×

Habari

Mamilioni Kiganjani Mwako na Bingo ya Parimatch

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya...

READ MORE

NMB Yachangia Milioni 120 Kufanikisha Mkutano Mkuu wa 36 Wa ALAT

  Benki ya NMB imechangia kiasi cha shilingi milioni 120 kufanikisha maandalizi na kufanyika kwa mkutano mkuu wa 36 wa...

READ MORE

Wananchi, Viongozi Waanza Kuaga Mwili wa Malkia Elizabeth II Ukitoka Scotland – Video

SAFARI ya mwisho na ya simanzi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza, inaanza mchana wa leo ambapo jeneza lake linasafirishwa...

READ MORE

Viongozi wa Afrika Waendelea Kutuma Salamu za Rambirambi kwa Familia ya Malkia Elizabeth II

Salamu za rambirambi zinaendelea kumiminika kutoka Afrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, ambako malkia alikuwa alifanya ziara nyingi wakati...

READ MORE

NMB Marathon Kumekucha, Njia Zitakazotumika Zakaguliwa

  Benki ya NMB imewataka Wananchi kujisajili katika Mbio za NMB Marathoni Ili kwenda kuwasaidia wakina mama wenye matatizo ya...

READ MORE

Pape Osmane Sakho: Tutachukua Ligi na Ligi ya Mabingwa Afrika Msimu Huu

PAPE Osmane Sakho, kiungo wa Simba mwenye tuzo ya bao bora la CAF alilowatungua ASEC Mimosas msimu uliopita, Uwanja wa...

READ MORE

Mfalme Charles III wa Uingereza Ahutubia Taifa kwa Mara ya Kwanza Baada Kutokea Kifo cha Mama Yake

Mfalme Charles III wa Uingereza amehutubia taifa lake kwa mara ya kwanza tangu kutokea kifo cha mama yake Malkia Elizabeth...

READ MORE

Mwanamke Shujaa: 360 Food Vendors Take Path to Business Success

    September 10, Dar es Salaam – More than 360 women food vendors have been equipped to take their rightful...

READ MORE

Kifo cha Malkia Elizabeth II: Jinsi Majina na Mpangilio wa Urithi Ulivyobadilika

Malkia Elizabeth II ndiye mfalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uingereza. Alikuwa na watoto wanne, wajukuu wanane...

READ MORE

Jackpot za Kibabe na Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet

Upo makini kiasi gani linapokuja suala la kuchagua chimbo sahihi la kufurahia ubashiri na kushinda mishindo mikubwa? Nakupa chimbo hapa,...

READ MORE

Mwanachuo Amuuwa Mpenzi wake kwa Kisu Kisa Wivu wa Mpenzi Dodoma

MWANAFUNZI wa Chuo cha St John, Winfrida Michael (24) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julius Gervas...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Kifo cha Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza 

RAIS  wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchi ya Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi...

READ MORE

Mwili wa Malkia Elizabeth II Kuagwa kwa Siku Nne Katika Ukumbi wa Westminister -Video

MWILI wa Malkia Elizabeth II  utasafirishwa kutoka Kasri la Buckingham kwa msafara utakaokuwa ukiendeshwa polepole wakiambatana na gwaride la kijeshi...

READ MORE

Waziri Mkuu Awawashia Moto Wasimamizi wa Chuo cha Ufundi Mkoa wa Tabora

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Tabora, Musa...

READ MORE

Hii Hapa List ya Makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma na Zinazofanana (Equivalent) na CAF A

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya Makocha wenye CAF A Diploma na zinazofanana (Equivalent) na CAF...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu Umalkia na Ufalme wa Uingereza, Soma Hapa

Malkia Elizabeth wa Pili. Septemba 8, 2022 mtawala wa dola ya Uingereza, vyombo vingi vya Habari viliripoti kifo cha Malkia...

READ MORE

Mkongo wa Kituo cha Pili Africa Kuifanya Tanzania Kuwa Kitovu Cha Muunganisho Afrika Mashariki Na Kati

Tanzania itakuwa kitovu cha maunganisho wa mawasiliano Afrika Mashariki na Kati kufuatia uwepo wa mkongo wa mawasiliano wa 2 Afrika...

READ MORE

Waziri Mkuu Liz Truss Amtangaza King Charles III Kuwa Mtawala Mpya wa Nchi ya Uingereza

Kufuatia kifo cha mtawala wa Uingereza Malkia Elizabeth II, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amemtangaza Mrithi wa nafasi ya kiutawala...

READ MORE

Matibabu ya (HRT) Baada ya Kukoma Hedhi Kuuzwa Madukani Nchini Uingereza

WANAWAKE wanaopata ukavu sehemu za viungo vya uzazi kutokana na kukoma hedhi sasa wanaweza kununua dawa madukani nchini Uingereza.  ...

READ MORE

Malkia Elizabeth II wa Uingereza Afariki Akiwa na Umri wa Miaka 96 – Video

Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza amefariki akiwa na umri wa miaka 96 kwenye makazi yake huko Scotland. Alikuwa ni...

