×

Habari

Ndege nyingine ya Marekani ya MQ-9 imeanguka nchini Yemen

Ndege nyingine ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper isiyokuwa na rubani, ilianguka nchini Yemen, picha zilionyeshwa Jumatano, wakati waasi wa...

READ MORE

Watanzania Hawatafungwa Midomo Kutangaza Mafanikio ya Samia Suluhu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kupitia juhudi za Mhe. Dkt. Samia...

READ MORE

Sugu ambwaga Msigwa uenyekiti Kanda ya Nyasa

UCHAGUZI wa Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa unafanyika katika Mji wa Makambako Mkoa wa Njombe kwa kushuhudia Joseph Mbilinyi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Tume ya Mipango, TAEC, NACTVET

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mursali Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mtendaji,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 30, 2024

Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara ya siku sita Jamhuri Ya Korea

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

RC Makonda Atembelea Shule Mpya Ya Sekondari Madira Wialaya Ya Arumeru

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akiwasili kwenye shule ya Sekondari Madiira, kata ya Sing’isi halmashauri ya Meru,...

READ MORE

RC Makonda Amewataka Wanafunzi Chuo Cha Maendeleo Ya Jamii Tengeru Kuweka Bidii Kwenye Masomo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha  Paul Christian Makonda amewasihi wanafunzi wa chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeruu (TICD) wilaya ya...

READ MORE

Familia Yasimulia Jinsi ya Kujikinga na Watu Wenye Macho Mabaya Baada ya Kuteseka Sana

Je, umewahi kuhisi kuwa mtu fulani anakutakia mabaya au bahati mbaya maishani mwako kwa siri, au umewahi kupata mabadiliko ya...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani...

READ MORE

Msafara wa Balozi Dkt. Nchimbi Wasimamishwa Isuna, Ikungi

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi na msafara wake, akiwa amesimamishwa njiani na wananchi wa eneo la...

READ MORE

Samia Kupitia Nchimbi Akamilisha Ahadi Manyoni

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan leo kupitia Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dk Emmanuel...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yakaribisha Awamu Ya Tatu Ya Mafunzo Kwa Mameneja Wa Matawi

Dar es salaam, Mei 27, 2024: Benki ya Stanbic Tanzania (SBT) inatangaza kuanzishwa kwa kundi la tatu la mafunzo ya...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Wajumbe wa Tume ya Mipango, Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Wajumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi...

READ MORE

Bilionea wa Marekani Kusafiri Chini ya Maji hadi Kwenye Mabaki ya Titanic

Mfanyabiashara bilionea wa mali isiyohamishika wa Marekani na tajiri na msafiri wa Ohio Larry Connor, Patrick Lahey, mwanzilishi mwenza wa...

READ MORE

RC Makonda: Watu 8 Wamelipwa Mil 6 ili Waniue, Anasa SMS Kwenye Simu Yake, Mwenyewe Aeleza – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa kuna mtu kamtumia meseji kuwa kuna watu 8 wamelipwa milioni 6...

READ MORE

Waziri wa Ardhi afunga Masijala ya Ardhi ya Jiji la Dodoma kuondoa changamoto

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amefunga Masijala ya Ardhi ya Jiji la Dodoma ikiwa ni...

READ MORE

Mkulima Singida Aibuka na Mil. 10/- za NMB Pesa Weka na Ushinde

KAMPENI ya Weka Akiba, Tumia na Ushinde kwa wateja wa akaunti nafuu, rahisi na salama ya NMB Pessa iliyokuwa na...

READ MORE

ISOC-Tz Yaibuka Namba Moja Tuzo za WSIS 2024 PRIZES, Matumizi ya Interneti Isiyo na Mipaka

TAASISI ya internet Society Tanzania Chapter (ISOC-TZ) imeibuka kidedea namba moja baada ya usaili wa project 1049 toka pande za...

READ MORE

Makonda Awasili Ofisi Za CCM Wilaya Ya Kichama Ya Arumeru

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amewasili kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, wilaya ya kichama ya Arumeru...

