×

Habari

Wafanyabiashara Wafariki Kwa Ajali ya Gari Wakitoka Mnadani Baada ya Gari Kutumbukia Mtoni

Wafanyabiashara 13 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa usiku wa kuamkia leo, April 10, 2023, baada ya gari walilokuwa wakisafiria...

READ MORE

Rais Samia Apongezwa kwa Kuchukua Hatua Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua...

READ MORE

Zitto Aitaka Serikali Iimilikishe ATCL Ndege Badala ya Kukodi Kutoka Wakala wa Ndege za Serikali

Kiongozi mkuu wa Chama cha Upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema utafiti uliofanywa na chama hicho kuhusu Shirika la...

READ MORE

Dalai Lama Aomba Radhi kwa Kumfanyia Mtoto wa Kiume Vitendo vya Udhalilishaji

Siku kadhaa zilizopita, kiongozi wa Wabudha, Dalai Lama ali-make headline baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha akimfanyia mtoto wa kiume...

READ MORE

Kanisa moja nchini Afrika Kusini labariki zaidi ya wanandoa 800 siku ya Pasaka

Zaidi ya wanandoa 800 walifika kanisani Jumapili ya Pasaka katika moja ya sherehe kubwa ya harusi nchini Afrika Kusini tangu...

READ MORE

Papa Francis Aombea Amani Watu wa Ukraine, Awataka Waisraeli na Wapalestina kuaminiana

Katika ujumbe wa Pasaka unaoangazia matumaini, Papa Fraancis Jana Jumapili aliwasilisha maombi kwa ajili ya watu wa Ukraine na Russia,...

READ MORE

Shirika La Mawasiliano TTCL Lawasaidia Watoto Yatima Kushiriki Pasaka

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kusherehekea Siku Kuu ya Pasaka limetoa msaada wa vyakula pamoja na vinywaji katika vituo...

READ MORE

Rais Samia Avunja Bodi ya Shirika la Reli (TRC) na Kutengua Uteuzi wa TGFA

Rais Samia Suluhu Hassan, leo April 9, 2023 ametangaza kuvunja bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) pamoja na kutengua...

READ MORE

Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Umesababisha Hasara ya Trilioni 1.7 Kwa Taifa

Serikali ya Awamu ya 5 ililiingizia taifa hasara ya Dola za Marekani milioni 742.4 (zaidi ya Shilingi trilioni 1.7) kwenye...

READ MORE

Kama Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ni Nzuri, Rais Samia Ni Mzuri

  MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni...

READ MORE

Ukaguzi Maalum Wa CAG Waanika Madudu REA Kuanzia Mwaka 2015/2016 Mpaka 2019/2020

UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA). CAG ameimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa...

READ MORE

Meridianbet Kutoa Tsh 500,000 kwa kila goli kwa KMC Katika Michezo ya Ligi Kuu

Mdhamini Mkuu wa KMC FC inayoshiriki Ligi kuu ya NBC, Meridianbet Tanzania wameahidi kutoa Tsh 500,000/= kwa kila goli ambalo...

READ MORE

Mbakaji Maarufu wa Facebook Akamatwa Nchini Tanzania Baada ya Kutoroka Jela Afrika Kusini

Thabo Bester, ni raia wa Afrika Kusini aliyekuwa akisakwa kwa udi na uvumba kutokana na tuhuma nzito za ubakaji, wizi...

READ MORE

Tamasha Kubwa La Pasaka Kufanyika Viwanja Vya Leaders Club Dar, Kesho

Dar es Salaam, 8 Aprili 2023: Maandalizi ya Tamasha kubwa la Pasaka linalotarajiwa kufanyika kesho katika Viwanja vya Leaders Club...

READ MORE

Timu ya Wasichana ya Fountain Gate Yaibuka na Ubingwa wa Bara la Afrika

Timu ya Wasichana ya Shule ya Sekondari ya Fountain Gate ya Dodoma, imeibuka mabingwa wa mashindano ya soka ya shule...

READ MORE

Watu Kadhaa Wahofiwa Kufariki Baada ya Basi la Burudani Kuacha Njia na Kugonga Daladala

Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Burudani lililokuwa likitokea mkoani Tanga, kugongana...

READ MORE

Ripoti ya CAG Haionyeshi Kama Ufisadi Umezidi Nchini, Kilichozidi ni Uhuru

Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache...

READ MORE

Watu 10 Wafariki Dunia Baada ya Lori Kuvamia Kituo cha Waendesha Bodaboda

  Takribani watu 10 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea asubuhi ya leo, April 8, 2023 katika eneo la Migori...

READ MORE

Wamiliki Wa Malori Wafunga Safari Kufuatilia Kilichokwamisha Malori Yao Zambia Na Congo DRC

Dar es Salaam, 8 Aprili 2023: Wamiliki wa malori nchini kupitia chama chao cha TAMSTOA, leo wamezungumza na wanahabari kwenye...

READ MORE

#Exclusive Video: Tariq Aliyemwagiwa Tindikali -“Mke Wa Mtu Hahusiki, Polisi Wanamjua Mtuhumiwa, Nisaidie”

Tariq Kipemba ni kijana wa Kitanzania ambaye mwaka mmoja uliopita aliripotiwa kumwagiwa tindikali na mtu aliyekuwa kwenye bodaboda mjini Moshi...

