×

Habari

Mambo Yazidi Kunoga, Wananchi Sasa Kunufaika na Magift ya Kugift Awamu ya Pili

Dar es Salaam, 5 Desemba 2024: Kampuni ya mtandao wa simu wa YAS Tanzania imezindua kampeni ya Magift ya Kugift...

READ MORE

NMB Yanyakua Tuzo Zaidi ya 30 za Ubora na Umahiri Mwaka 2024

Benki ya NMB imedhihirisha tena ukubwa wake nchini, baada ya mwaka huu kuweka rekodi kwa kutwaa zaidi ya tuzo 30...

READ MORE

Waliotaka Kumteka Tarimo, Mikononi Mwa Polisi, “Wanane Tumewakamata”-Muliro

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa  kukamata kundi la wahalifu wanane wanaotuhumiwa kula njama kwa pamoja na...

READ MORE

Ufanisi wa Bandari Umeongeza Mapato ya TRA-Kamishana Mwenda

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amesema Uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam...

READ MORE

Aweso Ajikita Katika Matumizi ya Teknolojia Suluhu ya Upotevu wa Maji Nchini

    SEOUL, KOREA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso(MB) amewasili Seoul nchini Korea Kusini kwa mualiko maalumu wa...

READ MORE

Hitilafu Gridi ya Taifa Yaathiri Treni Tatu za SGR, TRC Yathibitisha

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limethibitisha kuwa Treni zake tatu ikiwemo Treni yake ya ‘Mchobgoko’ zilisimama kufanya kazi kwa muda...

READ MORE

Majaliwa: Rais Dkt. Samia Aagiza Fedha Za Maadhimisho Ya Miaka 63 Ya Uhuru Zielekezwe Kutoa Huduma Za Kijamii

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania...

READ MORE

Waziri Mkuu Alivyoshiriki Maziko ya Dkt. Ndugulile – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 03, 2024 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule...

READ MORE

Najali Care na American Clinic Waanzisha Ushirikiano wa Kuboresha Huduma za Afya Afrika

Dar es Salaam, Tanzania, 05 Disemba 2024 – Najali Care, jukwaa la kibunifu la utalii wa matibabu la Afrika Kusini,...

READ MORE

Serikali Yasema Unyanyasaji Dhidi ya Wenye Ulemavu Sasa Basi

Dkt. Biteko asema Serikali itakula Sahani moja na wanyanyasaji wa wenye ulemavu   Wakuu wa Mikoa waagizwa kusimamia mpango wa taifa...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi JWTZ, Awavisha Nishani Mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali, Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe, Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Ikulu ya Marekani Yatetea Msamaha wa Biden kwa Mwanawe

Ikulu ya White House imetetea msamaha wa Rais Joe Biden kwa mtoto wake, Hunter, baada ya kusisitiza mara kwa mara...

READ MORE

Nondo Aendelea na Matibabu Hospitali, ACT Wafunguka Mapya

Mwenyekiti wa Ngome ya vijana wa, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Serikali Yaombwa Kuongeza Nguvu Kwenye Kilimo Cha Sayansi na Teknolojia

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya na Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) Prof. Joseph Nduguru akizungumza na waandishi wa habari...

READ MORE

Spika wa Bunge la Guinea Ahukumiwa Miaka 4 jela na faini

Baada ya kesi ya zaidi ya miaka Miwili, Spika wa zamani wa Bunge la Guinea, Amadou Damaro Camara, amehukumiwa na...

READ MORE

Mkesha wa Shukrani ya Kuelekea Mwisho wa Mwaka Yaja..

Mwalimu wa Neno la Mungu Emanuel Shemdoe akizungumza katika kuelekea mkesha wa mwisho wa mwaka utaofanyika Desemba Mjini Dodoma. Na...

READ MORE

Watanzania Sasa Kunufaika na Bima Mpya ya Maisha Iliyozinduliwa leo

Dar es Salaam, Tanzania – 4 Jumatano Desemba 2024: Stanbic Bank Tanzania na Alliance Life Assurance Ltd wametangaza rasmi ushirikiano...

READ MORE

Mbio za Kilimanjaro Marathon, Wadau Wapewa Punguzo, Usajili Kufungwa Hivi Karibuni

Wakati siku za tukio la mbio za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon kwa mwaka wa 2025, zikikaribia washiriki wamekumbushwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aongoza Waombolezaji kUTOA Heshma Na Kuaga Mwili wa Ndugulile

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt....