READ MORE

Waziri wa Kazi Atembelea Mtibwa Sugar, Aitaka OSHA Kukamilisha Uchunguzi wa Ajali

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ametembelea kiwanda cha kuzalisha sukari...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Namibia Afanya Ziara Makao Makuu ya JWTZ Dar

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Namibia, Air Marshal Martin Kambulu Pinehas na ujumbe wake amefanya ziara ya kikazi nchini...

READ MORE

Tigo Zantel na ZMOTION SOLUTIONS Wazindua “Lipa Ada” Zanzibar:

Zanzibar, Mei 28, 2024 – Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha mtanzania anaishi Maisha ya kidigitali,Tigo Zantel, kwa kushirikiana na ZMOTION SOLUTIONS,...

READ MORE

Kampeni msaada wa kisheria yaanza Ludewa

  MKUU wa Wilaya ya Ludeva mkoani Njombe, Victoria Mwanziva amesema kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ‘Mama...

READ MORE

RC Makonda: Tutaendelea Kuenzi Mazuri Ya Hayati Lowassa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amewaahidi wakazi wa Monduli kwamba Serikali ya Mkoa itahakikisha inatimiza maono ya...

READ MORE

Waziri Ndejembi: Mmeona Umuhimu wa Kujisaji WCF, Atoa Pole Kwa Waliopoteza wapendwa wao

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema ni matarajio ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 28, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

RC Makonda Apiga Marufuku Wauguzi Arusha Kuzuia Maiti

MKuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amepiga marufuku tabia ya wahudumu wa afya katika vituo vyote vya kutolea...

READ MORE

CMSA Yaongeza Thamani ya Uwekezaji Katika Masoko ya Mitaji Kwa Asilimia 23.2

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema utekelezaji wa mipango na mikakati ya Serikali imekuwa na matokeo chanya...

READ MORE

Kinana Asema Kampeni ya Nishati Safi Iliyoanzishwa na Rais Dk. Samia Inalenga Kumtua Mwanamke Mzigo Kichwani

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amesema kampeni ya nishati safi iliyoanzishwa na Rais Dk....

READ MORE

NBAA Imejipanga Kuhakikisha Inaendelea Kutoa Elimu Kwa Wananchi

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imejipanga kuhakikisha inaendelea kutoa Elimu kwa wananchi katika Maadhimisho...

READ MORE

Balozi Dk Nchimbi: Mfumo wa Elimu Utawasaidia Watanzania Kushindana Kimataifa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amesema mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu ya...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Inathamini Mchango Wa Madhehebu Ya Dini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuthamini, kutambua na kuheshimu mchango wa madhehebu ya dini katika kuchochea maendeleo katika...

READ MORE

Mradi wa Maji Same – Mwanga Wafikia Asilimia 90, Aweso Awasha Pampu Kusukuma Maji

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya...

READ MORE

GGML inavyowezesha walemavu Geita

  Na Mwandishi Wetu KATIKA mazingira ya kupendeza ya Mkoa wa Geita, iko habari njema yenye kutia matumaini kwa waliokata...

READ MORE

Bondwa Hiking Club, Polisi Waipa Moto Kauli ya Waziri Mkuu

KLABU ya mazoezi ya Bondwa Hiking ya Mkoani Morogoro kwa kushirikiana na jeshi la polisi Mkoani humo limefanya matembezi ya...

READ MORE

USAID, Serikali ya Tanzania Zaungana Kupambana na Usugu wa Vimelea vya Magonjwa Dhidi ya Dawa

Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Shirika la Marekani la...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Album ya Harmonize Mlimani City, Atangaza Jambo Jipya Kwa Wasanii (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize Mei 25, 2024 katika...

READ MORE

Swahiba wa Nyerere Apongeza Uongozi wa Samia, Akitimiza Miaka 99

Mwanasiasa mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa. Mzee Songambele ametoa pongezi hizo...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Tanzania yadhamini Mbio Za Run For Binti Race

Dar es Salaam, Mei 25, 2024 – Benki ya Stanbic Tanzania (SBT) ina furaha kutangaza udhamini wake wa mbio za...

READ MORE