×

Habari

Raia wa Namibia Wafunguka Rais wao kupelekwa Marekani kwa ajili ya matibabu

Rais wa Namibia amepangiwa kupelekwa Marekani kwa matibabu, baada ya vipimo vya afya kugundua kwamba huenda saratani imerejea tena mwilini,...

READ MORE

Mrembo Aliyejibiwa Comment Na Rais Samia, Afunguka Ana Kiwanda – Video

Global Tv Imefanya mahojiano na Mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo (28) ambaye amekuwa gumzo baada ya kujibiwa Comment yake na...

READ MORE

Mfumo Wa Gesi Kufungwa Minaki Sekondari Na Oryx, Yakabidhi Mitungi 700 Kisarawe

Pwani, 28 Januari 2024: Shule ya Sekondari Minaki iliyopo Kisarawe mkoani Pwani inatarajiwa kufungiwa mfumo wa gesi na Kampuni ya...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Kiwanda cha Karafuu cha Indesso Aroma nchini Indonesia

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...

READ MORE

Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2023

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), leo Januari 25, 2024 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato che nne. BOFYA KUTAZAMA...

READ MORE

Kiongozi wa upizani Zimbabwe akihama chama chake

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Zimbabwe, Nelson Chamisa ametangaza kujiuzulu kutoka chama chake siku ya Alhamisi, miezi michache baada...

READ MORE

Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Mwa Afrika Wasaini Katiba ya Usimamizi Shule ya Uongozi

Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakisaini Katiba ya Usimamizi na Uendeshaji wa Shule ya...

READ MORE

Wizara Ya Habari, NMB Waungana Kuendeleza TEHAMA Nchini

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema wizara imeendelea kuwa mstari wa mbele...

READ MORE

OSHA Itumike Kuainisha Viwango vya Usalama na Afya Katika Ununuzi Serikalini

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri serikali kuutumia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...

READ MORE

Mdada Wa Saluni Aibuka Na Milioni Ya Magifti Dabo Dabo Ya Tigo

Januari 26, 2024 Novat Freemin Lyaruu Mchoma Nyama Dar Es Salaam, Kumbuka Mbugulu na Jenifer Gunga ni baadhi ya wawakilishi...

READ MORE

Kampuni ya Serengeti Yaweka Dira ya Kuelekea Kwenye Nishati Safi Ifikapo 2030

Wakati dunia ikijumuika pamoja kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Nishati Safi Serengeti Breweries Limited (SBL), sehemu ya makampuni ya Diageo,...

READ MORE

Waziri Mchengerwa: Samia Bond’Kuwasaidia Wakandarasi Wazawa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ameelekeza TARURA kuanzisha mchakato wa upatikanaji wa hati fungani ya...

READ MORE

Rais Samia Akagua Gwaride la Heshima na Kupigiwa Mizinga Indonesia

  Rais Samia Suluhu Hassan, amekagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa mapokezi yake rasmi, akiwa ameambatana...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Nchimbi apokea zawadi ya kitabu kiitwacho “Dare Not Linger

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepokea zawadi ya kitabu kiitwacho “Dare Not Linger:...

READ MORE

Mapokezi Rasmi Ya Rais Samia Katika Ikulu Ya Bogor Nchini Indonesia – Live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia...

READ MORE

Rais wa Namibia kupatiwa matibabu ya saratani Marekani

Rais wa Namibia Hage Geingob alitarajiwa kuwasili Marekani Jumatano kwa ajili ya kufanyiwa matibabu ya saratani, ofisi ya rais imetangaza....

READ MORE

Manara Afunga Ndoa Na Zaiylissa – Video Yao Wakifunga Ndoa Yavuja – Tazama Ilivyokuwa

Haji Manara pamoja na staa wa Bongo Movie @zaiylissa wamefunga ndoa ya kimyakimya. Ndoa hiyo imejulikana kupitia Instagram baada ya...

READ MORE

Saikolojia Inavyotibu Hofu ya Kusalitiwa Katika Ndoa!

KATIKA maisha mawazo ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu, lakini hata hivyo matumizi ya akili lazima yawekewe mipaka na isiwe...

READ MORE

Tigo Tanzania Sasa Yakabidhiwa Rasmi Tuzo Ya Mtandao Wenye Kasi Zaidi Tanzania Kwa Mwaka Wa 2023

Tigo Tanzania yakabidhiwa rasmi tuzo ya Mtandao Wenye Kasi zaidi Tanzania kwa mwaka wa 2023 iliyotolewa na taasisi ya Kimataifa...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Wa China Amaliza Ziara Ya Kikazi Nchi

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong amemaliza ziara ya kikazi ya Siku Tatu nchini...

