×

Habari

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 28, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

RC Makonda Apiga Marufuku Wauguzi Arusha Kuzuia Maiti

MKuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amepiga marufuku tabia ya wahudumu wa afya katika vituo vyote vya kutolea...

READ MORE

CMSA Yaongeza Thamani ya Uwekezaji Katika Masoko ya Mitaji Kwa Asilimia 23.2

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema utekelezaji wa mipango na mikakati ya Serikali imekuwa na matokeo chanya...

READ MORE

Kinana Asema Kampeni ya Nishati Safi Iliyoanzishwa na Rais Dk. Samia Inalenga Kumtua Mwanamke Mzigo Kichwani

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amesema kampeni ya nishati safi iliyoanzishwa na Rais Dk....

READ MORE

NBAA Imejipanga Kuhakikisha Inaendelea Kutoa Elimu Kwa Wananchi

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imejipanga kuhakikisha inaendelea kutoa Elimu kwa wananchi katika Maadhimisho...

READ MORE

Balozi Dk Nchimbi: Mfumo wa Elimu Utawasaidia Watanzania Kushindana Kimataifa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amesema mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu ya...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Inathamini Mchango Wa Madhehebu Ya Dini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuthamini, kutambua na kuheshimu mchango wa madhehebu ya dini katika kuchochea maendeleo katika...

READ MORE

Mradi wa Maji Same – Mwanga Wafikia Asilimia 90, Aweso Awasha Pampu Kusukuma Maji

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya...

READ MORE

GGML inavyowezesha walemavu Geita

  Na Mwandishi Wetu KATIKA mazingira ya kupendeza ya Mkoa wa Geita, iko habari njema yenye kutia matumaini kwa waliokata...

READ MORE

Bondwa Hiking Club, Polisi Waipa Moto Kauli ya Waziri Mkuu

KLABU ya mazoezi ya Bondwa Hiking ya Mkoani Morogoro kwa kushirikiana na jeshi la polisi Mkoani humo limefanya matembezi ya...

READ MORE

USAID, Serikali ya Tanzania Zaungana Kupambana na Usugu wa Vimelea vya Magonjwa Dhidi ya Dawa

Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Shirika la Marekani la...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Album ya Harmonize Mlimani City, Atangaza Jambo Jipya Kwa Wasanii (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize Mei 25, 2024 katika...

READ MORE

Swahiba wa Nyerere Apongeza Uongozi wa Samia, Akitimiza Miaka 99

Mwanasiasa mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa. Mzee Songambele ametoa pongezi hizo...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Tanzania yadhamini Mbio Za Run For Binti Race

Dar es Salaam, Mei 25, 2024 – Benki ya Stanbic Tanzania (SBT) ina furaha kutangaza udhamini wake wa mbio za...

READ MORE

Heineken Yatangaza Jarida Mpya Nchini Tanzania Kufuatia Kununua Kampuni ya Distell na Namibia Breweries

Dar es Salaam, Tanzania, Mei 22, 2024 – Kampuni inayoongoza duniani ya kutengeneza vinywaji, Heineken, leo imetangaza rasmi kuzindua rasmi...

READ MORE

Benki ya NBC Yaahidi Kuiboresha Zaidi Ligi Kuu ya NBC

Mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya NBC (NBC Premiere League), Benki ya NBC, imekabidhi kombe la ubingwa wa ligi hiyo...

READ MORE

Ona Yanga Walivyokabidhiwa Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu Bara – Picha +Video

Klabu ya Yanga SC wamekabidhiwa Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu Bara Mei 25, 2025 mara baada ya kumalizika...

READ MORE

Serikali Yajipanga kuhakikisha Nchi inautoshelevu wa Mbegu

  Serikali ya Tanzania inaendelea kutekekeleza mikakati ya kujitosheleza za kwa mbegu za mazao ya kilimo ili kuihakikishia nchi usalama...

READ MORE

Mamia ya Wananchi Washiriki katika Mbio za Run for Binti

Washiriki zaidi ya 700 wameshiriki katika mbio za Run for Binti zilizofanyika katika Viwanja vya Oysterbay, ikiwa ni msimu wa...

READ MORE

Rais Samia asaini Kitabu cha Maombolezo ubalozi wa Iran nchini

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Mei 24, 2024 amewasili katika Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran hapa nchini...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua basi aina ya KAYOOLA EVS linalotumia umeme

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua basi aina ya KAYOOLA EVS linalotumia umeme Mei 23, 2024 jijini Dar es Salaam. Basi...

