×

Habari

Makalla Awaonya Machinga Barabara ya Airport – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Makalla ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaoendelea kufanya Biashara pembezoni mwa Barabara...

READ MORE

Maajabu! Binadamu Apandikizwa Figo ya Nguruwe

WANASAYANSI kutoka Marekani wamefanikiwa majaribio ya kupandikiza Figo ya Nguruwe kwa Binadamu na kugundua kuwa kiungo hicho kinaweza fanya kazi...

READ MORE

Milionea Mdogo Zaidi Akamatwa

KIJANA milionea maarufu nchini Afrika Kusini, Sandile Shezi mwenye umri wa miaka 23 ambaye anajiita ‘Milionea Mwenye Umri Mdogo Zaidi’...

READ MORE

Kigogo Aliyeomba Kukiri Kosa Akamzike Baba’ke, Mapya Yaibuka

UPANDE wa mashtaka katika kesi inayomkabili Mwanasheria wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege umesema bado hawajafikia...

READ MORE

Kesi ya Sabaya Yakwama Kortini

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imeahirishwa...

READ MORE

Samia: Tutaendelea Kushirikiana na Burundi

TANZANIA imesema itaedelea kushirikiana na Burundi katika kuimarisha ulinzi katika mipaka yetu. Hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu, katika mazungumzo...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukamatwa na Meno ya Tembo

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. Lipande Said Simwiche (62) na 2. Juma Pius (32) wote...

READ MORE

Mwizi Aonekana Kwenye Simu Baada ya Kuiiba

WATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini Misri wamempongeza mtu mmoja aliyejionesha uso wake kwa maelfu ya watu wakati alipokuwa akiiba...

READ MORE

HESLB: Majina ya Wanafunzi 7,364 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa...

READ MORE

Serengeti Kuwakutanisha Wachezaji wa Taifa Stars na Mashabiki Uso Kwa Uso

      KAMPUNI ya Bia ya Serengeti leo imezindua kampeni mpya na ya aina yake itakayowawezesha mashabiki wa timu...

READ MORE

Mbuga ya Serengeti Namba Moja Tena

MAMLAKA ya Tuzo ya Dunia ya Safari (WTA) imeitangaza Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania kama mbuga ya wanyama...

READ MORE

Utingo Malori ya Dangote Auawa kwa Kupigwa na Sungusungu – Video

  Utingo wa malori ya Kiwanda cha Saruji cha Dangote, Imani Abdallah Mnyoge mwenye umri wa miaka 31, mkazi wa...

READ MORE

Maagizo ya Waziri Mkuu kwa Wakuu wa Mikoa – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Wakuu wa Mikoa yote nchini wanapaswa kusimamia kwa karibu fedha maalum ya sh. trilioni 1.3...

READ MORE

Maiti ya Mwanariadha Agnes Tirop Yapasuliwa

IKIWA ni takribani wiki moja tangu kuuawa kwake, maiti ya mwanariadha maarufu nchini Kenya, Agnes Tirop imefanyiwa upasuaji katika chumba...

READ MORE

Jamaa Yamkuta Baada ya Kukojoa Hapa

JESHI la Polisi mjini Kakamega wamemkamta jamaa mmoja kwa kumpiga na kumjeruhi mwenzake aliyepuuza onyo kwa umma kutokojoa hadharani.  ...

READ MORE

Amuua Mwenzake Kisa Nauli ya Bodaboda

KWELI dunia ina mambo…. Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jeshi la Polisi ncini Kenya wanamshikilia mshukiwa wa mauaji ambaye aanadaiwa...

READ MORE

Kibaka Amchoma Kisu Askari na Kumuibia

JESHI la Polisi nchini Kenya wanamsaka kijana mmoja kibaka ambaye alimvamia na kumjeruhi ofisa wa polisi wa mwanamke katika eneo...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Anayemaliza Muda Wake Awaanga Wanahabari

MKURUGENZI mkuu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi (kulia) akimtambulisha mkurugenzi...

