×

Habari

Hukumu Kesi Ya Aveva, Kaburu Ngoma Nzito..

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Rais wa zamani wa Klabu ya Simba, Evans Aveva...

READ MORE

Rais Samia Asisitiza Haki kwa Wananchi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanasimamia haki ili wananchi wanyonge waliodhulumiwa haki zao...

READ MORE

Rais Samia: Umeacha Mtoto Wajibika – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka waliotelekeza watoto kuhakikisha wanawalea kwani ni wajibu wao na ni haki ya...

READ MORE

Atupwa Jela kwa Kulawiti Mtoto

Octavian Kaijage (26) mkazi wa Kambarage Manispaa ya Shinyanga, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi...

READ MORE

Jaji Mkuu: Awataka Watanzania Kubadili Mitazamo Kuhusu Katiba

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa wito kwa Watanzania kubadili mtazamo kwanza badala ya kutaka mabadiliko ya...

READ MORE

Chadema Wafungua Kesi Kudai Dhamana

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefungua kesi kudai kuachiliwa kwa dhamana kwa kiongozi wa Baraza la Wazee la chama...

READ MORE

Majambazi Watano Wauawa Wakijaribu Kuteka Gari la Polisi – Video.

Watu watano wameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za ujambazi katika Kijiji cha Kitahana Wilayani Kibondo mkoani...

READ MORE

Membe Amuunga Mkono Rais Samia

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa 2020, Benard Membe amesema yuko njiani kurudi mahali fulani...

READ MORE

Mume aMuua Mke kwa Panga Akimtuhumu Kumsaliti

MWANAUME anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45)...

READ MORE

Charles Quansah; Muuaji Hatari Zaidi Kuwahi Kutokea Nchini Ghana

-Alikuwa akiwabaka kisha kuwaua kwa kuwanyonga au kuwachinja wanawake -Alikuja kukamatwa baada ya kuchomwa na mpenzi wake aliyewapigia simu polisi...

READ MORE

SGA Yaunga Mkono Upimaji wa VVU kwa Hiari

      KAMPUNI ya ulinzi ya SGA imeanzisha mpango wa upimaji wa virusi vya Ukimwi mahali pa kazi kwa...

READ MORE

Aishi na Kisu Tumboni kwa Miaka 3

David Mlilo mkazi wa nchini Zimbabwe amepanga kuishtaki hospitali ya Hippo Valley Medical Centre baada ya kugundua kuwa madaktari wa...

READ MORE

Nabi Awaandalia Programu ya Mabao Mayele, Makambo

KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amekiri kuwa ni kweli safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na washambuliaji Fiston Mayele na...

READ MORE

Uhaba wa Wanafunzi, Kondoo Waandikishwa Shule

Mkulima mmoja nchini Ufaransa amewashangaza watu ulimwenguni baada ya kuwaandikisha shule kondoo wake 15 ili kukamilisha idadi ya wanafunzi inayotakiwa...

READ MORE

Wanne Washikiliwa Na Polisi kwa Mauaji Na Kutelekeza Mwili Wa Marehemu-Video

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Bernard...

READ MORE

Vodacom Yaiunga Mkono TARURA Utekelezaji wa Malipo ya Maegesho ya Magari Kidijitali

      DAR ES SALAAM. Vodacom Tanzania Plc, inaendelea kusaidia mpango wa kuwezesha mapilo ya kidijitali nchini. Leo hii, kampuni...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Tozo za Mafuta Kupunguzwa

Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta nchini zenye thamani ya...

READ MORE

Itilima: Waganga Wamiminika Kuchanjwa

WILAYA ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu inatajwa kuongoza kwa idadi ya watu wanaojitokeza kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko19...

READ MORE

Utajiri wa Mark Zuckerberg Waporomoka

Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD bilioni 5.9 hadi USD bilioni 7 (takribani Tsh...

READ MORE

UWT Makongo Wakabidhi Vifaa vya Usafi Mashuleni

      UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT), Kata ya Makongo, umekabidhi vifaa kwaajili ya usafi wa vyoo katika shule...

READ MORE

Ajali Mbaya Coco Beach

Gari aina ya Toyota  Prado lenye namba za usajili T872CHR limetumbukia baharini jana saa saba katika eneo la Ufukwe wa...

