×

Habari

Tanzia: Baba wa Balozi Nchimbi Afariki Dunia

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Dkt. Emmanuel Nchimbi amefiwa na baba yake mzazi, John Nchimbi usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Watu Watano wa Familia Moja Wauawa Dodoma -Video

Watu watano wa familia moja wamekutwa wakiwa wameuawa nyumbani kwao eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma. Kamanda wa Polisi...

READ MORE

Idris Elba Kuigiza Kama James Bond

PRODUCERS  wa filamu za 007 James Bond, Barbara Broccoli na Michael G. Wilson wamethibitisha kuwa Jina la Idris Elba ni...

READ MORE

Sifa kwa TGNP: Kikundi cha Sauti ya Jamii Kipunguni Chazindua Mradi wa Kuchakata Mkaa

    KIKUNDI cha Sauti ya Jamii cha Kipunguni jijini Dar, kilichopo kati ya vikundi vya taarifa na maarifa vilivyopo...

READ MORE

Mwanasheria Mkuu wa Serikali vs BBC Kupelekana Kortini

SERIKALI ya Uingereza na Shirika la Utangazaji nchini humo huenda wakaingia katika mzozo mkali mahakamani kuhusu habari ambayo BBC inataka...

READ MORE

Samia: Mimi ni Chui Jike – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewapongeza wana Kilimanjaro kwa mapokezi yao kwake na kusema mwanzo...

READ MORE

Sabaya Akana Kununua GARI Milion 90 Wala Kutoa Mgao wa Pesa Kwa Vijana

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amedai kuwa hakuwahi kutakatisha Sh. milioni 90 wala kutoa...

READ MORE

Mwalimu Ampa Mama Mkwe Figo Yake, Asalitiwa

MWALIMU mmoja aitwaye Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa...

READ MORE

Mke wa Mtu Auliwa na Mchepuko wake

MWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba...

READ MORE

Ukame Wasababisha Vifo vya Mifugo 1,257

Kufuatia hali ya ukame na ukosefu wa malisho unaoukabili mkoa wa Kilimanjaro umepelekea jumla ya ng’ombe 841, kondoo 406 na...

READ MORE

Mitandao Yasababishia Mwanamke Kunyongwa Hadi Kufa

Mwanamke mmoja amehukumiwa miaka 20 jela na baadaye kunyongwa hadi kufa na mahakama nchini Pakistani baada ya kukutwa na hatia...

READ MORE

Kitendawili! Nafasi ya Naibu Spika

Kuteuliwa kwa Dk Tulia Ackson kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania uspika wa Bunge la Tanzania kunahamishia vita...

READ MORE

Itel A58 Kutikisa Soko la Simu Tanzania

Taarifa zinazozagaa kwa sasa ni kuwa Kampuni ya simu za mkononi ya itel inatarajia kuachia simu kali inayotajwa kuwa ni...

READ MORE

Miili ya Wasichana Ndugu Waliouawa Mwanza Yazikwa Sengerema

MIILI ya wasichana watatu wa familia moja waliouawa jijini Mwanza Januari 18, 2022 imewasilia mjini Sengerema na kuzikwa jana usiku...

READ MORE

Chenge Ampongeza Dkt. Tulia Uspika

Aliyewahi kuwa mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, amempongeza mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kwa kuchaguliwa na Kamati...

READ MORE

IGP Sirro Awavisha Nishani Maofisa, Wakaguzi na Askari 123

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amewavalisha nishani maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali 123 waliotunukiwa...

READ MORE

Mbinu Wanazotumia Trafiki Kupokea Rushwa

VITENDO vya rushwa ni miongoopni mwa mambo yanayopigwa vita kutokana na kurudisha nyuma maendeleo baada ya sekta na taasisi mbalimbali...

READ MORE

Mabinti Waliokatiza Masomo Wamerudi Shule

Mabiti wa kike waliokatiza masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito wamerejea shuleni ikiwa ni sehemu ya mpango wa serikali wa...

READ MORE

Mchungaji, Mkewe Wakamatwa kwa Kuwafungia Walemavu

MCHUNGAJI mmoja aliyetambulika kama Curtis Keith Bankston (55) na mkewe Sophia Simm Bankston wamekamatwa na maofisa wa Polisi kwa madai...

READ MORE

Ofisa wa Polisi Ajijengea Kaburi

YAKO mambo ya kushangaza, kuchekesha na hata kuhuzunisha. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Ofisa wa Jeshi la Polisi nchini, Mrakibu...

READ MORE

Nape Asitisha Kupanda kwa Vifurushi

Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe. Nnauye Nape ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei...

