×

Habari

Nape Atoa Siku Saba Waajiri Kulipa Madai ya Wanahabari Waliofariki

SERIKALI imetoa siku saba kwa waajiri wote wanaodaiwa na waandishi wa habari waliofariki katika ajali ya gari wilayani Busega kulipa...

READ MORE

Vifo vya Wanahabari Mwanza, Nape Atoa Maagizo kwa Polisi

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nauye ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuchambua matukio yote ya ajali...

READ MORE

Mwanafunzi UDSM Afariki kwa Kujirusha Ghrofani Baada ya Kuiba

MWANAFUNZI mmoja aitwaye Manawa Samson Horera (22) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Shahada ya kwanza ya Uhasibu...

READ MORE

Miili ya Wanahabari Waliokufa Ajalini Yawasili Nyamagana

Miili ya wanahabari na dereva wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza waliofariki katika ajali ya gari jana Januari...

READ MORE

Kikosi cha Makomando Sherehe za Mapinduzi Zanzibar

Kikundi cha Komando kikipita kutoa heshima wakati wa Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12,...

READ MORE

Waziri wa Elimu Mpya na Waziri Hussein Bashe Wakabidhiana Ofisi

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amekabidhi Ofisi kwa Waziri mpya wa Kilimo Hussein Bashe huku...

READ MORE

Ndege Yanasa Kwenye Njia ya Treni

Rubani wa Ndege ndogo iliyopata ajali na kunasa kwenye njia ya Treni amenusurika kifo baada ya kuokolewa na Polisi wa...

READ MORE

Nape: Wizara Ipo Mikono Salama

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye amemuhakikishia aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo ambaye kwa sasa...

READ MORE

Video: Vita Ya Kumrithi Ndugai CCM Yanoga, Jina La Rais Samia Latajwa Kesi Ya Mbowe | Front Page..

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Shahidi Afunguka Tukio la Lissu Kupigwa Risasi

MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Makada CCM Wajitosa Kuutaka Uspika

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameendelea kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya...

READ MORE

Mwili wa Rubani Mazula Aagwa Dar

MWILI wa rubani mstaafu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Kapteni Deogratius Mazula (77), umeagwa jana katika Parokia ya Bikira...

READ MORE

Polisi Waanika Mtoto Alivyomuua Mama Yake

SILAHA ya jadi aina ya panga, ni moja ya vifaa vilivyokutwa katika shimo alilofukiwa mtu anayedhaniwa alikuwa muuguzi wa Hospitali...

READ MORE

Rais Samia Amteua Mwakilema TANAPA

Rais Samia Suluhu amemteua Mhifadhi William Mwakilema kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Kamishna...

READ MORE

Ole Madeye Naye Autaka Uspika

Akiyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye amechukua fomu kuwania kiti cha Uspika. Ole-Medeye aliyekuwa Mbunge na Naibu...

READ MORE

Rais Samia Azindua Kiwanda Cha Nguo, Zanzibar leo (Picha +Video)

Leo Januari 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anazindua kiwanda cha nguo cha BASRA...

READ MORE

Apandikizwa Moyo Wa Nguruwe

MWANAUME mmoja nchini Marekani amekuwa mtu wa kwanza duniani kupandikizwa moyo kutoka kwa nguruwe aliyebadilishwa vinasaba.   David Bennett, mwenye...

READ MORE

Waandishi wa Habari Waliofariki Kwenye Ajali ya Gari Simiyu

Taarifa kamili juu ya ajali iliyohusisha waandishi wa habari Mkoa wa Mwanza. …………………………………….. Ndugu waandishi wa habari na wadau wa...

READ MORE

Rais Samia Awalilia 14 Waliofariki Ajali ya Gari Simiyu – Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa wanahabari na wafiwa wote kutokana na ajali iliyotokea leo...

READ MORE

Msukuma Achukua Fomu Kumrithi Job Ndugai – Video

MBUNGE wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku ‘Msukuma’ leo Jumanne Januari 11, 2022  amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama...

