×

Habari

Rais Samia Alivyowasili Nigeria Kuhudhuria Sherehe Ya Kuapishwa Rais Mteule Tinubu – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Nigeria Mei 28, 2023, kwa ajili ya kuhudhuria...

READ MORE

Rais Erdogan Ashinda Uchaguzi wa Uturuki Apata Asilimia 52

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, ameshinda duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika Jumapili. Alizungumza na wafuasi wake baada ya...

READ MORE

Maajabu Makubwa Kutoka Bandari Ya Kwala, Msongamano Wa Malori Na Mizigo Sasa Basi… -Video

Miundombinu wezeshi kwa ajili ya kuhudumia makontena katika Bandari Kavu ya Kwala iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani imekamilika na kuifanya...

READ MORE

Mume Akana Kumpiga Mkewe, Afichua Siri Nzito – ”Kapigwa Na Mchepuko, Alikuwa Anatembea Na Mjomba”-Video

Mapya yameibuka katika sakata la mwanamke Jackline Mkonyi kudai amepigwa, kung’olewa meno na kutobolewa jicho na mumewe ambapo mwanaume anayetuhumiwa,...

READ MORE

Mshambulizi Wa Man City Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Wa EPL

Mchezaji wa Manchester City Erling Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo za mchezaji bora wa mwaka wa Primia Ligi...

READ MORE

Barabara ya NYERERE katika Makutano ya Shaurimoyo na Nyerere Kufungwa leo

Barabara ya NYERERE katika makutano ya Shaurimoyo na Nyerere inatarajiwa kufungwa leo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la reli...

READ MORE

Kijana Ajirusha Kwenye Bwawa, Aliyemshuhudia Akizama Asimulia Tukio Zima – Video

Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Daud Lufungulo anayekadiliwa Kuwa na umri wa miaka 30 Mkazi wa mtaa wa Samina...

READ MORE

Coca-Cola Kwanza, Oryx Gas And Institute Of Social Works Supports Young Food Vendors In Dar

Coca-Cola Kwanza has partnered with Oryx Gas and the Institute of Social Work to launch this year’s ChipsikaKiajirana Coke, a...

READ MORE

Chongolo: Serikali ya Rais Samia Itaendelea Kutatua Changamoto Za Wananchi

Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM),  Daniel Chongolo amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia...

READ MORE

Meridianbet Yabisha Hodi Ubungo-Kibangu

  Ni habari njema kwa wakazi wa Ubungo-Kibangu hii leo ambapo timu nzima ya Meridianbet wamefika eneo hilo na kuzindua...

READ MORE

Wanawake Mufindi Waiomba Serikali Iwape Mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

  Wanawake wilayani Mufindi wameiomba serikali kuwapa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ili waweze kujiendeleza katika biashara zao...

READ MORE

DC Jokate Mwegelo Aishukuru Lions Club International Kuungana Na Serikali Kuboresha Huduma Za Afya

Dar es Salaam, 26 Mei 2023: MKUU wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga Jokate Mwegelo amelishukuru Shirika la Lions Club...

READ MORE

Wakulima wa Kakao Mbeya Watakiwa Kujiunga Kwenye Vyama vya Ushirika

  Wakulima wa zao la Kakao mkoani Mbeya wametakiwa kuacha kutengeneza matabaka na badala yake waungane kupitia Vyama vya ushirika...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lamsaka Mwanaume Aliyemtoboa Jicho Mkewe na Kumng’oa Jino

Jeshi la Polisi mkoani Arusha, linamsaka Isaack Mnyagi kwa tuhuma za kumtoboa jicho na kumng’oa meno mkewe, Jackline Mkonyi kwa...

READ MORE

Mahakama ya Juu Nigeria Yatupilia Mbali Kesi ya Kutaka Kumuondoa Rais Mteule Bola Tinubu

Mahakama ya Juu nchini Nigeria imetupilia mbali kesi ya kutaka kumuondoa rais mteule Bola Tinubu na mgombea mwenza wake Kashim...

READ MORE

Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda, Fulgence Kayishema Afikishwa Mahakamani Afrika Kusini

Fulgence Kayishema, mmoja wa watoro wa mwisho waliokuwa wanasakwa kwa kuhusika kwao katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini...

READ MORE

Madaktari bingwa 10 Waliokuwa India Warudi na Shuhuda Nzito Kuhusu Utalii Tiba

·      Wasema huduma walizoona India Tanzania zipo ·      Wampongeza Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa sekta ya...

READ MORE

Chongolo Afunguka “CCM Tunataka Katiba Iliyo Bora”

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema kwa sasa hakuna chama chochote cha Siasa au Mtu yeyote...

READ MORE

Meridianbet Odds Kubwa Wikiendi ya Shangwe

Wikiendi hii ni siku ya sikukuu kwa wapenzi wa kubashiri soka, kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, odds kubwa kwenye mechi...