READ MORE

CHADEMA Yatoa Tamko Kesi ya Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema uamuzi wa jana na Jaji Kiongozi Mustapha Siyani, pamoja na kuitwa uamuzi mdogo...

READ MORE

Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Abiria

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Mbeya, imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Emmanuel Msomba (30) baada ya kupatikana na kosa...

READ MORE

Kigogo Vodacom Afunguka Alivyochunguza Simu za Sabaya

MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam,...

READ MORE

Hukumu ya Miaka 30 Jela: Sabaya Akata Rufaa

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wamewasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa Mahakama Kuu...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi TCU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Muhando kuwa Mwenyekiti wa Tume ya...

READ MORE

Hukumu ya Aveva, Kaburu Yapigwa Kalenda Tena

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa hukumu kutokana na kutokamilika uandaaji wa hukumu na kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo...

READ MORE

Bodaboda Aliyeokota Mil 115 Akazirejesha kwa Mwenyewe

Siku chache zilizopita, tukio lisilo la kawaida lilitokea nchini Liberia na kuzua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii.   Lilikuwa...

READ MORE

Hukumu Kesi Ya Evans Aveva na wenzake Kutolewa Saa Nane

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Rais wa zamani wa Klabu ya Simba, Evans Aveva...

READ MORE

Utafiti Wa Ng’ombe Na DNA Ya Malisho Wafanyika Tanzania-Video

Kufuatia kuwepo kwa ongezeko la wanyama nchi taasisi za utafiti nchini zimefanya utafita wa aina ya Ng’ombe na malisho ya...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji...

READ MORE

BoT Yapongeza Mfumo wa Majaribio ya Suluhishi za Kidijitali NMB

    BoT yapongeza Mfumo wa Majaribio ya Suluhishi za Kidijitali NMB Benki ya NMB imezindua Mfumo wa Majaribio ya...

READ MORE

Video: Wazee Arusha Wamlilia Rais Samia Walipwe Madai Yao Mil 100

 Baadhi ya wakulima Wilayani Arumeru mkoani Arusha Wakiwemo, Inko Andrea Manga, Kashengena Msuya Abdi na George Macha, Wamemuomba Rais...

READ MORE

Sensa Mwaka 2022 Kufanyika Ki-digital-Video

Sensa ya mwaka 2022, itafanyika kidigital. Hayo yamesemwa na aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne...

READ MORE

Kijana Aliyeitwa Nyani, Apelekwa Shule, Ageuka Staa

WASWAHILI wanasema Mungu sio hapangiwi….! Huu ni miongoni mwa misemo maarufu ya kiswahili inayotumiwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa jambo ambalo...

READ MORE

Maajabu: Kikongwe wa Miaka 70 Ajifungua Mtoto wa Kwanza

Unaweza usiamini lakini huo ndiyo ukweli, ukisikia dunia ina maajabu basi haya ni miongoni mwake. Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Colin Powell; Jenerali wa Jeshi Aliyeiongoza Marekani Kumng’oa Saddam Hussein

-Aliweka rekodi ya kuwa Mmarekani mweusi wa kwanza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje – Akakataa kugombea urais na kumpendekeza...

READ MORE

Lindi: Dereva wa Lori Afariki Mikononi mwa Polisi

Jeshi la Polisi mkoani Lindi, wametolea ufafanuzi wa tukio la dereva wa lori aliyefariki mikononi mwa polisi mnamo Oktoba 17,...

READ MORE

CHADEMA Haijaridhika na Maamuzi ya Mahakama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, kimesema hakijaridhika na uamuzi uliotolewa na Jaji Kiongozi Mustapha Siyani katika kesi ndogo ndani ya...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao ha Baraza la Mawaziri

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 20, 2021 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri...

READ MORE

Wakili IPTL Aomba Kukiri Makosa Akamzike Baba Yake

MWANASHERIA wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege, ameiomba tena kufanya mazungumzo na ofisi...

READ MORE

Rais Kenyatta Aondoa Masharti ya Kutotoka Nje

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameondoa masharti ya kutotoka nje usiku kwa wananchi wake ambayo yaliwekwa  tangu Machi 2020 ili...

READ MORE