READ MORE

Shilingi Bilioni 113 Kujenga Km 50 Barabara ya Zege Kuelekea Liganga na Mchuchuma

Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha shilingi Bilioni...

READ MORE

Hamisa Wa Kilosa Akabidhiwa Milioni Tano Ya Magifti Dabo dabo Ya Tigo

Morogoro, 24 Januari 2024: Mshindi wa Kampeni ya Magifti Dabo dabo inayoendeshwa na Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi...

READ MORE

Vodacom Yazindua Dawati La Huduma Kwa Wateja Wasioona

Dar es Salaam – Januari 24, 2024. Katika jitihada za kuhakikisha inatengeneza usawa na ujumuishi wa mazingira bora ya ufikiwaji...

READ MORE

Tigo Zantel Yazindua Kituo Kipya Cha Huduma Kwa Wateja Zanzibar

Zanzibar, 24th January 2024 – Tigo Zantel inayo furaha kuutangazia umma kwamba imefanya uzinduzi wa Kituo chake kipya cha huduma kwa wateja...

READ MORE

Kihenzile Ashuhudia Makabidhiano ya Jengo Jipya la Abiria Kahama Airport Kutoka Kampuni ya Dhahabu ya Barick

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameshuhudia makabidhiano ya jengo jipya la abiria Kahama Airport kutoka kampuni ya dhahabu ya...

READ MORE

Serengeti Ilivyofanikiwa Kubadilisha Mtazamo wa Vijana Kuhusu Kilimo

Katikati ya taswira ya kilimo nchini Tanzania, Serengeti Breweries Limited (SBL) inaunda hadithi ya kuwezesha na kuingiza katika mipango yake...

READ MORE

Prof. Joyce Ndalichako Akabidhi Mashamba na Vitendea kazi Kwa Vijana

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (Mb) amekabidhi mashamba...

READ MORE

Mo Dewji Ang’ara Orodha ya Mabilionea 20 wa Afrika, Dangote Aongoza

Jarida la Forbes limetoa orodha ya mabilionea 20 wa Afrika kwa mwaka 2024 ambapo Mtanzania pekee aliyepo kwenye orodha hiyo,...

READ MORE

Rais Putin Kufanya Ziara Korea Kaskazini Kwa Mwaliko wa Rais Kim Jong Un

Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini, jana Jumapili, Januari 21, 2024 vimeripoti kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anatarajiwa kuitembelea...

READ MORE

Burna Boy Atajwa Orodha ya Watakaotumbuiza Kwenye Tuzo za Grammy

Siku chache tangu waandaaji wa Tuzo za Grammy wawatangaze wasanii watakao-perform kwenye tuzo hizo mwaka huu na kuwataja Billie Eilish,...

READ MORE

Watu 90 Wapoteza maisha Nchini Marekani kufuatia dhoruba kali ya msimu wa baridi

Takriban watu 90 wametipotiwa kupoteza maisha Nchini Marekani baada ya nchi hiyo kukumbwa na dhoruba kali ya msimu wa baridi...

READ MORE

Kocha wa Morocco akiri kufanya makosa baada ya timu yake kutoka sare 1-1 na DRC

Kocha wa Morocco Walid Regragui alisema Jumapili kwamba alifanya makosa wakati timu yake ilipotoka sare ya 1-1 katika michuano ya...

READ MORE

MwanaFA CUP 2024 Yaja na Mkakati wa Kuibua na Kuendeleza Vipaji Kwa Vijana

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amewahakikishia vijana na wadau wa mpira wa Miguu katika Wilayani...

READ MORE

Makonda; Wakurugenzi Wanaomchonganisha Rais Samia Na Wananchi Hatutawavumilia

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Majaliwa: NAM Iendeleze Ushirikiano Katika Masuala Ya Ulinzi

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesisitiza Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wahakikishe wanashiriki katika kila...

READ MORE

Dkt.Nchimbi; Kukimbilia Maandamano ni Uoga wa Hoja, Kukwepa Mazungumzo

Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi wa CCM kuongozea kasi ya kutimiza wajibu...

READ MORE

Rais Felix Tshisekedi aapishwa kuongoza muhula wa pili wa miaka mitano DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi aliapishwa kuongoza muhula wa pili wa miaka mitano Jumamosi  Januari 20,...

READ MORE

Kilimanjaro International Marathon Yazinduliwa Moshi

Kilimanjaro 20 Januari 2024: Toleo la 22 la Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024 limezinduliwa Ijumaa...

READ MORE

Waziri Bashungwa Aagiza Kujengwa Haraka kwa Daraja la Nzali- Chamwino

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga...

READ MORE

Makamu wa Rais Awasili Nchini Akitokea Davos, Uswisi Kumwakilisha Rais Samia

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo Januari 20, 2024 amewasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

READ MORE