×

Habari

Rais Samia Atoa Maagizo Matatu Muhimu kwa Mawaziri Aliowaapisha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama Ifuatavyo.  ...

READ MORE

Joshua Achaguliwa Kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa

Aliyewahi kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Sengerema kupita CCM Joshua Shimiyu nimiongoni mwa wajumbe watatu waliochaguliwa na mkutano mkuu...

READ MORE

Italia na Tanzania Zafanya Jukwaa la Biashara na Uwekezaji

KATIKA Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Italia na Tanzania lililofanyika leo Zanzibar ambapo Mgeni Rasmi Alikuwa Makamo wa...

READ MORE

Tigo Yazindua Wiki ya Huduma kwa Wateja 2022 Jijini Mwanza

Tigo Tanzania yazindua Wiki ya Huduma kwa Wateja 2022 jijini Mwanza. Sherehe hizo zitajumuisha shughuli mbalimbali zitakazo wanufaisha wateja wa...

READ MORE

NBC Yaahidi Kuwekeza Katika Mifumo ya Kibenki ya Kidijitali ili Kuongeza Tajriba kwa Wateja

BENKI ya NBC imeahidi kuwekeza zaidi katika huduma za kibenki za kidijitali ili kuongeza urahisi wa upatikanaji wa huduma kwa...

READ MORE

Benki ya NCBA Kutumia Ubunifu wa Kidigitali Kuboresha Huduma Kwa Wateja

    Dar es Salaam, tarehe 3 Oktoba. Benkiya NCBA Tanzania Limited (NCBA) imeendelea kusisitiza juu ya uwekezaji wake katika...

READ MORE

Equity Bank (T) Imezindua Rasmi Wiki ya Huduma kwa Wateja

    Dar es Salaam, Jumatatu tarehe 3 Oktoba 2022. Benki ya Equity  (T) imezindua rasmi wiki ya huduma kwa...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Mabadiliko Bashungwa Ateuliwa Waziri wa Ulinzi, Kairuki Tamisemi

Rais Samia amefanya mabadiliko hayo kwa kumteua Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Pia,...

READ MORE

Waziri Mkenda Aongoza Harambee Ununuzi Kiwanja Cha Kanisa, Mil 82.8 Zapatikana

Mbunge wa Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda...

READ MORE

Waziri Mkemda Aanza Ziara ya Siku Tatu Rombo

Mbunge wa Jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda leo tarehe...

READ MORE

Daktari Raia wa Tanzania Afariki kwa Ebola Nchini Uganda, Waziri wa Afya Afunguka

Daktari raia wa Tanzania, Dkt. Mohamed Ali Hafidh anayefanya kazi nchini Uganda aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia, mhudumu wa kwanza wa...

READ MORE

Waziri Madini: Mgodi wa GGML Mfano Bora Afrika Kuhudumia Jamii  

NA MWANDISHI WETU, GEITA WAZIRI wa Madini, Dk. Dotto Biteko amesema Kampuni ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) ndiyo...

READ MORE

Kampuni ya Wentworth Gas Ltd Yawekeza Katika Jamii

KAMA sehemu ya mpango wa kuwekeza katika jamii Kampuni ya Wentwoth Gas Ltd ilikuwa kati ya wadhamini wa mashindano ya...

READ MORE

SPC Yakabidhi Rasmi Viwanja kwa Washindi Kili Marathon

    Septemba 30, 2022: Kampuni ya Surveyed Plots Company Ltd ya Jijini Dar es Salaam leo imekabidhi rasmi zawadi...

READ MORE

TAMISEMI na Wataalamu Sekta ya Ardhi Watakiwa Kujipanga

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kujipanga na kufanya kazi...

READ MORE

Mfanyabiashara Maarufu Nchini PCK, Aadhimisha Kifo cha Mama Yake kwa Kutoa Msaada kwa Jamii

MFANYABIASHARA maarufu nchini Patrick Christopher (PCK) katika kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kifo cha marehemu mama yake mzazi amerudisha tabasamu...

READ MORE

PM Majaliwa Akabidhi Mil 600 za Nmb Kusaidia Wanawake Wenye Tatizo la Fistula

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Afya iendelee kuhamasisha taasisi, na wadau kuchangia maeneo muhimu kama ya afya...

READ MORE

Wananchi Sengerema Wapendekeza Bwawa La Nhwiga Kutumika kuwa Kivutio Cha Utalii

Bwawa la ‘Nhwiga’ ( kiswahili  lango la Twiga) lililopo kijiji cha Kizungwangoma kata ya Misheni wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...

READ MORE

Ofisi ya Zamani ya CCM Sengerema Kugeuzwa Kuwa Kitegauchumi

  Baada ya kumalizika kwa ofisi mpya ya CCM wilayani Sengerema imeleezwa kuwa ofisi ya zamani itakarabatiwa na kuwa kitegauchumi...

READ MORE

Sh 63 Milioni Zakamilisha Ujenzi wa Ofisi Mpya ya CCM Sengerema

  Ofisi mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema iliyokuwa imekwama kumalizika kwa zaidi ya miaka 15 iliyopita...

