×

Habari

Kocha Juma Mgunda Aondoka Klabu ya Simba

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuwa Kocha Juma Ramadhani Mgunda hatokuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu ya Wanawake...

READ MORE

Aweso Atekeleza Maagizo ya Dkt. Nchimbi, Amng’oa Meneja RUWASA Misungwi

MISUNGWI – MWANZA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amemuondoa katika nafasi yake Meneja wa RUWASA wilayani Misungwi Mhandisi Marwa...

READ MORE

Rais Samia ataka uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha afisa wa Chadema

Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa...

READ MORE

Wananchi Wazidi Kushirikishwa Kidijitali Nchini Tanzania

Dar es Salaam, Septemba 10, 2024 – Tigo, Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo kwa kushirikiana na ZTE, imezindua...

READ MORE

Vodacom Yaendelea Kuongoza Soko, Yawekeza Katika Miundombinu ya Mtandao na Ubunifu

Dar es Salaam – Septemba 11, 2024:Kampuni inayoongoza kwa teknolojia na mawasiliano nchini Vodacom Tanzania PLC, leo imefanya mkutano mkuu...

READ MORE

Mongella Azungumza na Viongozi wa Chama na Wazee wa Kata ya Bulungwa Ushetu

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akizungumza na Viongozi wa chama na Jumuiya ngazi ya...

READ MORE

Jumapili Ya Leo Sio Ya Kinyonge Nyakua Mamilioni Na Meridianbet

Usikubali unyonge Jumapili ya leo mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamehakikisha unaondoka na mkwanja wa kutosha, Kwani leo itachezwa...

READ MORE

Ni Historia Ruaha, Dkt. Samia Amwaga Miundombinu ya Utalii

Katika kile kinachoitwa misingi mitano ya utalii (Five As of Tourism) “A” mojawapo ni “attractions” hii tayari ipo Ruaha kwani...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa taarifa kwa umma kuhusu mauaji ya Ally Kibao

Jeshi la Polisi kupitia kwa msemaji wake, DCP David Misime limetoa taarifa kwa umma kuhusu mauaji ya Ally Kibao aliyekuwa...

READ MORE

CCM Yasikitishwa Kifo Cha Mjumbe Wa Sekretarieti Ya Chadema Yatoa Pole – Video

“Nimeona kwenye Vyombo vya Habari kuanzia asubuhi mpaka sasa nitoe pole kwa Chama cha Chadema kwa kumpoteza mmoja wa Wajumbe...

READ MORE

Mdogo Wa Marehemu Ali Kibao, Afunguka Kuhusu Uamuzi Wa Familia Kutokana Na Kifo Cha Ndugu Yao – Video

Sharif Abdallah Ali, mdogo wa marehemu Ali Kibao, ameeleza kuhusu uamuzi wa familia kutokana na kifo cha ndugu yao. Kibao...

READ MORE

Waziri Aweso Acharuka Mwanza, Aagiza Kazi ya Mradi wa Maji Buhongwa Ifanyike Usiku na Mchana

Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso leo tarehe 08/09/2024 ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa kuboresha wingi wa maji...

READ MORE

Baada ya Maajabu ya Royal Tour, Dkt. Samia Aja na Maajabu Mengine ya Utalii Kusini

Kwa lugha ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Tabora, Mzee Aggrey Mwanri, tunaweza kusema ardhi ya Kusini mwa Tanzania...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 8, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Serikali Yatambua Mchango wa Oryx Kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

KAMPUNI ya Oryx Gas imetoa mitungi 1000 kwa Mama na baba lishe wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Azimio...

READ MORE

Mongella Ateta na Viongozi wa Mashina na Matawi Kahama

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara,John Mongella amekutana na  kuzungumza na viongozi wa mashina na matawi ya...

READ MORE

Karatu Yasimama, Dkt, Slaa Atajwa Kutokushirikiana na Wananchi..

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla, akiwa katika mkutano wake wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Mbio Za Hisani Za Maendeleo Bank

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Maendeleo Bank Marathon 2024 zilizoanzia na...

READ MORE

Mwanamuziki Mkongwe Sergio Mendes Afariki dunia jijini Los Angeles

MWANAMUZIKI Mkongwe wa Brazil, Sergio Mendes (83), amefariki dunia jijini Los Angeles baada ya kuugua Uviko19 iliyomsumbua kwa muda mrefu....

READ MORE

Dkt Biteko: Serikali Haitapuuza Mchango Wa Asasi Za Kiraia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali haitapuuza mchango wa asasi za kiraia kwa...