READ MORE

Panya Magawa Afariki Dunia

Panya shujaa wa Tanzania aliyetumika kutegua mabomu yaliyotegwa ardhini na vilipuzi -Magawa amefariki dunia mwishoni mwa wiki.   Mwezi November...

READ MORE

Vodacom Yatoa Zawadi za Msimu wa Sikukuu kwa Wapendanao Mkoani Mbeya

Washindi wa promosheni ya Vodacom “Show Love, Tule Shangwe” wakiwa na zawadi mara baada ya kukabidhiwa na Meneja mkakati wa...

READ MORE

Gari la Wanahabari Lagongana na Hiache 11 Wafariki

WATU zaidi ya 11 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano na abiria wa kawaida katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwa moja...

READ MORE

Video: Mjadala Mzito Nafasi Za Lukuvi, Kabudi, Maisha Mapya Ya Ndugai Bungeni | Front Page…

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Watoto Wawili Wafia Ndani ya Gari Mama Akiwa Ibadani – Video

WATOTO wawili wa familia moja wamekutwa wamekufa ndani ya gari aina ya (Nissan Double Cabin) kwa kukosa hewa baada ya...

READ MORE

Afariki kwa Kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Mkazi wa Kijiji cha Gumba, Kata ya Gwata wilayani Kibaha mkoani Pwani, Bakari Mbagara (63) amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa...

READ MORE

Bei ya Mahindi Haikamatiki Sokoni

BEI ya mahindi katika masoko mbalimbali mikoa ya Kanda ya Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara), haikamatiki huku bidhaa hiyo...

READ MORE

Ajiua kwa Kujinyonga Nje ya Kanisa Ibada Ikiendelea

MWANANCHI mmoja wa kaunti ya Homa Bay amejinyonga kwa kitanzi hadi  kufa nje ya kanisa wakati ibada ikiendelea.   Joshua...

READ MORE

Dkt. Tulia Achukua Fomu ya Uspika

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson leo Jumatatu, Januari 10, 2022 amechukua fomu ya...

READ MORE

Baba Amuua Mwanaye Baada ya Kumkuta Kitandani na Mpenzi Wake

Polisi wa Kaunti ya Murang’a nchini Kenya wanamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 41 kwa kosa la kumuua mtoto wake...

READ MORE

Kaburi la Mtoto Lafukuliwa, Mwili Watupa Mtaani

WAOMBOLEZAJI wakiwa kwenye mazishi ya mara ya pili ya mtoto Sharifa Abasi ambaye mwili wake ulifukuliwa na watu wasiojulikana na...

READ MORE

Dkt. Tulia: Tutaikosoa Serikali kwa Nidhamu – Video

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri...

READ MORE

ECOWAS Yafunga Mipaka Mali

Mataifa ya Afrika Magharibi yamekubaliana kuiwekea Mali vikwazo vikali ikiwemo kufunga mipaka yao, kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na kuweka vikwazo...

READ MORE

Uamuzi Mdogo Kesi ya Sabaya Kutolewa Januari 14

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Januari 14, 2022 kutoa uamuzi mdogo endapo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai...

READ MORE

Stephen Masele Achukua Fomu Kuwania Uspika

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Stephen Julius Masele leo Jumatatu, Januari 10, 2022 amechukua Fomu ya kugombea Kiti...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Washinda Pingamizi

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Jumatatu Januari 10, 2022 imekubali pingamizi la kutopokea sare za...

READ MORE

Samia: Acheni Kuwachafua, Lukuvi na Kabudi Nina Kazi Nao

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watu kupuuza maneno maneno yanayoendelea na kwamba aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

READ MORE

Adaiwa Kumuua Mama Yake Kisa Mali

ZIKIWA zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali,...

READ MORE

Radi Yaua Wanne Mbeya

WATU wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya...

READ MORE

Baada ya Mwaka Mpya, Mbowe na Wenzake Warejea Tena Mahakamani

Mahakama kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi No 16, 2021 yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili...

READ MORE