×

Habari

Mwanafunzi Wa Kidato Cha 4 Atuhumiwa Kuchoma Moto Madarasa Mawili Mbeya

Mwanafunzi Yesse Charles mwenye umri wa miaka 17 anatuhumiwa kufanya tukio hilo katika Shule ya Sekondari ya Serikali Iyela kwa...

READ MORE

#Exclusive: Dipper Rato Staa Anayetrendi Arusha – “Sivai Braa Inabana, Nilishawahi Kupata Tuzo”- Video

Msanii wa vichekesho wa kipindi cha Kitimtim, ambaye pia ni mfanyabiashara jijini Arusha, @dipper_rato amesema kuwa anapenda nguo kubwa kwasababu...

READ MORE

Maelfu ya waombolezaji wakusanyika Afrika Kusini kwa ajili ya mazishi ya kitaifa ya Mangosuthu Buthelezi

Vyombo vya habari vya Afrika Kusini viliripoti kuwa Twiga wawili na swala sita wamechinjwa na kuchunwa ngozi ikiwa ni sehemu...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, Septemba 17, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 17, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Kampuni ya Oryx Gas Na Doris Mollel Foundation Watoa Elimu Ya Matumizi Ya Nishati Ya Gesi Ya Kupikia Kwa Wamasai

KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Doris Mollel Foundation imetoa elimu ya matumizi sahihi na salama ya kupikia kwa...

READ MORE

Mbinu Nilizotumia Kukabiliana na Ugonjwa wa Kifafa Ulioitesa Familia Yetu

  Naitwa Kamau kutoka Nyamira, una kila mtu hufurahia kuona wapendwa wake wakiishi kwa amani na wenye afya kila siku,...

READ MORE

Hospitali ya Kairuki Green IVF Yaleta Tabasamu kwa Wasiopata Watoto

  KITUO cha Upandikizaji Mimba cha Kairuki Hospital Green IVF (KHGIVF), kimeendesha mafunzo kwa madaktari wa hospitali mbalimbali kuhusu namna...

READ MORE

Rais Samia Awataka Wasafirishaji wa Korosho Kwa Malori Kupata Kibali (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wasafirishaji wa korosho kwa malori mkoani Mtwara kupata kibali...

READ MORE

Niger: Utawala mpya wa kijeshi wafuta hati za kusafiria za kidiplomasia

Watawala wapya wa kijeshi wa Niger wamefuta zaidi ya hati za kusafiri 990 za kidiplomasia zilizokuwa zinashikiliwa na raia wa...

READ MORE

Jichukulie Maokoto Ya Meridianbet Kupitia Halopesa – Video

Meridianbet, kampuni kubwa ya michezo ubashiri mtandaoni, inafuraha kutangaza ushirikiano wake wa kipekee na Halopesa , moja ya mtoa huduma...

READ MORE

Majaliwa Aipongeza TARURA Kutumia Teknolojia ya mawe kwenye ujenzi wa madaraja

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

READ MORE

Bei ya mafuta nchini Kenya yapanda kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa

NAIROBI – Wakenya kuanzia Jumatatu wameanza kulipia bei ya juu wanaponunua bidhaa za petroli kufuatia tangazo la bei mpya iliyotangazwa...

READ MORE

Kampuni Ya Oryx Energies Yawekeza Katika Ugavi Na Usambazaji Wa LPG Zanzibar

Mji Mkongwe Zanzibar, Tanzania na Geneva, Uswisi, Septemba 15, 2023: Kampuni ya Oryx Gas Zanzibar Limited imeungana na kampuni ya...

READ MORE

Prof. Mkenda Apongeza KCB Kwa Kuwezesha Vijana Kupata Mafunzo ya Amali

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya KCB Tanzania kwa namna inavyowezesha vijana kupata mafunzo...

READ MORE

Uganda: Polisi Watoa Sababu za Kupiga Marufuku Mikutano ya Bobi Wine

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amelaani hatua ya serikali kupitia jeshi la polisi kupiga marufuku...

READ MORE

Mtoto wa Rais Biden Afunguliwa Mashitaka ya Kumiliki Kunduki Kinyume cha Sheria

Hunter Biden mwana wa kiume wa Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi amefunguliwa mashitaka na viongozi wa mashitaka, akituhumiwa kununua...

READ MORE

Rais Samia Azindua Miradi Ya Maendeleo Mkoani Mtwara – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua miradi ya maendeleo mkoani Mtwara leo tarehe 15 Septemba,...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite, Zinasifika kwa Kutunza Chaji

  Tarehe 9 Agosti 2023 ndio siku ambayo earbuds mpya kutoka oraimo ambazo zinaitwa “FreePods Lite” ziliingia sokoni rasmi. Kampuni...

READ MORE

Majaliwa: Ongezeni Ushiriki Wa Wahandisi Wazawa Kwenye Ujenzi Miradi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wahandisi wazawa wanashiriki...

