemtangaza rasmi aliyekuwa Katibu Mkuu...

READ MORE

Maskini Rama! Ana Miaka 17, Tazama Alivyo Aomba Kusadiwa – Video

Ama kweli kabla haujafa, haujaumbika! huyu ni Ramadhan, kijana mwenye umri wa miaka 17, ambaye kutokana na tatizo lake la...

READ MORE

Kiongozi Wa Hamas Auawa Na Shambulio La Anga La Israel – Video

Shambulizi la anga la Israel katika mji wa kusini wa Khan Younis huko Gaza limeua kiongozi mkuu wa chama cha...

READ MORE

RC Chalamila Atoa Sadaka Maalum Kwa Wanawake Waislam Dar

-Zaidi ya wanawake 600 katika wilaya zote tano za Mkoa wapatiwa sadaka ya IFTAR -Awaomba kuendelea kuomba Dua kwa ajili...

READ MORE

Rubani Afariki Katika Ajali Ya Ndege Kwenye Maonyesho Ya Anga Afrika Kusini – Video

Sherehe za Maonyesho ya Anga ya West Coast zilighubikwa na msiba siku ya Jumamosi baada ya rubani mkongwe, James O’Connell,...

READ MORE

Majaliwa: Tuwapende, Tuwajali Na Tuwatunze Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wanafunzi wa shule zote nchini kuwatunza, kuwapenda na kuwajali wanafunzi wenzao wenye mahitaji...

READ MORE

BAKWATA Yatangaza Eid El-Fitri 2025 Kuwa Machi 31 au April 1

Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limewatangazia Waislamu na wananchi wote kwa ujumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitri itakuwa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Sera Ya Taifa Ya Maji Toleo La Mwaka 2025 (Picha +Video)

  Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Sera mpya ya Maji ya Mwaka 2002, toleo la 2025, ikiwa ni sehemu...

READ MORE

Lissu, Heche, Lema, wakutana na Raila Kenya

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo; Tundu Lissu , Makamu wake Bara John Heche pamoja na Mjumbe wa Kamati...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Tamko Kuhusu Tishio la Kiusalama

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa ya tahadhari ya tishio la kiusalama inayosambaa mitandaoni. POLISI WAFAFANUA TISHIO...

READ MORE

Waziri wa Afya Mhagama: Prof. Janabi Anatosha Ukurugenzi (Who) Afrika

  Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema Prof. Muhamad Janabi ni mtu sahihi ambaye anaweza kuongoza Sekta ya Afya Kanda...

READ MORE

Bodaboda wa Kariakoo Wanufaika na Ujio wa Meridianbet

Meridianbet imeendelea na utaratibu wake kama kawaida wa kurejesha kwenye jamii kile kidogo ambacho wanakipata na safari hii walijikita kwenye...

READ MORE

Papa kufundishwa kuzungumza, kisa oksijeni

Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, baada ya kuwa kitandani kwa zaidiya wiki sita sasa analazimika “kujifunza tena kuzungumza” kutokana...

READ MORE

Baba: Nikitembea Jicho Linataka Kuanguka, Naomba Msaada – Video

Hujafa hujaumbika! Said Ismail (42), mkazi wa Mbagala Kilungule alikuwa mzima kama walivyo watu wengine lakini kwa sasa, hali yake...

READ MORE

Rais Samia Aleta Mageuzi Sekta ya Afya, Vifo vya Wajawazito Vipungua kwa 80%

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ally Hapi amesema Rais Dk,Samia Suluhu Hassan amesimama...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aifariji Familia ya Aliyekuwa Katibu wa CCM Rombo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na familia ya aliyekuwa Katibu wa CCM...

READ MORE

Kabila akutana na Mbeki waijadili Mgogoro wa DRC

Rais wa zamani Thabo Mbeki na Joseph Kabila walifanya mazungumzo katika Taasisi ya Thabo Mbeki huko Johannesburg juzi Jumatano, wakijadili...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Amuonya Chalamila “Usifanye Maamuzi Ya Barabara Za Mwendokasi Bila Kibali” – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, ametoa agizo kwa...

READ MORE

Mhandisi Mahundi Atoa Mwezi Mmoja Kwa TTCL Kuboresha Huduma Za Intaneti Mpaka Wa Kasumulu

Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), ameziagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...

