×

Habari

Esma Khan: Hatujui Penzi la Diamond Platnumz na Zuchu, Amtaja Aaliyah

  UKISIKIA jina la Esma Khan, kama wewe si mdau wa mitandao ya kijamii Bongo, unaweza kusitasita kidogo na kudhani...

READ MORE

Vodacom Tanzania Plc Yapeleka Huduma Zake Sabasaba

    KAMPUNI ya teknolojia na Mawasiliano nchini Vodacom Tanzania Plc, Leo imezindua rasmi banda lake kwenye maonesho ya 46...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Taasisi Mbalimbali za Kiserikali

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Taasisi mbalimbali za kiserikali.

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Viongozi wa ACT- Wazalendo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Chama cha ACT...

READ MORE

SGA Security Yazidi Kung’ara Katika Viwango vya ISO

    KAMPUNI ya SGA Security imedhihirisha umahiri wake na umakini katika masuala ya ulinzi kwa kukabidhiwa tena cheti cha...

READ MORE

Jenerali Mabeyo Atoa Rai kwa Makamanda Wakati wa Uzinduzi wa Suma JKT House

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amewataka Viongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kutoa mawazo...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yatangaza Ratiba ya Mchezo wa Ngao ya Hisani na Ligi Kuu Bara -Video

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi TPLB, Almasi Kasongo leo Juni 28, 2022 ametangaza ratiba ya mchezo wa Ngao ya...

READ MORE

Gumzo! Wavulana Wanaovaa Sare Kama Sketi, Mkuu wa Shule Akanusha

NYAKASURA ni shule ya mchanganyiko ya bweni, ya kata ya upili iliyopo huko magharibi mwa nchi ya Uganda ambayo wanafunzi...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Zamani wa Tunisia Hamadi Jebali Aachiwa Huru Kuendelea Kuchunguzwa

  WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tunisia na afisa mkuu wa chama cha Ennahdha chenye kufuata misingi ya kiislam, Hamadi...

READ MORE

Vifaa Vipya Yanga Kuanza Kutua Julai Aziz Ki, Bernard Morrison, Adriano Ndani

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wachezaji wao wapya waliowasajili kwa ajili ya msimu ujao, rasmi wataanza kutua nchini Julai...

READ MORE

Miss Brazil Afariki Dunia Akifanyiwa Upasuaji Kutoa Mafindofindo, Apata Kiharusi

  Gleycy Correia; ni aliyekuwa Miss Brazil mwaka 2018 ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27 baada kufanyiwa...

READ MORE

Kiungo wa Kazi Ngumu Ndani ya Kikosi cha Simba Ajifunga Miaka Miwili Kuvaa uzi Mwekundu

  KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba SC, Mzamiru Yassin, amejifunga miaka miwili kuendelea kuvaa uzi mwekundu....

READ MORE

Bodi Mpya ya Wadhamini Ocean Road Yatakiwa Kusimamia Ubora wa Huduma

WAZIRI wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameitaka Bodi mpya ya wadhamini katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road kusimamia ubora...

READ MORE

Diaspora Watanzania Waipongeza CRDB na CPS kwa Kuwashirikisha Fursa

    UFARANSA, Juni 28, 2022 – Kwa takribani wiki mbili maafisa wa Benki ya CRDB kupitia kitengo chake cha...

READ MORE

Selcom na NALA Wanaungana Kurahisha na Kuleta Unafuu Miamala ya Pesa Tanzania

    DAR ES SALAAM, 28 Juni 2022: Selcom na NALA zimeingia makubaliano ya kushirikiana ya kuongeza nguvu ya kutuma...

READ MORE

NBC Kuboresha Malipo na Makusanyo ya Serikali Zanzibar

  Jumanne, Juni 28, 2022, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini Mkataba wa Maradhiano na Wakala wa Serikali Mtandao...

READ MORE

Rais Samia Awaasa Wanawake Kutotelekeza Watoto, Atoa Maagizo kwa RC Makalla

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hssan ametoa rai kwa kina mama kutotelekeza watoto wao licha ya...

READ MORE

Ajali ya Gari Yaua 6 Wakienda Msibani, Wanne Kati Yao ni wa Familia Moja

WATU sita wamefariki ambapo wanne kati yao ni wa familia moja, watu hao wamefariki dunia kwa ajali ya gari dogo...

READ MORE

Mbunge Kibiti Sasa Avalia Njuga Kuing’arisha CCM Wilayani Humo

    MBUNGE wa Jimbo la Kibiti mkoani Pwani, Mh. Twaha Mpembenwe baada ya kusaidia shughuli mbalimbali za kijamii kwa...

READ MORE

Mwenyekiti Chama cha Ushirika Pwani (CORECU) Atangaza Neema Kwa Wakulima

    MWENYEKITI wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoa wa Pwani kinachoshughulika na zao la ufuta na korosho (CORECU), Mussa...