READ MORE

Wiki Ya Ubunifu, Mabinti Waliopewa Mafunzo Ya Kiteknolojia Na UN WOMEN Waeleza Walivyonufaika

Dar es Salaam 23 Mei 2024: Wiki ya ubunifu ikiwa inaendelea wasichana kadhaa waliowezeshwa mafunzo ya kidigitali na shirika la...

READ MORE

Video: Ngosha Akamatwa Tuhuma Za Kumuua Penina Kwa Kumkatakata Mapanga Bar

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda Muliro leo Mei 24, 2024 limethibitisha kumkamata na...

READ MORE

RC Makonda Akerwa Na Tabia Ya Watendaji Kutotembelea Miradi Ya Maendeleo – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda ameonya tabia ya baadhi ya watendaji wa serikali na taasisi zake kutotembelea...

READ MORE

Taharuki! Auawa Kwa Kukatwa Mapanga Akiwa Bar na Mpenzi Wake – Video

Mrembo Penina Method, mkazi wa Goba jijini Dar es Salaam ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga huku mwanaume aliyekuwa akiishi naye...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada wa Pikipiki 20 Mkoa wa Arusha Kuendeleza Sekta ya Utalii

Benki ya NMB imekabidhi pikipiki 20 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 65 zitakazosaidia kuimarisha ulinzi mkoani Arusha. Mchango...

READ MORE

Suka Mkeka Wako na Meridianbet Leo

Ndugu mteja ukiwa unajiuliza wakati huu ambao baadhi ya ligi kubwa Duniani kumalizika ni wapi utapata pesa. Meridianbet wanasema hivi...

READ MORE

Viongozi na wachezaji wa Klabu ya Yanga, leo Watinga Bungeni, Dodoma (Picha + Video)

Viongozi na wachezaji wa Klabu ya Yanga, leo wametinga bungeni jijini Dodoma kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

Bunge la DRC lamchagua Vital Kamerhe kuwa spika

Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lilimchagua Vital Kamerhe, ambaye nyumba yake ilishambuliwa vibaya siku ya Jumapili, kuwa spika....

READ MORE

Vodacom Yatambulisha Simu Mpya Unazoweza Kuzipata kwa Mkopo na Kulipia Taratibu

Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, George Lugata ameelezea kuhusu kampuni hio kutambulisha aina nne za...

READ MORE

OSHA Yatoa Mafunzo ya Usalama na Afya Kwa Wabunge Vijana

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetoa mafunzo ya Usalama na Afya kazini kwa wabunge chini ya...

READ MORE

Live: Maziko ya Aliyekuwa Rais wa nchi ya Iran Ebrahim Raisi

Maelfu ya raia nchini Iran wamejitokeza katika maziko ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki Dunia kwa ajali...

READ MORE

Watu 11 Wakiwemo Raia Watatu wa Kigeni Wafariki Morogoro Leo

Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa baada ya mtambo wa kuzalisha mvuke katika kiwanda...

READ MORE

Basi la kampuni ya Takbir Lapata Ajali Lajeruhi 18 Eneo la Manga, Singida

Basi la kampuni ya Takbir lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Katoro mkoani Geita limepata ajali leo Mei 23, 2024...

READ MORE

Waziri wa Kilimo Bashe Ajibu Sakata Aliloibua Mpina Bingeni – Video

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amejibu hoja ya mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akisema amekosea kufanya uchambuzi wa utoaji wa...

READ MORE

LHRC Yamuonya Oscar Oscar Kuacha kuweka maudhui ya Udhalilishaji dhidi ya Wanawake

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia Habari Picha...

READ MORE

Tisa wafariki baada ya jukwaa kuporomoka kwenye mkutano wa hadhara Mexico

Takriban watu tisa wamefariki dunia, akiwemo mtoto, na wengine 50 wamejeruhiwa baada ya jukwaa kuanguka kwenye mkutano wa kampeni za...

READ MORE

Binti Apata Shahada ya Udaktari ‘Phd’ akiwa na umri wa miaka 17

BINTI mkazi wa Chicago, Marekani, Dorothy Jean Tillman, ameweka historia ya kipekee baada ya kupata Shahada ya Udaktari (Phd) ‘Doctorate...

READ MORE

Waziri Mkuu: Wazazi Fuatilieni Mienendo Ya Watoto Wenu Shuleni

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo...

READ MORE

Mchezo Mpya Meridianbet Kasino Coin Strike Hold & Win|Ushindi Kugusa Tu

Meridianbet wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni ambao utakupa nafasi ya kushinda moja ya jakpoti nne kubwa. Kazi yako...

READ MORE