READ MORE

Rais Tshisekedi Asema Kongo Kuingia Mkataba wa Madini na Marekani

Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amesema nchi yake iko tayari kuingia mkataba wa madini na...

READ MORE

Rais Samia Apewa Tuzo ya Mageuzi katika Misitu, Uhifadhi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Wizara ya Maliasili na Utalii kutambua...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Namibia (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 21, 2025, ameshiriki katika sherehe za uapisho wa...

READ MORE

Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Uchakataji Mazao Ya Misitu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo, Machi 21, 2025 amewasili Mkoani Njombe ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi katika...

READ MORE

CCM Yahoji Mamlaka ya ACT-Wazalendo Kuingilia Majukumu ya ZEC

Wakati uandikishaji wa wapiga kura ukimalizika salama Zanzibar, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimehoji ni wapi ACT-Wazalendo kinakopata mamlaka ya kuingilia...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Namibia kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais Netumbo Nandi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Mchengerwa Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mikataba Ya Ujenzi Wa Barabara Km. 84 Za Dar – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa leo Machi 21, 2025 ameshuhudia...

READ MORE

Video: Waziri Ulega Awasimamisha Kazi Watumishi Wa Mizani Baada ya Mama Huyu Kukinukisha

Hapo jana, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, alimuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Balozi Aisha Amour, kuwasimamisha kazi...

READ MORE

Kweli Nimeamini Mwanaume na Mwanamke Waliozaa Pamoja Hawaachani Kamwe

Jina langu ni Suma kutokea Kagera, nilikuwa na mwanamke hadi tukazaa nae watoto wawili hapo katikati kukawa na mambo mengi...

READ MORE

Benki ya Stanbic Tanzania Yawafuturisha Wateja Wake

Benki ya Stanbic hapo jana iliandaa Iftar maalum kwa ajili ya wateja wake, iliyofanyika katika Hoteli ya Serena na kuwakutanisha...

READ MORE

Serikali Yaipongeza CRDB kwa Kuimarisha Huduma za Kibenki Kidijitali

SERIKALI imeipongeza Benki ya CRDB kwa kuandaa Kongamano la Elimu ya Huduma za Benki kwa Njia ya Mtandao (Internet Banking),...

READ MORE

Rais Mwinyi ashiriki futari iliyoandaliwa na Rais Samia Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Achangia Sh.Milioni 50 Kumuenzi Padri Shirima

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE

Waziri Mkuu Mstaafu Pinda Afurahishwa na Ilipofikia VETA

Dar es Salaam, 20 Machi 2025: Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, leo ametembelea kwenye...

READ MORE

Finland Ya Kwanza Kuwa Na Watu Wenye Furaha Zaidi Duniani

Finland imeorodheshwa ya kwanza kama nchi yenye watu wenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo. Kulingana na ripoti...

READ MORE

Mama Aangua Kilio Hadharani, Nyumba Yake Yauzwa Kwa Mnada Kulipa Deni Alilokopa La Milioni 30 Benki – Video

Mwanamama Asha Ramadhan, Mkazi wa Kimara Golan jijini Dar es Salaam, amemlilia Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kufuatia nyumba aliyokuwa...

READ MORE

Equity Yafuturisha Wateja na Wadau Wake Mji Mkongwe, Zanzibar.

Benki ya Equity siku ya jana iliandaa tukio la kipekee la Iftar, likiwa na lengo la kuleta pamoja wadau muhimu,...

READ MORE

Wacanada wanne wanyongwa China, Kisa Madawa ya kulevya

Raia wanne wa Canada wamenyongwa nchini China kwa mashtaka yanayohusiana na dawa za kulevya mapema mwaka huu, mamlaka ya Canada...

READ MORE

Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji...

READ MORE

Jinsi ya Kuifanya Biashara Yako Izalishe Zaidi na Kukupa Faida Kubwa

Unajua hapa duniani kila binadamu anapenda kuona anakua katika biashara ambayo anaifanya, anapenda kuona biashara yake inaongezeka mtaji, biashara yake...

READ MORE

Doto Biteko Afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Misri

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri...

READ MORE