READ MORE

Haijawai Kutokea Yanga Yatikisa Jiji, Msafara Wao, Basi Lageuka Kivutio (Picha +Video)

HAIJAWAHI kutokea unaambiwa. Hiyo ni mara baada ya Yanga kufunga mitaa ya Jiji la Dar es Salaam na kujaa jezi...

READ MORE

LG Smart Home Appliances Digitizing Tanzania Homes; Saves Users Time and Energy 

Top benefits of the smart home appliances include offering ease and convenience to use for TVs and refrigerators, improved performance...

READ MORE

Balozi Mulamula Ataka Migogoro Katika Nchi za Jumuiya ya Madola Imalizwe

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa, licha ya wanachama wa Jumuiya...

READ MORE

Kombe Latua GSM, Mashabiki Hawapoi, Dar Imejaa Njano na Kijani -Video

 LEO ndio Leo, siku ambayo mashabiki, wapenzi na wanachama wa Yanga waliisubiri kwa muda mrefu, kupokea kombe lao la...

READ MORE

Straika Mpya Yanga Atoa Kauli ya Kibabe Malengo yake ni Kuhakikisha Anawapa Makombe

  MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarus Kambole, amefunguka kuwa moja ya malengo yake ni kuhakikisha anaipa Yanga makombe mengi...

READ MORE

Mwanasiasa wa Nigeria Afunguliwa Mashitaka Uingereza kwa Ulanguzi wa Viungo

Polisi nchini Uingereza wamewafungulia mashtaka mwanasiasa mmoja wa Nigeria,pamoja na mkewe , kwa kupanga njama za kumpeleka mtoto mwenye umri...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi Afanya Uteuzi wa Viongozi Nafasi Mbalimbali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, Juni 24, 2022 amefanya uteuzi wa viongozi katika...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCCM Daniel Chongolo Awasili Burundi Kwa Ziara ya Kikazi

  Katibu Mkuu ameongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdullah Juma Saadallah pamoja na Katibu wa NEC...

READ MORE

Watumishi TIC Watoa Msaada Kwa wagonjwa Ocean Road

Dar es Saalam. Katika kuendeleza utamaduni wa kujitoa kwa Jamii, Watumishi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), wametoa msaada wa...

READ MORE

Bunge Lapitisha Bajeti ya Serikali ya 2022/23 kwa Kura 356 sawa na Asilimia 94 – Video

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Julai 24, 2022 limeipitisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2022/23 kwa kura...

READ MORE

Mwigulu: Hatuwezi Kuacha Kukopa Kuogopa Deni Kuwa Kubwa ni Kwa Ajili ya Maendeleo

  Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema haiwezekani kuacha kukopa kwa kuogopa deni kuwa kubwa, mikopo ya Serikali ni kwa...

READ MORE

Pre-Order Tecno Camon 19 Sasa Upate Punguzo La Bei na Zawadi Kabambe

TECNO kwa kushirikiana na INALIPA inakuwezesha kuwa miongoni mwa wamiliki wa kwanza wa TECNO CAMON 19 mara baada ya kufanya...

READ MORE

RC Mwanza Aagiza Takukuru Kuchunguza Upotevu wa Milioni 15 Buchosa

MKUU wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabliery ameagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) kuchunguza upotevu wa...

READ MORE

Live: Mdee, Wenzake Kichwa Ngumu, Watinga Bungeni, Spika Kumaliza Utata | Front…

 Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi...

READ MORE

Wanajeshi 8 wa UN Wajeruhiwa Katika Mlipuko wa Bomu Katika eneo la Mali la Timbuktu

Wanajeshi walinda amani wanane wa Umoja wa mataifa wamejeruhiwa Alhamisi katika mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini katika eneo la...

READ MORE

Wawa Aagwa Simba Kwa Ushindi Uwanja wa Mkapa, Kagere Ampatia Jezi

BEKI kisiki wa Simba, jana Juni 23 2022 aliagwa rasmi kwenye kikosi hicho kwa kushuhudia ushindi wa mabao 2-0 kwa...

READ MORE

NMB Yafikia Makubaliano na Serikali ya Zanzibar Kusimamia Utunzaji Bustani ya Forodhani

Benki ya NMB imefikia makubaliano na Serikali ya Zanzibar kutunza bustani ya Forodhani visiwani Zanzibar ikiwa ni moja ya juhudi...

READ MORE

NBC yafungua milango kwa Wafanyabiashara wa Tanzania na Sauzi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu utayari wake katika kufanikisha ustawi wa biashara baina ya Tanzania na Afrika...

READ MORE

Kill Challenge 2022 Kuanza Kutimua Vumbi Julai 15

Mashindano ya Kill Challenge 2022 yanayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML) yanatarajia kuanza kutimua vumbi Julai 15...

READ MORE