×

Habari

RC Chalamila Auwasha Moto Mbele ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 – Video

-Awakutanisha DART, Manispaa ya Ubungo na Wafanyabishara wadogo. -Aeleza dhamira ya Serikali kutekeleza mradi huo -Asisitiza bado serikali itaendelea kujali...

READ MORE

Kilombero Sugar, Illovo Zakabidhi Taulo za Kike Kupitia Kampeni ya Kilimanjaro Expeditions

Kampuni ya Kilombero Sugar na Kampuni tanzu za Illovo Sugar Africa, zimeungana kupitia Kampeni yao ya Kilimanjaro Expeditions kukabidhi taulo...

READ MORE

Makalla Asafiri na Treni ya SGR Kutoka Morogoro Kwenda Dar, Ampongeza Rais Samia Kwa Kazi Kubwa..

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla amesafiri na Treni Mpya ya Mwendokasi (SGR) kutoka...

READ MORE

Raia wa Rwanda kupiga kura Jumatatu kumchagua rais wa nchi hiyo

Raia wa Rwanda wanapiga kura Jumatatu katika uchaguzi ambao bila shaka utarefusha muda mrefu wa utawala wa Rais Paul Kagame,...

READ MORE

Rais Samia Aitaka Wizara ya Nishati Kuhakikisha Katavi Inapata Umeme wa Gridi Ifikapo Septemba

*Akagua njia ya umeme  Tabora – Katavi na Kituo cha Inyonga* *Aitaka TANESCO kuongeza kasi ya kuunganisha Wateja miradi inapokamilika*...

READ MORE

Rais Mwinyi Afika Banda la Tigo Kujionea Teknolojia Mpya Katika Mtandao Huo

Katika kuhitimisha maonesho ya 48 ya kimataifa ya biashara Kampuni ya Mtandao wa simu ya Tigo Tanzania imepata ugeni wa...

READ MORE

Ona Mapokezi ya Rais Samia Mkoani Katavi Atakagua na Kufungua Miradi – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo mkoani Katavi amewasili katika mkoa huo Julai...

READ MORE

Ubongo Kushirikiana Na Vodacom Tanzania Foundation

Ubongo, shirika linaloongoza barani Afrika katika burudani ya elimu kwa watoto, linajivunia kutangaza uzinduzi wa ziara zake za kikanda nchini...

READ MORE

Biden akataa wito wa kuachia azma yake ya kugombea urais

Rais wa Marekani Joe Biden amekataa wito wa baadhi ya viongozi wa chama chake cha siasa kuachia azma yake ya...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aipa Hongera NSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi...

READ MORE

Rais Dkt. Hussein Mwinyi Atembelea Kijiji Cha Bima

Mamlaka ya usimamizi wa bima nchini (TIRA) imesema sekta ya bima inakuwa kwa wastani wa asilimia 15 ambapo takwimu za...

READ MORE

Waziri Mkuu Ahimiza Usimamizi Kuelekea Siku ya Mashujaa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameagiza ofisi yake kuhakikisha inaendelea kufanya maandalizi kwa ajili...

READ MORE

Harusi ya Mtoto wa Tajiri Asia Yateka Dunia, Watu maarufu Wawasili

WATU maarufu duniani wamewasili Mumbai kwa ajili ya harusi ya mtoto wa kiume wa tajiri zaidi barani Asia, Mukesh Ambani....

READ MORE

Mkuu wa Polisi Nchini Kenya Ajiuzulu

Inspekta Jenerali wa polisi nchini Kenya, Japheth Koome leo Julai 12, 2024 amejiuzulu kufuatia wiki kadhaa za maandamano ambapo zaidi...

READ MORE

Kelvin Kijili ni Mnyama Atambulishwa Rasmi kutoka Singida Fountain Gate

Klabu ya Simba  imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia, Kelvin Kijili (24) raia wa Tanzania kutoka Singida Fountain Gate...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Ujenzi Wa Mnara Wa Mashujaa, Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2024 amekagua ujenzi wa Mnara wa Mashujaa uliopo mji wa Serikali Mtumba jijini...

READ MORE

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Chatangaza Nafasi za Kazi

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Julai 10, 2024 wametangaza nafasi za kazi tano Mwisho wa kutuma maombi ni wiki...

READ MORE

Dkt. Tulia Na Rais Putin Wajadiliana Namna Bora Ya Kuimarisha Amani Duniani (Picha +Video)

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Tulia Ackson,...

READ MORE

Mfanyabiashara Ajilipua Mbele ya Waziri Jafo, Amuomba Aiangalie Biashara ya Usafirishaji Fedha Kidigitali

WADAU wa masuala ya kidigitali nchini wamemuoamba Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Selemani Jafo kuanza kuangalia kwa mapana zaidi...