READ MORE

Viongozi Acheni Mbwembwe Twendeni Tukatatue Kero Za Wananchi Vijijini – Video

Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi Jumuiya ya chama cha mapindizi CCM Taifa Ally Hapi (MNEC) amewataka viongozi wa jumuiya...

READ MORE

Watoto 17 wafariki katika ajali ya moto katika Shule ya Hillside Endarasha nchini Kenya

Moto ulizuka katika bweni la shule ya watoto wadogo katikati mwa Kenya alfajiri ya Ijumaa, na kuuwa watoto wa kiume...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aeleza Hatua Zinazochukuliwa Na Serikali Akiahirisha Bunge – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na viongozi wa vyombo vya...

READ MORE

Tamasha Kubwa la Chakula Lazinduliwa Dar

Dar-es-Salaam, 8 Septemba 2024 – Tamasha kubwa la chakula lililowashilikisha wadau mbalimbali wa masuala ya misosi limezinduliwa jijini Dar. Tamasha...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Watanzania wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaoishi China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Watanzania wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaoishi...

READ MORE

Ijumaa Ya Maokoto Ndani Ya Meridianbet

Leo ni Ijumaa ya maomoto ndani ya Meridianbet kwakua wikiendi ndio imeanza rasmi michezo kadhaa itachezwa leo na mabingwa wa...

READ MORE

John Mongella Akutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, leo Septemba 6, 2024, amekutana na wajumbe wa Halmashauri...

READ MORE

Vifo Vya Ajali Mbeya Vyaongezaka, Wafikia 14, Majeruhi Waumia Vibaya Kichwani, Daktari Aeleza – Video

Watu 14 wamepoteza maisha na wengine 40 kujeruhiwa baada ya Basi la Abiria la A-N Coach (T282 CXT) lililokuwa likitoka...

READ MORE

Mbowe Amtaka Mchungaji Msigwa Amlipe Shil Bilioni 5 Kwa Kumchafua, Mawakaili Wake Waeleza – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amemtaka aliyekuwa mwanachama wa chama hicho Peter Msigwa ambaye kwa...

READ MORE

Rais Samia Akutana Na Viongozi Na Wawekezaji Wa Makampuni Mbalimbali Nchini China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni...

READ MORE

Mongella Apokea Utekelezaji Wa Ilani ya CCM Shinyanga

Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

BRELA Yashauriana na Wadau Kuhusu Mkataba wa Sheria ya Kimataifa ya WIPO

Dar-es-Salaam, 5 Septemba 2024: Wakala wa usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imefanya  kikao cha mashauriano na wadau kuhusu mkataba...

READ MORE

Chezo sloti ya Capital City Derby Upige Mkwanja

Jiandae kwa tukio la michezo la sloti linalokusudiwa kuwafurahisha mashabiki wote wa michezo ya kubahatisha ya kasino ya mtandaoni! Uwe...

READ MORE

NBC Yajidhatiti Kuchochea Ukuaji wa Biashara Tanzania Na Afrika Kusini

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa wito kwa wafanyabaishara wa kitanzania kuchangamkia fursa mbalimbali za biashara baina ya Tanzania...

READ MORE

Dk Kumbuka Awasuuza Na Kuwasukutua Mwijaku Na Baba Levo -Video

Dk Kumbuka amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Wasanii pamoja na Mastaa nchini wanapaswa kujifunza kupitia Msanii wa Muziki...

READ MORE

Ukraine yapata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje

Wabunge wa Ukraine, wamemteua Andriy Sybiga, mwanadiplomasia wa muda mrefu, kuwa waziri mpya wa mambo ya nje katika mabadiliko ya...

READ MORE

Wananchi Wa Miganga Na Nkalakala Wilayani Mkalama Wahimizwa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama amewataka wakazi wa kata za Nkalakala na Miganga wilayani Mkalama kujitokeza kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 6, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

NMB Yashiriki Mkutano Mkubwa wa Madini Australia, Yaeleza Utayari wa Kushirikiana na Wadau

Benki ya NMB inashiriki katika mkutano mkubwa wa madini duniani, Africa Down Under, Perth, Australia unaomalizika leo. Mkutano huu wa...

READ MORE

Biashara Zilizoangaziwa kama Nguvu katika Kujenga Mifumo ya Chakula ya Afrika katika Ripoti ya Kilimo 2024

 AGRA Jumanne, 4 Septemba 2024  ilizindua Ripoti ya Hali ya Kilimo ya Afrika 2024, nchini Rwanda, Kigali iliyopewa jina “Kuitumia...

READ MORE