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kuaga Mwili Wa Mbunge Dkt. Faustine Ndugulile (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kuaga Mwili wa Aliyekua Mbunge wa Kigambonio na...

READ MORE

Fedha Zangu Zilikuwa Zinapotea Kimiujiza Mpaka Nilipoijua Mbinu Hii

Hakuna kitu ambacho kimewahi kunipa sana msongo mawazo maishani mwangu kama kipindi ambacho kila wakati nilipokuwa napata fedha zilikuwa zinapotea...

READ MORE

Feitoto Akataa kuzungumzia tetesi za Kutua Simba na Kaizer Chiefs

  Kiungo mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Klabu ya Soka ya Azam FC, Feisal Salum ‘Feitoto’ (26),...

READ MORE

Joe Biden Atoa Msamaha Usio Na Masharti Kwa Mwanawe Hunter

RAIS wa Marekani Joe Biden ametoa msamaha rasmi kwa mtoto wake Hunter, ambaye alikuwa anakabiliwa na kesi mbili za uhalifu,...

READ MORE

Nunua Raba Za Kishua Kwa Bei Chee, Unaletewa Mpaka Mlangoni

Nunua raba za kishua kwa bei chee kupitia mtandao unaoaminika Duniani wa Ali Express – unaletewa hadi mlangoni kwako –...

READ MORE

Bayport Yaendeleza kampeni ya Kutunza Mazingira kwa Kupanda Miti 500 Kinondoni

Kinondoni Dar es Salaam 16 Disemba 2024 Ikiwa ni sehemu ya Kampeni yake ya kuhamasisha watanzania kutunza mazingira kwa kupanda...

READ MORE

Jeshi la Polisi: Nondo Alitelekezwa Coco Beach, Uchunguzi Unaendelea

Jeshi la Polisi Tanzania limesema Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya chama cha ACT- Wazalendo, Abdul Nondo ambaye alikamatwa kwa...

READ MORE

Rais Samia Atimiza Ahadi ya Kukutana na Viongozi wa Kimila wa Jamii ya Kimasai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na...

READ MORE

Rais Samia Amshukuru Rc Makonda Kwa Kunogesha Miaka 25 Ya EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimshukuru na Kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul...

READ MORE

NMB Yazindua Worldwide Pesa, Hakuna Mipaka Kutuma fedha EAC, SADC

BENKI ya NMB imezindua Huduma ya Kimkakati kwa Ustawi wa Sekta ya Fedha na Uchumi wa Taifa ‘NMB Worldwide Pesa,...

READ MORE

Mstaafu Kikwete Awapongeza Wanawake Kuongoza Uhitimu UDSM

Dar es Salaam: 30 Novemba 2024: Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es...

READ MORE

Tazama Rais Samia Akisalimiana na Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi EAC Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama...

READ MORE

Miti 1,000 Yapandwa Shule ya Sekondari ya Jangwani, ni Katika Uhifadhi wa Mazingira

Dar es Salaam, Tanzania – Novemba 30, 2024 – Benki ya NCBA Tanzania imefanikisha mpango wake wa kuendelea kuhifadhi mazingira...

READ MORE

Makamu wa Rais Aifariji Familia ya Marehemu, Dkt. Faustine Ndugulile

Makamu Dkt. Philip Mpango, akisalimiana na ndugu, jamaa na marafiki waliojitokeza nyumbani kwa marehemu. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa...

READ MORE

Wapiga Kura Wapya 224,499 Kuandikishwa Arusha Desemba 2023

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuandikisha Wapiga Kura wapya 224,499 sawa na ongezeko la 18% ya wapiga kura...

READ MORE

PSSSF Yaibuka Mshindi wa Kwanza Tuzo Za NBAA Za Uandaaji Bora wa Mahesabu 2023

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji...

READ MORE

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC Lang’ara Tuzo za NBAA

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeshika nafasi ya kwanza katika tuzo ya uandaaji na uwasilishaji wa taarifa za...

READ MORE

Dkt. Yahaya Nawanda Ashinda Kesi dhidi ya Mwanafunzi wa Chuo

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi...

READ MORE