READ MORE

Chifu Edwin Mwakatumbula Akabidhiwa Ikulu Yake ya Kichifu na Kiongozi wa Machifu

    1 Oktoba 2022, Katika kutekeleza adhima ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan  ambaye ni kiongozi wa machifu nchini...

READ MORE

Dr Sukari Ajitosa Kuwania Ujumbe Mkutano Mkuu CCM Taifa

  Miongoni mwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Sengerema waliojitosa kuwania nafasi ya ujumbe mkutano mkuu CCM Taifa...

READ MORE

Waziri wa Maji Azindua Bodi ya Sita ya Wakurugenzi wa Bonde la Wami/Ruvu

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso (Mb) Amezindua Bodi ya Sita ya Wakurugenzi Bonde la Wami/Ruvu na kuweka jiwe la Msingi...

READ MORE

Jamii Yaaswa Kuacha Kuwadhihaki Walemavu wa Ngozi kwani Wana Haki Zao Pia

JESHI la Polisi kupitia dawati la jinsia na watoto Mkoa wa Arusha limeitaka jamii kuacha tabia ya kuwadhihaki na kuwafanyia...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli...

READ MORE

Rais Samia: Vijana Wengi Wanahangaika na Supu ya Pweza, Vumbi la Kongo -Video

RAIS Samia leo Ijumaa Septemba 30, 2022 ameagiza kufanyika utafiti wa kwanini vijana balehe wanamatizo ya lishe ili kuepuka kuwa...

READ MORE

Binti Aliyepooza Mwili Mzima Abakwa

Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Ligamba (45), mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Kata ya Butuguri wilayani Butiama mkoani...

READ MORE

DC Nyang’hwale Aipongeza GGML Kuajiri Asilimia 98 Watanzania Mgodini

NA MWANDISHI WETU, GEITA MKUU wa wilaya ya Nyang’wale, Jamhuri William amesema uongozi wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

READ MORE

Ukraine Yaonya Juu ya Uwezekano wa Russia Kufanya Mashambulizi ya Mitandao

  Kwa mara nyingine, Ukraine inazitaka kampuni zake na mashirika ya kibinafsi kuimarisha mara moja, usalama wao wa mitandao, kabla...

READ MORE

Mkurugenzi Benki ya Dunia Aridhishwa Uboreshwaji Huduma za Mahakama

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika anayeshughulikia Ukuzaji wa...

READ MORE

Wadhibiti Ubora ni Mboni ya Serikali Kwenye Ubora wa Elimu-Waziri Mkenda

Serikali imesema kuwa wathibiti ubora wa elimu ni mboni ya serikali katika kusimamia na kuimarisha ubora wa elimu nchini. Waziri...

READ MORE

Rais Samia: Marufuku Kusaini Mikataba ya Serikali Bila Kushirikisha Mwanasheria Mkuu -Video

    RAIS Samia leo Septemba 29, 2022 amesema mawakili wa Serikali ni ‘jeshi kubwa’ linalotakiwa kulinda uchumi wa Tanzania...

READ MORE

Raila Odinga Ataka Interpol Kuongoza Uchunguzi wa Kifo cha Mshukiwa wa ICC Kenya

  Kiongozi wa Azimio Raila Odinga amewataka polisi wa Kimataifa wa Interpol kuanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mshukiwa wa...

READ MORE

Kukatika kwa Ugavi wa Gesi Asilia Iliyobanwa (Compressed Natural Gas CNG) jijini Dar

  29 Septemba, 2022 Dar es Salaam. PanAfrican Energy Tanzania (PAET), kampuni inayoongoza katika uzalishaji na usambazaji wa gesi nchini,...

READ MORE

GGML Yadhamini Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGM) kwa mwaka wa tano mfululizo imejitosa kuwa mdhamini mkuu wa Maonesho ya...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Alivyotoa Ripoti ya Mpango wa Kilimo Bora wa TBL

  29 SEPTEMBA 2022, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bia ya TBL , Jose Moran ametoa dondoo za ripoti ya...

READ MORE

Mkoa wa Pwani Wajiandaa na Uchaguzi Mwishoni mwa Wiki Hii

  Pwani Jumatano 28 Septemba 2022 Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi...

READ MORE

Mkataba wa Mzungu wa Simba Wavunjika, Awaaga Mashabiki Kupitia Instagram!

MCHEZAJI wa Klabu ya Simba, Dejan Georgijevic almaarufu Mzungu, ametangaza kuvunjika kwa mkataba wake na klabu hiyo, huku akieleza kwa...

READ MORE

Ruto Atangaza Mkuu wa Polisi na Jinai Wang’atuka Akitangaza Baraza la Mawaziri

Rais wa Kenya Dkt. William Ruto Septemba 27, 2022 amewateua mawaziri 21 kwenye baraza lake la mawaziri ambao wataongoza utawala...

READ MORE

Benki ya Stanbic Yaja na Suluhisho la “Mpambanaji” kwa Wajasiriamali

    Dar es Salaam, Septemba 28: Benki ya Stanbic Tanzania, imezindua rasmi huduma maalumu kwa ajili ya wajasiriamali wadogo...

READ MORE