READ MORE

Sherekea Pasaka na Chapride Watoa Punguzo la Tsh 3000 kwa Kila Safari

Katika msimu huu wa Pasaka, kampuni ya usafiri wa kimtandao ya Chapride, inakuletea bonge la ofa la punguzo la nauli...

READ MORE

Rubani Atua Ghafla Baada ya Kuona Nyoka ‘Cobra’ Ndani ya Ndege, Apongezwa

Rubani wa Afrika Kusini, Rudolf Erasmus ambaye alitua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya cobra...

READ MORE

Wikiendi Yenye Odds Kubwa ndio hii Unaweza kuwa Mshindi wa Tsh Milioni 85 za Jakipoti

Wikiendi ya kishua na Meridianbet imeanza tangu Ijumaa na itaenda mpaka Jumapili, kwa Odds kubwa mechi zote unazipata ikumbukwe Liverpool...

READ MORE

Rais wa zamani wa Mauritania Akana Mashtaka ya Ufisadi Dhidi Yake

Rais wa zamani wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz Aprili 6, 2023 amekanusha mashtaka ya ufisadi na kujitajirisha kwa njia...

READ MORE

Ndege Ya KLM Kushindwa Kutua Uwanja wa KIA Serikali Yatoa Tamko -Video

Kufuatia kushindwa kutua kwa ndege ya Shirika la KLM katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro wa KIA na kwenda nchini...

READ MORE

Helikopta ya Kisheshi ya Japan Yatoweka Kwenye Bahari Karibu na Taiwan

Walinzi wa bahari wa Japan wanaendelea na operesheni ya kutafuta na kuokoa ndege ya helikopta ya kijeshi iliyotoweka kwenye mitambo...

READ MORE

Simanzi! Wanandoa Waliofariki Kwa Ajali Ya Kugonga Kichwa Cha Treni Wazikwa Sinza, Ndugu Wasimulia – Video

Simanzi imetawala Aprili 06, 2023 wakati wa maziko ya aliyekuwa Mhandishi wa Wizara ya Maji, Hussein Chilala na mkewe, Furaha...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Duka la Kubashiri Posta Jijini Dar

Jijini Dar es salaam kunazidi kupambwa na rangi nyekundu ya Meridianbet ambapo maduka kibao yanazidi kuzinduliwa kila mwezi na sasa...

READ MORE

Taarifa Ya CAG Yabaini Madudu, Mabilioni Yapigwa, Halmashauri Kichaka Cha Wapigaji.. -Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere amezungumza na wanahabari Aprili 06, 2023 akieleza kuhusu...

READ MORE

Spika Tulia Atoa Maagizo Serikalini Ajira za Watumishi Wanaojitolea

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza Serikali kuweka kanzi data maalum (data base), yenye taarifa za watumishi wanaojitolea ili...

READ MORE

Waziri wa Fedha na Mipango Awasilisha Ripoti ya CAG Bungeni

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2021/22, imewasilishwa bungeni jijini...

READ MORE

Waziri Ashtakiwa kwa Kashfa ya Wizi wa Mabati Eneo la Kaskazini-Mashariki

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Uganda ameidhinisha mashtaka ya ufisadi dhidi ya Waziri wa Masuala ya Karamoja Mary Goretti Kitutu kuhusu...

READ MORE

Putin na afisa wake wasakwa na ICC kwa madai ya kuteka watoto wa Ukraine

Afisa wa Russia ambaye ameshitakiwa pamoja na rais wa taifa hilo Vladimir Putin na mahakama ya kimataifa ya uhalifu kwa...

READ MORE

Makundi ya Panya Road Yaibukia Mkoani Katavi, Jeshi la Polisi Laingilia Kati na Kuwakamata 15

  Baada ya kudhibitiwa kwa kiasi kikubwa jijini Dar es Salaam, makundi ya vijana wadogo wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu...

READ MORE

Bohari ya Dawa Yanunua Mashine 140 za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo

  Bohari ya Dawa nchini (MSD), imenunua mashine 140 kwa ajili ya kusafisha damu kwenye figo (dialysis) ambapo mashine tano...

READ MORE

Zaidi ya Watu 20 Wafariki Somalia Kutokana na Mafuriko

OFISI ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema Jumatano kwamba takriban watu 21 wakiwemo watoto 6 wamekufa kutokana na mafuriko...

READ MORE

Sloti ya Veni Vidi Vici Inakupa Ushindi Mara 1000

Sub-Heading: Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza...

READ MORE

Anusurika kifo Mwanza baada ya kujaribu kujikata Nyeti

Mwanaume aitwaye Anselumu Sebuka, miaka 42, Mkulima na mkazi wa Namagondo  mkazi wa kitongoji cha Kasuzu, kijiji na kata ya...

READ MORE

Sabaya Aachiwa Huru na Mahakama, Atakiwa Kulipa Faini ya Shilingi Milioni 5

ALIYEWAHI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, leo April 5, 2023 ameachiliwa huru na mahakama baada ya...

READ MORE

Trump Ajisalimisha Mahakamani, Anakuwa Rais Wa Kwanza Marekani Kushitakiwa! (Picha +Video)

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekana mashtaka baada ya kushtakiwa kwa makosa 34 ya uhalifu, ikiwa ni pamoja na...

READ MORE