×


HabariDC Iramba awanyoosha vigogo wa afya

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida, Christopher Ngubiagai amewasimamisha kazi watumishi sita wa idara afya na kuagiza wakamatwe na kufunguliwa mashitaka kwa tuhuma za…

SOMA ZAIDI


NMB yawafikia wakazi wa Kakonko

Benki ya NMB imefungua rasmi tawi lake jipya wilayani Kakonko. Tawi hili limefunguliwa na mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali mstaafu Issa Machibya. NMB Kakonko…

SOMA ZAIDI

Donald Trump ashinda Nevada

Mgombea wa urais wa Chama cha Republican, Donald Trump ameshinda katika Jimbo la Nevada nchini Marekani, na kuzidi kuimarisha uongozi wake katika mchujo wa kuwania…

SOMA ZAIDI
Nilichogundua kwa waendesha bodaboda

Wakati watu walipokuwa wakiendelea kudanga-nyana kimapenzi kwa kisingizio cha Valentain, mimi nilikuwa nafanya utafiti kuhusu ishu moja veri siriaz. Utafiti huu ambao ni wazi utakaa…

SOMA ZAIDI

No Picture

Shinda Nyumba yachangamkiwa Vikindu

Sadick Muhidin (kushoto) akielekezwa na Ofisa Masoko wa Global,Yohana Mkanda (katikati) namna ya kujaza kuponi yake kushiriki Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba. Wasomaji wa Gazeti…

SOMA ZAIDI
Barabara ya Kilwa, Ukarabati Usiomalizika!

Barabara hiyo imekuwa ikifanyiwa ukarabati karibu kila siku jambo la kusikitisha hata pale palipofanyiwa ukarabati napo panaharibika baada ya mudamfupi. Ikumbukwe ya kwamba Waziri wa Ujenzi wakati huo,…

SOMA ZAIDI
Museven Ashinda Urais Uganda

Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Museveni kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Alhamisi. Rais Museveni alipata kura 5,617,503 sawa na asilimia…

SOMA ZAIDINo Picture

Have you ever been to Tanzania!

Probably, you have never experience any of the unique adventures from your trips, Tanzania might be the best safari destination where you will be able…

SOMA ZAIDI


Ajali yaua 50 Ghana

Takriban watu 50 wamefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani kuwahi kutokea nchini humo katika kipindi cha miaka mingi. Basi moja lililokuwa limejaa abiria liligongana…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online