READ MORE

Taasisi Za Ulinzi Arusha Zatakiwa Kushirikiana Na Wanahabari

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amezitaka Taasisi za Ulinzi Arusha kushirikiana na waandishi wa habari ili wapate...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

CMSA Yatoa Hati za Uwekezaji Katika Hatifungani za Premier Sukuk

CMSA YATOA HATI ZA UWEKEZAJI KATIKA HATIFUNGANI YA PREMIER SUKUK LIMITED

READ MORE

Laji Foundation Yaendesha Kambi ya Matibabu ya Macho Bure Songea

Zaidi ya wananchi 2000 wa Songea Vijijini Mkoani Ruvuma wanatarajiwa kunufaika  na huduma ya kambi ya matibabu ya macho bure...

READ MORE

Vodacom Yatangaza Washindi wa Msimu wa 3 wa Vodacom Digital Accelerator

Dar es Salaam, 11 Julai 2024 – Vodacom Tanzania Plc leo imetangaza Wajasiriamali chipukizi (Startup) zilizoibukavinarawakatiwakuhitimisha msimu wa tatu wa...

READ MORE

Balozi Nchimbi Aonya Viongozi Kutoa Kauli za Kibaguzi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Rais Ruto Avunja Baraza la Mawaziri, Amfuta Kazi Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais wa Kenya, William Ruto amelivunja Baraza lake la Mawaziri na amewafuta kazi mawaziri wote isipokuwa Katibu Mkuu wa Baraza...

READ MORE

NIRC Yakabidhi Mradi Wa Umwagiliaji Wa Zaidi Ya Bilioni 5 Kwa Mkandarasi Njombe

  TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imemkabidhi mkandarasi kazi ya ujenzi mradi wa umwagiliaji katika Kijiji cha Itipingi Mkoani...

READ MORE

Amsons Group ya Tanzania Yainunua Bamburi ya Kenya na Kuweka Rekodi Mpya

Kampuni ya Amsons Group ya Tanzania iliyojikita kwenye sekta za nishati, ujenzi, chakula na usafirishaji imeinunua Kampuni ya Bamburi Cement...

READ MORE

Mashindano ya Gofu Kumuenzi Marehemu Lina Nkya Kutimua Vumbi Jijini Arusha

Baada ya Morogoro mwezi Aprili mwaka huu sasa ni zamu ya Arusha katika viwanja vya Gymkana ambapo mashindano ya Gofu...

READ MORE

Tigo Na Wadau Wake Wazindua Huduma Mpya Bima Ya Mizigo Kupitia Simu za mkononi

Dar es Salaam, 11 Julai 2024 – Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo Tanzania, imetangaza ushirikiano wa...

READ MORE

Muigizaji Clooney Atoa Wito kwa Biden Aache Kugombea Urais

Muigizaji mkongwe wa Marekani George Clooney ametoa wito kwa Rais Joe Biden kujitoa kwenye mbio za kuwania awamu ya pili...

READ MORE

Wito Wa Kuwasilisha Miswada Katika Tuzo Ya Kiswahili Ya Safal Ya Fasihi Ya Afrika 2024

Dar es Salaam, Tanzania 11 Julai 2024… Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika leo imetangaza wito wa...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu KCMC Ashinda Nissan Dualis

Benki ya CRDB imemtangaza Hussein Hamisi Hamadi (23) ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCMC kuwa mshindi wa pili...

READ MORE

DCP Ng’anzi: Ipo Siku Ndoto ya Tanzania Bila Ajali Kwa Mwaka Itawezekana

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania DCP. Ramadhani Ng’anzi amesema tatizo la ajali za barabarani bado ni kubwa...

READ MORE

Watanzania Wahimizwa Kuchukua Hatua za Kuzuia Magonjwa ya Zuonotiki

Serikali ya Tanzania, kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ikishirikiana na Shirika la Maendeleo ya...

READ MORE

Mongela Awasili Mkoani Mbeya Kwa Ziara ya Siku Moja

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongela amewasili mkoani Mbeya kwa ajili ya ziara ya siku...

READ MORE

Vijana Waliopotea Temeke Wafikia 4, Mochwari Na Polisi Hawapo – Video

Sakata la vijana wawili, Abdulrazack Salim na Ramadhan Sultan wakazi wa na Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam kudaiwa kupotea...

READ MORE

DC Magoti Atoa Tamko Pikipiki Haziruhusiwi Kubeba Mkaa – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amepiga marufuku pikipiki (bodaboda) kutumika kusafirishia mkaa na kueleza kuwa sheria haziruhusu usafiri...

READ MORE

Ruto Atia Saini Mswada wa Kuunda Tume Huru ya IEBC

Msukumo wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka kufuatia shinikizo la vijana nchini Kenya hatimaye umezaa matunda baada ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Ataka Msukumo Utolewe Kwa Vijiji Visivyo Na Umeme

Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ambaye yupo katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Kigoma, ameiagiza Wizara...

READ MORE