READ MORE

Kwa Mbinu Hii, Hakuna Mwanaume Anayeweza Kutoka Kimapenzi na Mke Wangu

  Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume yoyote ambaye anapenda sehemu ambayo anachovya asali pia mwanaume mwingine aje achovye asali, tena...

READ MORE

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya ‘Mungu Baba’ – Video

Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote...

READ MORE

Mtuhumiwa wa Mauaji ya Halaiki ya Rwanda Akamatwa Afrika Kusini

Fulgence Kayishema, mmoja wa washukiwa wanaosakwa sana wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya Rwanda mwaka 1994, amekamatwa katika mji...

READ MORE

Wabunge wa Marekani waondoka Washington bila maafikiano ya kikomo cha kukopa

Rais wa Marekani Joe Biden alisema Alhamisi kwamba mazungumzo na wabunge wa chama cha Republican ya kuongeza kikomo cha kukopa...

READ MORE

Waziri Aweso Afanya Ziara ya Kikazi Italia

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kikazi Rome-Italy hivi karibu mwezi Mei mwaka 2023 na kupokelewa na...

READ MORE

Waziri Wa Elimu”Wizara Itaendelea Kushirikiana na Wadau Kuhakikisha Mageuzi ya Elimu Yanafanikiwa

Kwa mara nyingine Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekutana na Wadau wa Maendeleo jijini Dar es Salaam kuwapitisha, kujadili...

READ MORE

Shule ya Sekondari Kingani Yapewa Msaada wa Kuchimbiwa Visima

  Shule ya Sekondari Kingani iliyopo Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, jana imepata faraja kubwa baada kuzinduliwa visima viwili vya maji...

READ MORE

Rais Samia, Museveni Wazindua Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Mei 25, 2023 amezindua Mradi wa Umeme wa Kikagati...

READ MORE

Baba wa Aliyejirusha Ghorofani Afunguka Aeleza Tukio lilivyokuwa – Video

Global TV imefika nyumbani kwa Joel, mwanaume aliyefariki dunia juzi, Mei 23, 2023 katika kile kinachodaiwa kuwa ni kujirusha kutoka...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Ahitimisha Ziara Yake Nchini Qatar, Azungumza na Diaspora

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amehitimisha ziara yake ya siku nne Doha,...

READ MORE

Wakulima wa Ufuta Songwe Wafurahia Ongezeko la Bei ya Zao Hilo Sokoni

  Wakulima wa zao la ufuta mkoa wa Songwe wameanza kuona tija ya kuzalisha zao hilo baada ya kuuza Sh...

READ MORE

Serikali Ya China Yapongezwa Kukuza Somo la Lugha ya Kichina Hapa Nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Carolyne Nombo ameishukuru Serikali ya China kwa juhudi inazoonesha katika kuhakikisha...

READ MORE

Marekani: Desantis Atangaza Atawania Uteuzi wa Chama cha Republican ili Kugombea urais

Baada ya miezi kadhaa ya matarajio, Gavana wa Florida nchini Marekani Ron DeSantis aliingia rasmi katika kinyang’anyiro cha mchujo wa...

READ MORE

Mfuasi wa Trump Ahukumiwa miaka 4 na nusu Gerezani kwa Kuvamia Bunge

Mtu mmoja kutoka jimbo la Arkansas hapa Marekani aliyepigwa picha akiwa ameweka miguu yake juu ya dawati, katika afisi ya...

READ MORE

Mjane wa Watoto 19 Amliza Afisa Masoko Meridianbet

Mama Mjane mwenye familia ya watoto 19 Mary Masanja amejikuta akimtoa machozi Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Matina...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Said Mohamed Mtanda Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha Said Mohamed Mtanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara,...

READ MORE

Lifti Yakatika Kutoka Ghorofa Ya 10, Saba Wajeruhiwa, Kamanda Azungumza -Video

Lifti katika jengo la LAPF Millenium Tower lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam, imeporomoka ikiwa na watu ndani na kusababisha...

READ MORE

Mama Mkwe Ameniingiza Kwenye Matatizo Mpaka Tukafumwa na Mke Wangu

Kwa hakika mama mkwe ni mtu ambaye anapaswa kuheshimika kivyovyote vile, ni mtu anayeweza kutoa ushauri katika ndoa ili kuepuka...

READ MORE

Kamati Mpya ya Ushauri wa Kisekta ya ‘MUHAS’ Yatakiwa  Kutoa Maoni Ya Kuboresha  Mitaala Mipya

Kamati mpya ya Ushauri wa Kisekta ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) imetakiwa  kutoa maoni na ushauri...

READ MORE

NMB ya kwanza kuzindua Malipo kwa QR na UnionPay International

BENKI ya NMB kwa kushirikiana na UnionPay International (UPI), wamezindua suluhisho la malipo ya kimtandao kupitia QR kwa wateja wao...

READ MORE