READ MORE

Malkia wa Uingereza Elizabeth II Chini ya Uangalizi wa Matibabu Huko Balmoral

Taarifa iliyotoka leo Septemba 8, 2022 kutoka Kasri la Buckingham imesema Malkia wa Uingereza Elizabeth II yupo chini ya uangalizi...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 ya Chuo cha NDC, Kunduchi Dar

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan amehutubia kwenye Maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Umoja wa Mataifa Umebaini Kuwa Umri, Elimu na Mapato Kushuka

KATIKA muda wa kipindi cha miaka miwili iliyopita, nchi tisa kati ya nchi kumi zimerudi nyuma kwenye Fahirisi ya Maendeleo...

READ MORE

Makazi ya Raia wa Ukraine Yaliyokua Chini ya Urusi Yarejeshwa, Rais Zelensky apongeza

UVUMI umeenea kwa siku kadhaa juu ya uwezekano wa mafanikio katika eneo la mashariki la Kharkiv, lakini bila neno kutoka...

READ MORE

Chanjo Mpya ya Malaria Yaweza Kupunguza Vifo kwa Asilimia 70% Ifikapo 2030

MTENGENEZAJI mkubwa zaidi wa chanjo duniani, Taasisi ya Serum ya India, imekubali kutengeneza dozi milioni 200 kwa mwaka.   Chanjo...

READ MORE

Mshukiwa wa Pili wa Mauaji ya Watu 10 Waliochomwa Kisu Canada, Akutwa Amefariki

MSHUKIWA wa pili wa mauaji ya watu 10 waliochomwa kisu aliyekuwa anatafutwa na Polisi wa Canada, Myles Sanderson amekutwa amefariki...

READ MORE

Jaji Mstaafu Othman Chande Asema Watanzania Wasihofie Kubadili Katiba

JAJI Mkuu wa mstaafu wa Tanazania, Mohammed Chande Othman amewataka Watanzania wasiwe na hofu ya kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu...

READ MORE

Imefichuka… Mkataba Wambana Morrison Yanga Akizingua Kazi Anayo, Kocha Atia Neno!

IMEBAINIKA kwamba, mkataba aliopewa winga Bernard Morrison raia wa Ghana ndani ya Yanga, umemfanya kuwa miongoni mwa wachezaji wenye nidhamu...

READ MORE

Ripoti za Kuaminika Kutoka Umoja wa Mataifa Unasema Watoto wa Ukraine Wamehamishiwa Urusi

UMOJA wa Mataifa ulisema kuna shutuma za kuaminika kwamba vikosi vya Urusi vimepeleka watoto wa Ukraine nchini Urusi kwa ajili...

READ MORE

TAMNOA: Punguzo la Tozo Larejesha Ukuaji wa Matumizi Huduma za Kifedha Kwa Njia Ya Simu

  Umoja wa waendesha huduma za simu za mikononi (TAMNOA) umebainisha kuwa kutokana na tozo za miamala ya simu zilizoanza...

READ MORE

Zijue Faida za Kiafya za Kusikiliza Muziki, Zipo Aina Mbalimbali za Muziki

Je, unajua kuna faida nyingi za kusikiliza muziki? Piga nyimbo na ulize midundo hiyo, kwa sababu matokeo yameingia – muziki...

READ MORE

Ifahamu Bangi Tiba na Manufaa Yake Katika Kutibu Magonjwa Mbalimbali

BANGI ya matibabu ni nini? Bangi ya kimatibabu hutumia mmea wa bangi au kemikali ndani yake kutibu magonjwa au hali....

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Septemba 7, 2022 ameongoza Kikao...

READ MORE

Shambulio la Hivi Punde Lililoko Ukingoni mwa Magharibi la Majeshi ya Israel Lawaua Wapalestina

KATIKA shambulio lililokuwa likiendelea ukingoni mwa magharibi, wanajeshi wa Israel wamemuua mwanaume mmoja wa kipalestina wakiwa wanamsaka gavana wa Tubas....

READ MORE

Makamu wa Rais Afanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Afrika

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango leo Septemba 07, 2022 amekutana na kufanya...

READ MORE

Uwezo wa Nyuklia Kwenye Serikali ya Kigeni Yahusishwa Kwenye Hati ya Trump

GAZETI la Washington Post liliripoti kwamba miongoni mwa nyaraka zilizopatikana na maajenti wa FBI katika kituo cha mapumziko cha Rais...

READ MORE

Simba V KMC Kitaumana Leo Uwanja wa Mkapa, Onyango Awekwa Kando na Matola

UWANJA wa Mkapa leo mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya KMC unatarajiwa kuchezwa huku kila timu...

READ MORE

Hatimaye Rais Mteule William Ruto Awasiliana na Rais Uhuru Kenyata Baada ya Kipindi Kirefu

NI muda ulipita tangu Rais mteule awasiliane na Uhuru Kenyata baada ya watu hao wawili kuhitirafiana kutokana na Uhuru kuamua...

READ MORE

Liz Truss Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza Aahidi Kutokomeza Tatizo la Uchumi

Waziri mkuu mpya nchini uingereza aliongea katika hotuba yake ya mara ya kwanza tangu alipopata wadhifa wa kuwa Waziri mkuu...

READ MORE