READ MORE

Mbunge Aliyechomewa Gari Adaiwa Kumpiga Katibu UVCCM

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe, limemhoji Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi, Katibu wa...

READ MORE

Huduma za Facebook, Instagram na WhatsApp Zarejea

HUDUMA za mitandao ya kijamii ya Facebook, WhatsApp na Instagram zimerejea tena kwa watumiaji wake kama kawaida baada ya kukatika...

READ MORE

Mende Avuruga Hotuba ya Rais

  WAKATI Kampeni za uchaguzi nchini Ufilipino zikikaribia kufika tamati na mgeni ambaye alikuwa hajaalikwa aliamua kumtembelea rais wa nchi...

READ MORE

RC Mtaka Ashuhudia NMB Ikizindua Hati ya Kiapo Cha Huduma Kwa Mteja

  Benki ya NMB imezindua maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuahidi kuendelea kuwahudumia wateja wake kwa viwango...

READ MORE

Jiko la Mkaa Laua Mama na Wanae Wawili, Baba Hoi – Video

Watu watatu wa Familia Moja akiwemo mama na watoto wake wawili wakazi wa Kitongoji cha Nyambale, Kijiji cha Busanda na...

READ MORE

Vodacom Foundation Yawajengea Uwezo wa TEHAMA Wasichana Wilayani Kisarawe

        KISARAWE. Taasisi isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation leo imekabidhi mchango wa vifaa vya Teknolojia...

READ MORE

Yanga Yawaondoa Mastaa Wake Dar

OFISA Mtendaji Mkuu wa mpito wa Yanga, Senzo Mazingisa, ameweka wazi kuwa ili kutimiza lengo lao la kushinda ubingwa wa...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Mtendaji Mkuu wa Royal Dutch Shell

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Sanamu la George Floyd Laharibiwa Tena

SANAMU la Marehemu George Floyd lililopo Jini New York Marekani laharibiwa tena Jumapili ya October 3,2021 Kwa mujibu wa Polisi...

READ MORE

Mpiga Picha Afuta Picha za Maharusi Baada ya Kunyimwa Chakula

KISA kimoja cha kushangaza kimewaacha watu midomo wazi baada ya mpiga picha mmoja aliyetofautiana na mwajiri wake wakati akipiga picha...

READ MORE

Wamiliki, Madereva wa Malori Nchini Watoa Tamko Kufuatia Kushikiliwa kwa Wenzao Zambia

      WAMILIKI na madereva wa malori nchini leo wametangaza rasmi azimio lao la kusitisha kupeleka malori yao nchini...

READ MORE

Yanga SC Weka Mbali na Watoto

KWA mwendo unaokwenda nao Yanga hivi sasa, unaweza kusema weka mbali na watoto kwani inaziokota tu pointi ndani ya Ligi...

READ MORE

Ajali Mbaya Dar, Wananchi Waiba Saruji – Video

AJALI imetokea maeneo ya Mbagala jijini Dar es Salaam leo baada ya lori ambalo kuacha njia na kugonga daladala na...

READ MORE

Benki ya NBC Yaja Na Kampeni ‘Nguvu ya Huduma, Zege Halilali’

MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) hii leo imezindua wiki ya Huduma kwa Wateja  sambamba...

READ MORE

Maeneo Ambayo Mwanamke Yeyote Duniani Haruhusiwi Kukanyaga

MATEMBEZI ni jambo zuri sana, linalomuwezesha mtu kuyafahamu maeneo ambayo vinginevyo usingeyajua, hususani wakati wa likizo. Sio tu kwamba kutembea...

READ MORE

Mali za Siri za Familia ya Kenyatta Zafichuliwa

Familia ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ambayo imetawala siasa za nchi hiyo tangu uhuru, ilimiliki kwa siri mtandao wa...

READ MORE

Jamaa Avumbua Mashine ya Kusonga Ugali kwa Dakika 3

UGALI ni chakula kinacholiwa sana barani Afrika. Huenda kikawa ndio chakula chenye umaarufu mkubwa Afrika, kikitokana na nafaka hasa ya...

READ MORE