×

Habari

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Aaga Dunia Akiamulia Ugomvi wa Jirani Yake Mkoani Mara

MWALIMU Mkuu wa Shule Ya Msingi Taisi iliyopo kata ya Burmea mkoani Mara, Ibrahimu Maryoba ameaga dunia kutokana na ugonjwa...

READ MORE

Kocha Yanga Aitamani Rekodi ya Simba Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  KOCHA wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov, ameweka wazi kuwa, ndoto yake ni kuona anafikia rekodi aliyoiweka akiwa...

READ MORE

Kiungo Mnigeria Mambo Safi Simba, Mwenyewe Azungumza na Spoti Xtra

KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Zoran Maki, amebadili uamuzi na haraka amembakisha kiungo wake mkabaji, Mnigeria, Victor Akpan kwa ajili...

READ MORE

LawCon 2022 Law Conferenced Powered By Stallion Attorneys

  The LawCon is an annual law conference hosted by Stallion Attorneys. This years edition is called the LawCon 2022...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi Kuanzia Agosti 23 Mwaka Huu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi ambao uteuzi huo umeanza...

READ MORE

Mfanyabiashara Maarufu PCK Atoa Msaada kwa Binti Aliyetumikishwa Kingono Afrika Kusini

PROMOTA na Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Patrick Christopher maarufu kama (PCK) ameguswa na mkasa wa binti Layla Thysia aliyesafirishwa na...

READ MORE

Rufaa Kupinga Hukumu ya Kifo Mkoani Mara Yabatilishwa, Ushahidi wa Rufaa Ni wa Uongo

MAHAKAMA ya Rufaa Mkoani Mara imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na mtuhumiwa Matiko Chandruku kwa jina maarufu Kehu, kupinga hukumu ya...

READ MORE

Zaidi ya Miradi 21 ya Kilimo cha Umwagiliaji Yafufuliwa Nchini

TUME ya Taifa ya Kilimo cha Umwagiliaji imefufua zaidi ya miradi 21 ya kilimo cha umwagiliaji katika mikoa mbalimabali iliyokuwa...

READ MORE

Jiweke Karibu na Ushindi na Jackpots za Kasino ya Meridianbet

Je, unajua kuwa wanyama pori wanaweza kukuletea ushindi?. Ndio! Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet yote hayo yanawezekana. Meridianbet inakuletea...

READ MORE

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Limetangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi Hilo kwa Kujitolea

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) kupitia kwa Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena limetangaza nafasi za...

READ MORE

Wafungwa Wahesabiwa Simiyu, RC Ashukuru Ushirikiano na Jeshi la Magereza

WAKATI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa katika zoezi la kuhesabu watu na makazi yao (Sensa ya watu na makazi),...

READ MORE

The 5th Forum On China-Africa Media Cooperation Is Successfully Held In Beijing

  From August 25 to 26, 2022, the 5″ Forum on China-Africa Media Cooperation was held in Beijing, China in...

READ MORE

Ahukumiwa Miaka 5 Jela kwa Kujifanya Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa

MAHAKAMA ya Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imemhukumu Raymond Bwire (28) kifungo cha miaka mitano jela kwa kujifanya mkurugenzi...

READ MORE

Mtoto wa Simbachawene Alimwa Faini ya Sh250,000 na Kufungiwa Leseni Yake ya Udereva

Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George...

READ MORE

Mtoto wa Mbunge Mwambe Afariki Kwenye Swimming Pool

CELLIE Mwambe (14), ambaye ni mtoto wa Mbunge wa jimbo la Ndanda, Cecil Mwambe, amefariki dunia jana Agosti 23, 2022,...

READ MORE

Mtoto wa Waziri Simbachawene Afikishwa Mahakamani, Ahukumiwa

Mahakama ya kinondoni imemhukumu Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,...

READ MORE

JATU Yapelekwa Takukuru, Waziri Bashe Ataka Hatua Kali Zichukuliwe

WAZIRI wa Wizara ya Kilimo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hussein Bashe ameagiza kuipeleka katika Taasisi ya Kupambana na...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt Mpango Ahudhuria Msiba wa Marehemu Augustine Mrema

Makamu wa Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amehudhuria katika msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Vodacom “Bring Your Child to Work” Yawajengea Watoto Ufahamu wa Masomo ya Sayansi

    Kampuni inayoongoza kutoa huduma za teknolojia na mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania imeendelea na mpango wake wa kila mwaka...

READ MORE

Kampuni ya Simu ya Infinix Yatoa Tv 11 kwa Washindi wa Promosheni ya Kali Kuliko

Kampuni ya simu Infinix kupitia promosheni ya kali kuliko ambayo imekua ikiendelea kwa kupindi chote hiki hadi Mwezi wa Septemba...

