×

Habari

Rais Samia: Miaka 60 ya Uhuru, Kiswahili Kimekua Kimataifa – Video

Rais wa Jamhuri ya Tanzania. Mhe, Samia Suluhu Hassan kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru leo Disemba...

READ MORE

Mambo 6 Muhimu Hotuba ya Samia – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amelihutubia taifa, akibainisha mafanikio muhimu sita katika miaka 50 ya uhuru. Katika hotuba yake ya usiku...

READ MORE

Miaka 60 ya Uhuru: ZIC Kutoa Zawadi ya Mafuta kwa Wateja Wake

Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limezindua kampeni yake kabambe inayoitwa “WESE NDIO MCHONGO” inayotoa fursa kwa wateja wake kote nchini kujaziwa...

READ MORE

Helkopta Ya Polisi Ilivyofanya Doria Dsm Leo, Kamanda Murilo Azungumza-Video

KUELEKEA maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yanayotarajiwa kufanyika kesho Desemba 09, jeshi la polisi kanda maalum ya Dar likiongozwa...

READ MORE

Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru, GGML Yaibuka Mlipa Kodi Bora

KAMPUNI ya Geita Gold Mine (GGML) imeibuka kuwa moja ya makampuni kinara kwa ulipaji kodi Tanzania kuelekea miaka 60 ya...

READ MORE

🔴#LIVE: Rais Samia Anashiriki Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara..

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo 9 Dec 2021 anashiriki katika sherehe za maadhimisho ya...

READ MORE

Chongolo, Mbatia Wakinzana, Kesi Ya Sabaya Wengi Wachunguzwa Samia Ataja Mambo 6-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Rais Samia Afichua Siri ya Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Uhuru wa Tanganyika ulikuwa chachu na mchango muhimu katika kuwezesha mapinduzi matukufu ya Zanzibar ya...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Taifa, Hotuba Maalum Leo Ikulu Dar – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Disemba 8, 2021 amehutubia taifa saa 3 kamili usiku,...

READ MORE

Amuua Mchumba Wake, Naye Ajinyonga

Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Mwango Nzioka mwenye umri wa miaka 30 aliyekuwa akifanya kazi ya kuendesha bodaboda, amemuua...

READ MORE

Scholz Kansela Mpya wa Ujerumani , Aapishwa

Olaf Scholz ameapishwa kama Kansela mpya wa Ujerumani, na kuhitimisha miaka 16 ya kihistoria ya Angela Merkel kama kiongozi. Alipigiwa kura...

READ MORE

Nyumba ya Mchungaji Yachomwa Moto Kisa Maiti Kukutwa Ndani

VIJANA wenye hasira kali wameichoma moto nyumba ya mchungaji wa kanisa mjini Adebun huko Ado-Ekiti nchini Nigeria baada ya mtoto...

READ MORE

Lissu Afutiwa Kesi Zote za Uchochezi, Atoa Masharti Kurejea

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mahakama, wamefuta kesi zote za uchochezi zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu katika...

READ MORE

Afariki Kwa Kupigwa na Radi Akizini na Mchepuko

Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa...

READ MORE

Auawa kwa Kupigwa Risasi Kagera

MTU mmoja amefariki dunia baada ya kupigwa risasi katika vurugu zilizotokea kati ya wakulima na walinzi wa wawekezaji wa mifugo...

READ MORE

Rais wa Zamani Comoro Aomba Msaada Tanzania

Rais wa zamani wa Comoro, Ahmed Abdallah Sambi hivi karibuni alimuandikia barua rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia...

READ MORE

Kenyatta Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru TZ

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa...

READ MORE

Rais Samia Kuhutubia Taifa Saa 3:00 Usiku

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano 8, 2021 saa 3:00 usiku, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari....

READ MORE

Mabilioni Ya Diamond Yashtua, Wolper Hajui Umri Wake | HOTPOT-Video

KARIBU utazame kipindi cha ‘HOTPOT’ kinachokujia kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa saa 9 kamili Alasiri, kilichosheheni stori za mastaa...

READ MORE

Chongolo: Upatikanaji wa Maji Mjini ni 86% – Video

KATIBU  Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema kwamba baada ya miaka 60 ya Uhuru, upatikanaji wa maji...

