×

Habari

Gari La Abiria Lagongwa, Watu 9 Wafariki, 23 Wajeruhiwa Mbeya

Ajali imetokea katika Mteremko wa Iwambi, Mbeya Vijijini baada ya Lori aina ya Howo la #Zambia likiendeshwa na Mohamed Abilah...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashtukia Upigaji Fedha Kigoma, Aunda Timu Ya Uchunguzi – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atapeleka timu maalum ya uchunguzi wilayani Kigoma ili ifanye uchunguzi wa fedha zinazopotea kinyemela kupitia...

READ MORE

Wanafunzi Saba wa Sekondari Mbaroni Kwa Kuwafanyia Wanafunzi wa Msingi Mtihani wa la 7

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewahoji watu saba kwa tuhuma za kosa la udanganyitu wa mitihani ya darasa la...

READ MORE

Rais wa zamani wa CAR aliyetoroka ahukumiwa kifungo cha maisha jela

Rais wa zamani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati aliye uhamishoni, Francois Bozizé, amehukumiwa kifungo cha maisha jela na mahakama...

READ MORE

Wanafunzi 9 Walioanza Elimu Ya Msingi Chini ya Mti Wamkosha Mbunge Ole Lekaita

Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la...

READ MORE

GGML yatoa msaada wa vifaa tiba kuboresha afya Geita

NA MWANDISHI WETU KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

READ MORE

ATCL Yasitisha Safari za Tanzania Kwenda Guangzhou Nchini China hadi Oktoba

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imesitisha safari za Tanzania kwenda Guangzhou nchini China hadi Oktoba 16, 20213 kutokana na suala...

READ MORE

Majaliwa: Iwapo Rais Samia Anasikiliza Kero Za Wananchi, Ninyi Ni Akina Nani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kama Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anafanya ziara na kusilikiliza kero za wananchi, haoni ni...

READ MORE

Mchengerwa Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Busega

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa...

READ MORE

Luis Miquissone na Saidi Ntibazonkiza ‘Kuna Namna Simba

VIUNGO wawili wa Simba, Luis Miquissone na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kuna namna wanazidi kuiva...

READ MORE

Google Yashtakiwa Kwa Kumpoteza Mtu Ramani na Kupelekea Kifo – Video

Kampuni ya Google imeshtakiwa na Familia ya Philip Paxson ambaye kwa kufuatia ramani za Google aliendesha gari kwenye daraja lililoanguka...

READ MORE

Afrika Kusini na Marekani Kuanza Kujaribu chanjo mpya ya ugonjwa wa Ukimwi

Afrika Kusini na Marekani zinatarajia kuanza kujaribu chanjo mpya ya ugonjwa wa Ukimwi na tayari wamekwisha anza kuwaandikisha watu kushiriki...

READ MORE

Makamu Rais AngloGold Ashanti-GGML atembelea maonesho ya madini Geita

NA MWANDISHI WETU MAKAMU Rais wa kampuni ya AngloGold Ashanti Tanzania-GGML anayeshughulikia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania,...

READ MORE

Nmb Yashinda Tena Tuzo ya Kuongoza Kuwafadhili Wajasiriamali Afrika

  Benki ya NMB imetunukiwa tena tuzo na jukwaa la kufadhili ujasiriamali duniani (SME Finance Forum) kutokana na huduma zake...

READ MORE

Kagame Kugombea Mhula Mwingine Madarakani Mwaka Ujao

Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba atagombea mhula mwingine madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Kagame, ambaye aliingia...

READ MORE

Mahakama: Vicky Kamata Hakuwa Mke Halali Wa Dkt. Likwelile, Alikuwa Masuria

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imekataa pingamizi la Mbunge wa zamani, Vicky Kamata la kupinga uteuzi wa mtoto...

READ MORE

RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki

  NA MWANDISHI WETU MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa...

READ MORE

Oryx Gas Tanzania Yatangazwa Kampuni Bora Ya Kimataifa 2023, Yapewa Tuzo

Dar es Salaam, 21 Septemba 2023: ORYX Gas Tanzania imeshinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Kimataifa ya mwaka ambayo imetolewa...

READ MORE

Director Kenny, Infinix Tanzania Kuja Kuthibitisha Ubora wa Zero 30 Camera Kwa Vloga

Huenda habari kuhusu Infinix ZERO 30 sio mpya masikioni mwako tangu kuzinduliwa kwake imekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na...

READ MORE

Kampuni ya Ziiki Media Yamkana Diamond, Yasisitiza Siyo Mmiliki Wala Hana Hisa

  Baada ya uvumi wa muda mrefu kwamba staa wa Bongofleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ndiye mmiliki wa Kampuni ya...

READ MORE

Rais Samia agoma ombi la wananchi kumwondoa mwekezaji

RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa ombi la wananchi lililotaka afute hati ya umiliki ardhi inayodaiwa kuporwa kinyume cha sheria na...

