×

Habari

Halotel Yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Kituo cha Watoto Yatima

Kwa kusaidia jamii ya Tanzania, Halotel Tanzania imekabidhi msaada kwa kituo cha watoto yatima mkoa wa Dar es Salaam kama...

READ MORE

Wapelelezi wapewa mbinu mpya kukabiliana na uhalifu mtandaoni

  Wapelelezi wa Jeshi la Polisi hapa Nchini wapewa mbinu ya namna ya kukabiliana na uhalifu mtaandaoni. Mafunzo hayo yamefunguliwa...

READ MORE

Chongolo Awashukia Vikali Viongozi Wanaochelewesha Maendeleo Manyara

  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameivalia njuga barabara ya kiwango cha lami ya kilomita 25...

READ MORE

Halotel Yaunga Mkono Kampeni Uchangiaji Damu Shuleni Kisutu

  Katika kuunga mkono juhudi za Serikali za kuokoa maisha ya wagonjwa wanahitaji damu, kampuni ya simu ya Halotel leo...

READ MORE

Dj Sinyorita Alamba Shavu Baada ya Kuchaguliwa Kuwa Balozi wa Kampuni ya ORAIMO

    Dj wa kike aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kucheza na mashine, Dj Sinyorita amelamba shavu...

READ MORE

Binti Afia Kwa Mchungaji Akifanyiwa Maombi Baada ya Kuugua Malaria na U.T.I

  Binti mmoja mkazi wa Magamba Kijiji cha Mkuyuni Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Consolata Charles (16) amefariki...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Watoto Chini ya Darasa la Tano Kupelekwa Shule za Bweni

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepiga marufuku wanafunzi wa kuanzia madarasa ya awali hadi darasa la tano...

READ MORE

Je, Inawezekana Mtu Akatajirika Kupitia Michezo ya Bahati Nasibu au Kubashiri?

Watu wengi duniani kote wamekuwa wakicheza michezo ya Bahati Nasibu lakini ukweli ni kwamba ni idadi ndogo sana ya watu...

READ MORE

Mama Wa Taifa Rais Samia Abeba Mtoto Zaujia Swalehe Usa River Arusha

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amembeba mtoto Zaujia Swalehe (1) mara baada...

READ MORE

Rais Samia Avuta Umati Wa Watu Arusha

Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...

READ MORE

Chongolo Aanza Ziara Mkoani Manyara Kupokea na Kutatua Kero za Wananchi

SEKRETARIETI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo leo imeanza ziara mkoani Manyara ya...

READ MORE

Chama cha soka Simiyu wafanya maboresho ya katiba

Chama cha soka mkoa wa Simiyu (SIFA) March 4 mwaka huu  kilifanya mkutano mkuu wa kawaida ambapo pamoja na mambo...

READ MORE

Wapinzani Siyo Maadui-Rais Samia

“Mtanzania yoyote, awe chama chochote cha siasa. Tunachotofautiana ni mawazo tu na fikra. Mimi sichukulii wapinzani kama maadui, nawachukulia kama...

READ MORE

Taasisi ya Elimu (TET) Yatoa Ufafanuzi Madai ya Kitabu cha Hisabati Kukosewa

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), imetoa ufafanuzi wa taarifa iliyochapishwa na gazeti moja la kila siku likiwa na kichwa cha...

READ MORE

GGML Yaahidi Kuendelea Kushirikiana na Serikali, Yachangia 40% Mapato ya Dhahabu

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeeleza kuridhishwa na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuvutia wawekezaji na kuboresha...

READ MORE

SBL Yakabidhi Pikipiki Na Zawadi Kadhaa Kwa Washindi Wa Kampeni ya Pilsner Mikoa Mitatu

Dar es Salaam, Jumamosi Machi 04th, 2023: Serengeti Breweries Limited (SBL) kupitia kampeniya  bia yake ya Pilsner lager iliyopewa jina la...

READ MORE

Rais wa Ufaransa Azungumza Na Kagame, Tshisekedi, Asifu “Makubaliano Ya Kusitisha Mapigano DRC Kuanzia”

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, akiwa nchini DRC, kituo cha mwisho cha ziara yake barani Afrika, amesema kuwa pande zote...

READ MORE

Video: Chapride Kampuni Ya Kitanzania, Madereva Wamwagiwa Mikopo, Abiria Ni Mserereko…

Chapride imesambaa kila kona jijini Dar es Salaam na wikiendi hii, ofa ya usafiri BURE inaendelea kama kawaida. Kama wewe...

READ MORE

Lema Awajibu Viongozi Wa Bodaboda – “Najua Gambo Yupo Nyuma Yao, Umaskini Ni Laana, Zifutwe Kote”- Video

MWANASIASA maarufu nchini Tanzania, Godbless Lema ameendelea kusimamia msimamo wake juu ya madereva wa bodaboda…

READ MORE

Joe Biden Aondolewa Uvimbe Kwenye Ngozi Wenye Saratani, White House Yafunguka

Rais wa Marekani Joe Biden ameondolewa uvimbe wa kwenye ngozi wenye saratani mwezi uliopita wakati wa uchunguzi wa kawaida wa...