READ MORE

Ridhiwani Kikwete Atoa Maagizo Kwa Ma-Ded Na Maafisa Utumishi- “Tunakuwa Na Utumishi Wa Hovyo – Video

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameutaka Mfuko wa Maendeleo...

READ MORE

Rais Joe Biden Akashifu Mpango wa Bajeti ya Warepablikan

Wakati kukiwa na uwezekano wa kufungwa kwa shughuli za kifedha za serikali ya Marekani, Rais Joe Biden Alhamisi amekashifu mpango...

READ MORE

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

NMB Foundation imefungua rasmi dirisha la pili wa Ufadhili wa Masomo na Usimamizi mwaka 2023/24, kwa wanafunzi wanaojiunga Vyuo Vikuu...

READ MORE

Zaidi Ya Washindi Elfu Ishirini Na Sita Wameshinda Kwenye Kampeni Ya Tigo Chawote

Zaidi ya washindi elfu ishirini na sita wameshinda kwenye kampeni ya Tigo ya Chawote hayo ameyasema Mary Rutta Meneja wa...

READ MORE

Nashindwa Kumsahau Ex Wangu, Hanitaki Anampenda Mwanamke Mwingine

Nalinganisha penzi na bustani ambayo huhitaji kumwagiliwa maji mengi na isipopata maji ya kutosha uweza kufifia na hatimaye kufa, hivyo...

READ MORE

Kisa Umeme Kukatika – Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko Atoa Tamko Tanesco – Amtaja Rais Samia…

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema watanzania wanataka umeme na hivyo kuwataka Viongozi na Wafanyakazi...

READ MORE

Marais Putin na Kim wakutana huku Marekani na Korea Kusini wakitoa onyo

Rais wa Russia, Vladimir Putin, Jumatano amekutana na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un katika kituo cha Russia, ambacho...

READ MORE

Tigo Launches Small And Medium-Sized Enterprises (SMEs) Summit To Empower Businesses Across The Country

Dar es Salaam. 14thSeptember 2023.Tanzania leading digital lifestyle company,Tigo, is thrilled to announce its SME hybrid event aimed at fostering...

READ MORE

Kiungo Mpya Ajiondoa Simba Arejea Nyumbani Kwao, Uongozi Wafunguka

UONGOZI wa Simba, upo katika mipango ya kumruhusu kiungo wao, Muivory Coast, Aubin Kramo, kurejea nyumbani kwao kwa ajili ya...

READ MORE

Ufaransa Yasitisha Mauzo ya iPhone 12 Juu ya Viwango vya Mionzi

Ufaransa imeiamuru kampuni ya Apple kuacha kuuza simu ya iPhone 12 kwa kutoa mionzi mingi ya sumakuumeme (electromagnetic) Siku ya...

READ MORE

Kocha Nabi Ampa Nondo Gamondi Kuwamaliza Al Merrikh ya Sudan

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina, amewaangalia wapinzani wake katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Merrikh ya Sudan,...

READ MORE

Shirika la ndege la Qantas Liliwafuta Kazi Kinyume cha Sheria Wafanyakazi 1,700

MAHAKAMA ya juu zaidi ya Australia imekataa ombi la Qantas la kubatilisha uamuzi kwamba ilifuta ajira 1,700 kinyume cha sheria...

READ MORE

Golikipa wa Legon Cities FC ya Ghana, Sylvester Sackey Afariki

Mlinda mlango wa klabu ya Legon Cities FC ya Nchini Ghana, Sylvester Sackey (26) raia wa Ghana amefariki Dunia Septemba...

READ MORE

iPhone 15 Yazinduliwa Ikiwa Na Chaja Ya Kawaida Ya Type-C Kama Android – Video

KAMPINI ya kutengeneza bidhaa za kielektroniki vikiwemo vipakatalishi na simu za Apple hatimaye imekubali kuafikiana na muungano wa Uropa, EU...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Kushiriki Mkutano Wa G77+China Nchini Cuba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea Havana, Cuba kumwakilisha Rais...

READ MORE

Spika wa baraza la wawakilishi la Marekani kuanzisha uchunguzi wa kutokuwa na imani na Rais Biden

Spika wa baraza la wawakilishi la Marekani Kevin McCathy amesema kwamba anaanzisha uchunguzi akiwa na nia ya kupitisha mswada wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 13,2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 11, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Waziri Ndalichako Alivyozindua Mkutano wa Wastaafu Watarajiwa wa PSSSF

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako, amefungua semina elekezi...

READ MORE

Zimbabwe: Upinzani Wamshutumu Mnangagwa Kumteua Mtoto wake Kwenye Baraza la Mawaziri

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Atengua Uteuzi wa Bosi wa Zanroads na Kamishna wa Idara ya Bajeti

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne Septemba 12, 2023 ametengua uteuzi...

READ MORE

Dereva Bodaboda Afariki Baada ya Kugongwa na Basi la Mwendokasi

DEREVA bodaboda leo Jumanne Septemba 12, 2023 asubuhi amefariki baada ya kugongwa na Basi la mwendokasi katika Makutano ya Mataa...

READ MORE