READ MORE

Nyumba ya Meya wa Derna Yachomwa moto na waandamanaji Libya

Nyumba ya Meya wa mji wa Derna uliopo Libya imechomwa moto wakati mamia ya waandamanaji wakitaka majibu kuhusiana na janga...

READ MORE

Maafisa 1,000 wa polisi wa mji wa London wasimamishwa kazi kwa utovu wa nidhamu

Takriban maafisa 1,000 wa polisi wamesimamishwa kazi au kuwekewa masharti ya kazi ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulisafisha jeshi...

READ MORE

GGML yatoa milioni 150 kudhamini Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini Geita

NA MWANDISHI WA WETU KATIKA kuendelea kudumisha dhamira ya ubunifu wa kiteknolojia, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...

READ MORE

Serengeti Yatambulisha Tamasha La Oktoba 2023 Linalolenga Kusherekea Tamaduni Za Kitanzania

Dar es Salaam, Tanzania–September 20, 2023. Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) inafuraha kutangaza tamasha la Oktoba Fest, linalolenga kusherekea...

READ MORE

Rais Samia Aandika Historia Mpya Katika Sekta ya Uvuvi Nchini (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 19, 2023 ameandika historia mpya katika...

READ MORE

Wabunge Marekani Wataruhusiwa Kuvaa Wanavyotaka Wakiwa Bungeni

Kuanzia Jumatatu ya jana wabunge nchini Marekani wataruhusiwa kuvaa vile wanavyotaka wakiwa Bungeni. Akizungumza na Shirika la habari la CBS...

READ MORE

Tumeshinda Kesi Baada ya Ndugu Kutaka Kutudhulumu Nyumba ya Urithi

Jina langu ni Yamola, nina umri wa miaka 20, mimi ndio mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia yetu yenye jumla...

READ MORE

UNICEF: Zaidi ya watoto 1,200 wamefariki katika kambi za wakimbizi nchini Sudan

Zaidi ya watoto 1,200 wamefariki katika kambi za wakimbizi nchini Sudan tangu mwezi Mei, huku maelfu ya watoto wanaozaliwa huenda...

READ MORE

Kuwezesha Wanawake: Mpango Wa CPS STEM Waadhimisha Mahafali Katika Mji Wa Fumba Town

Unguja Magharibi, Septemba 15, 2023 – Mpango wa CPS STEM umefikia kilele kwa sherehe za wahitimu kwenye mji wenye mandhari...

READ MORE

Marekani na Norway kuzindua mfuko wa kusaidia kupambana na njaa barani Afrika

Marekani na Norway zimeahidi jumla ya dola milioni 70 za kuzindua mfuko, ulioripotiwa nchini Norway kwa mara ya kwanza, kusaidia...

READ MORE

Rais Samia Aweka jiwe la msingi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Lindi – Video

Rais Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Lindi, ambayo inatarajia kutoa huduma za...

READ MORE

Wapiga Kura 216,282 Kupiga kura Uchaguzi Mdogo Mbarali, Kata Sita

Wapiga kura 216,282 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kupiga kura leo Septemba 19, 2023 kwenye uchaguzi...

READ MORE

NCBA Bank Tanzania Yaja Na Kampeni Ya “Maisha Ni Hesabu’ Inayolenga Kuleta Mapinduzi Kwenye Huduma Za Kibenki

Dar Es Salaam, 20 Septemba — NCBA Bank Tanzania, taasisi kinara kabisa ya fedha nchini, inajivunia kuzindua kampeni yake kubwa...

READ MORE

Julio, Sekilojo Chambua, Waingia Mitaani Kusaka Vipaji Vya Soka Na Kucheza Safari CUP, Mchezaji Bora Kusajiliwa (EPL)

Dar es Salaam 19 Septemba 2023: Makocha wazawa wa hapa nchini, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ na Sekilojo Chambua wamepewa kazi maalum...

READ MORE

Vijana Wa Hanang Kujengewa Uwezo Na Programu Ya “Learning For Life” Ya SBL

Manyara, Hanang 18 Septemba 2023 – Serengeti Breweries Limited inafurahi kutangaza uzinduzi wa Programu ya “Learning for Life”kwa vijana wa...

READ MORE

Wezi Waliovamia Duka na Kuiba, Wakutwa Wakiwa Wameuchapa Usingizi Dukani

Jina langu Joe, kwa wakati mmoja niliibiwa kwenye duka langu jambo ambalo lilinirudisha nyuma kwa kiwango kikubwa, hivyo ilinilazimu kufunga...

READ MORE

Mtoto Wa Kiongozi Nguli Wa Dawa Za Kulevya El Chapo Asafirishwa Hadi Marekani

Mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa dawa za kulevya Joaquín “El Chapo” Guzmán amerejeshwa Marekani kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa...

READ MORE

Rais Samia Aweka Shada La Maua Kwenye Kaburi La Hayati Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa...

READ MORE