READ MORE

Kampuni 3 Bunifu Za Kiteknolojia Zaibuka Washindi Wa Vodacom Digital Accelerator

Dar es Salaam – March 3, 2023. Kampuni 3 bunifu chipukizi kwenye masuala ya kiteknolojia zimeibuka washindi wa programu ya msimu wa pili ya Vodacom Digital Accelerator. Washindi hawa walipatikana baada ya mchuano mkali na kuwasilisha shughuli za kampuni zao mbele ya majaji wabobevu na kupitia mchakato wa kupigiwa kura, ambapo watazawadiwa zaidi ya Shilingi milioni 200 za Kitanzania, zikiwa ni katika...

READ MORE

Upinzani Nigeria Kupinga Matokeo ya Uchaguzi Mahakama Kuu

Majimbo sita yanayoongozwa na upinzani nchini Nigeria yameiomba mahakama ya juu kutupilia mbali matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwishoni...

READ MORE

Mchumba Wangu Amepewa Ujauzito na Mwanaume Mwingine Wakati Bado Nampenda

Jina langu ni Abel, nakumbuka nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana, nilimgharamia kila kitu kwa lengo la kuja kumuoa...

READ MORE

Kocha Baraza aipa ubingwa Yanga

Aliyekuwa Kocha mkuu wa timu za Biashara United na Kagera Sugar  Francis Baraza ambaye kwa sasa ni kocha mkuu wa...

READ MORE

RC Malima Ampongeza Mkurugenzi Kuongeza Mapato Buchosa

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adamu Malima amemwagia sifa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa  Mwita Waryoba   kwa kuisimamia vyema...

READ MORE

ACT-Wazalendo Yapata Pigo Zanzibar… Habib Ali Mohamed Afariki Dunia

MWAKILISHI wa Jimbo la Mtambwe, visiwani Zanzibar, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Habib Ali Mohamed, amefariki dunia, wakati akipatiwa matibabu katika...

READ MORE

Mapinduzi FC yaifuata Azam kibabe

Wakati mchezo wa kombe la Azam Confederation Cup hatua ya 16 baina ya Azam fc dhidi ya Mapinduzi fc ya...

READ MORE

Bonge la Ofa: Safiri Bure na Chapride Kila Wikiendi Jumamosi na Jumapili Ndani Dar

Wikiendi ishafika si ndiyo? Kwa nini sasa umekaa kinyonge? Chapride inakupa bonge la ofa itakayoifanya wikiendi yako iwe burudani! Unataka...

READ MORE

Khalid Aucho: Nipo Fiti, Nawataka Real Bamako Uwanja wa Mkapa, Dar

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho, ameshusha presha kwa mashabiki wa timu hiyo, baada ya kusema kwamba, yupo fiti...

READ MORE

WHO Yaomba Msaada Wa Kimataifa, Kukabiliana Na Mlipuko Wa Kipindupindu, Africa

Afisa mmoja wa shirika la Afya Duniani WHO, barani Afrika ameomba misaada zaidi kwa mataifa yanayokabiliwa na mlipuko wa kipindupindu,...

READ MORE

Wizara ya sheria Marekani yasema Rais wa zamani Donald Trump anaweza kushtakiwa

Wizara ya sheria ya Marekani imesema Rais wa zamani Donald Trump anaweza kushtakiwa na maafisa wa Polisi wa bungeni waliojeruhiwa...

READ MORE

Boomplay Yaingia Makubaliano na Halotel Kurahisisha Usikilizaji wa Muziki Kidijitali

  Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, Boomplay imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu,...

READ MORE

Rais Ruto: Kenya Kamwe Haiwezi Kuruhusu Ndoa za Wapenzi wa Jinsia Moja

Rais wa Kenya William Ruto na kiongozi wa Upinzani Raila Odinga wameungana katika ukosoaji wao wa uamuzi wa mahakama ya...

READ MORE

CRDB Yatwaa Tuzo ya Benki Bora Katika Utoaji Huduma Kwa Wajasiriamali

BENKI ya CRDB imetwaa tuzo ya Benki Bora inayohudumia wafanyabiashara wadogo na wa kati Tanzania inayotolewa na Jarida maarufu la...

READ MORE

Sinza Mpo? Meridianbet Imewaletea Duka La Kubetia Njooni Kwa Wingi Mbashiri

Je wewe ni mkazi wa Sinza? Wanapopatikana Watu Wajanja? Na unapenda kubashiri kwenye maduka?. Basi Meridianbet leo hii wamekuzindulia duka...

READ MORE

Wakulima Iramba Wamshukuru Rais Samia kwa Kuwapa Mbolea ya Ruzuku

WAKULIMA wilayani Iramba mkoani Singida wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kutoa ruzuku ya mbolea...

READ MORE

Walioguswa Na Mradi Wa Bomba La Mafuta Nkomelo Wakabidhiwa Nyumba Za Kisasa

Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya...

READ MORE

Sera Nzuri za Rais Samia Kuhusu Uwekezaji Zachangia Ongezeko Kubwa La Waajiri Kujisajili WCF: Dk. Mduma

KUMEKUWA na ongezeko kubwa la waajiri kujisajili na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kipindi cha Serikali ya Awamu...

READ MORE

Harry na Meghan Waambiwa Wahame Makazi Yao ya Uingereza

  Mwanamfalme Harry na mke wake Meghan Markel wameombwa kuondoka katika makao yao Frogmore Cottage nchini Uingereza, msemaji wa wanandoa...

READ MORE

Shemeji Yangu Alinisingizia Nimejaribu Kumbaka Ili Niachane na Mke Wangu

Kamwe siwezi kusahau miaka kama sita iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamani kuwa nilitaka kumbaka jambo ambalo sio la...

READ MORE