READ MORE

Taarifa ya Jeshi la Polisi Kuhusu Askari Aliyempiga Raia Virungu Aburuzwa Mahabusu -Video

Jeshi la Polisi limelaani kitendo kilichofanywa na Askari Polisi baada ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana mmoja...

READ MORE

Mhubiri Mashuhuri Duniani Kufanya Tukio Kubwa la Utamaduni Dar es Salaam

MHUBIRI mashuhuri kutoka nchini India, Gurdev Sri Sri Ravishankar, ambaye pia ni Balozi wa Amani duniani atawasili nchini Tanzania Agosti...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe, Mama Mariam Mwinyi Washiriki Zoezi la Sensa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi leo...

READ MORE

Viongozi Mbalimbali Washiriki Sensa ya Watu na Makazi, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu…

VIONGOZI mbalimbali leo Jumanne, Agosti 23, 2022 wamekuwa miongoni mwa Watanzania waliohesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi.

READ MORE

Rais Samia Ahesabiwa Sensa Ikulu Chamwino Dodoma, Atoa Ujumbe kwa Watanzania -Video

RAIS Samia leo Jumanne, Agosti 23, 2022 amekuwa miongoni mwa Watanzania waliohesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza saa...

READ MORE

NMB Yatambulisha Kifurushi Maalum Kuwahudumia Walimu – Songea

  KWA kutambua umuhimu wa walimu na mchango wao katika mafanikio ya Benki ya NMB, taasisi hiyo kubwa kuliko zote za...

READ MORE

Fahamu Maana na Historia Fupi ya Sensa ya Watu na Makazi

SENSA ni nini? Ofisi ya Takwimu ya Taifa(NBS) Sensa ya Watu na Makazi inaielezea sensa kuwa ni utaratibu wa kukuasanya,...

READ MORE

Hoteli Jijini Dar es Salaam Yaamriwa Kurejesha Mishahara ya Wafanyakazi

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Kazi imeiamuru uongozi wa Hotel ya Southern Sun iliyopo jijini Dar es salaam nchini Tanzania kuwalipa...

READ MORE

Tanzania Inakaribisha Wazabuni Ujenzi wa SGR ya Uvinza Mpaka Gitega

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inakaribisha wazabuni katika ujenzi wa reli ya kisasa, Standard Gauge Railway (SGR) njia...

READ MORE

Meneja TRC Afukuzwa Kazi kwa Kupinga Tozo na Kumkashifu Rais Samia

MENEJA wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye Mwangunga, amefukuzwa kazi baada ya kudaiwa...

READ MORE

Sensa ya Watu na Makazi 2022, Jiandae Kuhesabiwa Kesho

IKIWA imesalia siku moja kabla ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza zoezi la kitaifa la Sensa ya Watu na...

READ MORE

Neema Yawashukia Wavuvi Jijini Mwanza, Serikali Yatenga Fedha za Mikopo

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifigo na Uvuvi imetenga fedha kwa ajili ya mikopo kwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Agosti 22, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 22 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

SBL Yatangaza Kupokea Maombi ya Ufadhili wa Masomo kwa Wanaosomea Kilimo

    IKIWA ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za kuongeza mchango wa sekta ya kilimo kwenye uchumi wa nchi,...

READ MORE

Wapinzani wa Yanga CAF Waanza Kuchonga Ligi ya Mabingwa Afrika, Watoa Tamko

BAADA ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Zalan FC, Baping Alliab, ameanza kuchonga kwa kusema ataanza kufanya vema katika...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole Kufuatia Kifo cha Mwanasiasa Mkongwe Mrema

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha mwanasiasa mkongwe Augustino Mrema ambaye amefariki asubuhi ya leo...

READ MORE

Meridianbet Walivyofunga Safari Kumshika Mkono Mgonjwa Buza

Unapokuwa katika wakati mgumu, unafaa kuwa na matumaini kuwa kuwa jamii yetu ni bora sana, na changamoto zako sio za...

READ MORE

Waziri Balozi Pindi Chana Azindua Mafunzo ya Maafisa Uhamiaji, Ataka Wadau Kucheza na Pasi ya Rais Samia

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Balozi Dkt.Pindi Chana amezindua Programu ya uimarishaji huduma kwa kupitia mafunzo kwa wadau walioko...

READ MORE

DC Zainab Kawawa, Mbunge Kilwa, Wapiga Jogging Kuhamasisha Sensa na Kuchangia Damu

  Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Zainab Kawawa akishirikiana na Mbunge wa Jimbo la Kilwa, Ali Kasinga wamefanya bonanza la...

READ MORE

Waziri wa Mawasiliano Aiomba TTCL Kusaidia Maboresho ya Mawasiliano Zanzibar

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dk. Khalid Salum Mohamed ameliomba Shirika la Mawasiliano...

READ MORE