READ MORE

Dkt. Mpango Aaga Mwili wa Kaka Yake

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango, amewaongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu kaka yake Askofu Gerald...

READ MORE

Waziri Akana Kumuomba Radhi Rais

Waziri wa Utalii wa nchini Afrika Kusini, Lindiwe Sisulu amekana kuomba msamaha kwa rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa kwa...

READ MORE

Bad News: Mvua yaondoka na Nyumba 61, Kituo cha Afya

MVUA kubwa iliyoambatana na upepo mkali imeharibu nyumba 45 katika mtaa wa kineng’ene , kata ya Mtanda manispaa ya Lindi....

READ MORE

Hospitali Yatakiwa Kumlipa Mgonjwa Mil 40 kwa Kumpa Majibu ya Uongo

Kituo kimoja cha kutolea huduma za matibabu kilichopo Mombasa Kenya kimetakiwa na Mahakama kulipa fidia ya Ksh. milioni 2 (Tsh....

READ MORE

Tembo Aliyejifungua Mapacha Apewa Ulinzi Maalum

MNYAMA aina ya Ndovu au Tembo wa Mbuga ya Kitaifa ya Samburu nchini Kenya, amejifungua ndama pacha katika kile ambacho...

READ MORE

Newala: Maajabu ya Mvuke Mweupe Unaotoka Kwenye Shimo la Mungu

MVUKE mweupe unaotoka kwenye shimo maarufu kwa jina la Shimo la Mungu lililopo wilayani hapa Mkoa wa Mtwara, umewashtua wenyeji...

READ MORE

Kili Marathon 2022 Yazinduliwa Moshi

    TOLEO la 20 la mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2022 limezinduliwa mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, ikiwa ni...

READ MORE

NMB,Serikali ya Zanzibar Wasaini Mkataba Ukusanyaji Mapato Sekta ya Utalii

  Benki ya NMB imesaini makubaliano ya kimkakati na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kushirikiana katika kuimarisha na kukuza ukusanyaji wa...

READ MORE

Tutawabaini Laki 2 Wanaoishi na VVU bila kujua

MCHAKATO wa kuwapata watu 200,000 waishio na virusi vya ukimwi bila kujua ni mbinu mojawapo ambayo Wizara ya Afya imesema...

READ MORE

Zawadi’ NMB MastaBata-Kivyako Vyako’ Zafikia Mil. 30/-

WATEJA 100 wa Wiki ya Tatu ya Kampeni ya NMB MastaBata – Kivyako Vyako, wamepatikana jana (Alhamisi Januari 20), na...

READ MORE

Tanesco Yaomba Radhi

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kusini limewaomba radhi wateja wake wanaotumia laini za umeme kwa kukosa huduma...

READ MORE

Hofu Yatanda, Vijana Watano Wapotea Katika Mazingira ya Kutatanisha

  TAHARUKI: Familia zilizopotelewa na ndugu zao watano katika mazingira ya kutatanisha tangu Desemba 26, 2021 maeneo ya Kariakoo ‘Kamata’...

READ MORE

Mgonjwa Mahututi Aamka Baada Kupewe Dawa ya Kuongeza Hisia za Ngono

KATIKA kile kimetajwa kama hatua kubwa kwenye tasnia ya utabibu, muuguzi mmoja kutoka nchini Uingereza ambaye alikuwa akipigania maisha yake...

READ MORE

Rais Samia Amteua Suzan Mkangwa Kuwa Kamishna wa Kazi

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Suzan William Mkangwa kuwa Kamishna wa Kazi, akichukua nafasi ya Brigedia Jenerali Francis Mbindi aliyepangiwa...

READ MORE

Moto Waitesa Dar

VISA vya ajali za moto kuteketeza majengo jijini Dar es Salaam vimezidi kuendelea ambapo leo, Alhamis, Kikosi cha Zimamoto kimembana...

READ MORE

CCM Yampitisha Dkt. Tulia Uspika

BREAKING NEWS: Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Alhamisi Januari 20, 2022 imempitisha Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia...

READ MORE

Dkt. Mpango Afiwa na Kaka Yake

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango (kulia) amefiwa na kaka yake, aliyekuwa Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana...

READ MORE

Mbowe: Shahidi wa Jamhuri ni Ndugu Yangu

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na shahidi wa Jamhuri, Innocent Mdowo (37),...

READ MORE

Kenya Kuingiza Sokoni Mabasi ya Umeme

Kampuni ya kutengeneza vyombo vya moto vinavyotumia umeme nchini Kenya ya Opibus imetangaza kujiandaa kuingiza sokoni mabasi mapya ya umeme...

READ MORE