READ MORE

Huduma ya Kufanya Mapenzi Kwenye Ndege Tsh Mil 2

Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa...

READ MORE

Mjukuu Amkatakata Bibi Yake kwa Shoka na Kumuua

Kijana mwenye matatizo ya akili, Steve Olumbe amemvamia, kumkatakata kwa mapanga na shoka kisha kumuua bibi yake, Priscilla Were mwenye...

READ MORE

Kongamano la Data Tamasha 2021, Vodacom Yaelezea Wanavyoweza Kuifikia Jamii

MKURUGENZI wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia(katikati ) akichangia mada ya huduma jumuishi za kifedha kwenye kongamano...

READ MORE

Kaka Ashirikiana na Mama Kumchinja Dada Yake

POLISI katika Jimbo la Maharashtra katika Wilaya ya Aurangabad, Mumbai nchini India wamewakamata kijana mmoja na mama yake kwa madai...

READ MORE

DPP Atoa Kauli Hatima Ya Sethi, Sabaya Akamatwa Na Bastola Saa 9 Usiku-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Vodacom Yaibuka Kinara Tuzo za NBAA kwa Uandaaji Bora wa Taarifa za Fedha

MHASIBU Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha (ajaye) wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc...

READ MORE

Majambazi Waazua Taharuki Lumumba Dar – Video

  WATU wawili wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi wamevamia moja ya ghorofa lililopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo...

READ MORE

Video: Mondi, Ummy, Kigwangalla, Wasira, Dewji Kwenye Mjadala Mzito

MAWAZIRI Ummy Mwalimu, Liberata Mulamula, Mbunge Hamis Kigwangala, mfanyabiashara Azim Dewji na mwanamuziki Diamond Platinumz, leo Desemba 07, wameshiriki kwenye...

READ MORE

Forbes Yamtaja Rais Samia Orodha ya Wanawake 100 Wenye Nguvu Duniani

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa na Jarida maarufu duniani la takwimu na...

READ MORE

Jela Miaka 45 kwa Kumbaka na Kumpora Mwanamke Mjerumani

MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa imemuhukumu Selemani Juma mwenye umri wa miaka 36 kwenda jela miaka 45 na...

READ MORE

Serikali Kugharamia Mazishi Ya Wanakwaya 33 Waliofariki Mtoni

GAVANA wa Kaunti ya Kitui nchini Kenya Charity Ngilu amesema kuwa serikali ya kitaifa na ile ya kaunti yake zitagharamia...

READ MORE

Watoto 8 wa Familia Mbili Wakutwa Wamekufa Kwenye Gari

JESHI  la Polisi nchini Nigeria wanasema wanaendelea kuchunguza tukio la vifo vya watoto nane wa familia mbili tofauti, waliokutwa wamekufa...

READ MORE

RC Afuta Likizo za Watumishi

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amefuta likizo kwa watumishi wote wa Serikali ambao idara zao zinahusika na ujenzi...

READ MORE

Vyombo vya Habari Vilivyofungiwa Kufunguliwa Hivi Karibuni

SERIKALI imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina...

READ MORE

Mwalimu Aliyevujisha Mitihani ya Utabibu Diploma Kushitakiwa

Mitihani ya muhula wa pili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 iliyofanyika kitaifa kuanzia Agosti 16, 2021 hadi Septemba 30, 2021...

READ MORE

Samia Awapongeza Tembo Warriors, Awatupia Dongo Namungo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Viongozi na wachezaji wa Timu ya Taifa ya...

READ MORE

Video: Diamond, Waziri Ummy, Kigwangala, Azim Dewji Wanazungumza

MAWAZIRI Ummy Mwalimu, Liberata Mulamula, Mbunge Hamis Kigwangala, mfanyabiashara Azim Dewji na mwanamuziki Diamond Platinumz, leo Desemba 07, wameshiriki kwenye...

READ MORE

Rais Samia Akutana Na Timu Ya Taifa Ya Walemavu Ikulu, Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo Desemba 7, 2021 amekutana na Viongozi na wachezaji wa...

READ MORE